MASHABIKI WA SIMBA WALIA NA REFA BAADA YA KICHAPO| KAYOKO AMETUNYONGA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 25 ноя 2024
  • СпортСпорт

Комментарии • 57

  • @patricklaiton8939
    @patricklaiton8939 Месяц назад +1

    ANAENDA KWA P DIDY

  • @silvanuskisinza4303
    @silvanuskisinza4303 Месяц назад +2

    Simba tutafute sababu za uwanjani kocha hanauwezo kutengeneza forward simba haitengenezi clear chance za kufunga

  • @ashuraally9064
    @ashuraally9064 Месяц назад +1

    Hiyo faulu iliyozaa bao dahhh refa mungu anakuonaaa

  • @Dullah_tz
    @Dullah_tz Месяц назад

    Hizi nyumbu zina lazimisha off-side kuwa goal halal na zina supportiana kabisa

  • @worldhappiness1181
    @worldhappiness1181 Месяц назад

    Mmewazid wakat possession wamewazid kwa 56%, Yanga nmewafatilia kwa ukarib, usitegemee kuwafunga kipind cha pili kama ukiwakosa cha kwanza. Kipind cha pili huwa wanatumia tactics tofauti kutafuta ushind. Very well organized

  • @shijamondi4988
    @shijamondi4988 Месяц назад

    😂😂😂jmaaa anahamia kwa p didy halooo

  • @MashakaTamsonMwashilindi-hu9tt
    @MashakaTamsonMwashilindi-hu9tt Месяц назад

    Yanga kila mechi wanatuumizia wachezaji ni mpango mbovu kwa kuwa marefa ni waoo, yanga na bodi ya waamuzi kuna mchezo ok

  • @evangelistfrank1911
    @evangelistfrank1911 Месяц назад

    💚💛💚💛Huyu jamaa anajichanganya sasa kama waamuzi hawaipendi Simba kwa nini unasema ubingwa bado, ushasema Simba haipendwi na waamuzi sa itabebaje ubingwa😂😂😂

  • @SudiJembamba
    @SudiJembamba Месяц назад

    Kwa akili hizi za mashibiki wa simba wataendelea kufungwa sana maana hataki kukubali ubora wa yanga

  • @MirajiMohamed-be1qc
    @MirajiMohamed-be1qc Месяц назад +2

    Kama ofsaid mnailalamikia basi hata magoli ya yang kwenye ngao yalikua matatu sasa

  • @Taito-brand
    @Taito-brand Месяц назад

    Huu ndio ubaya ubwela kak😊

  • @essaumapunda5766
    @essaumapunda5766 Месяц назад

    Marefa WaTz hawexi kuchezesha mechi za kimataifa kutokana na uwezo mdogo

  • @evangelistfrank1911
    @evangelistfrank1911 Месяц назад

    Lile ni goli ?😂😂😂😂 Ile faulo ulikuwa ndani ? 😂😂😂

  • @samsonmbilinyi5395
    @samsonmbilinyi5395 Месяц назад

    kayoko sio refaa simba tunakandamizwa

  • @Princeking-t4f
    @Princeking-t4f Месяц назад +1

    Kayoko apelekwe mahakamani

  • @SospeterNdaga
    @SospeterNdaga Месяц назад +1

    Kimoja tu kelele mwamuz ndo kasema kijili afunge

  • @LinusKyando
    @LinusKyando Месяц назад +1

    WAKIJA MAREFA TOKA NJE SIMBA MTAFUNGWA SANAAAAAAAAAA?

  • @ip_header
    @ip_header Месяц назад +1

    Yanga walilala mika marefa wabovu mka wachukulia poa, sasa lawama za nn?

  • @benswai8099
    @benswai8099 Месяц назад

    Mashabiki wa simba bwana. Mnachekesha kweli. Wengi humjui mpira. Ni aibu tupu. Watu walikuwa wannangalia mpira. Teheeee

  • @evangelistfrank1911
    @evangelistfrank1911 Месяц назад

    Toka mbwaaaa😅😅😅

  • @ALLYBULULA
    @ALLYBULULA Месяц назад

    Wapuuz kwel hawa refa wa nyoko komen mala moja sura zenu mziweke wap uson

  • @Magreth-ne1xw
    @Magreth-ne1xw Месяц назад

    Kayokoooo😂

  • @johnmgoroba379
    @johnmgoroba379 Месяц назад

    huyu jamaa mjinga sana,nenda kaangalie maridio

  • @MauBonde
    @MauBonde Месяц назад

    Si wako shirikisho hata robo hawafiki sio kwa mpira huo watani,sisi tupo na tutayaona mengi .

  • @SofiaJumaKalomba
    @SofiaJumaKalomba Месяц назад

    inaumiza San Tena san

  • @AsuminiAbedi
    @AsuminiAbedi Месяц назад

    Huyu nae kachanganikiwa mda wote mmecheza nyinyi wakati mmemilikiwa mda wote

  • @benswai8099
    @benswai8099 Месяц назад

    Sasa weee jamaa, kibu alikuwa offside au hakuwa?

  • @ip_header
    @ip_header Месяц назад +1

    Kwahiyo goli la Kibu offside nalo lihesabiwe?

  • @salumshilla-ki4ug
    @salumshilla-ki4ug Месяц назад

    Mpira ulitoka nje

    • @Dullah_tz
      @Dullah_tz Месяц назад

      Si tufanyaje sasa kama umetoka nje.

  • @ZeyanaAbdi-m3g
    @ZeyanaAbdi-m3g Месяц назад

    Maneno mengi mpira hamna mnalalamika na kayoko vp cost refa pia aliwafanya mdrow au ngao ya jamii mlifungwa refa aliwabeba pia hamkusema mmefungwa bas mkubali matokeo

    • @SofiaJumaKalomba
      @SofiaJumaKalomba Месяц назад

      Nenda wewe kuwan ata we siumeona auna shoshote ukwey una Baki kuwa ukuwer tu

  • @ratybkheir8674
    @ratybkheir8674 Месяц назад

    Kumekuchaaa😂😂😂😂

  • @LinusKyando
    @LinusKyando Месяц назад +1

    SIMBA WANATAKA MAREFA WA SIMBA NA AZAM,YANGA NA SIMBA NGAO YA JAMII,DODOMA JIJI NA SIMBA,REFA WA SIMBA NA COASTAL ALIYEUA MUVU YA GOLI LA 3,HERI SASI KAKATAA MAGOLI YA YANGA NGAO YA JAMII WANASIMBA WAKASEMA REFA NI BINADAMU

  • @ShukuTete-wb1fp
    @ShukuTete-wb1fp Месяц назад

    Kayoko achomewe nyumba

  • @worldhappiness1181
    @worldhappiness1181 Месяц назад

    Simba mmefungwa kiuhalal, mbona mmefunga magoli ya offside mengi sana toka lig inaanza. Potezeeni bana, kapangeni team yenu, bado hamna ubunifu wa kuifunga yanga. Na mtagawanyika zaid mtakapotoka makundi. Badilikeni, ohoo mtakufa na presha bure muache watoto mayatima kwa kushabikia timu ya kawaida

  • @allymohamed4111
    @allymohamed4111 Месяц назад

    Jaman Simba wamedata

  • @VictoriaCosmas-y2o
    @VictoriaCosmas-y2o Месяц назад

    Yaan mpak mseme

  • @EstherBinza
    @EstherBinza Месяц назад +1

    Vilaza wakubwa wanaongea kwa kujigamba kudai magoli ya uginingi mnanuka midomo

    • @SofiaJumaKalomba
      @SofiaJumaKalomba Месяц назад

      We domo lako jee auwe unakuka mafta ya kupak?

  • @FelixKabuka-u2o
    @FelixKabuka-u2o Месяц назад

    Haichukui nafasi Dactari

  • @MohamediOmari-nz4vv
    @MohamediOmari-nz4vv Месяц назад

    Jamaa anaongea ukweli

  • @Esterkomba-ef7eb
    @Esterkomba-ef7eb Месяц назад

    Siyo kuomba nihaki yetu

  • @Ambagaye
    @Ambagaye Месяц назад

    Kichapo kinaharibu akili

  • @moshiwasua5749
    @moshiwasua5749 Месяц назад

    Tukumbuke jamani wana Msimbazi,,, hawa nyuma mwiko. Wana kampeni ya kujeruhi wachaji wetu. Ili wakati tamaa. Hata kwa kutumia wachezaji wa timu zingize , mechi na kagera walimuumiza Moses Phil. Mechi na singida walimuumiza Peter Banda , majeraha makubwa na coast. ,na prison. Tusikuwa makini kulikemea. Tutapoteza wachezaji wetu

  • @LinusKyando
    @LinusKyando Месяц назад

    HUO NDIO UBAYA UBWELA

  • @silvanuskisinza4303
    @silvanuskisinza4303 Месяц назад

    Simba tutafute sababu za uwanjani kocha hanauwezo kutengeneza forward simba haitengenezi clear chance za kufunga

  • @VictoriaCosmas-y2o
    @VictoriaCosmas-y2o Месяц назад

    Yaan mpak mseme

  • @silvanuskisinza4303
    @silvanuskisinza4303 Месяц назад

    Simba tutafute sababu za uwanjani kocha hanauwezo kutengeneza forward simba haitengenezi clear chance za kufunga