SHEKH RAJABU AZUNGUMZA UKWELI SABABU ZA KUSHINDWA KUMOA BABY ZUU ,FAMILIA IMENITENGA NA KUNISUSIA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 18 ноя 2024

Комментарии • 176

  • @SuleimanKhdija
    @SuleimanKhdija 9 месяцев назад +17

    Unaweza kupenda kitu kumbe ni shari kwako na ukachukia kitu kumbe ni kheri kwako Mungu ndie ajuae zaidi Alhamdoulillahi

    • @tawsi-yc3nk
      @tawsi-yc3nk 9 месяцев назад +1

      Inshallah ila mie nilijua tu maaan mie ilinitokea tena watu wa tanga wana roho ngumu sana 😢😢😢😢

    • @SuleimanKhdija
      @SuleimanKhdija 9 месяцев назад +1

      @@tawsi-yc3nk hii ni Kiki iliopangwa

    • @FayeezAlbahassaney
      @FayeezAlbahassaney 9 месяцев назад

      Suratul baqarah aya ya 216

  • @malakimoses6115
    @malakimoses6115 9 месяцев назад +4

    hao wazazi wa sheikh rajabu wanakosea sana kabaka mzoefu ndo mzuri kuliko anaechipukia Mimi baby zuu naamini angetulia kwa sababu alikuwa ameexperience maisha baya asingependa kurudi kule tena

  • @JaylanAbdallah
    @JaylanAbdallah 9 месяцев назад +5

    Rsjabu Allah anasema tuwatii wazazi ktk jambo jema nakama watakuambiya jambo SI jema usiwatii owa baraka zitakuwepo kwa Allah nasi wazazi

    • @saidkhamis9507
      @saidkhamis9507 9 месяцев назад

      Pengine wazazi wake walikuwa wana hoja zao madhubuti hatuwezijuwa

  • @swiddeeqaboubakr1175
    @swiddeeqaboubakr1175 9 месяцев назад +1

    Dada zuu kama umekubali kubadilika tulia hapohpo ucje ukatetereka unyesha nsimamo wako2, me naamini kuwa MwenyzMungu anakupa mtihani tu je utaendelea na msmamo wko au utarudia tena? Pole sana dadaangu na opongezi sana kwa kuamua kubadilik, endelea na ibada muombe sana Allah atakusamehe na atkupa mwengne INSHAALLAH

  • @rqiyaabdallah840
    @rqiyaabdallah840 9 месяцев назад +9

    Baada Ya Allah ni wazazi sio mwana mke wala mwana ume wazazi Uwa Awakosei na wanaona mbali saana Kuliko Akilizetu

  • @swiddeeqaboubakr1175
    @swiddeeqaboubakr1175 9 месяцев назад

    Nakuomba tena dadaang kuwa na msimamo usilegeze msimamo wako kwa namna yyte ile itakuja mitihan ila ww usiteteleke ibada sana, dua Allah atakupa2 inshaallah!!!!! Please please please 🙏 🙏 usirejee nyuma mm ninauhakika huo ni mtihan2 mungu anakupima2 msimamo wako tulia tulia tulia. Nakuombea sana dada

  • @freemail-j5p
    @freemail-j5p 9 месяцев назад

    pole sana shee rajab mwenyewe ulimpenda baby zuu jamani a. ila ndo ivo huwezi kalazimisha kama wazazi hawajakubari usjali inshallah Allah atakuwezesha shee wangu

  • @Rahma-r5n
    @Rahma-r5n 9 месяцев назад

    Sheikh nikujie I'm here from kenya I hpo family yako itanikubali😊😊 yenye haipendezi kuwa hvyo mwanamke kujistiri jamani 😊poleni kama nitawakwaza lkn tujistri ...tuepukane na aibu kama hizi

  • @sarahkinyashi6213
    @sarahkinyashi6213 2 месяца назад

    Tulia baby Zuu,Kama ipo ipo tu,wako atakuja,muamini Mungu,🙏🙏🙏🙏🙏

  • @MohmmedGandhi-zc9wo
    @MohmmedGandhi-zc9wo 9 месяцев назад +3

    Rajab wacha kuangalia dunia akhera yako ndio muhimu kama kweli umempenda fanya kwa ajili ya Allah na atakununulia mingi Ata mm wazazi walikataa kuoa mke kama huyo same story ila mimi nilisema ndoa yapangwa mbinguni baba yangu kanikataa nikasema siwezi rudi nyuma ukumbuke shetani yuko ndani kachangia mimi nikaowa mungu akatufungulia neema baraka tele hivi Sasa baba yangu anatamani kuniongelesha aona aibu kwa yale aliosema alidhani nitateseka kumbe neema tupu niko na nyumba Alhamdulillah na kazi nafanya

    • @mwanahawamohammed8540
      @mwanahawamohammed8540 9 месяцев назад

      Umeonaee! Kitu ambacho unatakiwa kuwapinga wazazi ni uovu ambao M/Mungu ameukataa , lakini jambo la kheri hutakiwi ukatae. Hili jambo la kheri watu wamekutia ushetani kukikataa, tayari binti amebadilika, wewe ilikuwa umtegemee Mungu tu lakini wazazi wamekuendea kinyume umekataa kheri na ulishamtia tamaa.
      Wewe hujui M/Mungu atakufanya nini, simama na uhalisia kama kweli ulimpenda binti kwa ajili ya Allah ulitakiwa kuwa na msimamo

    • @saidkhamis9507
      @saidkhamis9507 9 месяцев назад

      Ila suala lakumuongelesha mzazi wako ni lalazima

    • @mwanahawamohammed8540
      @mwanahawamohammed8540 9 месяцев назад

      sawa, ila Rajab ameangalia Mila badala ya kuangalia dini na wanajidai kuwa wana dini sana, wamepotoshana ktk familia. @@saidkhamis9507

  • @Queen-be1uf
    @Queen-be1uf 9 месяцев назад +16

    Wazazi wanapata dhambi. Na rajab kuoa haihusu wazazi. Anaweza kuoa bila amri ya wazazi. Angepata thawabu kumtuliza na kumsitiri mtu

  • @hawamohammed9740
    @hawamohammed9740 8 месяцев назад

    Shekhe Rajab njoo unioe Mimi basi jaman😊

  • @swiddeeqaboubakr1175
    @swiddeeqaboubakr1175 9 месяцев назад

    Sema wazazi jaman muangalie sana msitizame dunia2 tizamen na akhera pia yaan dada alikuwa katkat ya dimbwi la maasi,alikuwa katika kumuas na kmuuzi mola wake leo maskin kaamua kubadilika halaf wazaz mnazuia? muogopen mungu wazaziiii mnataka arudie mambo yake halaf mutaenda kujib nn kwa Mungu jiangalien sana wazaz😢😢😢

  • @omanoman2044
    @omanoman2044 9 месяцев назад +4

    Wallah wanawake tungejijuw sis ni dhahabu kuliko dhahabu yenyew tafuten kazi kila kituy kinawezekan na ibada kwa san waume watakuja wenyew

    • @tawsi-yc3nk
      @tawsi-yc3nk 9 месяцев назад +1

      Kabisa my ila sio vizur inshallah mungu atampa mwingine

    • @AbuuzuhairMuhammad
      @AbuuzuhairMuhammad 9 месяцев назад

      Samahan shkh Rajab ungetupa angalau nasaha kdg km mawaidh ivi

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 9 месяцев назад +9

    Mim nahisi yule kaka alimualibia sana kwamana alijimaliza sana kuhusu kaka ake

    • @ahmed59122
      @ahmed59122 9 месяцев назад +1

      Huu ugombanishi sasa kaka amesema kweli tu hana makosa ili wazee wana mambo ya kizamani huyu wanaomtaka wao atawaonesha hii dunia hipo vipi .zzzuu ataolewa na wao wataona kosa lao baadaye sana sio sasa ,ndoa mtu apangiwi , ila unaweza kumshauri mtoto wako kama ni mtu mzima uchaguzi ni wake. pia uwezi kuacha family yako kwa sababu ya mapenzi ya mke au mume unawashawishi tu watakubali kama wanaupendo wao kwako.CHa msingi ongea na wazazi wako watakuelewa tu ...

    • @MerryRenatus-ck4lz
      @MerryRenatus-ck4lz 17 дней назад

      Ni kweli aliaribu kila kitu

  • @Zanura-d6e
    @Zanura-d6e 9 месяцев назад +2

    Hii omba mungu isikukute wee inchoma kama pasi

  • @swabrinakidangu
    @swabrinakidangu 9 месяцев назад

    Asalam aleikum warahmatullah wabarakatu... Wallah billahi Wa tallahi sheikh rajab una roho tajiri... Mimi naitwa swabrina nahitaji stars kama wewe wallah i

  • @madamelucy8429
    @madamelucy8429 9 месяцев назад +1

    Mmh waangalie pande zote hao wazazi je ingekuwa huyo zuh ndio mwanafamilia yao wangesema ! Wakumbuke hakuna aliyemkamilifu ila ni Mungu tu , anaweza akawa machoni mzuri kumbe sirini hafai labda Mchawi , mchoyo , mwizi , msengenyaji, au malaya wa kimya.

  • @HusnaRamadhani-o2y
    @HusnaRamadhani-o2y 9 месяцев назад

    Zuu muombe sana mungu atakupa wa kwako inshallah kaka ako ndo kakuharibia asinge ongea vile pole sana Allah akupe nguvu inshallah

  • @atwowa6380
    @atwowa6380 9 месяцев назад

    Allah atampea mwengine mwenye hekma na kheiry inshallah lakini baby zuu njoo saidi utasahau kila kitu

    • @LeilaShah-ib4td
      @LeilaShah-ib4td 9 месяцев назад

      Zuu,ndungu yangu sio ridhiki,Wenda kunàjambo limekuepusha tulià kmy zuu mdà sio mrefu yupo mtu mwengine nàusio nàmàneno màneno kàà kym

  • @AbdillahAlly-q6j
    @AbdillahAlly-q6j 9 месяцев назад

    ZUU,Njoo tuongee mim nikuoe inshaallah

  • @Aziza-z4f
    @Aziza-z4f 9 месяцев назад

    Nikweli kaka inshallah mungu atamjalia mume mwengine

  • @fgg8794
    @fgg8794 9 месяцев назад +2

    Ssa wew rajabu wazazi wko watakutafutia wife au jmn dunia iko n mambo pia Malaya hanaweza kua wife material au wee kwa familiy wee n lastborn jmn balaaa aya mungu yuko atapata 2 inshaallah mzur

  • @munirakhalfan5716
    @munirakhalfan5716 9 месяцев назад

    Milieu mungu rajabu atafungua njia mwambie avute subra

  • @DamarisDuuTausi
    @DamarisDuuTausi 9 месяцев назад +1

    Sawa kabisa sheikh

  • @YasmeenKhalifa-zq1zk
    @YasmeenKhalifa-zq1zk 9 месяцев назад

    Jaman tupunguze mambo ya ubaguzi jambo la kuoa ni jambo la kheri hata mm niliachwa na mume kisa rangi yangu familia ya mume wang haikunitaka lakin pia tulifunga ndoa lakin pia niliachwa na mtoto wa miez 6 na nilikuwa mjamzito pia alhamdulillah nashkuru mungu kwa sasa watoto niwakubwa na mm napamban kwa ajili ya wanangu ila kiukwel inauma sana niliumia sana kuachwa na Mimba na nikiwa na mtoto mdogo

    • @mwanahawamohammed8540
      @mwanahawamohammed8540 9 месяцев назад

      He, subhanallah! Pole sana mpendwa. Hata mimi mdogo wangu yalimkuta sana hayo. Mtihani kweli kweli

    • @leylam2121
      @leylam2121 9 месяцев назад +1

      Mtiani Pole sana

  • @HannanSomaiyah-wp7ny
    @HannanSomaiyah-wp7ny 9 месяцев назад

    Allah ampe mume wa kheri huyo bint Allah Mtazame huyo bint anaetaka mume bora Mpe mume bora,

  • @OthnoShezume
    @OthnoShezume 9 месяцев назад +1

    Pole sn sister utapata mwenye kheri na ww

  • @ishyjuma2246
    @ishyjuma2246 9 месяцев назад

    umefanya vizuri kumtii mzazi, ingawa umempenda zuu , lkn mungu yuko tu atatoa uamuzi wa kheri

  • @fgg8794
    @fgg8794 9 месяцев назад +3

    No love wewe n tapeli wa mapenzi ulikua n wee je c poa lkn kwa Allah 😢😢😢😢

  • @kazungukakiyo
    @kazungukakiyo 9 месяцев назад

    Mm nilijuwa hapa usanii tele, watanzani, watanzani, heee comedi kwa kila upande.

    • @vinci93
      @vinci93 9 месяцев назад

      Ndiyo

  • @shashashasha2293
    @shashashasha2293 9 месяцев назад

    Unajua kitu nilichogundua asiliamia kadhaa ya wanawake wengi wa kiafrika wanadhani ndoa ni Kila kitu japo ndoa ni jambo la kheri yaan tunalazimisha ndoa mpaka Wanaume washaona Bora watuoe kutuhurumia na si kutoa Kwa mapenzi ya dhati ,wanawake kama rizki yako inshallah itakuwa yako tusilazimishe ndoa hata iweje Fanya kazi Kwa bidii tafuta pesa yako uone furaha ya juhudi unayopata ,Wanaume wapo tu

  • @Ibrahimthomas-tf3ky
    @Ibrahimthomas-tf3ky 9 месяцев назад +2

    Mhh inauma hla hakuna jns hla rajab kwn ulivyofany aya kwn hakuwaz aya sas angalia umempa dada wa watu umempa matumain yot hla angalia leo unampa jeraha kwel emb jarb kuvaaa viatu vyake sas kwel😢😢😢😢😢

    • @mwanahawamohammed8540
      @mwanahawamohammed8540 9 месяцев назад +1

      Amekosa kujiamini na haelewe dini inasema nini anapotoka hapo alipaswa kuzingatia na kuwa na msomamo kisha awaelimishe familia maana alikuwa sawa badala ya kufuata mawazo ya familia yasiyokuwa sawa kidini. Dini ya kiislam haisemi ukatae mema kwa kukubali upotofu wa wazazi hata awe baba au mama yako au nani.

    • @AyshaHamis-qw3gi
      @AyshaHamis-qw3gi 9 месяцев назад

      Yaan kwa hili amefany siez amini mwanaume kutiana matumain tu baadae mtu anakuja kupa majeraha ya moyo hyu dada lkwa kashakuw na imani karibun atakuw mke wa mtu mhh ila Mungu yup pamoja nae

  • @MaryamIssa-y7v
    @MaryamIssa-y7v 4 месяца назад

    Umekosea yapo mambo ya kuwatii wazazi na yapo ya kuwanyamazia kimya huku ukitambua mwenyewe haki mbele ya Allah ni ipi.km mtu alishakuahidi na kukushukuru kwa heri iliopo mbele yake hata kwa Mungu ungekuwa na fungu lako kuikoa na kuistiri nafsi. Allah anasema "enyi mlioamini ziokoweni nafsi zenu na za jamaa zenu na moto moto ambao kuni zake watu na mawe.....")

  • @ashachimweri2622
    @ashachimweri2622 9 месяцев назад

    Wazazi tuna jukumu kubwa kwa Allah. Unamkatalia mwanao jambo la kher? Chungeni sana wazazi mana unapomnyooshea au kumuotesha mwenzako kidole, elewa vdole vinne vmekuotesha ww . Chungeni sana wazazi. Yaan mwanamke ndo ni malaya lakn ujue huu msemo, usiseme mbwa wa jirani anabweka mno, ww wa kwako ujui mda anaobwekea

  • @magdalenajoseph9798
    @magdalenajoseph9798 9 месяцев назад

    Mwanaume anajistiri kuliko mwanamke jamani ataiyo pia nisababu mwanamke tumbo wazi mda wote baba gani atakubali uwe mkwe wake pia amekusaidia kutoa izo tattoo iliuwe safi sasa mshukuru Mungu sana

  • @fatfat9093
    @fatfat9093 9 месяцев назад +1

    Mungu atampa.alie wake mwema.okoa radhi lakini bbko anakosea kwa mungu

    • @tatudando7518
      @tatudando7518 9 месяцев назад

      Ni kweli wamekosea ila nilishawahi ishi na watu waliyopitia chamgamoto hizo waliowana ila walipokosana mgomvi wake hakuna wa kuamua na hadi mwanaume akafariki mwanke hakuruhusiwa kuhudhuria mazishi.So vingine tusilazimishe maana hata vizazi vyetu vitakosa misaada

  • @MwanaedahamisiMwakwina-eu3pn
    @MwanaedahamisiMwakwina-eu3pn 9 месяцев назад

    Mm hapa niko tyr nimuoe kama yuko na Nia ya kuolewa

  • @ranjoMnkande
    @ranjoMnkande 9 месяцев назад

    Sema kaka yangu umekuwa sasa ad wanakiuta shekhe kwakweli mungu ni mwema sana 😅😂

  • @HalimaMusa-e3k
    @HalimaMusa-e3k 9 месяцев назад +1

    Sh gani ambaye akitaka kuao ana weka mtandaoni

  • @ammartimayare
    @ammartimayare 9 месяцев назад

    Kweli kabisa kaka aliharibu yaani sikumuelewa kaka kabisaaaaa kama mwehu jamani badala umnyanyue dadako eti unamuangusha khaaaaa.

  • @DamarisDuuTausi
    @DamarisDuuTausi 9 месяцев назад

    Shekh rajab,njoo unioe

  • @NeemaKhamis-n8h
    @NeemaKhamis-n8h 9 месяцев назад +1

    Shehe rajabu niko hapa njoo unisitili😢jinsi ulivo nimependa

    • @saidkhamis9507
      @saidkhamis9507 9 месяцев назад

      Huogopi wazazi wake?

    • @mtaitamedia2024
      @mtaitamedia2024 9 месяцев назад

      Nichek nikustir

    • @AyshaHamis-qw3gi
      @AyshaHamis-qw3gi 9 месяцев назад

      ​@@saidkhamis9507😂😂😂😂😂😂

    • @saidkhamis9507
      @saidkhamis9507 9 месяцев назад

      @@AyshaHamis-qw3gi imekaaje iyoo!

    • @AyshaHamis-qw3gi
      @AyshaHamis-qw3gi 9 месяцев назад +1

      @@saidkhamis9507 imekaa vizur tu hap kwang sio wazaz wa hyo Rajab tu naogop mwanaum yyte wazaz wak 😄 sahii tuwe makini

  • @SaidShkel
    @SaidShkel 9 месяцев назад

    Wacheni Sanaa

  • @khamisomar5659
    @khamisomar5659 9 месяцев назад

    Ndo mtume SAW akasema msitangaze neema maana si wengi wataoridhia na hilo maana nyoyo zetu binadamu baadhi yetu haziko salama vijicho na hasad vimetawala

  • @omarymkadundu6623
    @omarymkadundu6623 9 месяцев назад

    Anaye taka kuowa anaowa mwanamme anaye taka kuowa anaowa

  • @mariamabubakar7072
    @mariamabubakar7072 8 месяцев назад +1

    Hizi vitu bu story tuu watu wanapangwa wanacreate a story. Sio ukweli vitu vya hivi. Hahahhaha lol watu wako creative

  • @zulfajuma8394
    @zulfajuma8394 9 месяцев назад

    Huenda ww shkh Rajab ungemuoa huyo dada in ingekua ni sehemu ya pepo yako coz huenda ungembadilisha akawa mwema na mcha mungu kuliko mnavo dhani

  • @AhmedAbdallahBakari
    @AhmedAbdallahBakari Месяц назад

    Kiukwelii wazazi kma hawa ndo wanao sababishaa watu wakawa wanazinii kw sabab bado wanapendana ila wazazi ndo tatizo

  • @mariammariam5723
    @mariammariam5723 9 месяцев назад +2

    Au mlirnda kupima majibu yakawa sio mazur mkaamua kuficha mbona baba alionekana mwanzon alikua anaonekana kama atakubali

  • @ZyadaSyaad
    @ZyadaSyaad 9 месяцев назад

    Jamani na Mimi nataka nusraa❤

  • @DelightfulPenguin-wk4kv
    @DelightfulPenguin-wk4kv 9 месяцев назад

    Kwa kweli siku zote ni tusikilize wazazi ila Kwa kuchagua mpenzi hapo ni uamizi wako rajabu yy alikuwa yuataka kumsitiri na siku zote mtu mbaya hugeuka na kuwa mzuri anapopata wa kumsitiri au kumuogopa na njia yenye heri yeah kaka muombee heri be Kwa sababu ulikuwa na kheri na yeye

  • @hamisaally968
    @hamisaally968 9 месяцев назад +1

    Kwanza kwa nini uyu dada anaangaikaa ivyo na kudhalilika kisa hizo tattoo au kuna lingine?au ni kiki ya kuendesha kipindi,umefanya kosa kujichora na umejua ni kosa endelea kumuomba Mwenyezi Mungu msamahaa na yeye ndo atakurahisishia kwa vyote unavyovitaka sio kila siku kulialia na kudhalilika labda kama wanakulipa na ata wakiwa wanakulipa kumbuka utu wako ni muhimu.

  • @SamirSaid-ip8nn
    @SamirSaid-ip8nn 9 месяцев назад

    Lajabu mmetiza sanaaa yanii

    • @singanomakumba1956
      @singanomakumba1956 9 месяцев назад

      Kweli shehe wangu mimi mtanga mwenzio baba hataki usilazimishe

  • @MohmmedGandhi-zc9wo
    @MohmmedGandhi-zc9wo 9 месяцев назад +2

    Wazazi hilo nikosa kuzuia kheri ya mwenyezi mungu ila mkataa pema pabaya pamwita, Rajab ningependa ukumbuke jambo ikiwa na tashwish rudi kwenye Quran ama hadithi, walipo kukataza wewe usiowe huyo watakae wazazi usije ukajuta usije ukala kucha ukumbuke ulikua umepata neema kubwa sana kumstiri huyo, Kuna msemo wasema heri shetani unae mjua

  • @shakilaahmed5761
    @shakilaahmed5761 9 месяцев назад

    Mambo yalikuwa hivi kuhusu ule mama mzee na kijana

  • @ZUHURASEIF-v1j
    @ZUHURASEIF-v1j 9 месяцев назад

    Wazazi wake wamtafutie mke walkie mpenda wamuozeshe
    Nazuu awepalepl. 11:26

  • @shashashasha2293
    @shashashasha2293 9 месяцев назад

    Mume hatafutwi kwenye mtandao coz kaka ake zuu pia kamtia doa baya mdogo wake kujimaliza maneno yote kuhusu mdogo wake,zuu nae kashajikatia tamaa ya maisha ,my dear tattoo haikufanyi ukose mume ,tabia hubadilika usijione umekosa thamani tafuta kazi ufanye acha uvivu na kutegemea ndoa Ili ukae kivivu

  • @IsmailRashid-sx4pf
    @IsmailRashid-sx4pf 9 месяцев назад +1

    Story ya kutengeneza hii .

  • @Farida-jc3cq
    @Farida-jc3cq 9 месяцев назад +1

    Jamani shee❤❤nioemimi😂

  • @RehamAlmamari
    @RehamAlmamari 7 месяцев назад

    mmmh

  • @MohdSniper-v4e
    @MohdSniper-v4e 9 месяцев назад +1

    Kwanini ukisema hakuna wa.kukuzuiya kwa hiliwewe hujiamini

  • @HalimaMitema
    @HalimaMitema 9 месяцев назад

    Njoo unioe mm nipo teali

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 9 месяцев назад +1

    Iyo imekuwa nongwa tayar,,ishakuwa mtihan,,

  • @halimakuju6076
    @halimakuju6076 6 месяцев назад

    Mmmmh

  • @fatumahapesamohamedfatumah4633
    @fatumahapesamohamedfatumah4633 9 месяцев назад +1

    Maskini lakini hawajafanya vzr

  • @MohamedMgwami-nw6bl
    @MohamedMgwami-nw6bl 9 месяцев назад

    Nipo tayari kumuhifadhi huyo bibie anapatikana wapi?,

    • @AyshaHamis-qw3gi
      @AyshaHamis-qw3gi 9 месяцев назад

      Kisha na ww mamako amkatae mwenzak babak kakataa

  • @issaiyinga-cp4ff
    @issaiyinga-cp4ff 9 месяцев назад +1

    Kama kuvaa kanzu na kofia ni ushee basi mashee ni wengi

  • @aminauwimana9976
    @aminauwimana9976 9 месяцев назад

    Hakirudi allah atakuhuliza kwenye aram allah atakuhuliza kaka wewe

  • @RachelBriervanity1
    @RachelBriervanity1 9 месяцев назад

    umeharibu mtangazaji back ground music ungetoa

  • @RehamAlmamari
    @RehamAlmamari 7 месяцев назад

    xhekh mbn anaongea kihun jmn 😮

  • @FayeezAlbahassaney
    @FayeezAlbahassaney 9 месяцев назад

    Shawar hapa maigz t

  • @CostaMbarouk
    @CostaMbarouk 8 месяцев назад

    Nyie acheni kujifanya munajuwa dini muwangalie huyo dada yk rajabu mabega yote yakowazi ivyo ndio mtu muhamadi s,w,s, ndio alivyo fundisha,awo wahana kitu chochote,

  • @florakibona8042
    @florakibona8042 9 месяцев назад

    Leo sheikh anaongea kiuni sanaa

  • @NeemaOnsama
    @NeemaOnsama 9 месяцев назад

    Mbona hii imekua balaa .mwenzako moyo wake ulishawekeza ila ataumia sn

  • @NurkhaaNurkhaa
    @NurkhaaNurkhaa 9 месяцев назад

    Kama Allah amekupangia umuowe utamuowa tuu usjali

  • @koyiasunga9785
    @koyiasunga9785 9 месяцев назад

    Huyo muhuni mtu unampenda huwezi sikiliza la mtu,huyu alikuwa na yake

  • @zuhurahamisi8687
    @zuhurahamisi8687 9 месяцев назад

    Nanyi mnatunga to stor

  • @ZamaHussein
    @ZamaHussein 9 месяцев назад

    Mmemfedhehesha zuu wa watu,atarudi kulekule

  • @OmanMobaile-i6o
    @OmanMobaile-i6o 9 месяцев назад +1

    Duuh nilikuwa naisubiria hii ndoa wazazi familia mkumbuke kesho yetu huyo dada angetulia akafanya ibada zake hakika kwenu fungu lenu lingekuwapo mbele ya M Mungu

  • @OthnoShezume
    @OthnoShezume 9 месяцев назад

    No love❤ hakuwa

  • @OfficialA83640
    @OfficialA83640 9 месяцев назад +1

    KIKI IMEFIKA UKINGONI WATU WAPUMUE HAYA WALETEENI KIKI NYINGINE MAZOBOGEZI WA MITANDAO😂😂😂😂

  • @SamirSaid-ip8nn
    @SamirSaid-ip8nn 9 месяцев назад

    Watu waliosoma ndo wanaharibu dini so wt wa dini wanakaa nusra mungu apendi kabisaaa

    • @SuleimanKhdija
      @SuleimanKhdija 9 месяцев назад

      Kweli wasomi sitaki tena

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 4 месяца назад

      Kwani kila anae vaa kanzu na kofia ni shekhe skuhizi duuh! Basi tutajuwa na mashekhe wengi kama hivyo

  • @omarymkadundu6623
    @omarymkadundu6623 9 месяцев назад

    Uyo sio Shee muongo Kiki tuu

  • @Rose-ue2ho
    @Rose-ue2ho 9 месяцев назад +3

    Huyu hajampenda angekuwa kampenda angefikiria akhera si dunia.. Kwani wazee wataishi na ww milele?? Kwani furaha na moyo si wako??

  • @omarymkadundu6623
    @omarymkadundu6623 5 месяцев назад

    Wacheni uwongo kutowa upangiwi ila wewe mwenyewe ndio una uwamuzi wakuowa akuna familia unayo kupangiya kutowa izo kiki mnatuleteya stoli

  • @omarymkadundu6623
    @omarymkadundu6623 9 месяцев назад

    Mimi nipo nitamuowa

  • @khamisomar5659
    @khamisomar5659 9 месяцев назад

    Ombi langu kwa dada Zuu asimame ktk msimamo wa tawbah hata kama amemkosa shkh Rajab , kumbuka tu mitihani tumeumbiwa waja ili kupembua muumini na kaafir, plz da zuu usijekufuru tna

  • @ammartimayare
    @ammartimayare 9 месяцев назад

    Ila jamani wanawake tafuteni hela tuuuu ndo dawa ya mapenz kwa dunia ya sasa.laziima utapata tu mume kama una hela tena unachagua.muoneni mwenzenu Dida shaib wanamtafuta wenyewe vibwengo wa kiume

  • @hamzarangi7989
    @hamzarangi7989 9 месяцев назад

    Wewe muislamu rajabu oa mke huyo hao ndugu waolee wa pili

  • @AbdulIssa-o7e
    @AbdulIssa-o7e 4 месяца назад

    Shekhe wa mchongo huyu au

  • @AishaNayimana-pp2pu
    @AishaNayimana-pp2pu 9 месяцев назад

    Kiki zoote iz wamche mzungu rajabu

  • @omarymkadundu6623
    @omarymkadundu6623 5 месяцев назад

    Mimi nipo nataka kumuowa

  • @omarymkadundu6623
    @omarymkadundu6623 9 месяцев назад

    Uyo jamaa ilikuwa Kiki sio muwaji nauyo sio Shee Wala imamu muongo ata dining ajui uyo muwongo

  • @GoodluckGood-l1k
    @GoodluckGood-l1k 9 месяцев назад

    Mwambie aje anioe mm

  • @DamarisDuuTausi
    @DamarisDuuTausi 9 месяцев назад

    Sasa na wewe akitokea mtu anataka umuoe vipi uko sawa mkenya

  • @DamarisDuuTausi
    @DamarisDuuTausi 9 месяцев назад

    Mimi sina tattoo

  • @khamisomar5659
    @khamisomar5659 9 месяцев назад

    Hakuna dhiki baada ya dhiki ila kauli ya Allaah ni baada ya dhiki ni faraji tu

  • @Ibrahimthomas-tf3ky
    @Ibrahimthomas-tf3ky 9 месяцев назад

    😢😢😢😢

  • @sikudhanimoshi6967
    @sikudhanimoshi6967 9 месяцев назад +1

    Ajampenda uyo alikuwa anatafuta kiki tu 😏😏😏