Ndoa ipo Wala haina shida , ikiwa ZULEKHAameomba toba ,mungu anasamehe ,itakuwa mwanadamu na mwanadamu kuwa haiwezekani msamaha .. SHEIKH RAJABU go on your on thel right path , big up ❤ .
Ndoa haipo mmikono ya mtu bali ndoa inatoka kwa mola mlezi hongera kaka Allah ajaalie ndoa ipite na waishi kwa furaha naa amani amiin ya Rabb uliombalo ndilo ulipatalo Mashallah
Litakuwa in shaa Allah biidhinillah kama amepanga Allah litakuwa😢😢😢wala musifosi mie nlitolewa barua kaingia kidudu mtu mpk leo niko na majonzi but cjuy Allah aliniepusha nini
Kweli kbs brother kilakitu n Allah 2 ukishika ya wanadamu kwakweli hata kula hkuli kwa sababu sisi binadamu tuko na mambo jmn Mbona balaaa inshaallah 🤲🤲☝️☝️😭😭
Wallah huyu kaka anaongeaga point san huyo dada ni mtuy wa din tuy lakin hajui quran imeongelea nin kuhusu wanawake kwa hiyo asimjaji mtuy kwa muonekan wake mtuy hubadilika
Kaka unahekima sana Allah akuongozee hekima tunamhombea sana dada yetu Allah alipitishe kikubwa Ibada iyo nimitihani ya Allah azidishe Ibada Allah amtupi mja wake nshaallah litapita
Ila jaman huyo dad asije akamkataa uyo kaka sababu atjikuta kasheona atamgeuka Harafu akifika kwa Rajabu akamuina na kipato kidogo akaanza kukurukukuru walaah tutamlaani watu
Upo sahihi kaka ujakosea lolote Rajabu Akijaaliwa kumuoa Ata Akisikia lolote kwa vidudu mtu wanaopenda karibu ndoa a watu hatoshitika kwasa babu kasha Ambiwa ukweli ukutaka kumuuzia mbuzi kwenye gunia Allah Akupe umri mrefu Wenye faida fidunia Wal Aheera
Ila na wewe kaka yake ulimdhalilisha dada yako mengine ungekaa kimya walipaswa kujadiliana dada yako pamoja na dada yako,cyo kututangazia humu dada kafanya hvi dada kafanya vile
We kaka mjinga sasa kama ulikuwa umueleza Pemberton ya kamera sio mbele za watu mbona mume hakusema yake wewe iweje useme ya dada ako n8 mjinga sana au huoni kama umevunha ndoa watatu wakati yanaonekena kwenye kamera
Binafsi uyu jamaa namuelewa Point hii Nimesema hivyo sio kumdhalilisha Ila nimesema hivyo ili akiyasikia uko nje asishituke yawe sio mageni kichwani mwake sawa
Huyu kaka mungu amlipe kheir Masha Allah anaongea point sana
Mashallah kaka ana busara sana Allah awahidi inshaallah❤❤❤
Kaka tumekupenda sana kwa maneno yko na wala usijali zuhura atabadilika kwa uwezo wake Allah inshaa Allah
Kaka umeongea vizuri pia tunaomba ndoa ipite ishallah maana hakuna binaadam mkamilifu baby zuu tunaamin atabadilika ishallah Allah amfanyie wepesi
Kaka una baya na mtu na ww ni kaka mzuri kwa mdogo wako🎉
Umeongea point kaka zuu Allaah azidi kukulinda
Kaka mungu akujaze kher ...unaongea point nzuri sana mungu akuzdishie...na inshallah ndoa itapita ...much love 4rom saudi
Hakuna mkamilifu chini ya jua nnaimani na rajabu ndoa itapita ishaallah mungu atamlipafuniani mpaka ahera🙏
Kaka kweli wakupe wauwa yako wewe ni mkweli lazima mtarajiwa aambiwe ukweli ili uwamuzi uwe kwake mwenyewe muowaji
Naam kabisa
binadam tunajisau sana tunasahau kifo ila kifo hakitusahau
Ndoa ipo Wala haina shida , ikiwa ZULEKHAameomba toba ,mungu anasamehe ,itakuwa mwanadamu na mwanadamu kuwa haiwezekani msamaha .. SHEIKH RAJABU go on your on thel right path , big up ❤ .
Kaka Allah akulipe kheir juu ya hili n mungu atamuongoa usichoke kumpa mawaidha ndugu yako
Mashallah kaka maneno mzuri sana una busara allah afanye wepesi❤
Tuletee handsome babu yule track driver wa masafa marefu
Tar 31 inshallah
Kaka ana busara sana inshallah dadake ataolewa kwa heshima
Ndoa haipo mmikono ya mtu bali ndoa inatoka kwa mola mlezi hongera kaka Allah ajaalie ndoa ipite na waishi kwa furaha naa amani amiin ya Rabb uliombalo ndilo ulipatalo Mashallah
Kaka uko vzr hukukoseya kumwambia mdogo wko nikweli yy alijuwa n tatoo 2 mingine hakuwa uwayajuwa rajabu ulifnya vzr na huy0 dadke rajabu akaye kwakutulia asitake kuharibu khri
Yani kama kaka upo sahihi sana kwakweli umechukua busara Alaah akuzidishie Inshaallah
Litakuwa in shaa Allah biidhinillah kama amepanga Allah litakuwa😢😢😢wala musifosi mie nlitolewa barua kaingia kidudu mtu mpk leo niko na majonzi but cjuy Allah aliniepusha nini
Kweli kbs brother kilakitu n Allah 2 ukishika ya wanadamu kwakweli hata kula hkuli kwa sababu sisi binadamu tuko na mambo jmn Mbona balaaa inshaallah 🤲🤲☝️☝️😭😭
Subhanallah ☝️😭😭
ushauri wangu kwa bi Zuhura awe na laini mpya na pia awe na marafiki wapya
kwelli kaka wa zuhura unavyosema ni sw kwasababu washapendana bas inshaallah allah atawasaidia
In shaallah mwenyezi mungu akupe akupe umri mrefu kaka wa zuuu
Kaka yupo Sawa kabisa asilaumiwe.
Safi kk upo sahihi
Wallah huyu kaka anaongeaga point san huyo dada ni mtuy wa din tuy lakin hajui quran imeongelea nin kuhusu wanawake kwa hiyo asimjaji mtuy kwa muonekan wake mtuy hubadilika
Kaka unahekima sana Allah akuongozee hekima tunamhombea sana dada yetu Allah alipitishe kikubwa Ibada iyo nimitihani ya Allah azidishe Ibada Allah amtupi mja wake nshaallah litapita
Huyo kaka ndio amemuharibia ndugiyake hatakama ni Mimi nimeskia Yale maneno singekubali kakayangu amuoe
Kaka mimi nimekuelewa sanaaa
Maneno mujarabu kaka sadaqat Allah awepe wapisi inshallah.
upo sahii kaka
Insha Allah ndoa idapita insha Allah
Mwimize zuuu aswali na kutuɓu sana
Tafasili yako ipo vizuri sana
Uko sawa kaka
Allah huakibar
Huyo Wifi yy nsie Anaeowa?? Kama mumeo yupo tayari ndugu wa mume Hana nguvu ya kuvunja shughli labda Kam huyo muowaji Aghairi
Pia ukimstiri mwenzio Allah atakustiri
UKO SAHIHI UKO SAHIHI UKO SAHIHI
Naomba namba ya zuu mm mwenyewe bachala ukiwa watu awajui tu huyu ndio mwanamke atakaye tulia katika ndoa mm Niko tayar kumuowa
Upo sahihi kaka🎉
Ila jaman huyo dad asije akamkataa uyo kaka sababu atjikuta kasheona atamgeuka
Harafu akifika kwa Rajabu akamuina na kipato kidogo akaanza kukurukukuru walaah tutamlaani watu
Hamna ishu hapa mapicha ya kutengeneza haya
Namini ZUHURA anajuta kwakweli mbona asamehewe na huyu baba mbona kama haja wai kukosea
Ni sawa kweli kaka nikama ulijaribu kumuonya rajabu ili ni hivyo ni sawa ulivyofanya nisawa tu
Mungu atajalia inshallah
Nayeye mwanamke uyo dd yake rajabu,anawatoto pia dunia ndio hii
Ww kk mweu san wayarudia ten Fala weeeee bwege weeee
Arabi dusaidee iyi ndoa ifugwe yarabi 🤲🤲🤲🧎♂️🧎♂️
Upo sahihi kaka ujakosea lolote Rajabu Akijaaliwa kumuoa Ata Akisikia lolote kwa vidudu mtu wanaopenda karibu ndoa a watu hatoshitika kwasa babu kasha Ambiwa ukweli ukutaka kumuuzia mbuzi kwenye gunia Allah Akupe umri mrefu Wenye faida fidunia Wal Aheera
Ila na wewe kaka yake ulimdhalilisha dada yako mengine ungekaa kimya walipaswa kujadiliana dada yako pamoja na dada yako,cyo kututangazia humu dada kafanya hvi dada kafanya vile
We kaka mjinga sasa kama ulikuwa umueleza Pemberton ya kamera sio mbele za watu mbona mume hakusema yake wewe iweje useme ya dada ako n8 mjinga sana au huoni kama umevunha ndoa watatu wakati yanaonekena kwenye kamera
Wala SI uongo kaka mtu ndio kamuharibia
Kaka ubarkiwe
Asipoolewa jua hata wewe umesababisha. Pia
Kifupi hakuna mtakatifu atabadilika2 kuongea nikweli asije kuoa akasema sikujua kama uko hivi nilijua tattoo tu
Kweli kabisa
Umempa ukweli shemejio swadkita
Kwn tatooo zilifutika ama zilikataa
Binafsi uyu jamaa namuelewa
Point hii
Nimesema hivyo sio kumdhalilisha
Ila nimesema hivyo ili akiyasikia uko nje asishituke yawe sio mageni kichwani mwake sawa
Maneno yako kaka wa zuu yapo sahihi
Huyu mdada mwenye tatoo haminiki muongo
Wakapime afya zao kwanza
Swadakta kaka wa zuhura
Kaka ujakosea kabisa