I support your words for 100%,ni muda sasa wa kuonyesha democracy ndani ya chama kwanza then ndo mpiganie kitaifa,CCM ni strong part coz democracy ndani ya chama ipo ya kutosha
Kwani Mbowe hataondoka ? Mtazamo usio wa kidemokrasia au wenye chuki au wenye kulenga sera za kuigwaya CHADEMA. Maana kifo cha CUF kilianza hivihivi ..
Wanaouvuruga Chadema juu ya jambo hili ni wapambe na SI hawa wahusika.Inakuwaje katiba inaruhusu yoyote kugombea halafu yatoke mashinikizo ya kutokugombea. Walianza waliomkataa Lisu,Sasa ni wanaomkataa Mbiwe.Hawa naamini ndio wavurugaji.Mpira uanjani mshindi ajulikane maisha yaendelee.
Chama ni cha wachaga, chama ni cha Mbowe binafsi. Sioni akiacha kugombea. Mimi ni CCM, Natamani Chadema kife kabisa, kinatumika na wazungu asilimia 100.
Kawa mwenyekiti miaka 21, Sawa na uwenyekiti wa hayati Julius kambarage nyerere katika urais wake wa miaka 23 hiyo hakika ni kiongozi mwenye ushawishi na ukomavu mkubwa ana faa kuoewa maua yake na heshima kubwa sana, na kila kiongozi ni matunda ya mzee wetu mbowe hakika mzee mbowe ni mlezi wa chama atabakia kuwa mlezi mkuu wa chamaa. Tujiulize kwanini Mzee mbowe achukue fomu ? Je hajatosheka na miaka hiyo 21 aliyo kaa kwenye kiti ? Na kwanini wengine wanamtaka asiwe kwenye kinyang'anyiro ? Kwa sababu asipo kuwepo itawafanya watanzani kufatilia zaidi siasa mpaya za mwenyekiti ajeye mpya je naye atawezaje kushilikiana na wanachadema kujenga chama..
acheni kumtisha mbowe!! mbowe atagombea na atsshinda!! Mbona hamsemi lipumba amekuwa mwenyekiti kwa miaka zaidi ya 30? Mbowe bado ana nguvu na ataendelea kuiongoza chadema!! kwanini mamtisha eti asichukuwe form?wakati katiba yenu haina ukoma? hizo ni chuki zenu tu? Acheni sanduku la kura liamue!!
Mwenyekiti anachaguliwa na nyie wenyewe,,hateuliwi...mwacheni mbowe agombee na msimpe Kura,kumkataa asigombeee ni kumyima haki yake kama mwanachama wenu,,kama katiba inaruhusu mtu kugombea bila kikomo.
Lisu hana maana Unachafua nyumba unayotaka kwenda kuishi humo Huyu ni kama mwanamke asiyejua kutunza siri za nyumba yake Anaongea hovyohovyo tu Kama ni kukununua basi wewe sasa hiv ni bilionea kwa dau walillokupa. Ee MUNGU IBARIKI CHADEMA MUNGU IBARIKI CHADEMA
Chadema imepoteza mvuto
I support your words for 100%,ni muda sasa wa kuonyesha democracy ndani ya chama kwanza then ndo mpiganie kitaifa,CCM ni strong part coz democracy ndani ya chama ipo ya kutosha
Mimi ni CDM nawaambia kweli Lisu akiwa Mwenyekiti chama kinakufaaaa
Na siku mbowe akifa, na chama kitakufa kwahiy
Kwani Mbowe hataondoka ? Mtazamo usio wa kidemokrasia au wenye chuki au wenye kulenga sera za kuigwaya CHADEMA. Maana kifo cha CUF kilianza hivihivi ..
Nyumbu kabisa
Kama hamumtaki mbowe mumkatae kwenye kura sio ushindi wa mezani
Chadema chama cha Wachaga tuu nibora life kabisa hilolichama tumelichoka
Maneno ya mpumbavu na mjinga
Mbowe ana maslahi na ccm.
Wanaouvuruga Chadema juu ya jambo hili ni wapambe na SI hawa wahusika.Inakuwaje katiba inaruhusu yoyote kugombea halafu yatoke mashinikizo ya kutokugombea.
Walianza waliomkataa Lisu,Sasa ni wanaomkataa Mbiwe.Hawa naamini ndio wavurugaji.Mpira uanjani mshindi ajulikane maisha yaendelee.
Hakuna aliyeshindikizwa huyu ana maneno sana
Angeenda kuchkua fomu bila maneno wakakutana kwenye kkura
Shida lisu maneno sana
Wachaga saafari hiiii kibooo😂
MBOWE na LISU, mkiisabaratisha CHADEMA, Mungu hawezi KUWASAMEHE.
Mungu gani huyo hasamehi dhambi tena ishu ya siasa😅
DEMOKRASIA SIYO KUMKATAZA MMOJA ASICHUKUE FOMU HUKU MWINGINE MNAMRUHUSU.
WACHA WOTE WANAOTAKA KUGOMBEA WAGOMBEE.
KURA IKAAMUE.
Nani alimkataza
Uroho wa madaraka hauna kwao
MABOMU YA UHAKIKA HAYOOO😂😂😂😂
KULIKUWA NA CHAMA CHA CAF KILITIKISA SANA NCHI 😂😂😂 KIKAPOTEA KWA SABABU YA TAMAA ZA MADARAKA NA MISOSI😂😂😂 HII CHADEMA UOZO MTUPU😂😂😂
Chairman for life is not going to step down meku part 😅😅😅😅
Point
Chama ni cha wachaga, chama ni cha Mbowe binafsi. Sioni akiacha kugombea. Mimi ni CCM, Natamani Chadema kife kabisa, kinatumika na wazungu asilimia 100.
Upumbavu utakuua
@ , Chadema mna unga mkono ushoga
@@kazungumwango2965 , kumbe nyie ndio wauwaji mna wasingizia CCM!!?
Kawa mwenyekiti miaka 21,
Sawa na uwenyekiti wa hayati Julius kambarage nyerere katika urais wake wa miaka 23 hiyo hakika ni kiongozi mwenye ushawishi na ukomavu mkubwa ana faa kuoewa maua yake na heshima kubwa sana, na kila kiongozi ni matunda ya mzee wetu mbowe hakika mzee mbowe ni mlezi wa chama atabakia kuwa mlezi mkuu wa chamaa.
Tujiulize kwanini Mzee mbowe achukue fomu ? Je hajatosheka na miaka hiyo 21 aliyo kaa kwenye kiti ?
Na kwanini wengine wanamtaka asiwe kwenye kinyang'anyiro ? Kwa sababu asipo kuwepo itawafanya watanzani kufatilia zaidi siasa mpaya za mwenyekiti ajeye mpya je naye atawezaje kushilikiana na wanachadema kujenga chama..
Mbowe ang,atuke,chama mnakiua,kila kiongozi awe na ukomo
acheni kumtisha mbowe!!
mbowe atagombea na atsshinda!!
Mbona hamsemi lipumba amekuwa mwenyekiti kwa miaka zaidi ya 30?
Mbowe bado ana nguvu na ataendelea kuiongoza chadema!!
kwanini mamtisha eti asichukuwe form?wakati katiba yenu haina ukoma?
hizo ni chuki zenu tu?
Acheni sanduku la kura liamue!!
Acheni kampaini mbaya ,hiyo siyo demokrasia😢😢
Nanyie wenyeviti wa mikoa kuweni majasiri,,tupeni lissu,,tukaondoe siasa za maridhiano,,tunaumizwa sana yeye ni busara tu,,
Broo umeongea sawaswa point sawasaw
Sawa kabisa kwa sababu mbowe atamlegezea sana mpinzani wake ila lisu patachimbika .. direct speech
Kbs tunamshauri aache miaka mingi apumzike
Mbowe awe na busara aachie ngazi
Bado patachangamka zaidi
Boramgombane wenyewe stusongembele kwa mbele
Kama anachaguliwa kwa Kura zenu mana yake ni Bora kuliko wagombea wengine kwa hiyoo miaka yote
Mbowe analinda maslahi ya ccm.😅😅. Mtanielewa baadaye.
Upo sahihi unaongea fact kisomi kabisa
😂😂😂Madaraka
Hyo
Ameshakifanya huo muda wa masaa 48 ni muda wa kutafakari na kuusikia upande wa 2 kupambanisha na kusoma upepo na kutoa uamuzi !
Akina mao Zedong,wameongoza mda mrefuu na mafanikioo yapoo
Atupishe aingie lisu
Mbowe tumia busara ng'atuka tundu afanye kaz
Mi nilishasema hii nchi hatuna chama pinzani imara,..wengi ni vibaraka..CCM itadumu milele madarakani
Chadema ife tu maana wazungu wanainyemelea nchi yetu kupitia chadema
😅
Aache uroho wa madaraka anakiua chama
Kwanini asigombee
Kwanini wasipige kura??si ndio Democracy yenyew au?
Mwenyekiti anachaguliwa na nyie wenyewe,,hateuliwi...mwacheni mbowe agombee na msimpe Kura,kumkataa asigombeee ni kumyima haki yake kama mwanachama wenu,,kama katiba inaruhusu mtu kugombea bila kikomo.
Na nyie msiwatukane CCM
Lisu hana maana
Unachafua nyumba unayotaka kwenda kuishi humo
Huyu ni kama mwanamke asiyejua kutunza siri za nyumba yake
Anaongea hovyohovyo tu
Kama ni kukununua basi wewe sasa hiv ni bilionea kwa dau walillokupa.
Ee MUNGU IBARIKI CHADEMA
MUNGU IBARIKI CHADEMA
am the first😂🎉