LISSU AFUNGUKA KUPIGIWA SIMU NA MTU MKUBWA “WANATAKA KUNITEKA, WAMSINGIZIE MBOWE”

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 7 фев 2025

Комментарии • 235

  • @HalimaKassim-yz3we
    @HalimaKassim-yz3we Месяц назад +17

    Pole baba mwenyezi mungu akulinde na akutunze baba

  • @bonifasimichael1320
    @bonifasimichael1320 Месяц назад +3

    Mungu ajawai kushindwa ktk hili mungu atakutetea lipo jeshi lisilo onekana litakupigania. Biblia inaseka ktk kitabu cha.Yoshua. 2:5:6.Apatskua na mtu yeyote atakae simama mbele yako

  • @remidusmwanandenje-yy5gs
    @remidusmwanandenje-yy5gs Месяц назад +2

    Msema ukweli uyo hupindixhagi ndoo ninacho kupendea💚🇹🇿🤚

  • @MwakaHappy
    @MwakaHappy Месяц назад +3

    Mi nilijua tu tundu lisu na mbowe nia ya hao watu wanayaka kuwauwa mungu mlinde tundu lisu mlinde mbowe asante mungu kila jaribio lishindwe

  • @AbdulMalik-z9v
    @AbdulMalik-z9v Месяц назад +22

    Huyu ngwengwe ni noma xana na hii hazina itunzwe xana namkubali xana❤❤❤❤❤

  • @emmanuelShayo-dk6vf
    @emmanuelShayo-dk6vf Месяц назад +8

    Huyu jamaa akwepesha ni anataja Rais .polisi na usalama wa Mchongo direct speech....❤❤

  • @DarryRwegasila-bo8tc
    @DarryRwegasila-bo8tc Месяц назад +2

    Mungu amsaidie katika harakati zake za kisiasa!

  • @kabwelerywamwatumu5078
    @kabwelerywamwatumu5078 Месяц назад +4

    Siasa bana.nikujitoa muanga. Nikufa nakupona😅😅

  • @CharlesSwadakta
    @CharlesSwadakta Месяц назад +2

    Hujawahi kosea mzee, mungu kakubaliki kinywa chako kuongea ukweli

  • @yaronaWilliam
    @yaronaWilliam Месяц назад +4

    Mungu atakulinda!

  • @maikamadewa931
    @maikamadewa931 Месяц назад +4

    Pole sana tuko pamoja na wewe

  • @YussufRamadhan-d4n
    @YussufRamadhan-d4n Месяц назад +4

    mungu akulinde kaka

  • @AmaniKizinga-ew9mk
    @AmaniKizinga-ew9mk Месяц назад +10

    Mwingine alikunywa konyagi dodoma WAKATI anatoka kwa dem wakamsingizia MAREHEMU wa MUNGU

  • @NYOTAWAMCHONGOTV
    @NYOTAWAMCHONGOTV Месяц назад +2

    Nakubar Wazee wakazi

  • @yusuphrebron22
    @yusuphrebron22 Месяц назад +1

    Wewe mshikaji unazingua sana unapenda sana kuchafua mambo mkuu zungumzia maisha yetu mkuu sio Kila siku natafutwa natafutwa. Mbona upo tu mzee na unapatika. Acha hizo mkuu tupambanie acha kufanya vitu kama unaitaji huluma ya watu
    Mwambie akupe ushaidi Ili wakamatwe.

    • @TessyMalaika
      @TessyMalaika 28 дней назад

      We Yusuphrebron we ndo mtekaji nn

    • @yusuphrebron22
      @yusuphrebron22 27 дней назад

      @TessyMalaika ww ndio umesema sasa siwezi bishana na maneno yako mkuu

  • @Omarimakuka
    @Omarimakuka Месяц назад

    Siasa za kinafiki😊😊😊

  • @MoshiMathias-o6f
    @MoshiMathias-o6f Месяц назад

    Lisu nakuomba na kukuombea kwa Mungu akujarie

  • @majaliwabwitonde6900
    @majaliwabwitonde6900 Месяц назад +23

    Acha kutengeneza movie 😂😂😂

  • @apostelgodwin
    @apostelgodwin Месяц назад +3

    Mwenyezi Mungu anawaona hao watu sio wazuri kila siku kutengenezea watu ajali ..ila siku moja ukwel utakuja kujulikana .ww LISU chukua nafasi ya uenyekiti .. Mboye apumzike na wakimgusa heche tutaandamana maana wanataka kutuzoea sanaaa .. AU UKIONA haueleweki mm ninakushauli mheshimiwa TUNDU LISU TIMKIA CCM CHAMA TAWALA ONGEA VZR NA MAMA ATAKUPATIA NAFAS YA KAZI ...NJOO KWENYE CHAMA CHA AMANI

    • @Rm2024-x3d
      @Rm2024-x3d Месяц назад +1

      Ila asiende CCM akomae hapo hapo ndio kuna kitu chake Mungu alichomuandalia

  • @mangiedward5557
    @mangiedward5557 Месяц назад

    Licha yawao kukuombea mabaya Mungu analipa

  • @manifestationmastermindset6518
    @manifestationmastermindset6518 Месяц назад +2

    Bashar Al-Asad si kaishatolewa

  • @jamesmikoma9082
    @jamesmikoma9082 Месяц назад

    Siasa Iogope Wanachi hapa Tunachezewa Akili sana Lazima Uwe na D mbili ndio uelewe

  • @Bumutz-po2df
    @Bumutz-po2df Месяц назад

    Lisemwalo lipo msipuuze mhe.Lissu💯

  • @majidimussa8678
    @majidimussa8678 Месяц назад +2

    Ndo uzur wa lisu

  • @allymohamed2724
    @allymohamed2724 Месяц назад +2

    MR BN WA TZ.
    SIKU 2 NI NJE YA TANZANIA
    GARI DOGO DAR BUKOBA KM 1400 HIVI KWA MWENDO KM 120 KWA SAA, JIBU NI MASAA MANGAPI HAPO. DAR KIGOMA KM 1250.
    AMMA KWELI SIASA MCHEZO MCHAFU.
    KUNA MAHAKAMA HADI YA DUNIA, FUNGUA KESI, USHAHIDI UNAO WA HAO WAZEE KWA GARI SIKU MBILI.

    • @MoEd-k8w
      @MoEd-k8w Месяц назад +1

      Unatembea barabara ya nani km 120 Kwa saa safari nzima?

  • @jumaigoti7541
    @jumaigoti7541 Месяц назад

    Mungu atakusimamia

  • @paskaziasholla7471
    @paskaziasholla7471 Месяц назад +5

    Safari hii wakikufanyia ubaya mungu atageuza uteka uende kwao

    • @Zaburi-
      @Zaburi- Месяц назад +1

      Mungu/MUNGU sio mungu

    • @paskaziasholla7471
      @paskaziasholla7471 Месяц назад

      @Zaburi- asante MUNGU atageuza uteka kama muhusika ni wewe kaatayali kupokea 😂

  • @issacksaimon-oy5sv
    @issacksaimon-oy5sv Месяц назад

    Huyo mbowe wa Nini bwana atoke tuna taka changa moto mpya

  • @selemansalum-f4p
    @selemansalum-f4p 10 дней назад

    Kwer wamezoe ukatir

  • @richarddavidmk
    @richarddavidmk Месяц назад +2

    Lisu alindwe

  • @MartinLaban
    @MartinLaban Месяц назад +3

    Kama hutamtaja wewe utakuwa unapoteza point Kwa wanainchi😂😂

  • @evodiusantony2115
    @evodiusantony2115 Месяц назад

    Lissu ndojasili zaidi Peter nchii

  • @PeterJonathan-c8k
    @PeterJonathan-c8k Месяц назад

    MUNGU atete na wote wanaoteta na Lisu

  • @LuganoJimmy
    @LuganoJimmy Месяц назад +1

    Daudi alikumbuka Mungu alivyomuokoa na makucha ya simba na dubu, hata wewe mh Lissu Mungu aliyekuokoa na lisasi zilizomiminwa juu yako tar 7/9/2017 atakuokoa na mashetani yatakayoinua mkono wa mauti juu yako ktk jina la Yesu kristo lipitalo kila jina.('Amina)

  • @MaulidHimidi
    @MaulidHimidi Месяц назад +2

    Nyinyi ni watu wa siasa za kutengeneza matukio alafu mnasingizia viongozi wa serekali lakini watanzania tushakufahamuni hamtupi shida

    • @praygodmunisi8999
      @praygodmunisi8999 Месяц назад

      Watanzania nanani?? Labda wewe na chawa Wenzako😅😅 Jinga kabisa nyie Watekaji, kutumia AKILI hamuwezi, 😅

  • @Bilioneabichwa331
    @Bilioneabichwa331 Месяц назад

    Mwamini Yesu, Yesu ni Mungu

  • @anointedking6960
    @anointedking6960 Месяц назад

    Huyu jamaa kwa propaganda humfikii😅😅😅😅

  • @albertbunyinyiga7581
    @albertbunyinyiga7581 Месяц назад

    Hiyo aliyekwambia ndio shaidi namba 1

  • @ShukuMshando-uc4qf
    @ShukuMshando-uc4qf Месяц назад

    Tuliosoma cuba ....nimekuelewa ...umelenga nini....na tumejuwa jina mbowe linapojirudia rudia ....😮😮😮😮😮

  • @dorothmsuya1686
    @dorothmsuya1686 Месяц назад +2

    Ameanza kukimbia kivuli chake!😂😂😂😂

  • @SaniaIdrisa
    @SaniaIdrisa Месяц назад +16

    😳Hii ni raisi mbona polisi msihangaike Sana kamata Lissu Lissu ataje huyo mtu huyo mtu ataje wanaopanga njama hizo hapo ndo tutajua watekaji ni akina nani

  • @habilkikaya1796
    @habilkikaya1796 Месяц назад +3

    Mimi kama jirani nina swali mbona mtese uyu kiongozi anawasumbua sana kwani tz serekali yote amna wasomi nini mnataka afande sele alikwisha sama mnachezea amani sawa

  • @benjo_brighter
    @benjo_brighter Месяц назад +13

    Kama sio mtu wa siasa,ni mzee gani tena huyo 🤔
    Au mzee Mpili🙃🤭

  • @NeemaJuma-xn9nw
    @NeemaJuma-xn9nw Месяц назад +9

    Mmmmh lakini upinzani mwakani hamna jipya aisee😂😂😂😂😂

    • @rumdeesonsoa1811
      @rumdeesonsoa1811 Месяц назад +1

      Kwahyo watekaji ndio wana jipya?

    • @mamboshepea8888
      @mamboshepea8888 Месяц назад

      Kwa hiyo mtekaji anakupigia simu kuja kukuteka...acha kiki wewe!!!

    • @ramadhanchenga4606
      @ramadhanchenga4606 Месяц назад

      Ww unaona mandarin, mbuga,mistu ni kawaida tu wapinzani hawana jipya

  • @machintangachibwena5922
    @machintangachibwena5922 Месяц назад

    Bonge mwezio wa Chadema Amekuchana sasa hivi unaaza kuyumbisha watu kwa kiki ya kutekwa😂😂😂😂

  • @SaidMlemeta
    @SaidMlemeta Месяц назад

    Mbowe achie ngazii tumemchoka

  • @zabubamudy126
    @zabubamudy126 Месяц назад +2

    huyu anajua chadema wenzao hawamtaki

  • @EmanuelSimpemba-f3o
    @EmanuelSimpemba-f3o Месяц назад

    Nani amrinde amekuwa rais huyo polis waache kulinda raia wamrinde lisu

  • @LAZAROBOMANI-ex6bj
    @LAZAROBOMANI-ex6bj Месяц назад +1

    Safi sana

  • @gloriamichael7935
    @gloriamichael7935 Месяц назад

    Mhuuu 😂

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 Месяц назад +7

    Hallucinations,na paranoia.Hakuna kitu kama hicho ni ukichaa kichwani psychotic😢😢.Uongo anaota tu

  • @hashimlowela294
    @hashimlowela294 Месяц назад

    Yan lisu hanaga story zingine zaidi yakuongelea kutekwa😂😂

  • @selemansalum-f4p
    @selemansalum-f4p 10 дней назад

    Ivi ccm mkikosorewa mnachukia

  • @primusherman1579
    @primusherman1579 Месяц назад +2

    Wakili nguli anashindwa nini kufungua kesi ya kutishiwa maisha yake, badala yake anapiga yowe tu???

    • @Lake_zone
      @Lake_zone Месяц назад

      Huyu ni tapeli na ashajulikana msaliti anatumiwa na wenye madaraka sasa hataki kuonekana hvyo ndyo maana anatupaka ushuzi

  • @mwalitv4555
    @mwalitv4555 Месяц назад

    imetengenezwa hiii...

  • @JoalAlma-ci1hi
    @JoalAlma-ci1hi Месяц назад +1

    Atakuwa mzee mpili

  • @mhandokabanga8366
    @mhandokabanga8366 Месяц назад

    Jeshi la police lisichukulie powa, aitwe tundu lisu aeleze huyo mtu ni nani aliyemfikishia taarifa hizo,
    Binafsi naona janja janja ya huyu jamaa,

  • @jamesmikoma9082
    @jamesmikoma9082 Месяц назад

    Maneno ya kuambia Mzee Sio poa huenda Wamekwambia Ili useme ili wapate point Fulani Maneno ya kuambia Unakua Makini tu kimya kimya Siasa ni Mchezo Mchafu

  • @Stavanger-cr3ee
    @Stavanger-cr3ee Месяц назад +2

    TUNDU LISSU ni WILLY PAUL wa Tanzania. Kichekesho 🎅

  • @selemanmcharazo
    @selemanmcharazo Месяц назад +2

    Nanyi mnaosikiliza mnatumia akili kuelewa ? hao wenyewe Kwa wenyewe muongo anajistukia ,acha kujihami muongoooooooooooooooooo

  • @RestitutaNjau-k8x
    @RestitutaNjau-k8x Месяц назад +1

    Jamani Lissu hanaga siri

    • @greydonalds4286
      @greydonalds4286 Месяц назад

      Huyu jamaa siasa yake huwa ni ya kutafuta huruma tu ya wananchi. Hajawahi kuwa na sera constructive, yeye huwa anatengeneza tu scripts za movie ili watu wamwonee huruma.

  • @happykimaya6631
    @happykimaya6631 Месяц назад +7

    Una uhakika upi wa hayo uliyo elezwa?

  • @lingwamalagila3003
    @lingwamalagila3003 Месяц назад +2

    Yani siku zote unatafuta kiki

  • @molenicharles9107
    @molenicharles9107 Месяц назад +2

    Tayari Kesha jificha nyuma ya pazia...huyu siyo mwanasiasa ni mchochezi .

  • @evaristjames9845
    @evaristjames9845 Месяц назад +1

    Siasa za uongo tu hizo

  • @zaidasalumualute6437
    @zaidasalumualute6437 Месяц назад

    Bwana ndie mchungajiwako hutapungukiwa nakitu,waliokukosa mwanzo naleo watakukosa.mchawi ukishamjua hawezitena

  • @daudiayubu4464
    @daudiayubu4464 Месяц назад +2

    Achakuongea mambo ya kutunga wewe unajistukia bure wala huna lolote nani anashida ya kukuua wewe kwenda zako huko uwoga tu umekujaaa

  • @ameirzapy1318
    @ameirzapy1318 Месяц назад

    Itabidi tuanze kumshika lisu ili asaidie polisi 😂,, au anafuga majambazi

  • @ZabronSamwel
    @ZabronSamwel Месяц назад

    Mbona mbowe haachii uenyekiti,vita Ni mbowe na lisu ccm haihusiki

  • @gracemairusya2950
    @gracemairusya2950 Месяц назад +1

    Trump kakoswakoswa sembuse ww ongea mamboyenu ya chama unatuchanganya

  • @JosephAgustino-f9z
    @JosephAgustino-f9z Месяц назад

    We unawamini mabalozi wa nje zingine huamini jeshi la police la nchi yako mzee wangu

  • @MohadiTv
    @MohadiTv Месяц назад

    Uyo k itakuwa

  • @stn4873
    @stn4873 Месяц назад +2

    LISSU MTU MBAAAAD

  • @AshrafuJonny-sz4gs
    @AshrafuJonny-sz4gs Месяц назад

    Watashindwa mbwa hao

    • @Rm2024-x3d
      @Rm2024-x3d Месяц назад

      Amen washashindwa hapo

  • @KamiliKapeta-yr3uc
    @KamiliKapeta-yr3uc Месяц назад

    Siunaela za mashoga wenzanko watakupa ela ongeza

  • @hapaupdates9277
    @hapaupdates9277 Месяц назад +1

    KILA UNAPOSEMA UNACHO SIKIA UTAKUWA MWONGO

  • @kazkaz1943
    @kazkaz1943 Месяц назад

    😅why lisu unasema mbowe ndo amefanya ni kama unatushtakia mfano mimi nilikua sifahamu kama mbowe aliambiwa kajaribu kukuua😅😅😅 unatupa taarifa kijanja

  • @yohananyamaruri9105
    @yohananyamaruri9105 Месяц назад +10

    Hiyo ni mbinu ya kivita tu ya Mbowe, na huyo Mbowe ndo amemtuma huyo mtu na anajidak kwamba sio yeye😅😅😅 Ni Mboweeee huyoooo acha ujinga wewe ni mwanasheria ila fikiria

    • @MultiBice
      @MultiBice Месяц назад

      Asante 😂

    • @KakuruMlale-d9s
      @KakuruMlale-d9s Месяц назад

      Uko sahihi huyu hajielevi

    • @Hanceytiger
      @Hanceytiger Месяц назад

      Kwaiyo wewe unaakili kuliko lisu acha usenge wewe😅😅😅😅😅

    • @yohananyamaruri9105
      @yohananyamaruri9105 Месяц назад

      Aisee, sio kwamba Lisu ndo ana akili kuliko watu wote, ila ana akili kuliko wewe tuu😄😄😄 kwahiyo kama unadhani hivyo polee, ni sawa na wanaoamini ukimkosoa mzungu ety unakosea kwasababu Wana akili kuliko sisi, ujinga huo, mm Nina akili kuliko Lisu ndioo😃😃

  • @maliganyakanuda
    @maliganyakanuda Месяц назад +1

    Piga kazi mwamba

  • @mathayomwashambwa1238
    @mathayomwashambwa1238 Месяц назад

    Madaraka sio Madaraka Nyerere, bali madaraka ya ugali, cheo, biashara ndo uue mtu, ni ujinga wa kipepo...haya ulimwengu huu

  • @sumbaonline4002
    @sumbaonline4002 Месяц назад +3

    Huyo huyo mzee ungedili naye akuambie anayetaka kukuumiza

  • @DavidJohn-i2d
    @DavidJohn-i2d Месяц назад +1

    Mimi simkubali Lissu kuwa Mwenyekiti, lakini hili huenda likawa na ukweli. Kwani aliwahi kusema hivi hivi kabla ya kupigwa risasi, watu wakawa wanadharau lakini baadaye akapigwa kweli.

  • @JonathanJohn-q4z
    @JonathanJohn-q4z Месяц назад

    Sinema iziiii

  • @CharlesSwadakta
    @CharlesSwadakta Месяц назад

    Hujawahi kosea mzee maneno yako, mkuu

  • @MathaMsumi-l1b
    @MathaMsumi-l1b Месяц назад +1

    Akishikwa achapwa vimbo vizuli atatuambia hayo maneno kayatoa wap Nan amuze kilema saiz 😂😂😂

  • @albanoammuly4242
    @albanoammuly4242 Месяц назад

    Acha kupenda sifa ww fanya siasa kwa Hoja za Mashiko sio Kila siku kujilalamisha tu, kwa mtindo huuu hata ugombee Mara 10 huwezi pata Uraisi

  • @ibrahimusagondo5228
    @ibrahimusagondo5228 Месяц назад

    Jamaa liongo hili, kwani wewe nani

  • @mwalitv4555
    @mwalitv4555 Месяц назад

    Mbinu ya kivita hiii kwa tunaojua siasa...

  • @Nepasaka
    @Nepasaka Месяц назад +1

    ❤❤❤❤❤❤❤

  • @BakariAthumani-vs8lk
    @BakariAthumani-vs8lk Месяц назад +1

    Mzee kwanini usije huku kwenye chota ule

  • @josiacharles2778
    @josiacharles2778 Месяц назад

    Uyo labda ni mzee wariyoba make uyo pekee ndo amebaki mkweli kwenye nchi hii.

  • @geoffthom4988
    @geoffthom4988 28 дней назад

    Mambo

  • @dorcaskarago2876
    @dorcaskarago2876 Месяц назад +10

    Wewe kalialia acha uongo

  • @rithadonatus8110
    @rithadonatus8110 Месяц назад +4

    Akuteke nani wewe unatuchosha😂😂😂😂

    • @rumdeesonsoa1811
      @rumdeesonsoa1811 Месяц назад

      Ndugu zako ni watekaji. Waambie waache kuteka watu

  • @AmaniKizinga-ew9mk
    @AmaniKizinga-ew9mk Месяц назад +2

    Acha UONGO hamna Sera HAPO,,unajinadi kwa matukio hamna sera tena kwa wananchi mtakampeni nini,,hizo sasa ndo zimekuwa kampeni.

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ Месяц назад +1

    😂😂😂😂😂 Kasha Anza mauza uza 😂😂😂 fanya Siasa ndugu acha drama

  • @WemaCharles-f2w
    @WemaCharles-f2w Месяц назад

    Huyu wanasheria kashapotea we kila cku ni kulalamika tu

  • @ibrahimjuma9709
    @ibrahimjuma9709 Месяц назад +1

    Mipango yote ni uongo fungua kesi mahakamani serekali ichukuea atua juu ya hizo kauli zako kwani niatalishi kwa taifa na chonganishi kw raia

  • @IddMsongo
    @IddMsongo Месяц назад +1

    Dalili za kufeli

  • @zabubamudy126
    @zabubamudy126 Месяц назад +1

    mhh wacha zako