MAANDALIZI YA KILIMO CHA MAHARAGE KWA NJIA YA UMWAGILIAJI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 17 ноя 2024

Комментарии • 17

  • @SalsabeelLtd
    @SalsabeelLtd 3 года назад +1

    me huwa nasubilig tu hiz darasa La kilimo cha maharage Ahsante♥️

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  3 года назад

      Oooooh kumbe tunashukuru. Tutajitahidi na za kilimo pia ziwepo 🙏🙏🤝

  • @jumarajabu6902
    @jumarajabu6902 Год назад +1

    Good

  • @jumaomari223
    @jumaomari223 Год назад +1

    Kilimo cha mahage nakipenda sana

  • @abdallahhuseinkabale7534
    @abdallahhuseinkabale7534 2 года назад +1

    Naomba kujua nafasi hadi nafasi katika upandaji maharage....shimo hadi shimo

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 года назад

      Shimo kwa Shimo ni 15 cm na mstari kwa. Mstari ni 40cm

  • @nolascomichael234
    @nolascomichael234 Месяц назад

    Naomba ushauri. Nimepanda maharage yanasiku 7sasa. Niweke mbolea gani?

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  Месяц назад

      Apo piga mbolea ya maji ya matunda

  • @lewisleonard9886
    @lewisleonard9886 9 месяцев назад +1

    Hujatuambia tunapanda kwa kipimo gani shimo hadi shimo baada ya maarage kuota tunamwagilia kila baada ya siku ngapi nitaweka mbolea siku ngapi baada ya kupanda kuna muda gani tangu kupanda mpaka kuvuna

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  9 месяцев назад

      Apo fuatilila video zetu Kuhusu upandaji wa maharage

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 месяца назад

      Oooh video zote zipo ktk channel hii upandaji wake n. K

  • @jeannshimirimana3955
    @jeannshimirimana3955 2 года назад +1

    poa kabisa

  • @NsumeMbandile
    @NsumeMbandile 2 месяца назад

    P

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 месяца назад

      Tupo Pamoja sana ndugu