Waswahili walisema akili ni nywele ila hawakufafanua ni za sehemu kwa mwili 😂😂😂kipara hapa umeweza❤❤❤❤❤ sehemu ya tatu inje haraka juu imetukamba koo hatuezi nyamazia
Kwawasanii wakike wote kutoka gang zote nampa tuzo SANDRA, nilianza kumuona akiwa na Jumajicho tangia pale sijawahi kumuona kafeli. KWA WANAUME nawapa tuzo #BUTUA, #CHIBU & #KIPARA hawa watu wanavipaji asilia sio vyakulazimisha.
Huyo demu wa kipara ndio Boss wa madawa ya kulevya huyo askari mpelelezi katumia njia hiyo ya kujifanya chizi kupata ukaribu kuwafuatilia Who am i Nimeguess tu sina majibu kamili utabiri tu tuendelee na movie huenda ikawa hvo Huenda
Kama unamukubari Sandra 🎉 twende na like jamani 🎉
Aisee nakubali sana
Kama ww unamkubali sidhani kama unanifikia tuyizele
Nakupenda
😊😊😊
Kipara ongeza kuwa serous hiyi story nzuri sana❤
Kipara mwanangu nakukubali sana bro 🇰🇪🇰🇪tunakukubali
Wa kwanza kutoka Congo goma nipe like zangu asheni ushoyo🇨🇩🇨🇩🇨🇩 kipara
Kipara episode 3 ikuche haraka tuasubiria kazi nzuri sanaaaa 🎉🎉
Kazi mzuri sana ❤
Watching live from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Story yako nzur san kipara wana man umetisha how you my friend
Bom trabalho..! Assistindo de Moçambique ( Mozambique)🇲🇿
Kipala hii kaz nzury sana imalize vizuli
Ila sandra umeuwa🎉🎉🎉
Hongera kipa kazi nzuri pongezi nyingi kwenu ila ni nini maana ya WHO I M I
Mimi ni nani?
@@wilsonfbipolice911 🙏🙏🙏🙏
@@user-uw6gg4de9x uwe na Amani ndani yako
Mimi ni nani
@@KIPARABRAND sawa kipara ukija Arusha nitafute kaka uje Kwa morombo ule nyama ya mbuz
Like kwajili ya kipara tafadhalini naomba kbx
😢ivi hata mtaani kipala unatembe wewe staaa unavotembea na huyo mama aisee nimecheka :::tembea kistar🎉
Leo mapema mie wa kumi na tatu Sina shido🤣🤣🤣👍 kipara ongera sana dear upo vizur mno
Good work Mr kipara mungu akuongezee kipaj inshallah
Kipara kauwa ❤❤❤❤🎉
Ila hii movie ninzur jaman mwanzo tu ni💥💥👌👌👌👌
WA Kwanza kutoka 🇰🇪🇰🇪 hata like jameni
Mtoto wa kiume likes za nini kaza
Jamani pia nawe waomba like mkenya mwenzangu tuiache hio
@@WILLY_SKY1e hehehe akaze sio atashonwa🤣🤣🤣
@@sharifamohd3857 😂😂😂
nampenda sana bi migomba sababu yupo sirias sana na kaziyake🎉
Wa Kwanza Leo from Doha Qatar
Sandra ni noma sana yaan acha tu🌹🌹🌹🌹🌹💐
Wa mwisho🎉🎉🎉❤❤❤
Kazi nzuri Sandra big up sana 🎉
Kipara nimefurahiswa sana kumbe siyo umbea2,big love bro
Pungusha pombe kidogo 🎉🎉
😂😂Butua Butua Omaiii ❤❤
Itapendezazaidi. Nawepia ujekua mupererezi🎉🎉
😮😮😮😢kipaya mchukue huyo dada chiz ni noma sana
Kapara tunakukubali sana kutoka kenya🎉🎉 unajua jamen
Mkemia apa from Tanga Tanzania Kipara kaz nzuri man tuko pamoja mwanzo mwisho
Mimi ndo wapil
#CHAUPELE KUMBE #NA WEWE #UPOOOOOO😂😂🎉🎉
Sandra Iron lady 🎉🎉 big love from Kenya
Cjui nimemzoea sana mwasi, hiv jaman Sandra ni Mwasi au
Safi sana kipara kazi nzuri💯
Waswahili walisema akili ni nywele ila hawakufafanua ni za sehemu kwa mwili 😂😂😂kipara hapa umeweza❤❤❤❤❤ sehemu ya tatu inje haraka juu imetukamba koo hatuezi nyamazia
Za makwapa I'm think halimaanisha hvyo 😂😂😂
Kipara man oo, mchawi wa Gen Z, mchawi msomi anayejuwa kizungu. Kazi nzuri unafanya kaka, hapa kenya tunakupenda. "Who am i"
Bonge moja la movie boss umetisha🎉🎉
Kipara,Mr unfair😂😂😂...twaelekea wapi na hi who am i? Lets wait and see😊
L like this with full of creativity
Big up Sandra🔥🔥🔥🔥🔥
Yes butua huyu hapa asee hapa move imekamilika ooh my😂😂😂
Mmmmmh apo kwa da Sandra sas mm kashaninunuwa mda nampenda san ❤❤❤❤❤
Kipara wana man Kizi nzuri, tunaburudika❤❤😂😂
Wa 7 leo❤❤❤❤
Uyo dada kavaa mzula mzuri
Bibi mgomba ananyuma yaupango 😁😁😁😁🇧🇮
Kipara naicho kiengereza ety everyting ana mashizi usoni 😂😂😂😂😂
Kali sana ❤❤🇧🇮🇧🇮
😂😂😂😂😂 mm kingereza cha kipara t yan hoi🙌🏻
Waoooooo kipara 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉yako
Kwawasanii wakike wote kutoka gang zote nampa tuzo SANDRA, nilianza kumuona akiwa na Jumajicho tangia pale sijawahi kumuona kafeli. KWA WANAUME nawapa tuzo #BUTUA, #CHIBU & #KIPARA hawa watu wanavipaji asilia sio vyakulazimisha.
Watoto wa elfu mbili mapema wameshawai ku'watch the show
who m'l... manake...mimi ninani?????kazi mzur sana amazing
Mmetisha kinyama
Sadra jmn😂😂😂 Next episode jmn isichelew,Oro ov oro much love from 🇰🇪🇰🇪😅😅😅😅
Huyo demu wa kipara ndio Boss wa madawa ya kulevya huyo askari mpelelezi katumia njia hiyo ya kujifanya chizi kupata ukaribu kuwafuatilia
Who am i
Nimeguess tu sina majibu kamili utabiri tu tuendelee na movie huenda ikawa hvo
Huenda
Sandra chizi kwely EP 3
Sandra Unamtesa Sana Kiparaa Siumwambie Weni Nani
Kipara 😂😂😂, much love from Kenya
Kazi nzuri🎉
Kali🎉
Kazi nzur kipala tuko pamoja
😂😂😂mwanaume anastuliwa kwa ngumi,then mbio ndefu
Kila ever time na Mimi na marafiki machizi no congratulations 😂😂😂😂😂
😂😂😂
Nice job ❤❤❤
Mie bora nitizame sinema basii sitaki likes
Kwa kweli wabongo na kizungu mbingu na ardhi
Very much San 🎉🎉🎉
Kipara unanikosha walah ❤
😁😁😁😁😁🤣kipara umeolewa aibu
Hujaachaga uongo wako😂😂😂😂
Kipara namkubali😅😅
Nakukubal sandra
Brand ya Amiri mzura umetsha
Nimeipenda😍
Hii kazi ni nzuri sana
Nimemuelewa chizi sandra
Hizi sigara kuwapa madem wavute zina mafunzo gani 😂😂😂😂
Lete vituu kiparaaa
Wanaman...kaz kizazi...
Next ❤❤❤❤❤❤❤
Butua umetisha omayiii
Kipara namkubali sana
Hii story safi kweli ila Sandra umeweza team kipara wa wana man 😂😂
kipara story hii umetulia umenikosha ngoja tuone mbele
Hii KALI SANA❤❤❤
Ooh my😂😂❤
kipara jaiva
Am not fair my dear 😂😂kipara
Story mzur xana
Sandra mmh umejua mamaa
Sandra noma😂😂😂😂
Kumtishia mtu ngumi tu na kutoa mbio.
Any everytime every saa😂😂😂
I'm sorry... I'm sorry, I'm so sorry..! 😂😂😂
Good watch
Kipara unatukosea sn unachelewa kutoa mzigo
#mamume710 kwani umetaka azifatanishe afu aingize nini ?
Nimeipenda bure
Mbona kama kali kuliko snake boy