Nimewasikiliza wengi lkn huyu viwango vyake ni vya juu zaidi, hata kuongea kwake inaonesha ni kweli kabisa.mungu akubariki na kukulinda bro, ktk jina la yesu.
Nimejifunza Mengi sana kwenye hiki kipindi hata siachi kuangalia kipindi yaani nafanya kusubiria story what next,all big up meshak,big up davistar.one god,all the way from canada
Davista hakika utakosa waangaliaji ktk kipindi chako, Ila ndo watu wataonhezeka zaidi. Hapo kuna nguvu ya kuwaweka watu huru. Usichoke na kaka Meshack Mungu wa Mbinguni Muumba mbingu na vyote hakulinde hakutie nguvu zaidi.
Davistar Allah sio Mungu aliye hai,usiwe vugu vugu Mungu wa KWELI atakutapika. Allah ni combanition ya majina mawili "Al + lah" "Al" ni Mungu Mf;Al awar Al Akher/Mungu ni wa kwanza na Mungu ni wa Mwisho Al nur/Mungu ni nuru Lah ni(.......) Tafuta maana ya Lah utamjuwa ni kitu gani Mathayo 12:36-37
Huyu nduguyetu anaongea vitu vingi sana ktk dini ya kislam sio sahihi kabisa Nakupa nasaha ndugu mwenye kipindi muweke huyo kijana na shekhe wa kiislam ili uujue uisalam vizuri Maana vitu vingi sana alio ongelea nitofauti kabisa na uislam.
Davista tatizo unazungumza mno kuliko hata huyo anaetakiwa kuzungumza.. kwenye dakika 34 unaongea wewe zaidi ya dakika 20. Kama mtu hataki kuamini achana nae
Davista anaogopa waislamu Ati watakimbia channel yako. Acha story itiririke, kila video unakatiza na unarudia rudia same point. Hii story itafika 100 parts, wacha ajielezee si kukitokea maswali si utamrudisha
Umesem vema Mtumishi ana hofu sana anajitetea hataki kuonenekana mlengo wake.Mtumishi Davistar kazi unayofanya ni ngumu sana jikite pia kumtafuta Mungu sana uwe na nguvu ya Mungu hofu iondoke ili uthibitike kuws mwenye haki ili uwe mbali na hofu soma isaya 54:11-17.
Ni kweli hawez kumuweka mtu aseme uongo hata milipogundua kwenye ile Crip ya kwanza alisema alisoma kigoma alghazali ikao ekana ni muongo sikuweza Tena kufuatilia hii tiv
Nilishawaambia watu issa na YESU ni vitu viwili tofauti...Ibrahim wa Quran ni tofauti na wa biblia... angalia jinsi Ibrahim wa Quran alivyosimuliwa na wa biblia alivyo simuliwa jamani Quran inasema Mama wa issa ni ndugu wa Harun na musa... wakati kwenye biblia ni tofauti...someni mjue.... Quran 5;33 waislam wanauchukia msaraba alafu Allah kaiga utumike kiislam... Allah kaumba nguruwe anawachukia Allah kaumba Jews akawapa kitabu anawachukia wakristo akawapa kitabu anawachukia Allah anachukia Alivyo viumba
@@hassanmaulid2166 wewe ndio umepandikizwa fikra kuwa mkristo au Jews ni aduwi yako wewe... ili usiweze kumsikiliza ili kila atakachosema usimsikilize...maajabu aliepokea vitabu ni Jews na Christians so kama hutowasikiliza wao utamsikiliza nani???? Jini ndio akija kwako akikuambia kitu unamsikiliza mfano jini kajieleza kwenye Quran umempinga??? Mkristo anajielezea unampinga...😃🤣🤣🤣🤣 kwahiyo wewe ndio umepandikiziwa chuki kwa Jews na wakristo... kwasababu kabla ya muhhamad kuanza Harakati zake Jews Christians na waarabu woote wa imani zoote waliishi pamoja na hawakuwa na uadui ila muhhamad alipo anza harakati zake akapandikiza uadui ambao mpaka wewe unao....bible imekuwapo miaka 500 kabla muhhamad azaliwe... Leo Quran imekuja miaka 650 baada ya biblia Leo wewe ndio unasema Christians hawajui ukweli wakati Allah anakwambia tumewapa kitabu... Leo Quran imepinga biblia iliotangulia kabla ya Quran...Leo muislam anasema biblia ndio inapinga Quran...nitajie wapi??? Biblia imetaja uislam??? Kwa jina... ila Quran imetaja Christians na kuwapinga.... sasa anaepinga ni nani???? Kati ya cdm na ccm nani mpingaji???? Lakini kwa mujibu wako wewe ccm ndio mpingaji...... pili uislam umefundisha kutokuamini ikiwa unakataa kile yohana alichofunuliwa vipi??? Utake mtu akubali alichofunuliwa...muhhamad... ikiwa wewe ni adui wa mzungu vipi ??? Wewe utake mimi niwe rafiki wa mwaarabu??? Mazinge alikuja hapa akasema manabii woote walikuwa waarabu hamkumpinga ingawa aliongea uongo kwa mujibu wa Quran inayosema kabla yako muhhamad hatukutuma mwonyaji miongoni mwa waarabu how walikuwa waarabu...na Allah anasema hakutuma mwonyaji miongoni mwa waarabu kabla ya muhhamad... ???? Taqya uongo mlio ruhusiwa utaiuwa imani yenu.... ...
Davister unaboa bana na wewe unaongea mno sometimes! Huwezi kuuondoa ujinga ndani ya vichwa vya wapumbafu 1.Channel yako sio ya dini 2.Channel yako ni shuhuda za mambo ya watu waliyopitia 3.Kama upotoshaji upo comment section ipo wazi watu wanaruhusiwa kuleta hoja Ukweli ni kua utaongea sana japo kuna watu huwezi kuufuta ujinga wao nia na dira ya channel yako inajulikana
Sema davista unajiami sana kila saa mazinge mazinge inatuibia mda wetu mwache ticha atupe elimu maneno yake sio sheria atakae chukua achukue asietaka ahache
Davista ukweli unauma,acha Allah wao ajipikanie akuna siku Muslim watakumbali ukweli. Mashehe Wana fanya ukanga napia wanaongoza swalah jameni mungu gani huyo anachanganywa na ushetani
Davister ni bora umueleze mtu wako aeleze mkasa wake tu! Aache mambo ya kulingana dini kivyake pekeake hapa akipenda heri aende kwenye mikutano ya kulingania dini tumsikie ukweli wake
Davistar, you are wrong. The only name that came to save the humans kind is Jesus Christ of Nazareth. And no man can come to the father but by Jesus Christ. Let the guy finish his testimony because it’s seem that you are still confused
Kwani umenyimwa na wewe kutapeli? Katapeli na wewe kama kila mtu anaweza kutapeli!!! Napasua kila majini yako na nguvu za giza na kila uchawi wako upambane na nguvu za giza
Davistar kuna kitu umeongea uko kati achaaaa tafuta kumjua Mungu sana ili ujue uanchoongea hata kaka umesema sio kipindi cha mahubiri shiba neno la Mungu utakua salama
Davistar acha kuhubiri usichojuwa,waachie Makuhani; Kiarabu; Eassa au Yasour ina maana MWOKOZI. Kwa kiebrania ni YEHOUSHUWA/YESHUA/ Kiswahili linatamkwa YESU... Ikiwa na maaana MWOKOZI/ANAYEOKOA WATU WAKE NA DHAMBI ZAO. Issa ina maana dume la ngamia. Mtumishi Meshack yupo sahihi 100%
Acha atoe ushuhuda wake jinsi Mungu alivyomtendea. Kipindi hiki kila mwenye ushuhuda aseme hakuna cha kuogopa kuwa dini gani au watu gani watachukia. Basi kama ni hivyo ukweli hatutaujua. Mtumishi Meshack endelea na ushuhuda watakaotaka kusikiliza kipindi watasikiliza tuu wewe mwamini Mungu Davista vita lazima inakuwepo.
Wewe mpe bangi usimpe bangi!!! Lakini atumuachi Yesu wewe dharau tukana fanya ufanyalo kamanda wangu,tutabaki na Yesu kristo nashukuru sana kwa kudharau wakristo milele
Wewe kama ume twa sasa ivi nenda hata kwenye mlipo kua muna fuga hao watu ukaombe rehema na uvunje magano mulio eka na kama ume okoka una nguvu ya mungu ombae hixo ngome za giza
Mtu anaeamini eti Nabii Issa ndiye Yesu Kristo basi huyo anakuwa haijui Quran wala Biblia. Tofauti kati yao ni kubwa mnoooo, Kuanzia kuzaliwa kwao hadi kufa.
Nimewasikiliza wengi lkn huyu viwango vyake ni vya juu zaidi, hata kuongea kwake inaonesha ni kweli kabisa.mungu akubariki na kukulinda bro, ktk jina la yesu.
ILA kama anatudanganya MUNGU AMFUATILIEEE MILELE
Davista mambo unayo ongea hayana maana ni tofauti na kipindi,mpe mda mtumishi wa mungu aongee bwana
Anaongeaga sana na kila siku anarudia yaleyale
Asante sana..
Ni kweli kabisa asilazimishe dini kufanana. Hapo anakuwa hawasaidii wenzetu anawapotosha
Lengo la Meshack ni kuwapeni daawa acheni shirki, mcheni Mola pekee.
Uko sahihi qaqa
kabisa
Umenena vema Mungu akubariki sana
Mtu akisema mungu akubariki uliza Jina la Huyo mungu maana miungu wengi ila wa kweli mmoja ( Yahweh Jesus)
Nimejifunza Mengi sana kwenye hiki kipindi hata siachi kuangalia kipindi yaani nafanya kusubiria story what next,all big up meshak,big up davistar.one god,all the way from canada
We mwache aeleze anayotaka kuzungumza akija na wa imani nyingine na yeye azungumze tu sisi ndio tunamaamuzi yakufuata.
Kabisa mzee
Naona bwana davista unaogopa kulogwa Kaka 😁😁😁🤣🤣
Ahsante sana kwa kumleta Huyu ndugu
Isa alizaliwa chini ya mtende, Yesu alizaliwa kwenye zizi la ng'ombe
Malizia 😂😂
Davista hakika utakosa waangaliaji ktk kipindi chako, Ila ndo watu wataonhezeka zaidi. Hapo kuna nguvu ya kuwaweka watu huru. Usichoke na kaka Meshack Mungu wa Mbinguni Muumba mbingu na vyote hakulinde hakutie nguvu zaidi.
Ni kuomba tu Mungu na kumtegemea YEYE peke yake🤲🤲🤲
Bwana yesu asifiwe
@@drnow1528 Hilo jina Waislamu wakilisikia mishipa ya usoni inawasimama.
@@kamgomoli3650 kabisa yan watakuua😂😂😂😂
Daah meshack uko very TRUE and Bright , hongera Sana mtumishi wa KRISTO
Asante sana 🤝 Tupo pamoja! Mwenyezi Mungu ni kila kitu🙏
Story iendelee Davista mnaongea sana mengne tofauti na story hii
Jamani kusema kweli huyu mtumishi mm namuelewa sana sana
Njaaa mbaya bro
duuh nimecheka 😀😀😀😀😀😀😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃
Hatar na nusu
Njaa mbaya kivipi maana yameandikwa kwani uongo au usipinge ukweli
Mimi naomba kama kuna watu uliwafunga omba vifungo vyote vikauke na walio mateka wachiliwe ninge shukuru sana
Mimi mchristo nimejifunza kitu kipya leo, have always thought Issa ni Yesu kumbe sio, asante sana Minister Meshach
Jamani endeleeni hii story haisongi kabisa hii itafika 100
Ushuhuda huu unafungua macho
Mwenye masikio na asikie. Yesu Kristo asifiwe sana.
Davistar Allah sio Mungu aliye hai,usiwe vugu vugu Mungu wa KWELI atakutapika.
Allah ni combanition ya majina mawili "Al + lah"
"Al" ni Mungu
Mf;Al awar Al Akher/Mungu ni wa kwanza na Mungu ni wa Mwisho
Al nur/Mungu ni nuru
Lah ni(.......)
Tafuta maana ya Lah utamjuwa ni kitu gani
Mathayo 12:36-37
Bwana yesu asifiwe
we devister maneno mengi acha pea kuhani kuendelea sababu ya muda
Huyu nduguyetu anaongea vitu vingi sana ktk dini ya kislam sio sahihi kabisa
Nakupa nasaha ndugu mwenye kipindi muweke huyo kijana na shekhe wa kiislam ili uujue uisalam vizuri
Maana vitu vingi sana alio ongelea nitofauti kabisa na uislam.
Amepeana number za simu ,kamasio sahihi mtafute umchambue
Ndio awakutanishe yeye na mazinge alone kama hatakimbia
Davista tatizo unazungumza mno kuliko hata huyo anaetakiwa kuzungumza.. kwenye dakika 34 unaongea wewe zaidi ya dakika 20.
Kama mtu hataki kuamini achana nae
Anazingua huyo jamaa davista. Amuache aeleze ukweli kwa undani
@@franklulasanye3123 anaogopa watu watachukia.. kama ni ukweli ni ukweli tu haubadiliki
Mazinge dawa yake ni Mwalimu Ndacha😆😆😆
Davista anaogopa waislamu Ati watakimbia channel yako. Acha story itiririke, kila video unakatiza na unarudia rudia same point. Hii story itafika 100 parts, wacha ajielezee si kukitokea maswali si utamrudisha
Muislamu halisi achanganyi shirki na dini. Uchawi, ushirikina sio uislamu
Umesem vema Mtumishi ana hofu sana anajitetea hataki kuonenekana mlengo wake.Mtumishi Davistar kazi unayofanya ni ngumu sana jikite pia kumtafuta Mungu sana uwe na nguvu ya Mungu hofu iondoke ili uthibitike kuws mwenye haki ili uwe mbali na hofu soma isaya 54:11-17.
Ni kweli hawez kumuweka mtu aseme uongo hata milipogundua kwenye ile Crip ya kwanza alisema alisoma kigoma alghazali ikao ekana ni muongo sikuweza Tena kufuatilia hii tiv
Nilishawaambia watu issa na YESU ni vitu viwili tofauti...Ibrahim wa Quran ni tofauti na wa biblia... angalia jinsi Ibrahim wa Quran alivyosimuliwa na wa biblia alivyo simuliwa jamani Quran inasema Mama wa issa ni ndugu wa Harun na musa... wakati kwenye biblia ni tofauti...someni mjue.... Quran 5;33 waislam wanauchukia msaraba alafu Allah kaiga utumike kiislam... Allah kaumba nguruwe anawachukia Allah kaumba Jews akawapa kitabu anawachukia wakristo akawapa kitabu anawachukia Allah anachukia Alivyo viumba
@@hassanmaulid2166 wapotoshaji ni majini walifunuliwa Quran...wewe tuambie viumbe gani wengine kwenye Quran wamejielezea zaidi ya kuelezewa???
@@blessedlovedandfavoured4129 mie mkristo Quran nimeisoma miaka 12 ni uzuuu,,, hamna kitu
@@hassanmaulid2166 wewe ndio umepandikizwa fikra kuwa mkristo au Jews ni aduwi yako wewe... ili usiweze kumsikiliza ili kila atakachosema usimsikilize...maajabu aliepokea vitabu ni Jews na Christians so kama hutowasikiliza wao utamsikiliza nani???? Jini ndio akija kwako akikuambia kitu unamsikiliza mfano jini kajieleza kwenye Quran umempinga??? Mkristo anajielezea unampinga...😃🤣🤣🤣🤣 kwahiyo wewe ndio umepandikiziwa chuki kwa Jews na wakristo... kwasababu kabla ya muhhamad kuanza Harakati zake Jews Christians na waarabu woote wa imani zoote waliishi pamoja na hawakuwa na uadui ila muhhamad alipo anza harakati zake akapandikiza uadui ambao mpaka wewe unao....bible imekuwapo miaka 500 kabla muhhamad azaliwe... Leo Quran imekuja miaka 650 baada ya biblia Leo wewe ndio unasema Christians hawajui ukweli wakati Allah anakwambia tumewapa kitabu... Leo Quran imepinga biblia iliotangulia kabla ya Quran...Leo muislam anasema biblia ndio inapinga Quran...nitajie wapi??? Biblia imetaja uislam??? Kwa jina... ila Quran imetaja Christians na kuwapinga.... sasa anaepinga ni nani???? Kati ya cdm na ccm nani mpingaji???? Lakini kwa mujibu wako wewe ccm ndio mpingaji...... pili uislam umefundisha kutokuamini ikiwa unakataa kile yohana alichofunuliwa vipi??? Utake mtu akubali alichofunuliwa...muhhamad... ikiwa wewe ni adui wa mzungu vipi ??? Wewe utake mimi niwe rafiki wa mwaarabu??? Mazinge alikuja hapa akasema manabii woote walikuwa waarabu hamkumpinga ingawa aliongea uongo kwa mujibu wa Quran inayosema kabla yako muhhamad hatukutuma mwonyaji miongoni mwa waarabu how walikuwa waarabu...na Allah anasema hakutuma mwonyaji miongoni mwa waarabu kabla ya muhhamad... ???? Taqya uongo mlio ruhusiwa utaiuwa imani yenu.... ...
Kwaiyo bibilia ya kiarab inasem mungu ni Allah je na bibilia ya kiswahili huyo Allah mnamuitaje
Dvm una ongea sana una tuharibia story na imeshikq
Kama mazinge alikuja akazungumza anavyotaka basi mwache na yeye azungumze nini kumkatishakatisha bhn
Yan kila comment ninayotak kuiandika naonaa haifaiiii.... Inaboaaaa... 🚶🚶🚶
Davister unaboa bana na wewe unaongea mno sometimes!
Huwezi kuuondoa ujinga ndani ya vichwa vya wapumbafu
1.Channel yako sio ya dini
2.Channel yako ni shuhuda za mambo ya watu waliyopitia
3.Kama upotoshaji upo comment section ipo wazi watu wanaruhusiwa kuleta hoja
Ukweli ni kua utaongea sana japo kuna watu huwezi kuufuta ujinga wao nia na dira ya channel yako inajulikana
Sema davista unajiami sana kila saa mazinge mazinge inatuibia mda wetu mwache ticha atupe elimu maneno yake sio sheria atakae chukua achukue asietaka ahache
#MTUMAKINI unaongea sana,,mpe nafasi huyu mtu aseme alichonacho🙏🙏🙏,,pamoja sana
halo,unatupozea muda wa kusikia vigongo toka mr Meshack,Davister unaongea sanaaaaa
Davistar usiwe unashimba sana kuhusu dini mwashe mtu aeleze stori yake tu watu wenyewe ndo watashuja lipi kweli lipi sio
Davista anaogopa zaidi “wateja “ wake japo yeye ni mwamini wa Kristo inashangaza anaogopa ukweli usisemwe! Davista acha uoga!
Meshac ana hekma kubwa davista tulia tujifunze elimu tunachagua tukitakacho .tusicho kitaka tunakiacha tena kwa hiari
Elimu karimu, bwana asifiwe 🙏
Mr dm mpe hai ngarambe boy gungu gwambe mbishi💪
Mr DM got lako linaonekana kumbukumbu zabron ulimwambia goti linaonekana akashusha.😂
Davista ukweli unauma,acha Allah wao ajipikanie akuna siku Muslim watakumbali ukweli. Mashehe Wana fanya ukanga napia wanaongoza swalah jameni mungu gani huyo anachanganywa na ushetani
Ukweli ni kuwa ndani ya yesu kuna uzima wa milele .. Tusiwapake mafuta waislam, bila wokovu mbingu haipo kwako.
Asalaam Aleykhum Davista and Hassani. Yaani nimejua mambo mengi sana. Tuendelee kuwa pamoja wapendwa wangu.
Ubarikiwe mtumishi wa kristo aliyehai !! Damu ya kristo ikufunike
Davistar acha maneno mengi , mwache anayeshuhudia ashuhudie ukweli bila kuficha
Together 💪 Mr everything
Mapya hayo eti issa ni mwengine na yesu ni mwengine hii kali mungu akusaidie kaka maana duh
Kipindi kizuri Sana mafundisho mazuri Sana na meshack anasema ukweli anaexplain vizuri sana
Bado Tupo👍
Hi
@@zahirrajabumgonza1174 Hello
Hahahaaaa. Davistar leo una masihara sana
Davister ni bora umueleze mtu wako aeleze mkasa wake tu! Aache mambo ya kulingana dini kivyake pekeake hapa akipenda heri aende kwenye mikutano ya kulingania dini tumsikie ukweli wake
Endelea katikati na Yesu akirudi utakuwa katikati hivyohivyo
Endelea kuwa katikati na Yesu akirudi utaendelea kuwa katikati
Mlete tena Mazinge amuweke sawa huyu jamaa ,
Mazinge hamna kitu anachokijua yeye ni mtu mbishani
Hakuna Cha Mazinge Wala Nini Mazinge mwenyewe elimu yake magumashi
Davistar, you are wrong. The only name that came to save the humans kind is Jesus Christ of Nazareth. And no man can come to the father but by Jesus Christ. Let the guy finish his testimony because it’s seem that you are still confused
Ndo huyohuyo yesu kristo atakuja acha kukwepa 😅😅😅😅
Davista unawahofia sana waislamu, lkn ukweli wote unaujua. Itafikia tu wakati utajikuta kweli pekee ndio itakayosimana ktk hicho kipindi chako.
Davistar leo umebore😫Mpe muda aeleze ushuhuda wake
Naomba atushuhudie alio pitia Kwanza kipindi Cha din iwe mwishoni
Davista ww umekuwa tena mzungumzajii wacha jmaa aongee bnaa,unaongea sanaaa
Davista tunakuskiza kutoka Kenya. Usiwe na shaka. Hata hivyo mtu huskiza kile ana amani nacho
HAHAHA ISSA NI YESU .....HILO JINA LENGINE NDO KWANZA NALISKIA KWAKE , DAH KWEL HUYU MUONGO
Alafu anajiita msomi yaani huyu elimu yake hata mtoto wa miaka mitano anawenza kuibemba
@@aminaally863kwani tukienda motoni wakristo utaenda wewe ,utachomwa wewe kuzimu?
Huyo lssaa bin Mariam
Na hugo yesu bin nani?
kamuulize mazinge 🙄
Bin masih😂😄😄😄
Endelea kutoa somo tupo nyakati za mwisho mwisho
Watu wakigoma hao wasanii tu wanatafuta kiki za maisha tu ni mataperi wanaotumia uchawi na din
Wakristo tume mpokeya hivyo hivyo jina la yesu lihimidiwe
Kwani umenyimwa na wewe kutapeli? Katapeli na wewe kama kila mtu anaweza kutapeli!!! Napasua kila majini yako na nguvu za giza na kila uchawi wako upambane na nguvu za giza
Ata wakristo wanajua Hilo😜😜😜
Davistar kuna kitu umeongea uko kati achaaaa tafuta kumjua Mungu sana ili ujue uanchoongea hata kaka umesema sio kipindi cha mahubiri shiba neno la Mungu utakua salama
Davistar acha kuhubiri usichojuwa,waachie Makuhani;
Kiarabu; Eassa au Yasour ina maana MWOKOZI. Kwa kiebrania ni YEHOUSHUWA/YESHUA/ Kiswahili linatamkwa YESU... Ikiwa na maaana MWOKOZI/ANAYEOKOA WATU WAKE NA DHAMBI ZAO.
Issa ina maana dume la ngamia.
Mtumishi Meshack yupo sahihi 100%
Acha atoe ushuhuda wake jinsi Mungu alivyomtendea. Kipindi hiki kila mwenye ushuhuda aseme hakuna cha kuogopa kuwa dini gani au watu gani watachukia. Basi kama ni hivyo ukweli hatutaujua. Mtumishi Meshack endelea na ushuhuda watakaotaka kusikiliza kipindi watasikiliza tuu wewe mwamini Mungu Davista vita lazima inakuwepo.
Acha uongo na wewe Issa sio YESU
SASA USHASEM NI BIBLIA YA KIARABU , SO UNATAKA AANDIKWE YESU AU ISSA😁😁😁😁😁😁😁...HUYU JAMAAA AJE NIMPE HATA BANGI
Msikilize mtu vizur acha kupanick
Wewe mpe bangi usimpe bangi!!! Lakini atumuachi Yesu wewe dharau tukana fanya ufanyalo kamanda wangu,tutabaki na Yesu kristo nashukuru sana kwa kudharau wakristo milele
Fanya mikasa huyo broo ninjaatu
Kakipande kenyewe kamoja kwa siku lakini maswali na kujielezea ni kwingi kuliko stori Sirius mnaboa
Du Leo Nami pia nimeipata kipya wacha ni jifunze, ni some nisisubir kusomewa mana mambi ya membandilika uwiiiiii,
(Yaan Yesu sio Issa) ⁉️
Jamani uyu davistar n bwege cjawai ona c ujifunze kukaa kimyaa
Davista mbona unaogopa tena mwache meshack aponye watu kupitia neno watu wengi wamepotea au wamepotezwa vibaya mwache meshack
Mara nyingi sindano na dawa inavyoingia uwa inauma sana lakini hamna namna,ndo dawa hiyo unatakiwa uvumilie tu.
Kwako ndo inaumaa....
Hakuna linalomshinda Mungu
Huyu chizi bado hajamaliza mada yake?? Kashiba nyama za watu na mafuta ya watoto wachanga
Sisi wakristo tume mpokeya na mabaya yote haliyo fanya jina la Yesu lihimidiwe
@@HusseinBoarnege Amen njooni kwangu nyinyi your msumbukao na mizigo.nami nitawapumzishs
Mafuta ya watu yanatembea mwilin basi anawewwseka tu anachoelenzea sijui hata ni nini story haiendi tupo hapo hapo tu
Huyu siyo chizi huyu ni jasusi la mbinguni hujalazimishwa kumfatilia
😀😀😀😀khaaaa
Dm..relax maswala ya dini acha kufafanua kiti boss..waongo wanajulikana wamewekwa wazi..aliye na macho aambiwi tazama!
Mimi naona muendelee na testimony yako,achaneni na dini,mimi nahitaji kujifunza mambo ya kiroho ,
Hawataki wamekwama na dini hata story haisongi
Davstar maneno mengi sana yaan mimi basi tu
ee Mungu utusamehe na kutulinda maana dunia ina mambo ya kutisha
Tupo ndani ndani kabisa
Meshack tunaomba elimu ya jinsi ya kusali na kujikinga na maadui, nguvu za giza, etc.
Davista mjanja yuajua Kila kitu apa ila anataka tujifunze ...bwana yesu apewe sifa
Anikerasana
dav hii part wewe ndo umeadisia
😂😂😂
Wewe kama ume twa sasa ivi nenda hata kwenye mlipo kua muna fuga hao watu ukaombe rehema na uvunje magano mulio eka na kama ume okoka una nguvu ya mungu ombae hixo ngome za giza
Mazinge kadoma humuwezi
Kwa hiyo issa bin maryam na yesu bin maryam
first
Mtu anaeamini eti Nabii Issa ndiye Yesu Kristo basi huyo anakuwa haijui Quran wala Biblia. Tofauti kati yao ni kubwa mnoooo, Kuanzia kuzaliwa kwao hadi kufa.
kubali
Imani ni upofu watu wamefungwa hawatumii akili ukiijua imani zao ukahoji,,, huwezi kamwe kufungua akili zao (they suspended their mind long enough)
meaning what bro
@@flubtv under faith affairs most of believers are more emotional rather than rational,,,
Huyu hana kuokoka bado anatafuta wateja
Kazi ya kuhukumu ni ya MUNGU pakeyake.
Sio jana wala juzi huyu anamiaka zaidi ya 10 kwenye wokovu... na si sehemu yake ya kwanza kushuhudia ni maarufu
Wakristo tume mpokeya hivyo halivyo neno la yesu li himidiwe
Davistar embu tuwekee bandika bandika please....unatunyima uhondo
Yupo ki kazi mzee anapinga hela
namba ya Hasan whatsup ifanyi kwanini, tunataka kunena nae
Je Mariam wako wawili?
Ni mmoja tu dada yake ya Abraham. You need to know the difference between Mariam and maria
1 anaitwa Miriam dadaye mussa_ agano la kale (torati ya mussa)
2 anaitwa mariam mamaye yesu_ agano jipya
Hata wewe saba mimi sitaki kujua nataka kumjua Yesu kristo aliyemwaga damu yake msalabani
Uniombeye minapataka makuta minashidwa zitumikisha nirichard toka Congo RDC
Mtumishi Meshack huyu jamaa umemuelewa?anahitaji msaada anapakata makuta sijui ndio manini
😂😂😂
Davistar uliza maswali ya msingi