NILITAKA KUMPASUA MADAM RITHA WA BSS BAADA YA KUVUTA VITU VYANGU : BELLA KOMBO | MASANJA TV

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 13 май 2019
  • TANGAZA NASI MASANJA TV TUPIGIE SASA KWA NAMBA 0712329490
    SUBSCRIBE | Masanja TV | For more Gospel Updates:
    👇 👇
    / @masanjatvgospel
  • РазвлеченияРазвлечения

Комментарии • 53

  • @waypetertv8856
    @waypetertv8856 4 года назад +12

    nashangaa wa2 wanamubishia huyu dada wakati sio wasanii yy anaonge coz kayapitia hayo ko walionielewa gong like twende pamoja

  • @salomeeliakim7488
    @salomeeliakim7488 4 года назад +1

    Amen! your story touched me

  • @monicajulius905
    @monicajulius905 5 лет назад +4

    Mungu wangu tupe mwongozo wako mfalme

  • @andrewkitaly6003
    @andrewkitaly6003 5 лет назад +1

    in God we trust

  • @user-zj9op4fb7w
    @user-zj9op4fb7w 21 день назад

    Unakipaji...ila tu nikushauri tu kwa wema hayo mavazi...yakuvaa suruali...yatakuondolea utukufu japo kwa leo uko juu ila utashuka hutaamini...vaa vizuri kama mlokole...mimi sioni utofauti wako na mwinbaji wa bongofleva...

  • @jasmineshemweta1683
    @jasmineshemweta1683 5 лет назад

    Pole dear

  • @mwajumaally3665
    @mwajumaally3665 5 лет назад +1

    Jamanii Bella,ila Mungu ni mwema.

  • @farajalaizer4669
    @farajalaizer4669 4 года назад

    She is beautiful.

  • @sheisgodorait5721
    @sheisgodorait5721 5 лет назад +2

    Pole sana nilazima kweli

  • @mocranaburugi3486
    @mocranaburugi3486 5 лет назад +3

    Part one iko wapi?

  • @husnajohn7466
    @husnajohn7466 5 лет назад

    Mungu akuongoze maana umepotea

  • @michaelkihaga8773
    @michaelkihaga8773 5 лет назад +5

    ooooh pole Sana mpendwa Mungu akutie nguvu

  • @lillianrotuaek275
    @lillianrotuaek275 3 года назад

    Ni kweli dada. Jeki hizo ni bure tu.Bila Mungu sisi ni bure.

  • @hatamimnimempendabulejaman1596
    @hatamimnimempendabulejaman1596 3 года назад

    Mzur

  • @roserisasi5441
    @roserisasi5441 5 лет назад +6

    Hadanganyi nikweli kabisa

  • @djsjswhshhwh8382
    @djsjswhshhwh8382 4 года назад

    Eti nimelia

  • @kateoluchiri6581
    @kateoluchiri6581 5 лет назад +1

    With God everything is possible sio wote wanatumia madawa ni ujasiri na mungu

  • @josephbonday8510
    @josephbonday8510 5 лет назад +2

    Hayo Masuruali tena yanakubana bado umeyavaa na matatoo bado umeyaacha mwilini.KWELI UNAHITAJI MSAADA WA KINA WA MAANDIKO YA MWENYEZI MUNGU

  • @officialchox3580
    @officialchox3580 3 года назад

    Chizi Huyo dada

  • @sylviamusinzi9089
    @sylviamusinzi9089 3 года назад +1

    kwani lazima mutumie kengele jamani, haya mapya

  • @davidwalalason7630
    @davidwalalason7630 4 года назад

    God is real and works on different pple.

  • @maubarak9831
    @maubarak9831 5 лет назад

    hio ni mambo yakimajini sio kuokoka walanini

  • @benedictamaganga614
    @benedictamaganga614 5 лет назад

    Kifuu cha Nazi nanyi.

    • @wahidawahida6675
      @wahidawahida6675 5 лет назад

      Et watanzania hawajui kifuu ata mzungu aliekuwa amerik anajua😁😁

  • @josephgomalo41
    @josephgomalo41 4 года назад

    Ila una bayondo ya nguvu.. my type..!

  • @sirsebaonline9106
    @sirsebaonline9106 4 года назад +1

    Wewe dada nitafute nikwambie unachokosea serious very important

  • @ZaharadaffaZaharadaff
    @ZaharadaffaZaharadaff 4 года назад +1

    Dada muongo sana na uwache kuharibu kazi za watu kama wewe ulifanya ivyo ni wewe na utaahira wako acha kuchafua wasanii

  • @lucysandy3207
    @lucysandy3207 5 лет назад +7

    Sio wote wengine wana karama zao.

  • @imakulatasingo1983
    @imakulatasingo1983 5 лет назад +6

    sio wote Dada labda pekeyako

  • @petermhina6535
    @petermhina6535 5 лет назад +1

    Kisuruali dada kinakuondolea utukufu ungevaa vazi la wokovu

  • @josephbonday8510
    @josephbonday8510 5 лет назад +3

    Yalishatabiriwa haya kwenye maandiko matakatifu kuwa manabii wa Uongo wengi watatokea siku za mwisho na kuwadanganya wengi hata walio WATAKATIFU. SO wasomao maandiko hatuyashangai hayo na wala hatudangangiki na hizo ROHO ZA MANABII WA UONGO

  • @nuruabraham3769
    @nuruabraham3769 5 лет назад +2

    acha uongo wako.

  • @adijaniyonkuru9731
    @adijaniyonkuru9731 4 года назад +3

    Muongo wewe sio wote. Labda wewe uko ulikokuwa sio kuzuri

  • @saidmwinyi7062
    @saidmwinyi7062 4 года назад

    Sitaki kukuamini maneno yako hata kidogo sio wotee wengine stimu nature akwendeeeeee ukoooo

  • @famitonawanda4831
    @famitonawanda4831 4 года назад +1

    Huyu dada ni muongo mbona kuna watoto wadogo wana mizuka na ndio kipaji na kipaji sio ulevi acha ujinga we dada

    • @kelvinnyamle6031
      @kelvinnyamle6031 4 года назад +1

      Hao watoto ni kina nani, Ckliza na tunia akili kuchambua kiongelewacho ,sawa

  • @adijaniyonkuru9731
    @adijaniyonkuru9731 5 лет назад

    Muongo wewe usijifanye umeokoka

  • @ilovejesus9303
    @ilovejesus9303 5 лет назад

    Kwa hiyo diamond atakuwa anatumia nn kupata mizuka!