Goma DRC: Waasi wa M23 wanaungwa mkono na Rwanda wameteka maeneo zaidi kuelekea Bukavu

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 5 фев 2025
  • Ripoti kutoka mashariki mwa DRC zinasema kuwa waasi wa M23 sasa wanaelekea Bukavu - mji mkuu wa mkoa wa Kivu Kusini.
    Hii ni baada ya M23 kuteka sehemu kubwa za mji wa Goma.
    Vyanzo vya kidiplomasia na usalama vinasema kuwa M23 wanapitia upande wa kusini kutoka mji wa Minova.

Комментарии • 166

  • @JoshuaChesang-tu3kf
    @JoshuaChesang-tu3kf 7 дней назад +21

    M23 continue doing your work

  • @ambarakomulish7338
    @ambarakomulish7338 7 дней назад +53

    Hao Si Waasi Amka We Mu Africa Hao wanapigania inch yao

    • @Ryannkae
      @Ryannkae 7 дней назад +1

      Acha ujinga kwanini wanachunja watu? Na kuacha wanyarwanda unafikiri waCongomani ni marifa

    • @GarretonMurondorwa
      @GarretonMurondorwa 7 дней назад +4

      Wewe kwenda huko
      Hai M23 wanapigania haki zao na watu wao binafsi
      Nyinyi wauwaji mumekua mkiwaua myaka yote

    • @Ba63828
      @Ba63828 7 дней назад +2

      Wala sio waasi M23 ni majambazi tu wa Kagame inatakiwa wapigwe hadi kufa.

    • @rizikivincent5255
      @rizikivincent5255 7 дней назад

      ​@@GarretonMurondorwakanyarwanda haka akapendi kuambiwa hukweli nyie nendeni marekani wanamaeneo makubwa watawapa sehemu moja

    • @niyonkurufreddy1984
      @niyonkurufreddy1984 7 дней назад +1

      Wanataka Amani was wanaomba mazungumzo kisekedi hataki Nani anataka Amani kwa inciii Kati ya wo wa wiri?

  • @RAMPA_Dee
    @RAMPA_Dee 7 дней назад +24

    The president of Congo mpaka sasa hajajua tatizo liko wapi, kwanini Congo inasema eti Rwanda inaunga mkono M23 mbona Congo pia imewahifadhi takilibani myaka 30 FDRL walio fanya mauaji 1994 inchini rwanda.

    • @Ryannkae
      @Ryannkae 7 дней назад

      Ujahona bedera la rwanda kwenye mavanzi yao au una macho

    • @RAMPA_Dee
      @RAMPA_Dee 7 дней назад

      @Ryannkae labels wanavaa vazi rorote so ukiona vazi la rwanda inchini Congo haimanishi jeshi la rwnda

    • @Muba-Gucci-TV
      @Muba-Gucci-TV 7 дней назад

      Huwez kuona wale wenye kutukana apa

    • @bakari52
      @bakari52 6 дней назад

      Jamani mimi nataka kuuliza, hivi hii Congo haina jeshi? Ama jeshi la Congo lililemewa? Hivi vikosi vyote vilivyoingia Congo viliingiaje? Hii nchi inanisikitisha

    • @kendrimushagalusadrc
      @kendrimushagalusadrc 3 дня назад

      Sio kweli myaka hii yote Rwanda inauwa watu Congo kwanini hawaja pata FDLR huko. Hamna kitu anapenda ku mwanga damu tu nakuwafyrahisha wazungu

  • @Ishimwe-TV1
    @Ishimwe-TV1 7 дней назад +8

    M23 songa mbere mutukombowe❤❤

    • @Johannesb-wf9wv
      @Johannesb-wf9wv 7 дней назад +1

      Wanyarwanda mda si mrefu tutawachoma kwa moto kwenye ardhi yetu ya congo 🇨🇩🔥

    • @OnorinaKiza
      @OnorinaKiza 5 дней назад

      Kwani iyo congo mnadhani mta iweza nyie marehemu watarajiwa nyie rwanda wajinga sana wa akili

  • @mugishacyizaeric628
    @mugishacyizaeric628 7 дней назад +7

    Ongera Sana M23, wakombozi wa inchi❤

    • @OnorinaKiza
      @OnorinaKiza 5 дней назад

      Pumbavu kweli si muende kwenu ipo siku nanyi mtakufa hadi kizazi chenu kifutike

  • @cyubahirofrank9237
    @cyubahirofrank9237 7 дней назад +6

    Vive m23❤❤🎉

  • @elieserntacungira9101
    @elieserntacungira9101 7 дней назад +11

    Asante sanaaaaaa , mtangazaji , tuhabari , habari za RDC in Eastern 😅😅😅🎉🎉

  • @yanganandeemmanuel7171
    @yanganandeemmanuel7171 7 дней назад +12

    M23🎉🎉🎉 wamefanya kazi yaziada❤

  • @ruzindazajonas8506
    @ruzindazajonas8506 7 дней назад +12

    Shida ni moja, Kisekedi Ana ujinga wa kupuuzia unwell akiwujua! Pili Ana ujinga wa kuharibu na kuiba mali ya nchi ,mfano: Wales wzungu wanalipwa ma millions ya dollars , S.African na Burundi soldiers wanalipwa mamilioni ya dollars pia kill mwezi pamoja na kwamba hawazipewe zinachukuliwa na marais who pamoja na viongozi who wa jeshi.

    • @rizikivincent5255
      @rizikivincent5255 7 дней назад +2

      Pumbavu kagame wewe nyie virusi vya ardhi ya kongo kwani nyie mkiacha kuwaingilia wakongomani inchini mwao mnaona wakongomani watapigana na nani tena?vita vimeletwa nanyi

    • @OnorinaKiza
      @OnorinaKiza 5 дней назад

      Mu nyarwandwa wewe shenzi lisilo jua kwenu ving’anga’ na mtashindwa kwa jina la yesu

  • @Bricekdot
    @Bricekdot 7 дней назад +7

    They're fighting for their right not minerals

  • @AbdulwahedTariq
    @AbdulwahedTariq 6 дней назад +4

    Mtanzania utamjua Tu
    Sawa vita ipigwe ila Kula Muhimu😂😂

  • @Butobe
    @Butobe 3 дня назад +1

    Nishinda sana yeye paka atoke ❤😂😂😂 🙏

  • @undoyenezapeter8102
    @undoyenezapeter8102 7 дней назад +6

    So waasi ni watoto wa Congo
    Bravo M23

  • @FredMuhoza
    @FredMuhoza 6 дней назад +1

    DRC government must stop genocide against Tutsis and Banyamulenge. M23 is there for us. Thank u M23 , go go Mpaka Kinshasa

  • @JadotTasile
    @JadotTasile 4 дня назад

    Bonjour mon frère merci

  • @Eliasryoba-z7d
    @Eliasryoba-z7d 5 дней назад

    Eee Mungu tunaomba amani Congo na Africa yote.🙏

  • @sarrgodanaguyo3892
    @sarrgodanaguyo3892 7 дней назад +2

    BBC kiswahili tuna wapenda muendele hivyo asanteni watangazaji wetu
    Nawa ombea afiya na
    Amani hiwe nanyi popote napo fanya
    Kazi zenu shukrani
    Kwa BBC Kiswahili.

  • @bernadettewamunzira9693
    @bernadettewamunzira9693 6 дней назад +1

    Neno la Mungu inasema na alaaniwe mutu anaye vuka mpaka wa inchi ya mwenzake.

    • @kamanziwilliam3212
      @kamanziwilliam3212 6 дней назад

      Na alaniwe anaefukuza wanainchi miaka 20 bila juhudi zawarejesha kwao.

  • @KamanziBilly-ix8pr
    @KamanziBilly-ix8pr 7 дней назад +1

    Harakati ya M23 haipigani kwa ajili ya kudhibiti madini ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, bali kwa ajili ya kutambuliwa na kulindwa kwa haki za watu wa Tutsi wa congo. Mgogoro huu unatokana na mapigano ya haki, usawa, na usalama kwa jamii iliyo katika hali ya kutengwa, na haupaswi kupunguziliwa kwa maslahi ya kiuchumi pekee

  • @NezaMerry434
    @NezaMerry434 7 дней назад +7

    mejeshi walio fanya génocide Rwanda walikimbilia DRC myaka takriban 30 na ao majeshi walio fanya génocide(fdlr) wanaungana na serikali ya DRC

  • @PatrisiaMatigasa
    @PatrisiaMatigasa 3 дня назад

    Du poleni wahanga ote mungu atawaponya

  • @florencenyaremezo6152
    @florencenyaremezo6152 7 дней назад +1

    M23 niwa congomani Wana pigania haki Yao siyo wa nyarwanda

  • @storytownTv
    @storytownTv 7 дней назад +3

    M23 sio waasi ,waafrika bado tunapumbazwa hao jamaa n wazarendo wanaotaka kuona nchi yao inatoka mikononi mwa mabeberu..😢

  • @PhilipoMwita-b2x
    @PhilipoMwita-b2x 7 дней назад +1

    Samia unachokitafuta utakipata tatua matatizo ya nchi Yako usiingilie mambo ya watu usije ukatuletelezea magaidi ukakimbilia Zanzibar

  • @UwitonzeMulengerantwali
    @UwitonzeMulengerantwali 7 дней назад +2

    Mimi nawashagaa munavyo sema inchi ya USA au Japane iwakutanishe kwanini Africa 🌍 munajidharau huwa munasahau kuwa hao hawawapendi. Nanukuru Hayati Rais Nyerere arisema Binadamu wote ni Sawa na Africa ni Mmoja. Africa jifunze kutatua shinda zenu ombeni Mungu awapeni hekima na Akili. Warch News from USA. Sipendi kusikia wa Africa 🌍 mtu akisema iteni USA au Japane n. K. Mujitabue kwanza. God bless Africa 🌍.

    • @KalalaErick-n7d
      @KalalaErick-n7d 7 дней назад +1

      Uyu mtangazaji wakenya nimjinga sana, eti America , america itafanya Nini naniwao ndo wanasababisha Africa haina amani, congo Kama inateseka leo nikwa sababu ya mmarecani namfaransa, na belgique, namataifa mengineyo ,unakuja kusema eti marecani waingilie, kwani hawajuwi kinacho endelea pale congo,

    • @bakari52
      @bakari52 6 дней назад

      Hawa Waafrica ni washirikina. Yani unaamini mwanadamu mwenzako atatatua shida zake. Tamaa tuache hatutazikwa na hizi mali

  • @manxst3887
    @manxst3887 7 дней назад +8

    M23 💪💪

  • @ChizaJean-z7d
    @ChizaJean-z7d 7 дней назад +4

    Nayisaport xana m23

  • @samndaruhutse8802
    @samndaruhutse8802 7 дней назад +1

    You have to be serious and use the M23 arm picture, not Rwandan arm picture

  • @ClovisCholakibwili
    @ClovisCholakibwili 6 дней назад +1

    Kabisa

  • @VidaNetwork-o3o
    @VidaNetwork-o3o 7 дней назад +1

    Bukavu tunakuja hii mapambano ni lazima tufike Kinshasa tumechoka kunyanyaswa juu ya ukabila yetu

  • @AmadyYusuf
    @AmadyYusuf 7 дней назад +3

    Ruto he is good...we support ruto

  • @arnaulddolfi20
    @arnaulddolfi20 7 дней назад +6

    M23 Iko na haki kupigana na kujitetea kisiraha !

    • @saidbakar-qo6ri
      @saidbakar-qo6ri 7 дней назад

      M23 NI WATUSI WARUDI KWAO RWANDA WASILETE TAMAA ZA UTAJIRI WA CONGO

    • @arnaulddolfi20
      @arnaulddolfi20 7 дней назад

      @saidbakar-qo6ri wewe ndo unasema hivo kwa sababu unataka kuwafukuza kwawo !

    • @FadhiliChantal-x5l
      @FadhiliChantal-x5l 5 дней назад

      Kwani unamaanisha Congo hakuna watutsi mutajua hamujui kamabado mujakubali watutsi Wacongo nicongomaniwenzenu fikilieni muache ujinga

  • @VéritéMoïse
    @VéritéMoïse 4 дня назад

    Très bien excellence Monsieur le président Felixe tch pour ne pas répondre à des déplacements inutils tous ces mondes là sont des traîtres pour envisager notre pays.

  • @patrickmuhireroger8771
    @patrickmuhireroger8771 7 дней назад +1

    Endelea M23!

  • @ChrisantousBarasa
    @ChrisantousBarasa 7 дней назад

    Asante habari nimeibata

  • @mariakibwana3700
    @mariakibwana3700 7 дней назад +2

    Congo&Rwanda mnaichosha Tanzania mnapotofautiana mwishowe mnaisababishia Tanzania kupokea wakimbizi.Tafuteni Amani.

    • @katemachanda7035
      @katemachanda7035 6 дней назад

      Hao wanachonganishwa tu.
      Wapo walio ktk hizo Fujo, miaka nenda Rudi... Lengo ni kuiba Mali ya Congo...

  • @Intarecyane
    @Intarecyane 7 дней назад +1

    iyo unasema si ukweri kagame hasimae M23 . M23 niwa congomani

  • @aaronkilonzo3679
    @aaronkilonzo3679 7 дней назад

    Kazi kuntu Roni BBC swahili ndo kiboko yao🙏🙏❤️

  • @JoackimYusuph
    @JoackimYusuph 3 дня назад

    M23 ni kina nani

  • @HASHAMEssa-r6t
    @HASHAMEssa-r6t 7 дней назад

    ❤nawapata toka Burundi

  • @SebastianSikuku
    @SebastianSikuku 22 часа назад

    Hao sio waasi ni wazalendo wa afrca

  • @jean-marienondo6079
    @jean-marienondo6079 7 дней назад +1

    Sio akomeshe ,aondoe wanajeshi wake congo nyoosha maelezo

  • @cyubahiroclement191
    @cyubahiroclement191 6 дней назад

    Mi ningependa hao madreva waelezee walivyokombolewa na m23 hadi Rwanda na sio kukata Kipande kifupi ili mptoshe watu kwani m23 ni peace makers sio waasi !

  • @charlesndahiro5803
    @charlesndahiro5803 7 дней назад +1

    Kisekedi hapendi EAC ndiyo maana ameifukuza akaleta SADC ili ipigane begwa kwa bega na jeshi la DRC na kufulusha M23. Kisekedi alipenda apiganishe EAC na SADC kitu ambacho viongozi wa SADC hawajari kwa ajiri ya faida zao pekee.

    • @kendrimushagalusadrc
      @kendrimushagalusadrc 3 дня назад

      Kenya 🇰🇪 ni umoja wao M23 sababu Ruto ni mutusi ndugu ya Kagame haina maana raisi wetu aongee nawo Rwanda, Kenya, Uganda ni kitu kimoja. Labda Tz tu pekee ndyo inajaribu kuhurumia Congo ila Congo inapambana na inchi nyingi sana sio M23. M23 ni daraja la mataifa kuiba mali ya Congo 🇨🇩 inchi yangu

  • @kamanziwilliam3212
    @kamanziwilliam3212 6 дней назад

    Mchambuji wa siasa uliye mualika, naye ameegemea upande.

  • @petermilol2104
    @petermilol2104 7 дней назад

    Wazungu wanapenda kutuchonganisha tuuane ili wafaidi wanayotaka kwa mtindo kujifanya marafiki na wasaidizi, imagine utajiri uliopo Congo ni mkubwa mno mabeberu wanautamani sana unalisha Nchi zao dah, tunahitaji akina Magufuli,Traore wengi kuitetea Africa. MUNGU IBARIKI AFRICA 🙏

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme 6 дней назад

      Ni upungufu wa akili na tamaa za mali na uchu wa madaraka ni shida kubwa kwa watu weusi

  • @JoelleSakindi
    @JoelleSakindi 5 дней назад

    Ronnie abari ya masiku,ni Naomie

  • @UKAMBANIBOIZBAND
    @UKAMBANIBOIZBAND 2 дня назад

    ,waaaah

  • @sarrgodanaguyo3892
    @sarrgodanaguyo3892 7 дней назад

    Kwa nini inchi ya africa vita kila kinayo kucha?

  • @FadhilMakunga
    @FadhilMakunga 7 дней назад

    Ni upuuzi... Yaani mambo ya Africa hatuwezi kuyafanya wenyewe mpaka wanarekani au warusi waingilie kati.
    Mwanadiplomasia bado unkiki ya utumwa.

  • @abdouibnmninara7000
    @abdouibnmninara7000 7 дней назад +1

    Hao M23 wajifanye kama wamepote waje huku kwetu Tz hata mie nitajiunga na jeshi niwashenyete

  • @aimerkahindo9289
    @aimerkahindo9289 7 дней назад +1

    Acha uwongo we mupasha habari

  • @StellaMleba
    @StellaMleba 6 дней назад

    Hawa awana aja ya kujicomboa wamezoea kuiba na police awajui kuchuka nchi

  • @kanyemeracelestin2590
    @kanyemeracelestin2590 7 дней назад

    Kisekedi amekataa makutano apana Kagame

  • @AmadyYusuf
    @AmadyYusuf 7 дней назад +2

    Assslaaam alaykuum my brother s and my sisters

    • @ShariifAlafasy
      @ShariifAlafasy 6 дней назад

      Wa 'alaykum salâm wa rahmatuLlâhi wa Barakâtuh akhy.

  • @Delphinbaf
    @Delphinbaf 6 дней назад

    M23 karibu Bukavu tuta uwana sasa Bukavu ? Bukavu ha iko goma

  • @MwitaBoy-l5k
    @MwitaBoy-l5k 7 дней назад

    Wangekuwa waasi wangewaua watu

  • @Ba63828
    @Ba63828 7 дней назад

    Habari zenu zinapotosha

  • @Moise-op7pb
    @Moise-op7pb 7 дней назад +8

    M23 songa sana ukombowe wanainshi

  • @OmyCrez
    @OmyCrez 7 дней назад +1

    Malizeni hii vita iishe mana wote ni ndugu

  • @crown-u2w
    @crown-u2w 6 дней назад

    Yani Ichi imekosa usalama ahupo kila Mara

  • @katemachanda7035
    @katemachanda7035 6 дней назад

    Cha kwanza Askari wa UN na askari wote wa kigeni ( Wazungu) waondoshwe hayo maeneo. Hao ndio tatizo, Rwanda na Congo wanachonganishwa tu ili watu waendelee kuiba mali.
    M23 sio waasi - wametengenezwa jina baya. Wao ndio wanapigania nchi yao kwa dhati kabisa...

  • @peacemwesiga
    @peacemwesiga 4 дня назад

    Wana mchexo
    Kuna kitu wanajua

  • @IssaSwiraSwira
    @IssaSwiraSwira 7 дней назад

    Kuna kiongozi Ana ibamali nakushea na wazungu

  • @mapendoumoja800
    @mapendoumoja800 7 дней назад

    Kwanini wakuu viongozi huchukuwa minadamu hivo? mauwaji ya uhalifu ya congo yanajukikana wazi myaka imekuwa mingi na Mungu hafurahii 😢😢😢

  • @gilbertesifa230
    @gilbertesifa230 7 дней назад

    Wafike Bukavu,tutawatupa ruzizi

  • @mariakibwana3700
    @mariakibwana3700 7 дней назад

    Tuliwafukuza wakoloni sasa tunawaita tena watusuluhishe.Jamani tumwombe Mungu

  • @amaskaisimbi9130
    @amaskaisimbi9130 5 дней назад

    Kwanini munaamini America inanguvu ya kufanya 2 presidents wakutane? Imeshindwa kushugurikia Ukraine ,imeshindwa kushugurikia Sudan ,Haiti, hata ikashindwa na somalia ndo itaweza kusaidia congo? , Africa stop depending on America or Europe kwasababu hamtasadiwa unless mjisaidie wenyewe. M23 haina tatizo na wanainchi, inashugurikia Amani ya watutsi wanawuwawa nchini kwawo. Ndo wakisema Kageme anasaidia nivile watusi wa congo na wa rwanda wanafanana rakini watoka inchi tofauti. Wenye wanapola watu hapo ni FDRL na FARDC .M23 wanaangalia usalama wawo na wanainchi.

  • @AmadyYusuf
    @AmadyYusuf 7 дней назад +1

    Point of correction...hao sio waasi... hao Ni.. peace Maker

  • @walidmohd-z4i
    @walidmohd-z4i 7 дней назад

    Daaaaah

  • @Leonard-p6o
    @Leonard-p6o 7 дней назад

    Wafrika mutaamka lini

  • @gilbertesifa230
    @gilbertesifa230 7 дней назад

    Wewepia unaonekana una wa sapoti hawa waasi

  • @mariayombayomba1606
    @mariayombayomba1606 7 дней назад

    Hapo mataifa makubwa ambayo yanapata faida kubwa kutoka Drc yanatakiwa tatumie nguvu tu, walazimishe maraisi hawa wawili wakutane waongee au wote wawili wapigwe vikali serikali zao zinadilishwe kinguvu basi

  • @Smooth-vy5ky3qp6s
    @Smooth-vy5ky3qp6s 7 дней назад +3

    Bala sana Congo
    Bukavu 😮

  • @MenzaSuleiman
    @MenzaSuleiman 7 дней назад +3

    Congo imeenda😭😭😭😭

  • @NdikumanaOrivie
    @NdikumanaOrivie 7 дней назад

    Layisi kagame anawizi ndandiyacongo anasemaka marakwamara kama arimariza efudereli wanasemagabungeni Nje reo banararamikaga se efudereli iko congo Nje

  • @hamimathuman589
    @hamimathuman589 7 дней назад

    Namabode yote hayo wanashindwa

  • @JoshuaChesang-tu3kf
    @JoshuaChesang-tu3kf 7 дней назад

    Wao ni wamerikani na wafaransa na Belgium wote wa Europa ndio watapeli

  • @omarmussa5755
    @omarmussa5755 7 дней назад

    Uyo mtz kweli

  • @ibrahimjuma9709
    @ibrahimjuma9709 7 дней назад

    Wajiuzuru wote ipatikane mjadara wa suruu ili raia wawe na amani na ipatikane pande zote mamilion ya raia uteseka kwa chuki za tamaaa za watu wawili aiwezekani 😢😢

  • @adolphecyubahiro216
    @adolphecyubahiro216 7 дней назад

    Watu wakinshasa wanatubeba mafala kama watuwa Eastern DRC wanaona wawo ndio binadhamu pekeawo so M23 wazalendo waukweli wacha wafanye kazi

  • @kayumbaJeanPaul
    @kayumbaJeanPaul 7 дней назад

    Ni balaa kwa nchi pana kama kongo kutoweza kujipigania na kulipa mamilioni kwa mercenaries kuja kuawa wananchi mwishoni wakafukuzwa na kikundi cya M23

  • @FadhilMakunga
    @FadhilMakunga 7 дней назад

    Amerca ndio beneficial na hayo madini y bei rahisi kwasababu damu inamwagika hapo.

  • @AfricaRevolution-f6h
    @AfricaRevolution-f6h 7 дней назад +1

    Wana enda kutana na mu umba wao!
    Wata juwa! Hawaya juwa!

  • @chrismufalme4436
    @chrismufalme4436 7 дней назад

    Tuna ushunge pia

  • @muziranengerakiri9693
    @muziranengerakiri9693 7 дней назад

    Muzozo wa Congo lisasi ndilo lita amua tu politic imeshindwa kabisa
    President wa Congo angekubari kukaa kwa meza yamazubgumzo na m23 . Lakini kukaa na president wa Rwanda huo niupuuzi acheni lisasi ipasuwe njia

    • @RuyenziEricClapton
      @RuyenziEricClapton 7 дней назад

      @@muziranengerakiri9693 sio hivyo wana andika muzozo , wana andika MZOZO!.

  • @gracemacha9357
    @gracemacha9357 7 дней назад +1

    Hii Rwanda kuna siku Mungu ataifuta kwenye uso wa Nchi 😭😭

  • @ZirimwabagabobizimanaJustin
    @ZirimwabagabobizimanaJustin 7 дней назад

    Sisi kiukweli hatuna ujasiri kila kitu eti ugenyi nandiyo sababu hatujuwi jisi tunavyo endeleya kuvamiwa. Wasambaza habari nawaomba usitu peperushiye habari zauongo.

  • @seifnyambane6675
    @seifnyambane6675 7 дней назад

    Banyamulenge

  • @Alll.com.m
    @Alll.com.m 7 дней назад

    Wa Tz muwe makini awa mbwaa wakikamata Congo ata Tz Amna amani

    • @RuyenziEricClapton
      @RuyenziEricClapton 7 дней назад +1

      Acha ku ongopa ,mzozo Waketi kwenye meza wazungumze kupitia njia ya usalam

    • @FadhiliChantal-x5l
      @FadhiliChantal-x5l 5 дней назад

      Watanzania musi ingilie mambo yenye haiwahusu mungangane nahaliyenihuko miwachane nawacomgomani

  • @MsabahAli-d6u
    @MsabahAli-d6u 7 дней назад

    Kama.nchi zetu hazitakinuchaguzi huru na hakki ni bora watu washing bunduki

  • @Fatima-v9k6f
    @Fatima-v9k6f 7 дней назад

    From 🇧🇮 wa ulaya ni wezi tu naapo wako na madili 😂tu

  • @fatmaahmed8637
    @fatmaahmed8637 7 дней назад

    AMANIIII

  • @Bonnymsongole
    @Bonnymsongole 7 дней назад

    Ahaaa

  • @jean-marienondo6079
    @jean-marienondo6079 7 дней назад

    Utawaletaje mamluki wa ulaya serekali zao ndo zina sapoti vita hivi, ili wapate madini

  • @NezaMerry434
    @NezaMerry434 7 дней назад

    M23 ni wazalendo wa DRC as wazungu wa south Africa

    • @Ryannkae
      @Ryannkae 7 дней назад

      Acha uongo bro

  • @ErickNdogosa
    @ErickNdogosa 7 дней назад

    Tunapigarwanda

  • @usatoenglandvegas4046
    @usatoenglandvegas4046 7 дней назад

    Huko ndo wasi pime

  • @UwanyirigiraJudith-l1c
    @UwanyirigiraJudith-l1c 7 дней назад

    Indayanyu numunsi

  • @hamisdodi-cu7bu
    @hamisdodi-cu7bu 7 дней назад

    Hawa.23.magaidi.wana.tumika.kuvuruga.amani ya congo

    • @kayumbaJeanPaul
      @kayumbaJeanPaul 7 дней назад

      Acha ujinga huo . Sasa ni magaidi kukota wapi? Acheni wakongomani Hawa wapiganiye haki zao badala kunyang'anywa nchi yao lasivyo , vita vitaendelea milele kama vile vya Hamasi na Israel