GABO & Jenifer Kwaka, BIG SUPRISE 2a. !! 2021

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 14 ноя 2021
  • Jenifer Kwaka,
    Salim Ahmed,
    Muhamed Fungafunga,
    Latifah Idabu
    Kwenye maisha kuna mitizamo tofauti ,kila mtu anamtizamo wake na akili yake inavyomtuma Jordan alijikuta anaingia matatizo makubwa kutokana na mtizamo wake..fuatilia kisa hiki…..
    Watch Part 2
    • GABO & Jenifer Kwaka, ...
  • КиноКино

Комментарии • 76

  • @blessthegreat6210
    @blessthegreat6210 Год назад +1

    Movie nzuri..
    Video mbovu..

  • @mustafatsomba6178
    @mustafatsomba6178 Год назад +1

    I like the lessons found in this movie congratulations to all the actors. I'm watching from D.R.Congo

  • @ekiliangoliga644
    @ekiliangoliga644 6 месяцев назад

    Daaa, mzee Jengua na mzee kolongo mmpumzike kwa Amani. Mlikua mnajua kuigiza sanaaa

  • @kodraaa7244
    @kodraaa7244 2 года назад +1

    Mnachelewesha sana hadi tunasahau tulikua wap mjitahid kutuletea mapema nzur sana hongerani nyote mlioshirik

  • @norbertharumukiza6574
    @norbertharumukiza6574 2 месяца назад

    Mzee Funga anatembea kama mbogo 😂😂

  • @sabasisilwela2796
    @sabasisilwela2796 2 года назад +2

    Nzuri na inafundisha hongeren nyote

  • @bennyathman1234
    @bennyathman1234 Год назад

    This is gud capture of.. napenda thamthilia hii mafunzo juu ya mafunzo . Kazi kuntuu Gabo na timu yako

  • @kkennedyokoth6304
    @kkennedyokoth6304 Год назад

    Duh!,, Filamu nzuri kabisa,nimejifunza mengi,

  • @iydiahgatuci8252
    @iydiahgatuci8252 2 года назад +1

    Hongera Gabo lakini Kwa nn hii video haiwezi downloadiwa?

  • @FedyJackson-hs5vj
    @FedyJackson-hs5vj 11 месяцев назад +1

    Mbona move haidarlodwi

  • @Fatma-vj5ye
    @Fatma-vj5ye 2 месяца назад +1

    Mnabowa mbona umeganda

  • @JemimaJuma-pl3rz
    @JemimaJuma-pl3rz Месяц назад

    Kwenye hii episode mmezingua sasa hapo tutaelewa nn movie nzuri sana lkn rekebisheni hayo mapungufu

  • @lourahlovian8773
    @lourahlovian8773 2 года назад

    Was waiting

  • @mariamsaumu3001
    @mariamsaumu3001 2 года назад +1

    Movie nzuri xan

  • @eliwajadaniford8044
    @eliwajadaniford8044 Год назад

    Safi Sana move inafundisha

  • @lourahlovian8773
    @lourahlovian8773 2 года назад +1

    This little gal though😂

  • @rusiimani5156
    @rusiimani5156 2 года назад

    YES! THANK YOU MA MAN!😃❤️❤️❤️

  • @norbertharumukiza6574
    @norbertharumukiza6574 2 месяца назад

    Mimi nasema siku zote ni makosa kujiuwa kabla siku hazijafika, ona sasa Elina anateseka kwenye jeneza 😮😢 ange twambia mapema tuka anda mahari ya kumpumuzisha

  • @Abubakar254Osman
    @Abubakar254Osman 7 месяцев назад

    Kazi mzuri ya sana❤❤

  • @mwanakheri-lx8zp
    @mwanakheri-lx8zp 7 дней назад

    uyubaba anatsha sana

  • @saidatyhanri7313
    @saidatyhanri7313 2 года назад +1

    Gabo ongera iyi kali

  • @user-zm2ss8jz6o
    @user-zm2ss8jz6o 9 месяцев назад +1

    Jmn mbona imeganda ap kati

  • @user-ep3so5rh6o
    @user-ep3so5rh6o 5 месяцев назад

    Hapo ndo utamjua rafiki wa kwel

  • @user-vj3tm8hu7w
    @user-vj3tm8hu7w 3 месяца назад

    Ni kweli kwanamna moja mzee yuko sahihi lkn kosa la bintie hakutaka

  • @benezethkapongwa3111
    @benezethkapongwa3111 2 года назад +3

    Mmmmmh, mbona imeganda?

  • @user-ef3gw8hq6u
    @user-ef3gw8hq6u 2 года назад +1

    Nime cheka kwasaut mbio zakuingia kwenye gari duuuu nadrishani

  • @ovicsmnene4811
    @ovicsmnene4811 Год назад

    Mafunzo yako hapaaa, Daaaa!!!

  • @jovinusbuberwa641
    @jovinusbuberwa641 2 года назад +1

    Jaman part 2 imeganda

  • @HappyKasinde
    @HappyKasinde 9 месяцев назад

    Mhhhhhh huyu Mzee ila ni fundisho Sana Kwa wale siku mbili twenfe tuish mambo ndo kama hayo

  • @zuhurakhalfan7352
    @zuhurakhalfan7352 2 года назад

    nzur sana

  • @jenniferchebet1750
    @jenniferchebet1750 Год назад

    Tafadhalini wanaume ukiwana msichana wawawenyewe ujaribu kuja kwao kwanza ndipo mweendelee na maisha sku hizi akuna kukaa hvyo

  • @user-ub2qv7xz4e
    @user-ub2qv7xz4e 2 года назад

    Jaman part 2a imekwamia katkat.

  • @salomejohn8565
    @salomejohn8565 2 года назад

    🥰💞

  • @SammyKG
    @SammyKG 6 месяцев назад

    So emotional 😢😢

  • @lazarusnyabayoobadiah4360
    @lazarusnyabayoobadiah4360 2 года назад +2

    Movies zuri,lakini inakwama

  • @mishiomarabdhallah627
    @mishiomarabdhallah627 2 года назад +2

    Yani Mzee jengua ww mungu anakuona

  • @merryjeremiah7533
    @merryjeremiah7533 Год назад

    😢😢😢 pole kaka angu

  • @mwanahawasaid1561
    @mwanahawasaid1561 2 года назад

    Baada ya kuisubil sana

  • @khamismumba4282
    @khamismumba4282 Год назад

    B l t wadadis. Tatu. Safi

  • @user-vj3tm8hu7w
    @user-vj3tm8hu7w 3 месяца назад

    Siku hz mabinti wanajifanya wajuwaji wamekutana mjin wanaachana kimjin ndo hayo sasa waone

  • @AngelinaMganga-gg9ks
    @AngelinaMganga-gg9ks 11 месяцев назад

    Duuuu jaman vituko 3:26 😢😢😮

  • @tyrt8790
    @tyrt8790 2 месяца назад

    Wale Wa Maisha mjini mpo,myaweke akilini haya

  • @juliusmwangirani707
    @juliusmwangirani707 Год назад

    Hili ni fundisho tushapata somo kwa kweki

  • @SalumuFundy
    @SalumuFundy 2 месяца назад

    Mambo

  • @azizashabani7806
    @azizashabani7806 7 месяцев назад

    😢😢

  • @ashurafundi2873
    @ashurafundi2873 2 года назад

    Mmeichekewesha

  • @albanokazimoto9618
    @albanokazimoto9618 Год назад

    Marafik wa mchong utawaona wakati ka huu

  • @evekabenga-ie3si
    @evekabenga-ie3si Год назад

    Film iko poa Ila hamuzungumuze Eveline toka congo

  • @aishamaghanga2218
    @aishamaghanga2218 2 года назад

    Mbna imefugwa kudowload

  • @sumahtanzania4991
    @sumahtanzania4991 2 года назад

    💟💟💟💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞

  • @reginakinyua3
    @reginakinyua3 Год назад

    Bona Ina hung katikati

  • @dafinesmailo997
    @dafinesmailo997 2 года назад

    Nzuri lakini inagwama Hadi mtu anachoka

  • @user-xh7wy2mi2j
    @user-xh7wy2mi2j Год назад

    Yaani kuna wanaume chungu nzima wa naishi na wanawake hata kwao hawapajui kisa walipendana San. Kupenda haitoshi kwa mtuu ambae unataka kumiliki mwanamke. Kwanzaa huo ni uvivu wa fikra. Tudjifunze jamani

    • @janetkithi775
      @janetkithi775 2 месяца назад

      Usiwaseme wanaume pekeyao at wanawake pia. Tuzingatie kupelekwa nyumban Kwa wake zetu

  • @benardshiroya9572
    @benardshiroya9572 Год назад

    Mafunzo juu ya mafunzo napenda hii

  • @clarissidi1437
    @clarissidi1437 Год назад

    Movie n nzuri ila mbona imekwama?

  • @user-cy7gg5bg4v
    @user-cy7gg5bg4v 2 месяца назад

    mbaba huyu pumzika kwamani yani alikuwa anajuwa kukahushia

  • @jacklinejulius6413
    @jacklinejulius6413 2 года назад

    Mbn imeganda jmn

  • @mulumbabienvenue785
    @mulumbabienvenue785 2 года назад

    mbona inakwama kunanini plz tunaomba muyiweke sawa

  • @user-zm2ss8jz6o
    @user-zm2ss8jz6o 9 месяцев назад

    Uruma sn gabo

  • @claudboaz3691
    @claudboaz3691 2 года назад +1

    Sasa movie inaganda njian tena veep

  • @user-xh7wy2mi2j
    @user-xh7wy2mi2j Год назад

    Hizi ndio movie zawatu walio enda shule

  • @Anthonyshem-ct1zs
    @Anthonyshem-ct1zs Год назад

    ringo maiti ya mteja

  • @salmarashid3492
    @salmarashid3492 2 года назад

    Hii n nin ss, nkt!!!!! 😏😏😏

  • @user-zz5gs7xy2y
    @user-zz5gs7xy2y 8 месяцев назад

    Move inafundisha wale wanaume wanaoishi na mke bila kufaham ukween

  • @rolethakaoo7468
    @rolethakaoo7468 2 года назад

    Sasa kwamba Mama Elina alikuwa ana lima! Na kucheka nimecheka.

  • @phyllischauro8903
    @phyllischauro8903 9 месяцев назад

    Ujinga these grandparents could have welcomed even the granddaughter and leave to suffer then.

  • @sophiaruwa1366
    @sophiaruwa1366 2 года назад +1

    Mzee jengua hatuta kusahau

  • @piensiaaudax6086
    @piensiaaudax6086 Год назад

    Tayar

  • @khamismumba4282
    @khamismumba4282 Год назад

    Blt. Wadadis

  • @user-cy7gg5bg4v
    @user-cy7gg5bg4v 2 месяца назад

    fundisho kwakaka zetu rafiki wakweli hapo sasa

  • @saidatyhanri7313
    @saidatyhanri7313 2 года назад

    Gabo ongera iyi kali

    • @faredahfaredah1074
      @faredahfaredah1074 Год назад

      Alikua hajaamua kuolewa huyo

    • @collinsochieng7655
      @collinsochieng7655 Год назад

      Hii iko na jamaa 1 na ukimwambia yusema waniambia nin,kip ckijui ? Na mpaka saii Yuko na watoto 3. Acha Hutu n Kyoto mmoja