Ukianza kutawadha wasema bismillaah husemi Tena kitu paka baada ya kumaliza ndio useme*ash'hadu anlaa ilaaha ila'llah wa'ashhadu anna muhamadan rasuulullaah
MashaAllah Allah akujazi kheri.. Lakini ni vizuri pia ungesema hii ni kwa mujibu ya madh hab ya imam flani, kwa sababu tunatofautiana pia madhahib mengine tusije kuona wanakosea kumbe ni sawa..
Aa Masha Allah allahubarik Allah atakuhifadhi sheikh wetu twakupenda sana ❤ Natka urecord video ya mtu aliyeshindwa kutumia maji Namna ya ku tayyamam😢 plz
Asante kwa darasa, ila kwenye kutawadha kwenye miguu kuna muksheri kidogo maana inatakiwa uanzie kwenye goti hadi chini ya unyayo na sio kutoka chini mpaka katikati ya mguu
Asante sana kwa maelekezo yako mwema Allah akulipe kila la kher
Taqibir for all Muslim ❤
Hii good 👍 sana mungu aendeleee kuwa weka kwny uhai mtupe madini kma haya
Shukran sana sheikh allah akuhifadhi uzid kutuelimisha kwa vitendo inshaallah kila mmja atanifaka
Hii dini tamu sana ukijua vizuri
Ma sha allah
Shukran sheikh kwa ukumbusho
Allah akulipe duniani na akhera
SHUKRAN mungu akujaze kila la herry
Mungu akuzidishie Inshaallah
asante Sana nduguyangu kwamalezo yako nimejifuza Sana kwako Shukla Allah akuripe
Asante unafundisha vizur na ninaelewa mungu akubaliki
Shukran sheikha Allah akulipe ujira uliokua mwema
Asnte mwenyez mung akuzishie kila laher man mafundisho yako yametuelekeza vzr san ❤❤❤❤❤❤❤
Asante ALLAH akuzidishie❤❤❤
Asante mwenyezi mungu kwakutufikisha mwezi huu lamadann❤❤❤❤❤❤❤❤
Asante kwa mafundisho yako mazr
Masha Allah Allah akulipe kwa elimu hii uliyoitoa ndugu
Ukianza kutawadha wasema bismillaah husemi Tena kitu paka baada ya kumaliza ndio useme*ash'hadu anlaa ilaaha ila'llah wa'ashhadu anna muhamadan rasuulullaah
Basi uyu yy alikua ana fundisha
❤❤❤❤❤❤❤
Thank yo@@samirahemedy3526
Xaw
Ila Binadamu bwanah
Shukurani shehe alaa akuzidishie umuri mrefu
Shehe nashukuru kwa kutoa elim asee napenda sana ulivyotuelekeza waislam wenzako pale tunapokosea
Shukran sana mola akujaalie kheri inshaallah
Shukran Allah atujaalie mwish mwem
Shukran Allah akujalie kila la hery
Allah ukupe neema kubwa za kheri
MASHALLAH SUBANALLAH ALLAH AKBAR ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Asante kwa mafundisho
Maa shaa Allah Allah akulipe kheri
Shuran saana saana umetupa farida kubwa.jazzaka Allah heri
Sheikh mungu akulinde utupe elimu
Asanti hostazi Allah akuzidishie elim nass wte
Allah akulipe kher
Mashaallah ❤❤❤❤❤ shukran Allah akuhifadh
Asante sana mafunzo mema
Husemi chochote katika kila hatua hizo adhkari unazosema katika kila hatua hazikuthubutu kwa mtume swalla'llaahu alayhi wasallam
Unasema darasa ni la kuonyesha naman ya udhu unavyofaa kutiwa naam
Mashallah mungu jazaka alluh kheri
Allah ibarik fik sheikh murad
Shukran ya Rabbi nakuombea heri
Shukuran.mungu.akujaze.kila.lakher
Shukran mungu atakulipa ujira wako
Asant mungu akulipe
Shukrani ostadhi
Waalaykum salam warahmatullah wabarakat
Shukran.May Allah guide us right.
Shuqran for ur education
جزاك الله خيرا يا اخي
Jazaka Allah Heri
Alhamdulillah
Masheikh Nahomba muniunganishe Shule initiate elimu ya dini
Shukran kwa ujumbe
Jazakallahu lkheyr
alah akujaliye nakuongoze
Mashaala allah ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Shukurani ❤❤❤
Walykumu msalam warhatuallah wabarakatuh
Mashaallah 🙏🥰
MashaAllah Allah akujazi kheri..
Lakini ni vizuri pia ungesema hii ni kwa mujibu ya madh hab ya imam flani, kwa sababu tunatofautiana pia madhahib mengine tusije kuona wanakosea kumbe ni sawa..
Unaweza kiniandikia shehe
Aa Masha Allah allahubarik Allah atakuhifadhi sheikh wetu twakupenda sana ❤
Natka urecord video ya mtu aliyeshindwa kutumia maji
Namna ya ku tayyamam😢 plz
Barskah raahu
Allah akulip kher
Masha Allah
Shukran mashallah
Jee vidole puani vip
Mashaallaah watabarakaallah
Shukran
Maashallah
Assalam aleykum warahmatullah wabarakatu shukran
JazakaAllah
Maashallah ❤
Kisha useme*Allaahummaj'alnii minattawwabiin waj'alnii minalmutatwahhiriin waj'alnii min'ibaadika swalihin
BarakaAllahu feek🙏🇬🇧
Shukulan kwaelim 🙏🙏
MashaAllah ❤❤❤
shukran hostaz
Shukuran sana sheikh
Mashallah Jazakallah kheri ❤❤❤
Shukran Yaa akhi
Mashallah🙏🙏
Asalama lekum kaka mm bado sijajuwa kuitamka iyo duwa naomba unisaidie niweze baada yakumaliza kutiya uzu
شكرا و جزاك الله خيرا
أمين وفيكم بارك الله
Shukrani
mashaalah
Mashaalllah
Jazaka Llahu Khair
MashaaAllh
Shukuran mungu akupe herry yake
🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤
Asante kwa darasa, ila kwenye kutawadha kwenye miguu kuna muksheri kidogo maana inatakiwa uanzie kwenye goti hadi chini ya unyayo na sio kutoka chini mpaka katikati ya mguu
Kufikisha Kwa magoti hiyo n Sunnah Sio lazima
Shukurani
Mashallah
Alhumdullih
Ndio nataka kufunzwa vzr ju nahamia dini ya kiislam
❤karibu
Sawa inshalaah karibu
Shukran umetuonyesha jinsi yaku tia udhu lkn hujatuambia wasema nn kwa kila hatua.
husemi chochote zaid ya bismillah wakat unataka kuanza na dua baàda ya kumaliza
M/mung azid kukuzidishiaa
Vp ndugu zangu ukizidisha zaidi ya mara tatu nimakosa
Mimi mgeni naomba kuuliza hii na kwa wanawake pia au
Kamaukimaliza udhu dua hujui inakuaje shehe
jitahid sana uihifadhi akhii
Duah ni sunna 2 ila ni vizur ukisoma kwa maana kama huijui ingekuwa vzr ukatafta elimu juu a hilo ili kuengeza fadhila 🤲🤲
🙏🙏🙏
MashaAllah kwa elmu wallah
Je Ivo ukiwa unatia udh husem mfano nawait Sunday li uzui kweny kiung au vp
We umekosea kwenye mikono
duasasa bwana husemi
Mm najifunza kuta wada sai sijui ku swali