WALINZI WA KANISA LA EFATHA WAMBAKA BINTI | APATA UJAUZITO MAMA MZAZI AITOA | MBUNGE AANIKA MAZITO

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 6 ноя 2024

Комментарии • 52

  • @JacquelineMarere
    @JacquelineMarere 2 месяца назад +1

    Shahidi wa uongo huyu, mpinga christo😂😂

  • @killianjohn4794
    @killianjohn4794 2 месяца назад +6

    Kama wabunge wangekua wa kweli na wanauchungu kweli na wananchi basi nchi ingefika mbali sana. Lkn ukisikiliza unaona kabisa kuna kikundi fulani kina agenda binafsi ila kwa walio na A za hesabu wataelewa.
    Hamna lolote hapo ni upigaji tu! Na si ajabu hilo shamba wanataka wagawane wao au waeuze wapige pesa au kuna mkuu kawapanga..🤣🤣🤣🤣🤣…hakuna hata mmoja alie mwaminifu hapo kati ya yote wakipiga kelele

  • @SaidKalolo
    @SaidKalolo 2 месяца назад +4

    Hili shamba lilisha tupatia umasikini sana na ndugu zetu kufa kwa kikatili mama zetu kuteswa

  • @yusuphbendera7544
    @yusuphbendera7544 2 месяца назад +1

    Lisu mpaka leo ana lisasi Mlimchangia

  • @JacquelineMarere
    @JacquelineMarere 2 месяца назад +1

    Tatizo ni Jina la Yesu lenye Nguvu linapingwa hapo, na hauta shinda kamwe

  • @janesuma-is4wc
    @janesuma-is4wc 2 месяца назад +2

    Hawa wanatafuta laana wakirudi uko bungeni Labda Mungu asiwepo as long as yupo haki hawato rudi

  • @AnatoriaRwabatwa
    @AnatoriaRwabatwa 2 месяца назад +1

    Pole

  • @husianamakambi5298
    @husianamakambi5298 2 месяца назад +1

    Uo ni uongo umepewa shilingi ngapi
    Kusema haya..... uelewi unachosema

  • @righitkileo
    @righitkileo 2 месяца назад +1

    Hatari hayo mambo yanafanyika kanisani?? Hatari sana dunia inawaka moto

  • @mwajemwafula5777
    @mwajemwafula5777 2 месяца назад +1

    😂😂😂😂 mbona vituko sana

  • @AziziMapunda-vt4nv
    @AziziMapunda-vt4nv 2 месяца назад +1

    Iyoawezekani kupigwa lisasi iyoaikubaliki munguyupi efata

  • @lulanjamd3886
    @lulanjamd3886 2 месяца назад +1

    Huyu mama mzanzibar kafikaje hapo bungeni na ni bunge la Tanganyika nani kampigia kura🤣

  • @ibrahmwendy919
    @ibrahmwendy919 Месяц назад +1

    Muhuni kupitiliza... anawafundisha watu kukata viuno madhabahuni... hapo anafundisha nini...????

  • @huldamichael4445
    @huldamichael4445 2 месяца назад +7

    Tundu Lissu ana risasi mwilini,mjumuishe yote hapo

    • @AllyBabu-kr6lg
      @AllyBabu-kr6lg 2 месяца назад +1

      😅😅😅😅

    • @HamisMghuna-fj3vz
      @HamisMghuna-fj3vz 2 месяца назад

      Asante kw hilo wajizma data kw Lissu

    • @joycemkeka3769
      @joycemkeka3769 2 месяца назад +1

      Nimejikuta nacheka tu japo cheko lauchungu yani kupata haki nchi hii nijambo gumu sana

  • @IsmailLoi
    @IsmailLoi 2 месяца назад +3

    Efata kazoea mhajibisheni hana jipya ana tabia ya kuwahonga na uonefu kwa sababu ya mapato ya kidhalimu

  • @basilisamsaka8469
    @basilisamsaka8469 2 месяца назад +1

    Jamn km wabunge mngetoa mapovu kwa watu wanaotekwa na kuuawa ni pamoja na watoto ningewaona mna akili sana

  • @jasiriasili3694
    @jasiriasili3694 2 месяца назад

    Huyu mzeee muhuni mbona mpaka kwenye kanisa kuna mambo ya kihuni tu😊

  • @basilisamsaka8469
    @basilisamsaka8469 2 месяца назад +1

    Hapo kwa sabb jina la Yesu ninatajwa

  • @MkJj-m7g
    @MkJj-m7g 2 месяца назад +1

    Tuhuma hizi zimevuma yapata miaka minne iliyopita. Pale mkoani hali kadhalika pale wilayani kuna kamati za ulinzi na usalama, chini ya uenyekiti wa wateule wa Rais , zipo siku zote. Inafikirisha sana kusoma kashfa hii imenyamaziwa kimya, inakuja kuzuka kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi.

  • @lulanjamd3886
    @lulanjamd3886 2 месяца назад +1

    Tundu Lisu alipigwa lisasi mlikaa kimya

  • @MusaOgwoko
    @MusaOgwoko 2 месяца назад +1

    Wanataka sadaka tu

  • @MusaMkembela-ex6ev
    @MusaMkembela-ex6ev 2 месяца назад +1

    Kwani nyie mnauchungu na wananchi wa aina gani mbona hawa wanaotekwa mnakataza wasizungumziwe

  • @SaidiSheria
    @SaidiSheria 2 месяца назад +3

    Tutakuta 2025 bunge hovyo tupu

  • @JacquelineMarere
    @JacquelineMarere 2 месяца назад +1

    Uongo mtupu, ona

  • @EdenMcharo
    @EdenMcharo 2 месяца назад +2

    Haya ndo madhehebu uchwara

  • @annaweinard3832
    @annaweinard3832 2 месяца назад +1

    Mbona kodi mnatutoza mama naona una chuki kabisa

  • @annaweinard3832
    @annaweinard3832 2 месяца назад +1

    Unafiki tu

  • @basilisamsaka8469
    @basilisamsaka8469 2 месяца назад +1

    Udini

  • @WilliamJk-o1c
    @WilliamJk-o1c 2 месяца назад +4

    Bandar mbona hujaunda kamani?? Ngorongoro nayo kamati nani kaunda.

  • @alinanuswekalinga2955
    @alinanuswekalinga2955 2 месяца назад +1

    Apinyofolewe

  • @EdiltrudesMbonde
    @EdiltrudesMbonde 2 месяца назад +3

    Yaani EFATA ni jina la kipepo na yanayoendelea pale ni mambo ya kishetani.

    • @agnessima5032
      @agnessima5032 2 месяца назад

      Ana madudu ya kufa mtu..nguvu za kuzimu hizo.😢

    • @ibrahmwendy919
      @ibrahmwendy919 Месяц назад

      Kweli kabisa hakuna Mungu hapo

  • @HannahTarimo-gv2od
    @HannahTarimo-gv2od 2 месяца назад +3

    Achane unafiki viongozi
    Mbona hamfikirii ya Tundulisuuu. Lindeni vibarua vyenu ila siku yenu inakuja
    Kweli mnauchungu nyieee

  • @CharlesMbunda-og5tn
    @CharlesMbunda-og5tn 2 месяца назад +3

    Kwa kuangalia comment, ndio utajua viongozi wa dini, badala ya kutengeneza WANAFUNZI WA KRISTO; wanatengeneza MASHABIKI WAO. Matendo maovu na ya kinyama kama haya yakitendwa na watumishi chini ya Mtume wa Mungu, watu wanaona ni sawa tu!

    • @janesuma-is4wc
      @janesuma-is4wc 2 месяца назад

      Wewe una uwakika gani yana ukweli

  • @xaixaiobrigado4846
    @xaixaiobrigado4846 2 месяца назад +3

    Eti walinzi wa ephata walimbaka binti na akapata uzito!
    Kosa la kubaka lina sheria yake,anaebaka ashitakiwe!
    Risasi mwilini na lissu anazo mbona hamsemi!
    Kuna binti ya buza kabakwa na wabakaji wapo,na walushirikiana msirikali ssp vipi mbona hamsemi!!

    • @EdiltrudesMbonde
      @EdiltrudesMbonde 2 месяца назад

      Kwa hiyo hapa unatetea nini? Huoni kwamba mambo yanayoendelea pale ni aibu kwa MUNGU.

    • @sonnyr1899
      @sonnyr1899 2 месяца назад

      Lissu katetewa hadi na mabalozi za nchi za njee, makamu wa raisi kipindi hicho alikwenda kumuona akiwa hospital na hadi kumfata ulaya kumtembeleya.
      Sasa wanaotetewa apa ni wale ambao hawana wa kuwasemeya

  • @bluecloud7313
    @bluecloud7313 2 месяца назад +2

    Sasa fungu la kumi ni lazima cause ni haki ya Mungu. Bila fungu la kumi huwezi kufanikiwa

    • @EdiltrudesMbonde
      @EdiltrudesMbonde 2 месяца назад +2

      @@bluecloud7313 Kasema Nani kuwa hufanikiwi?

  • @MsevenSaudisaidi
    @MsevenSaudisaidi 2 месяца назад +1

    Mama uyo waziri wa mambo ya ndani kazi yake nini watu wanatekwa kila kukicha hatumsikii kukemea raisi wangu huyu waziri hatufai

  • @PatriceaIgobeko
    @PatriceaIgobeko 2 месяца назад +1

    We mama inapayuka tu kaa chini uyatafakari yote ya nchi yetu halafu upayuke hapo tutawelewa zaidi ya hapo tumewashtukia nyie wspigaji tu tunawajua na pia fungu la kumi hulijui omba uelekezwe inakuingia akilini mgu anashurutishwa fungu la kumi?hao mmewapanga tumewashtukia uchu wa hela unawatesa hamjui kutosheka

  • @SaidiSheria
    @SaidiSheria 2 месяца назад +1

    Sugu alie pigwa bila sababu je

  • @jasiriasili3694
    @jasiriasili3694 2 месяца назад +1

    Huyu mzeee muhuni mbona mpaka kwenye kanisa kuna mambo ya kihuni tu😊

    • @gfydfdf8869
      @gfydfdf8869 2 месяца назад +2

      Huyu baba mwingila kanisa lake bovu Toka zamani wanabaka mbaka wanapiga lisasi ,

    • @gfydfdf8869
      @gfydfdf8869 2 месяца назад +2

      Wachukulie hatuma wote wachukulie hatuwa,wabakaji hao,tunarichafua taifa letu

    • @ibrahmwendy919
      @ibrahmwendy919 Месяц назад

      Hawa ni wahuni na wazinzi tu