REFA KATUUA SIMBA| MASHABIKI WALALAMIKA SIMBA SC| WAANZA KUHESABU MAKOSA YA KAYOKO MAPEMA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 22 янв 2025

Комментарии • 19

  • @ikulunimahalipatakatifu7642
    @ikulunimahalipatakatifu7642 3 месяца назад +1

    SIMBA BINGWA 2024/25

  • @MrutuAbdala
    @MrutuAbdala 3 месяца назад

    I understand you very much, my fellow fans, you know today they were clearly carried away, the referee was on their side, the ball has gone out and they have said that there will be a goal one day and we will be better, inshallah

  • @iddmbiha1240
    @iddmbiha1240 3 месяца назад

    Me nafurahii kweli makolo hawajui mpira

  • @stellakagemlo8095
    @stellakagemlo8095 3 месяца назад +1

    Hapa yanga moja kayoko ziro

  • @Mkonkotolyo
    @Mkonkotolyo 3 месяца назад

    Vipi dude kuvutwaa na beki akatoa yellow badala ya red

  • @abubakarbajun3503
    @abubakarbajun3503 3 месяца назад

    Weee mwandishiii vipi huoni refaa alichofanyaaa

  • @Tee-King
    @Tee-King 3 месяца назад

    Uyo mshikaj anataka ampeleke refa akacheze na P Diddy 😂😂😂😂. Wakija kupigwa tena watakimbilia GSM anawaalibia mpira 😂

  • @JosephineItambu
    @JosephineItambu 3 месяца назад

    Huyo mtoto alivyobebwa hivo nakumbuka zamani mzee wangu alikuwa akienda misele yake na mimi namfuata tena nalia kabisa anibebe😢basi mwenyewe hana hiyana hadi mpirani tutaenda wote..nikawa naitwa mtoto wa baba😅

  • @MariaMnthax
    @MariaMnthax 3 месяца назад

    😅😅😅😅mbons mliwafunga azam hamkusema 😅😅😅kaz mnayoo yanga bingwa 😅😅😅😅😅😅

  • @Princeking-t4f
    @Princeking-t4f 3 месяца назад

    Kayoko apelekwe mahakamani

  • @patricklaiton8939
    @patricklaiton8939 3 месяца назад

    TUMEZIDDIWA NA YANGA TUACHE UBISHI

  • @Mary-k5i5g
    @Mary-k5i5g 3 месяца назад

    Mimi siwadai vijana wangu😅😅😅 wamejua kuwatoa kamasi wazee😅😅😅😅😅 na gali lenyewe la kujifunga😅😅😅😅

  • @OlivaMHANDO
    @OlivaMHANDO 3 месяца назад

    Yani mpaka msemeeeeeee,hapo Bado hamjasema, hamjasema bado,mpaka mzikwe na sanda zenu,, ateba ateba,kamuona Bacca na job,, atebaaaaa chunga mdomo wako huwo,,Dabi ya tz huijuwi ww. acha ujinga.

  • @CatherineAndrew-q2y
    @CatherineAndrew-q2y 3 месяца назад

    Mpaka mseme leo mmewaonea sana wenzenu mmejizima data mmesahau mlivyowafanyia azam na dodoma pumbavu zenu panya rod nyie

  • @MalikiKavindi
    @MalikiKavindi 3 месяца назад +1

    Kibu kachezewa rafu tatu za wazi lakini kuma wa kati kaacha

    • @Nuru9568
      @Nuru9568 3 месяца назад

      Bora dabey marefa watoke nje

    • @Abuu-gs1yi
      @Abuu-gs1yi 3 месяца назад

      tumewaPdidy