The bottom line is have the system find an approved way to get them running long term? How is their servicing plan, detour plan? The Passengers' embarking plan without chaos and damage, and most importantly DRIVER's discipline?
@@IBENGMHakuna bro hayana gharama kubwa, sikiliza video tena reason ya kukimbia mabus ya zaman ni sababu ya hali ya hewa na miundombinu ana maana mvua na maji barabarani so magari ya Umeme yakirushiwa maji tu yanazima
@@Michaelmike68 Unabisha vitu usivyovielewa haya twambie bei ya basi kubwa la umeme la BYD! Hilo swala la maji ni specification tu unawaeleza kwenye order yako kiwandani wanacustomize kulingana na vile unavyota,kama yangekuwa yanazima hovyo unafikiri wangekuwa wanauza sana??
I'd love for Dar Es Salaam to have a metro railway system.
Viva my country
🇹🇿
🇹🇿🙏🏽
CNG means reduced running cost on fuel. So we are expecting a much better service compared how it has been.
The bottom line is have the system find an approved way to get them running long term? How is their servicing plan, detour plan? The Passengers' embarking plan without chaos and damage, and most importantly DRIVER's discipline?
Tanzania is the hub of the world
very Good! 👍🏽🇹🇿
Wow nice ❤🎉😂❤
Nawafuatilia tokea durban KwaZulu-Natal hizo bus siyo poa yaan ni high class to be honest
Huh? Sio poa but ni high class? Lol wapi na wapi?
@@section8ight174😂😂😂 umeshindwa kumuelewa anaposema siyo poa maana yake amezikubali yani kali sana ni nzuri sana hiyo ndiyo maana yake... 😂😂😂😂
@@section8ight174 wewe ndiyo tukuulize wawapi? Maana mtanzania atakuwa ashaelewa kinachomaanishwa
@@ulimbombonaulindi5088 tuliza gozi weweee! Sio wote Tunasota bongonyoso lol
@@rayisadesigns2646 why are y’all copying everything lol
Nice models
✊🏽
IF NOT ELECTRIC WE ARE LAGGING BEHIND ❤ TIMES.
More clean energy ⚡ ,well done🎉
🎉👏🏽👏🏽👏🏽
They arent electric
@@ulimbombonaulindi5088 Yes, but CNG which is regarded more clean compared to diesel..
Good ❤
Thanks @sirajiRashidy
But the loading should also be controlled. Those current chinese mwendokasis are overloaded especially during pick hours.
They need to get some electric BYD articulated buses.
Ni mazuri sema gharama yake ni kubwa sana!
One step at a time dude!
@@IBENGMHakuna bro hayana gharama kubwa, sikiliza video tena reason ya kukimbia mabus ya zaman ni sababu ya hali ya hewa na miundombinu ana maana mvua na maji barabarani so magari ya Umeme yakirushiwa maji tu yanazima
@@Michaelmike68 Unabisha vitu usivyovielewa haya twambie bei ya basi kubwa la umeme la BYD! Hilo swala la maji ni specification tu unawaeleza kwenye order yako kiwandani wanacustomize kulingana na vile unavyota,kama yangekuwa yanazima hovyo unafikiri wangekuwa wanauza sana??
@@IBENGM Rudi darasani kwanza kisha ukiwa level yangu njoo tuendelee. ukishajifunza njoo reply comment yangu
💪💪💪
❤❤❤
mmh haya bongo hayatoboi bora wangeacha zilezile golden dragon za kichina
Wewe ni hater
🇹🇿🇹🇿🇹🇿💯
We have enough electricity to run these buses. Buying disel buses at this time is an economic crime.
Overtaking kenya in all directions, proud of you Tanzania; we in kenya elected ali baba and 40 thief's 😢.
Natazama kutoka Kenya wee tunapitwa na majirani
piganeni na serikali mpaka mwisho! barabara za juu hazikuwa na faida zaidi ya kuongeza gharama za maisha
Nganya ni mingi jo
@@marwawilliam3648Watu wamechoka ni hooliganism ya nganya. Kenyans are crying for order and tranquility.
i cant wait to park my car
😃
Also they should be electric Buses not Diesel
ushamba tu mabasi ya china yalikuwa na tatizo gani?yalikuwa cheaper tena yalitufaa sana kutengeneza mazingira ya upigaji tu!
Haujui kitu kaa kimya. Mabasi ya Scania yanadumu mabasi ya kichina yanakufa haraka.
@@rayisadesigns2646 hata kukujibu naona uvivu
Ukinunua basi Toka china utatumia miaka5 but scania Toka Sweden miaka10 so choose Nike air air Jordan
🎉
Better be electric
Why talking down chinise buses for no reason, they ware thair when we needed them if now we stepping up we should be thanks full🇹🇿 0:15
Electric buses