Ifahamu teknolojia ya kumwagilia mazao kwa matone inavyoongeza tija kwa mkulima
HTML-код
- Опубликовано: 9 фев 2025
- Katika kumrahisisshia mkulima kazi za shambani hususani suala la kumwagilia mazao yake, mbunifu Kazi Mkembe kutoka halimashauri ya Wilaya ya Chalinze mkoani Pwani amekuja na teknolojia ya kutumia dumu la kawaida yanayotumika majumbani kwa kuliunganisha na mfumo wa umwagiliaji wa njia za matone.
#AzamTVUpdates #AzamNews
Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa:
► bit.ly/2wB6zmR
Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►INSTAGRAM: / azamtvtz
►INSTAGRAM: / azamsports2
►TWITTER: / azamtvtz
►FACEBOOK: / azamtvtz
►WEBSITE: www.azamtv.co.tz
Namba za mbunifu naomba...yupo vzr sana mr.Kazi
no zako za cm plz
I like it. Keep educating aspiring farmers.
Hongera sana mbunifu,utatusaidia sana, tutakupatje,mie niko bkb
Mungu akulipe inshallah
Ndng mm nashukur sana kwa elim zr piaaa naomba namba zako ntashkr sana
Hongera Moro
Mbona wagumu kutupa namba zenu biashara au huduma
Hivi ndio vitu tunapenda
Nahitaji hiyo kitu naomba namba yako
Hivo vifaa tofauti na dumu tunawezakuvipatq wapi?
Tafadhali ndugu naomba kupata mawasiliano yako ili uje uniwekee mfumo huo katika mashamba yangu nina ekari 8 nahitaji kujikita katika kilimo tuwasiliane unipe ushauri na unipe mwongozo katika kuwekeza
Pole na kazi mtaalam naomba nipate utaalam,,Niko dodoma Mimi ni mkulima wa nyanya najifunza
Kwa ekaa.kufungiwaa huwa.inagarimu shilingi.ngapi
Samahan naomba kupata namba ya mtaalam
Tumehelewa Hila shida Ipo kwenye mipila Ila ya kusambaza maji Grama yake huwa .ni mkasi sana
Tutakupataje kujifunza zaidi
Tunakuhitaji ndugu yetu tupe namba zako
Mimi naomba namba yako mpendwa
Mfumo huo ni nzuri lakini lazima uweke tanki kubwa kidogo na duniani wanatumia huo mfumo
Naomba kupata namba za huyu mtaalamu
Nahitaji namba ndio ni subscribe
Unapatikana vipi?
Naomba namba
Namba ya mtaalamu plz
Mimi naitaji whts app yako mualim
Kumbe ninazo rola hapa ntajaribu safi sana
please,cointact zako
Mnapatikana wapi
Naomba kujua ntakupateje
kaka hii bipira napata wapi hivyo vifaa vyote
hello
Vp umeme hautumik
Nitakupataje nijifunze
Hii mipira inakuwa ishatobolewa kabisa au mnaitopoa
Hii mipira inaitwaje na inapatikana wapi?
Babkubwa
Mkulima mimi nikitaka kupata hivyo vifaa, navipaje na wapi tafadhali?.
0783281962
mawasiliano tafadhali
Hakika nimejifunza kitu
contact zako please