Hivi imekuwaje makamu agombee uenyekiti bila kushauliana kwanza Hawa ni WA Moja lakni sio marafiki na nihatariwakiendelea pamoja sababu kila Moja anatafuta mkia w mwenzie
Mbowe unamaslahi gani na chama ruzuku tu au ni kitu gani tumeanza kuamini kuwa COVID 19 uliitengeneza mwenyewe ili upate ruzuku ndiyo maana unasema CDM ni chama chako binafsi
Mungu atampingania risu atashinda vita hii
Hivi imekuwaje makamu agombee uenyekiti bila kushauliana kwanza Hawa ni WA Moja lakni sio marafiki na nihatariwakiendelea pamoja sababu kila Moja anatafuta mkia w mwenzie
Muheshimiwa mbowe kweli umefukuza maasikofu
Viongozi wa dini wameona mbali kama amekataa kama alivyofanya.basi analo
Simwamini mtu apa sio mbowe wala lissu nibaki mimi mwenyewe namapenzi ya kukipenda chama changu ukiasikilza sana awawatu nishida iinipasuwa kichwa
Ee womi upendo kwanza kwa watumishi