Размер видео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показать панель управления
Автовоспроизведение
Автоповтор
Kila laheri my brother mungu akutangulie karibu kwenye chama cha ndoa
Hii ndoa namuomba MUNGU idumu milele katika jina la YESU KRISTO
Mungu awape maisha ya aman na baraka ..ndoa yenu naikabidhi mikononi wa mungu
hongera sana Ringo ndoa yenu ifike mbali nakuombea coz umejua kuchagua mke mzuri❤
Mzuri sawa ni mwemaaa?
Mungu akufanyie wepes
Kwaiyo mama daines umemuacha lingo
Jacob a.k.a Ringooooo safari ya ndoa si Lele kaza...hope hadi unaamua kuingia maana yake umejitathimini..Mungu awatangulie❤❤
Mungu awabariki katika maisha yenu ya ndoa
😂😂😂 jani mbona zakia hutulii Kama mumeo mtarajiwa hebu tulia basi acha kuzunguka Kama feni
Heee bi harusi mwendo wa kuzunguruka tu 😂
Ringo hongera snaa
Hiii inaweza ikawa move wanaigiza
Ringo Ringo Ringo aisee Aya bna kila la kheri bwana mkweche
Masantula jamani😂😂😂😂😂😂
Kumbe ringo bado hajaoa badooo😮😮😮
Jaman mansatula
Hongera
Lingo masabufa😅😅😅😅🎉
Binti kabadili dini kamfata yesu
;nm
📀📀📀🙊😁💯🌽📀📀🙊📀media.tenor.com/9Hlh1EvqSvUAAAAM/cristiano-ronaldo-ronaldo.gifmedia.tenor.com/MojW2yr1vFoAAAAM/money-money-money.gif😅😢😢
Mh na mm nioe Sasa.....
Aiseee ringoooo
Bi harusi anatatizo gani...? Mbona hatulii kama vile kabanwa na haja ndogoo😅😅 au ndo pozi..!!?
Sielewi sasa huyu ndo mke wa ringo?na yule mwingine mweupe ivi mwenye walikuwaga naigiza naye kwani hakuwa mkewe. Mbona kuna siku ringo kashaga mtambulisha kuwa mchumba wake.sasa huyu mrefu katokeya wapi,labda ringo katuficha.mpendane inafurahisha.❤
Namuona masantura 😂😂😂😂
Kanisa la comedy
Huyu zakia kama feni anazunguka zunguka auna aja ya kununua feni
Umechagua fungu lililo jema hongera sana
Wamebatizwa kweli kwa maji tele
Bi harusi mrefu kama zailisa Mke wa manala
Sasa ili kanisa au FM academy 😅😅😅
😂
Nimependa jambo frani apo
Bib harusi c utulie mbona unajizungusha san
Yani hatuliii kaniboa sana 😅😅
Automatically vibration zinatokea. ❤❤
Wengine kuondoa aibu bhana ndo mana anafanya hayo we nae
Huyo bibi harusi anazunguka tu au anaumwa
Anaumwa kizunguzungu
Mbona vichekesho
Kila laheri Jacob
Saaaafi
Watuu wakee mbn hawapo ringoo
kanisa la tabasamu
Anafurahia ndoq