Nilianza kupambana ulimwengu wa roho toka siku nilipoona clip zenu na kuzifuatilia na kuufanyia kazi ufahamu ninaoupata, nashangaa sasa mabosi wangu wote wameanza kunipenda na sasa hata majukumu mengine ya kazi za kushauri namna ya kufanya kazi naachiwa mimi, nashangaa hivi hawa ndio wale waliokuwa wakinichukia, sasa nina imani kubwa shetani atapata taabu sana kwa sasa maana nilikuwa mvivu wa kusoma neno na mvivu kuomba lakini sasa najikuta naomba kwa bidii sana nikijua ninachopambania ni kitu gani, Namshukuru sana aliye yote mbali na yote(YEHOVA), ninampenda sana huyu aliye UTATU MTAKATIFU, nampenda mno kuliko maana sasa najua naenda kufanikiwa kwa kishindo na jina la BWANA Yesu litainuliwa juu sana kwa habari ya ndoto zangu
Nashangaa pindi nachukiwa na napigwa vita na kuambiwa nitafukuzwa kazi na mabosi wangu, kila hayo yakitokea mimi hainisumbui bali najikuta nina furaha na amani moyoni mpaka inafika hatua wafanya kazi wenzangu wananionea huruma kwa jinsi ambavyo uongozi unanichukia hadi MKURUGENZI ambaye ni mjomba wangu anainuka kinyume na mm pamoja na kwamba ni mtumishi wa Mungu kanisani, pamoja na hayo yote haijawahi kunisumbua moyoni hata kidogo nilikuwa nikishangaa lakini sasa nimeshajua kumbe nilikuwa na kiasi cha nguvu katika ulimwengu wa roho kilichokuwa kimebaki ni mimi kutiwa ufahamu, naendelea kushughulikia na naona mambo yanaanza kubadilika, hakika nimeuona mkono wa BWANA ukinipigania
Asante sana nimejifunza meng nimefunguka na kujua kuwa hata mm napigana katika ulimwengu wa mwili bila kujua ndo mana mambo yang meng yanakwama na hakuna hatua nayopiga
Vita niliyonayo kazini si juu ya damu na nyama(yaani si juu ya mabosi wangu) bali ni juu ya wakuu wa anga na mamlaka za giza zinazofatilia hatua kwa hatua kuhakikisha ndoto zangu hazifanikiwi lakini MUNGU ni mwrma ninamuona akinipigania katika level ya ufahamukusudi nisimame mwenyewe pamoja naye ili nijaposhinda jina lake liinuliwe maana nilikuwa nadhangaa vita iliyopo hata siielewi maana kisa cha kuchukiwa na jinsi wanavyonituhumu ni tofauti kabisa na jinsi nilivyo, hakika MUNGU huja kwa majira yake.
Kutokana na hili SoMo,nafanya Biashara kwa wepesi saaana.Ubarikiwe sana mtumishi
Nimebarikiwa Sana Sana na somo hili hakika MUNGU wa MBINGUNI azidi kukuinua pastor sunbella
Amen amen. Kunakitu napata mungu awabarkiii sana
Nilianza kupambana ulimwengu wa roho toka siku nilipoona clip zenu na kuzifuatilia na kuufanyia kazi ufahamu ninaoupata, nashangaa sasa mabosi wangu wote wameanza kunipenda na sasa hata majukumu mengine ya kazi za kushauri namna ya kufanya kazi naachiwa mimi, nashangaa hivi hawa ndio wale waliokuwa wakinichukia, sasa nina imani kubwa shetani atapata taabu sana kwa sasa maana nilikuwa mvivu wa kusoma neno na mvivu kuomba lakini sasa najikuta naomba kwa bidii sana nikijua ninachopambania ni kitu gani, Namshukuru sana aliye yote mbali na yote(YEHOVA), ninampenda sana huyu aliye UTATU MTAKATIFU, nampenda mno kuliko maana sasa najua naenda kufanikiwa kwa kishindo na jina la BWANA Yesu litainuliwa juu sana kwa habari ya ndoto zangu
Nashangaa pindi nachukiwa na napigwa vita na kuambiwa nitafukuzwa kazi na mabosi wangu, kila hayo yakitokea mimi hainisumbui bali najikuta nina furaha na amani moyoni mpaka inafika hatua wafanya kazi wenzangu wananionea huruma kwa jinsi ambavyo uongozi unanichukia hadi MKURUGENZI ambaye ni mjomba wangu anainuka kinyume na mm pamoja na kwamba ni mtumishi wa Mungu kanisani, pamoja na hayo yote haijawahi kunisumbua moyoni hata kidogo nilikuwa nikishangaa lakini sasa nimeshajua kumbe nilikuwa na kiasi cha nguvu katika ulimwengu wa roho kilichokuwa kimebaki ni mimi kutiwa ufahamu, naendelea kushughulikia na naona mambo yanaanza kubadilika, hakika nimeuona mkono wa BWANA ukinipigania
Amina mafudisho yanazidi kunibadilisha najifunza mengi sana nisiyoyaju ubarikiwe sana mtumish
Asante sana nimejifunza meng nimefunguka na kujua kuwa hata mm napigana katika ulimwengu wa mwili bila kujua ndo mana mambo yang meng yanakwama na hakuna hatua nayopiga
Asante sana kwa mafundisho Mtumishi
Amen

amen