Lissu achukua uamuzi mgumu wa kuanzisha chama chake na kuondoka chadema baada ya mpasuko wa mbowe

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 21 дек 2024

Комментарии • 11

  • @AlpheusCharisma
    @AlpheusCharisma 16 часов назад +1

    Mh Mbowe na Tundu Lissu nyotewawiri hamna sifa zakuongoza chama,
    Kwamtazamo wangu mimi😢
    Kuongoza Nchi ndo kabisa nyie bado.

  • @JoseMala-ld2vd
    @JoseMala-ld2vd 8 часов назад

    Namm LISSu nakubali sana nimkweli sana😊

  • @emanuelidamiani2943
    @emanuelidamiani2943 15 часов назад

    Chadema kuna ubaguzi mno. Tundu njoo ccm huwezikosa nafasi nzuri

  • @SuolFat
    @SuolFat 13 часов назад

    Sisi tunaenda na mwambaaaaaa viva mbowe

  • @benedictmrisho1800
    @benedictmrisho1800 2 часа назад +1

    Watanzania tunatakiwa tuzoee siasa za ushindani badala ya kunga'tuka kinafiki. Google maana halisi ya kung'atuka .

  • @DiwaniMwafongo
    @DiwaniMwafongo 12 часов назад

    Chama chochote, isipokuwa ccm akienda Lisu, namfuata!!!!!

  • @komuhsengo9796
    @komuhsengo9796 12 часов назад

    Maombi yako hayo, hii ni vyema ili kuthibitisha kuwa mbowe hiki chama ni mali yake

  • @rebekakulwa6159
    @rebekakulwa6159 14 часов назад

    Mbona mafisiemu yako. Mtandaoni kwa wingi kweli mti wenye matumda unaponwa

  • @OS-pf6op
    @OS-pf6op 16 часов назад

    Kuna mtu keshachukua bahasha, chama ni kitega uchumi!

  • @bezalelmbijima8182
    @bezalelmbijima8182 15 часов назад

    Usijenge nyumba kwa matofali ya barafu! Ni usemi wa mtu makini sana. Wasiwachonganishe kwa kisa propaganda ya siasa. Propaganda katika siasa lazima ijengwe kwenye facts sio kubwabwaja.

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 16 часов назад

    Lissu aanzishe chama chake na machizi wenzake itafaa saba