Hakuna lisilosamehewa mbele za mwenyezi Mungu kamaukimwomba msamaha pale unapoanguka! Mtumishi, kutoa Siri za shetani ni njia mojawapo ya kumkana na kujuta mbele za Mwenyezi Mungu, usisite na Mungu akusimamie!
Kwer dunia inamamboo duuh yaan naanza kumwogopa kila mtu maana alivo hb huwezi amini Kama alikuwa hatari hivo, usifiwe msaraba ,asifiwe Yesu aliye kuokoa
Uwiiiiiiiii mie nimesikiaaa🤣🤣we baba hao wazazi hawatokusameh hutouona ufalme wa mungu mtt anauma sana jamani tunapata shida sana mpaka tuzae maumivu makubwa sana 😭😭😭
Nilipataga mtoto ila alifariki baada ya kuzaliwa nikiwa bado niko labour ,kumbe ndivyo mnavyofanya kutuulia watoto wetu. yaani kesho muwe na majibu mbele ya Allah. 20.08.21.
@@furahahappiness110 pole sana kwa kweli, wachawi Mungu awalaani kabisa. yaani nawachukia sana, wanatutesa sana na familia zetu,watoto wanapumbazwa wasisome,sisi ndio hivyo wanatufunga tusizae wanafarikisha.nazidi kuwalaani kabisa.21.08.21.
Hi Davista. Naomba atuelimishe zaidi kuhusu watoto wa kichawi. Yule dada mwenye matokeo ya ajabu alituelezea ile hadithi ya rafikie aliekuwa hana kizazi ila akampata mtoto aliyukuwa nyoka kwanza. Atupe hizi siri zote tafadhali.
Nyie ndo walewale wa jini mzuri na mbaya, ushaambiwa uchawi ni kuharibu sasa unaanzaje ukafanyie maendeleo uharibifu, alafu una ushahidi gani wazungu wanatumia uchawi funguka acha mawazo mgando
@@francisruambothetechnician kwani c ushaambiwa Kama Mtume Suleyman akiwatumia Majini kujenga majini na kazi zingine kubwa Sasa sisi daraja Hadi Aje mchina kujenga unajua wanafanyaje Hadi daraja linasimama kwenye Maji?
Leo umelitaja kumbe linaitwa" Jiwe la Nondwa"😂😂😂 eti jina halijasikika vizuri. Mi nasikiliza Kwa earphone kali ,nimelisikia hilo jina ila nakausha Sasa mama wa mtoto kama ni mwema anawezaje kukuumbua? Anakukamataje wakati wewe uko hapo kichawi?
@@benjathekingofficialshows kwani ni nani ambaye hamsikilizi? We uko huko Kwa wazungu nikajua labda utakuwa na uelewa kumbe Bado hujaelimika! Acha kukurupuka kujibu bila kuelewa Kwenye clip zake za mwanzo alisema hilo jiwe hatolitaja ila hapo amelitaja na ndio maana nimemuuliza Leo umelitaja!? Hakuna kitu ambacho sina time nacho Kama hiyo midinidini yenu ya kuletewa na watu weupe na kuanza kuonana dini moja ni bora kuliko nyengine. Hao unawaamini Mi nawaona walikuwa matapeli na wajanja wajanja fulani hivi😂😂😂
@@benjathekingofficialshows kwanini unalazimisha kuwa tunamchukia? Tulia soma vizuri Kama hujaelewa usicomment kwanza,rudia tena kusoma mpaka uelewe. Episode zake za mwanzo alisema hilo jiwe hatolitaja ila hapo amelitaja na ndio maana nimemuuliza. Hakuna sehemu niliyosema Jamaa anaongopa au anasema kweli. Mi namsikiliza na najifunza ambayo siyajui. Big up sana kwake maana hii elimu haitolewi ovyo ovyo
Davistar muulize huyo jamaa hivi siku ya kiama kila watenda zambi wana moto wao au ni moto huo huo wa aina moja ndo utatuunguza wote ??? Mbona hawa jamaa wana zambi mpka wanavunja record!!?? kwa mujibu wa hii story ulimwengu wa giza una maovu mengi sana na ya kutisha.
Davistar naomba umuulize kuhusu utabiri wa nyota huwa unafanyika vipi? Na kwanini nyota( tarehe za kuzaliwa)za watu hupewa sifa( jina) la nge,Simba, kaa n.k?
Kwani hujaskia yote hayo amekua akisema alifanya tangu video ya kwanza? Hii ni video ya 12. Rudi uanzie kuskiza video number 1 kabla ya kuandika mambo yako hayo usirudishe watu nyuma.
Hii story ina Mambo mazito ya kutisha. Ni muhimu Sana kukaa karibu na Mwenyezi Mungu..
Mh yan we kaka Mungu akusamehe sana, mimi nimekulia kigoma na nimeteswa sana na nyinyi. Mpaka sasa sipo poa ntakutafuta
Mwenyezi Mungu 🙏,
Asante sana wote, mafundisho ”elimu dunia ” Greetings from europe” ❤️
Late but nimefika kazi safi sana
Hakuna lisilosamehewa mbele za mwenyezi Mungu kamaukimwomba msamaha pale unapoanguka!
Mtumishi, kutoa Siri za shetani ni njia mojawapo ya kumkana na kujuta mbele za Mwenyezi Mungu, usisite na Mungu akusimamie!
kabisa inatakikana maombi juu huyo mtoto alikuwa na ulinzi wa Mungu
Kwer dunia inamamboo duuh yaan naanza kumwogopa kila mtu maana alivo hb huwezi amini Kama alikuwa hatari hivo, usifiwe msaraba ,asifiwe Yesu aliye kuokoa
Yaniii tukiwa tunakula tusali kabisaaa maaana Tunakula na viumbe hvi mmh Mungu tusaidie
Pia namushkuru Kaka Davistar, mungu akubariki 🙏 from Holland 🇨🇵🇨🇵
Na Ufaransa je itakuw ipi
Duh wachawi wote wapuuuzi sana 😳
Wewe Ulipigwa na kitu kizitoo dadekiii😅😂😂😂
Amina mtumishi
Uwiiiiiiiii mie nimesikiaaa🤣🤣we baba hao wazazi hawatokusameh hutouona ufalme wa mungu mtt anauma sana jamani tunapata shida sana mpaka tuzae maumivu makubwa sana 😭😭😭
Hakuwa na nguvu za Mungu ndio maana
ee Mungu utusamehe maana dunia ni mambo ya kutisha na utusamehe
Watu masikio yetu makali mnoo tushasikiaaa jinaa 😂🤣😂🤣😂🤣😂😅😅
Wakwanza leo🔥🔥
Aaawap
Mungu ni Mkubwa! Siku za hivi karibuni tutakuwa na vyumba vya kuzalia ziwe karibu na makanisa ya kuomba kwa bidii sana.
Ameeen
S.a tupo tunaendelea
Nilipataga mtoto ila alifariki baada ya kuzaliwa nikiwa bado niko labour ,kumbe ndivyo mnavyofanya kutuulia watoto wetu. yaani kesho muwe na majibu mbele ya Allah. 20.08.21.
Pole Dada yangu Wachawi Mungu anawaona tu mimi ivi miaka 3 kwa ndoa lakini mimba haikae 😭
@@furahahappiness110 pole sana kwa kweli, wachawi Mungu awalaani kabisa. yaani nawachukia sana, wanatutesa sana na familia zetu,watoto wanapumbazwa wasisome,sisi ndio hivyo wanatufunga tusizae wanafarikisha.nazidi kuwalaani kabisa.21.08.21.
@@furahahappiness110 ulizia kama uliwahi pelekwa kwa waganga au kuchanjwa chale
@@heritier5119Ndugu yangu ni mengi ii ni RUclips
Marium ulikuwa hauna nguvu ya Mungu ndio maana shetani alikuteka lakini saiv najua umempata Kristo shetani hatakufanya kitu kamwe
Habibi 🤣🤣🤣✌
Lina Mwende uko wapi nimewah
Story nzuri sana ✨
Nchi yetu imefungwa na wachawi thus atutoendelea
Bwana yesu asifiwe
Mungu akubariki kwa kila ufafanuzi 🙏
No.3
Tufafanulie 1 samuel 28,wanasema Mungu ameruhusu uchawi
28 ngap
Number mojaa
Hi Davista.
Naomba atuelimishe zaidi kuhusu watoto wa kichawi. Yule dada mwenye matokeo ya ajabu alituelezea ile hadithi ya rafikie aliekuwa hana kizazi ila akampata mtoto aliyukuwa nyoka kwanza. Atupe hizi siri zote tafadhali.
Uchawi wa kiafrica ungetumika kwenye maendeleo tungekuwa mbali sana
Wazungu wenzetu wanatumia kiamaendelea sisi kushushanaa tu kila siku 😂🤣😂😅😂😅😂😅
Nyie ndo walewale wa jini mzuri na mbaya, ushaambiwa uchawi ni kuharibu sasa unaanzaje ukafanyie maendeleo uharibifu, alafu una ushahidi gani wazungu wanatumia uchawi funguka acha mawazo mgando
@@francisruambothetechnician kwani c ushaambiwa Kama Mtume Suleyman akiwatumia Majini kujenga majini na kazi zingine kubwa Sasa sisi daraja Hadi Aje mchina kujenga unajua wanafanyaje Hadi daraja linasimama kwenye Maji?
Karibu kenya
Asante
Yesu asifiwe sana
Mhulize kama ana weza pata picha za misukule atuonyeshe
Juzi kuna daladala tulipanda likagonga ikawatoka elf 20 tukiwa njiani wakapigiwa simu gari lao jingine limegonga imewatoka laki moja mda huo huo.
Wakwanzaa🤣
Hujaniita🤭🤭
@@linahmwende8397 nimekuitaa hujaona 😂
@@linahmwende8397 nitakuwa nakuita
@@credo7837 labda nlkuwa nimelala
@@philipoluzege3200 sawa nasubiri
W,msalm
Na burundi muje karibu sana kwamaombi
Aliye wahi kuponywa na huyu ndugu
Leo umelitaja kumbe linaitwa" Jiwe la Nondwa"😂😂😂 eti jina halijasikika vizuri. Mi nasikiliza Kwa earphone kali ,nimelisikia hilo jina ila nakausha
Sasa mama wa mtoto kama ni mwema anawezaje kukuumbua? Anakukamataje wakati wewe uko hapo kichawi?
@@benjathekingofficialshows kwani ni nani ambaye hamsikilizi?
We uko huko Kwa wazungu nikajua labda utakuwa na uelewa kumbe Bado hujaelimika! Acha kukurupuka kujibu bila kuelewa
Kwenye clip zake za mwanzo alisema hilo jiwe hatolitaja ila hapo amelitaja na ndio maana nimemuuliza Leo umelitaja!?
Hakuna kitu ambacho sina time nacho Kama hiyo midinidini yenu ya kuletewa na watu weupe na kuanza kuonana dini moja ni bora kuliko nyengine. Hao unawaamini Mi nawaona walikuwa matapeli na wajanja wajanja fulani hivi😂😂😂
@@benjathekingofficialshows kwanini unalazimisha kuwa tunamchukia?
Tulia soma vizuri Kama hujaelewa usicomment kwanza,rudia tena kusoma mpaka uelewe.
Episode zake za mwanzo alisema hilo jiwe hatolitaja ila hapo amelitaja na ndio maana nimemuuliza.
Hakuna sehemu niliyosema Jamaa anaongopa au anasema kweli. Mi namsikiliza na najifunza ambayo siyajui. Big up sana kwake maana hii elimu haitolewi ovyo ovyo
Uchawiiiii bn 👿👿👿
Davistar muulize huyo jamaa hivi siku ya kiama kila watenda zambi wana moto wao au ni moto huo huo wa aina moja ndo utatuunguza wote ??? Mbona hawa jamaa wana zambi mpka wanavunja record!!?? kwa mujibu wa hii story ulimwengu wa giza una maovu mengi sana na ya kutisha.
Zablon alitwambia vile alikua akila kwa watu
Davistar naomba umuulize kuhusu utabiri wa nyota huwa unafanyika vipi? Na kwanini nyota( tarehe za kuzaliwa)za watu hupewa sifa( jina) la nge,Simba, kaa n.k?
Kweli kabisa
Ni ushetan
J.boys
Ina maana hata ukenda hospital lazima uombe dua kwanza watu hawana amani
Vizuri sana kusikia hivyo wewe ni mmoja wa majenerali wa Mungu ,na ndio maana mapepo yalimuona tangua utotoni
Mambo mazito kweli
Wamapacha wana nogesha story
Bro unaweza kuedit kutoa majina kama akitaja
Bado twaendelea
Dunia inamambo
Kunakitu nimejifuza hapo kwa watoto unapo jifunguwa mtoto
Habib alisave vibaya ndo ilikua 40yako
Baadaye Davistar tunaomba umrudishe Hassan kwa ajili ya maswali
Mungu akutaguliye kwa yote
Kwa mfano aongelee mimba zinazotoka ovyo.
Huyu jamaa asimulie aliyo yafanya awache kujipigia debe kufanya story iwe ndefu