Hakuna serikali ya awamu ya 6,kuna rais wa 6 ktk awamu ya 5,kinachoweka awamu ni uchaguzi mkuu na ilani za vyama! Sasa hakuna uchaguzi wala ilani mpya, inakuwaje ya awamu ya 6 ?
Mimi kila nikiangalia nchi hii inavyokwenda naona giza, yani unalazimisha makofi wakati watu wanalia na familia zao? hv nyinyi mnatuona sisi mazuzu sana, ujue tunawaangalia tu, pia msisahau kua sisi tunaakili tunaona na kuelewa, dunia imechange kila mtu ana afya ya ubongo watanzania wa leo sio wa miaka ya nyuma
Viongozi wa sasa wanapenda sifa na makofi mengi. Viongozi ni kumusifu tu Rais huku Watanzania wanateseka kwa mambo yanayojitokeza. Changamoto hazijaisha. Wananchi wanapata taabu sana
Eti 'Na nyie pigeni makofi' na yenyewe yanapiga kama mazuzu! Lol! Hivi taarifa ya kuungua kwa soko la Kariakoo si ilitoka au? Imesema nini kilisababisha ule Moto? Au ndo kuunda tume kila tukio wana piga hela na taarifa haiwekwi hadharani
Sio kweli nyie mnachuki na wa machinga kwanza sijui a nafanya nini bdo kwenye hichi cheo hafai kabisaaa huyu kariakoo mbona hakuna majibu mwenge nako mpumbavu kweli yani mnatia hasira coes mna kuwa na propaganda nyingi
Siku watanzania wakiamuka mutakuja kujuta munaleta siasa kwenye maishayawatu
Kuna Mama alikuwa analia anasema serikali ndio imechoma... Sijui Ni kwelii Mmmh haya.
Maisha yaendelee baada ya kuumizwa!!!!!!
Mungu tusaidie watu wako wewe ndie uwezae🙏
Naliona giza katika nchi yetu
Nyie viongozi mnakalia porojo mnadhani watu ni wapumbavu kama mnavo dhani.watu wamewachoka.
Hakuna serikali ya awamu ya 6,kuna rais wa 6 ktk awamu ya 5,kinachoweka awamu ni uchaguzi mkuu na ilani za vyama! Sasa hakuna uchaguzi wala ilani mpya, inakuwaje ya awamu ya 6 ?
Nyerere aliingia madarakani kwa uchaguzi?
@@itwaaky75 Mi nashangaa shida iko wapi au Kuna Nini hasa kinacjowaimiza watu kwa awamu hii kwani katiba inasemaje?
Iwe ya awamu ya 6 au 5, watajua wenyewe, Tunataka MAENDELEO tu.
Mnafanya siasa kwenye maisha ya watu
Yani hili nifisadi kuanzia sura mpka mwili jambazi jambazi Mishavu Ile utafikili kabugugia watoto wa paka😏😏
wee dada 😁msamehe babu wa watu ...
Punguza chuki
@@itwaaky75 😎😎
@@AzainTv yani huyu yupo kimasalahi kabsa, hata akiambiwa kamtoe Mtu roho Anaweza sura I naongea
Jamani niwaombeni tu viongozi wetu wa ngazi zajuu mkiona wananchi wamemkataa kiongozi jimboni msiwabebe jueni ana mapungufu tu
Karume ya kwao wakati watu wanateseka!! Wameomba wajenge wenyewe mmekataa! Huyo uchunguzi ni wa makubaliano na muwekezaji!!! Acha inyeshe !!!!!!
Sasa kama mnawahurumia hao watu why mliwapelekea police wawapige mabom na sio kuongea nao kistaarabu km mbavyoongea hapo
Waliziba barabara, ilibidi watawanywe
Wabongo bwn🙌
Katika Wakuu wa mkowa wenye nuski Huyu namba moja maana tangu aingie yeye kwenye mkowa huu imekuwa Shida sana
Kweli kabisa jamaa ananuksi tupu yani 😏😏😏
Mimi kila nikiangalia nchi hii inavyokwenda naona giza, yani unalazimisha makofi wakati watu wanalia na familia zao? hv nyinyi mnatuona sisi mazuzu sana, ujue tunawaangalia tu, pia msisahau kua sisi tunaakili tunaona na kuelewa, dunia imechange kila mtu ana afya ya ubongo watanzania wa leo sio wa miaka ya nyuma
Viongozi wa sasa wanapenda sifa na makofi mengi. Viongozi ni kumusifu tu Rais huku Watanzania wanateseka kwa mambo yanayojitokeza. Changamoto hazijaisha. Wananchi wanapata taabu sana
Siasa ni sumu mbaya sana katika maendeleo!
Tumabakiziwa wanasiasa na watoa matamko
Watendaji hawapo tena
R.i.p JPM
Inavyoonekana soko limechomwa makusudi ili wampe mwekezaji yaani sura mbaya hilo halinaga huruma
2025 siyo mbali nyie fanyeni tu uhuni nilimpenda sana mh. Magufuli na nitzindi kumuombea paka cku ya kufa
Amosi makallaa hafai kuwa kiongizi
Mmmh 🙄
Mmeumia nduguzangu.
Etipigeni makofi unajiombea upigiwe makofi duu
Watanzania mrishatuona mazezeta
Nimecheka kweli heti sasa na nyinyi. Pigen makofi.
Elia Nkya@nimekuelewa ,kiongozi akikataliwa na wapiga kura katika jimbo ,asiteuliwe kokote maana tuko wengi.
Usilazishe makofi ila makofi huja kwa furaha mbona unalazimisha furaha?
Ivi Naomba kuuriza hao wapiga makifi uwa wanaripwa shiringi ngapi? maana ata kiongozi akiwa anaongea utumbo wamooo tuuu namikofi yao
🤣🤣😀🤣😀🤣😀
Wabongo ni watu wa Mihemko siku zote.Usishangae kuwa hao hao ndo waathirika wa huo Moto Sasa hapo wanatekenywa na kupiga makofi kwa Utamu wa maneno.
🤣🤣🤣🤣Wamevurugwa na kuunguliwa hapo hawajielewihapo walitulia wanalia kwa mawazo
@Judith Jackson, umewaza kama mimi huwa nashangaa sana na makofi yao hata mtu akitangaza msiba yanapiga makofi!!
Makalla cikuelewi kabisa
Mzee wa guuuguuu
We mwisho 2025
Sura mbaya
Unalazimisha makofi!?mpenzi makofi ya uso
Usitupambe ww unatumika tu
Eti 'Na nyie pigeni makofi' na yenyewe yanapiga kama mazuzu! Lol! Hivi taarifa ya kuungua kwa soko la Kariakoo si ilitoka au? Imesema nini kilisababisha ule Moto? Au ndo kuunda tume kila tukio wana piga hela na taarifa haiwekwi hadharani
Makofi ya kuomba?
Unajiombea makofi
R.I.P JPM