Nacha - Hadithi (official Video)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 18 ноя 2024

Комментарии • 484

  • @fatmaamoor9591
    @fatmaamoor9591 4 года назад +1

    Umefanya ubunifu mkubwa sna Nacha tatizo bahati ila ipo siku watakuelema mlisi wa roma

  • @leilayzer11
    @leilayzer11 5 лет назад +91

    Asee kama umeichek zaid ya mara moja bofya like yako hapa
    💪

  • @DbashTV
    @DbashTV 5 лет назад +259

    Hii hadithi itabidi iendelee asee... kama unaunga mkono GONGA LIKE KUBWA HAPA... #LAKEZONE_STANDUP

  • @geofreyanania1108
    @geofreyanania1108 5 лет назад

    Sikuwahi kumjua kabla ila nilikuwa kwenye daladala nikasikia hii ndio nikasema nikitulia lazima nimfuatilie huyu jamaa bongeya ngoma√√√√√√√√√√

  • @NIZAHRTVTibaAsili
    @NIZAHRTVTibaAsili 5 лет назад +75

    Nashauri nyimbo ifanye kuwa kama series. Andika nyimbo zako zote ziitwe hadithi. Tafuta visa vingi vya kusimulia. Itakuwa idea kubwa sana na itakutofautisha.

  • @ntemigarany1208
    @ntemigarany1208 5 лет назад +83

    Tunahitaji part two ya hadithi like kama na ww unaunga mkono

  • @damianchacha1321
    @damianchacha1321 4 года назад +1

    Kweli HADITHI tamu hii iendelee

  • @harunimfaume6280
    @harunimfaume6280 5 лет назад +1

    nyimboo kali sana babu kabambaa sanaa biti kali sana nimekubali kuna ujumbee mzur kwenye hadisii

  • @barakashula7508
    @barakashula7508 4 года назад +1

    Nacha ni mtunzi mzuri ,Kama. Unakubaliana namimi naomba like hapa🔥🔥

  • @Ibrahshayo
    @Ibrahshayo Месяц назад

    Baada. Ya miaka Mitano nimerud ten kuangalia hii ngoma kama Kuna Ambae Yuko na mm Gonga like

  • @aliathuman2078
    @aliathuman2078 Год назад

    Cha ajabu binadamu hapa duniani wanapenda nyimbo za anasa zinazowasababishia magonjwa ya zinaa lakini nyimbo kama hii hawaezi like

  • @petromahava865
    @petromahava865 5 лет назад +1

    nacha unajua bro...hatar sana

  • @yassinimakowa1793
    @yassinimakowa1793 5 лет назад

    kwa mara ya kwanza dah!....unastahili mwana kaza buti

  • @farlesfales918
    @farlesfales918 4 года назад +1

    Fund najuta kuchelewa kukujua

  • @diamondplatnum8375
    @diamondplatnum8375 5 лет назад +1

    Namkubal sana nacha

  • @mercynelima4241
    @mercynelima4241 5 лет назад +18

    Kwa nyimbo zako zote hii ni 💯 perfect 💕💕💕💕wimbo mzuri Sana.

  • @you_know_now_tena8726
    @you_know_now_tena8726 5 лет назад +151

    Wale wanaokubali NACHA KOMENTI ZAO APA NA LIKE

  • @husseingwanone7825
    @husseingwanone7825 5 лет назад +48

    Nacha unajua Sanaa Nakuomba Ufanye Collaboration Na Roma

  • @barakamashimbe9457
    @barakamashimbe9457 Год назад

    Why ngoma kama hizi hazipigwi kwenye media na n TBT MOTOOO💥💥💥💥💥2023🙌🙌🙌🙌

  • @priscacharles4647
    @priscacharles4647 5 лет назад +4

    Daaah Kwel utamu kolea hii nyimbo💗💗💗😍

  • @centpede6866
    @centpede6866 5 лет назад +29

    Hadithi tam sana! 😋 Kama vile imewahi kuisha afu watu tuna kiu

  • @nicasanderson5225
    @nicasanderson5225 5 лет назад +1

    ngoma kali sana ila sema bibi akiwa anawagilia mauwa kafelishaaa... kapakwa rangi kucha ndefuu. yaani kwa kifupi usoni ni bibi mkononi ni sista duu.

  • @daudimaloha958
    @daudimaloha958 5 лет назад

    hii ndo bongo utanyoshwa kama ukipinda daah

  • @ellymtz9687
    @ellymtz9687 5 лет назад +15

    Boy from kahama... Gonga like twende sawa

  • @vitalesgalus8004
    @vitalesgalus8004 5 лет назад +1

    nacha nimekubalri mzazi wewe niatali unafanya mziki mzulri sana broo welcome kwenye gem broo kizazi sana nimekubili dingi

  • @officialmalekelly1021
    @officialmalekelly1021 4 года назад +1

    Dah hii kaz bro kazi ujue an umekuw mbunifu sana kk i wish makubwa sana toka kwako npo nawe

  • @phanricky
    @phanricky 5 лет назад +1

    Kiukwe nyimbo nimeipenda like hap kama na wew mmoja wao

  • @justinnelson2013
    @justinnelson2013 5 лет назад +1

    Safi sana bwana nacha nakuelewa sana master

  • @jacobclement9747
    @jacobclement9747 4 года назад

    ebwana huyu jamaa anajua nimefuatilia nyimbo zake zote ni blaaaaaaaaaaaaaaa

  • @texastexas2545
    @texastexas2545 4 года назад

    Ee Molla wangu kila unikumbukapo naomba huyu kijana usimsahau siku zote za maisha yake AMEN🙏🙏🙏.

  • @dastanmsosa4661
    @dastanmsosa4661 5 лет назад +48

    Ngoma ya akili sana hii km unakubaliana na mm gonga like

  • @domboyofficial290
    @domboyofficial290 5 лет назад

    Hii hadithi tamu sana sijui kwann uliitengeneza fupi hivi

  • @bulayaconfidential7212
    @bulayaconfidential7212 5 лет назад +2

    jamaa katisha, kama umeikubali ngoma, gonga like hapa!!

  • @falzypiason1360
    @falzypiason1360 5 лет назад +7

    Nacha stuka..
    Na maanisha unajua mno
    So plz uskubali kulala
    2019 wawaza kua mwaka wako. Boss mpya ni hit song ambayo right now inaskia kola kona big up. Blood.

  • @ibrahtalent8627
    @ibrahtalent8627 5 лет назад +7

    ngoma tamu San @nacha noma
    Kama unamkubali gonga like

  • @felixstewart5920
    @felixstewart5920 5 лет назад +1

    Hadithiii, mzee nacha utamu umekoleaa kazi kalii mzee toka natanga kuingia kwenye game mpaka, bosi mpya, mnawashwa hadi leo hadithi hujawahi kosea mzee nakubali, Big up mwanangu myahudii kwa kushare hii ngoma sijajutaa kuvieeww

  • @misalabacharles2728
    @misalabacharles2728 5 лет назад

    Daah huu wimbo nilikuwa naupita tu kumbe ni Bonge la Hit

  • @yusufenock976
    @yusufenock976 5 лет назад +61

    Bonge la ngoma huu mwaka wetu kahama standUp

  • @gabrielson9182
    @gabrielson9182 5 лет назад +6

    Nakukubali sana Nacha .you are so creative ,kuanzia Leo nitakua fan wako kindaki ndaki

  • @juliusfungo2754
    @juliusfungo2754 5 лет назад +1

    Kahama juuu sana

  • @nicksonnicholaus3617
    @nicksonnicholaus3617 5 лет назад

    Oyoooo yangu mtu namkubali kama nacha kwenye nyimbo hiziii #erastojr uko wap ndg

  • @sundaykomba8726
    @sundaykomba8726 5 лет назад

    Naomba hii ngoma iwe inaendelea master uwe unaitoa hvyo hvyo nimeielewa Sana hadithi part 2 mpe kolabo Roma mkatoliki nae afanye kitu nacha

  • @victorsir-nga7708
    @victorsir-nga7708 5 лет назад

    huyu jamaa mbunifu sana,anafanya mziki kama wazamani kama akina profesa j hv

  • @Hassan-ot1mc
    @Hassan-ot1mc 5 лет назад +1

    Nacha nyoko zako a see hili bonge la pumbu

  • @clintonbleya1634
    @clintonbleya1634 5 лет назад

    Mwana hii Ni yenyewe

  • @samkissay1155
    @samkissay1155 5 лет назад +1

    Idea kaliii sanaaaaa yn bonge la bit hadithiiiiiii 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌

  • @sasamjr2517
    @sasamjr2517 4 года назад

    Huo uwimbaj wko usibadile utapata mashabiki weng sana nacha.....

  • @kasangamrisho3405
    @kasangamrisho3405 5 лет назад +8

    Kama Unapafaham Nyasubi Sansiro Anapo Tokea Mkali Nacha Gonga Like

  • @isackkimaro6790
    @isackkimaro6790 4 года назад

    Hadith iendelee! Bhanaaaaaa wannangu ambao na lushua link huyu nidio nachaa #support nacha

  • @manfizzle411
    @manfizzle411 5 лет назад +1

    Aisee Gd project mzazi ngoma hii kali knyama

  • @anicethshilingi68
    @anicethshilingi68 5 лет назад +1

    wewe ni bingwa wa hi kitu ni 🔥🔥🔥

  • @z.fphotography1163
    @z.fphotography1163 5 лет назад +5

    Nacha nime penda creativity yako💯💯

  • @domydocta.
    @domydocta. 5 лет назад +1

    Ngoma kali bro. Kaza buti

  • @yakiniramadhan8921
    @yakiniramadhan8921 4 года назад +1

    Nipo nasikilza ileee hadithi yetu 2020 bado ya moto

  • @jamesmhema8077
    @jamesmhema8077 5 лет назад

    Umetisha sana mzeebaba

  • @mohamedsuleiman4764
    @mohamedsuleiman4764 4 года назад

    aisee we jamaa ndio msanii hip hop hizi radha tulizimiss sana

  • @Ujana_na_Mafanikio
    @Ujana_na_Mafanikio 5 лет назад

    Hadith nzur ila imewah kuisha kabla ya utam haujaisha

  • @JamesEJames
    @JamesEJames 5 лет назад +2

    Hii kitu ikiwezekana ije na nyenzie ya pili.. Maana ni DAWA YA MAGONJWA SUGU KABIXA...

  • @thabitisimba1143
    @thabitisimba1143 5 лет назад

    ongera nacha endelea kukaza

  • @goodluckymartin334
    @goodluckymartin334 5 лет назад +17

    Kahamaaaaa is on fireeeeeeee#nyasubiiiiii for lifeeeeeeeeeeeee keep it up nachaaaaaaaaa

  • @josephkyizi7679
    @josephkyizi7679 5 лет назад +1

    My young bro umetumia akili kubwa sana! ngoma kali sana.

  • @yahayasharifu2268
    @yahayasharifu2268 5 лет назад

    Na hii ndio bongo utanyooshwa hats ukipinda.

  • @azizabdallah8177
    @azizabdallah8177 5 лет назад

    Ebanaaa eehh nakuelewa sana NACHA rap yako iko bye kinomanoma

  • @denismrutu9655
    @denismrutu9655 5 лет назад

    Hadithi Ili kua tamu sana

  • @sottithomas9443
    @sottithomas9443 5 лет назад +1

    Nimekubali sana ulivyovaa uhusika wa kizee katika bonge la ngoma

  • @joyfurniture5994
    @joyfurniture5994 5 лет назад

    Hadithi tamu Mjombaaa, nakuelewa mzee mwenzangu

  • @geoffreycalvin2288
    @geoffreycalvin2288 5 лет назад +1

    Bonge moja la idea bro unajua sana sema tunataka mwendelezo bila ubishi apa tunakudai part two

  • @goodluckkanza6801
    @goodluckkanza6801 5 лет назад

    Nyimbo kali Sema kazingua ilitakiwa iwe na verse ya tatu

  • @amirayoshowboy6465
    @amirayoshowboy6465 5 лет назад

    Unajua sana brodher

  • @athumannuru3648
    @athumannuru3648 5 лет назад

    Oyoooo utammm koleaa endeleaaaa naii ndo bongo

  • @mohamedothman9769
    @mohamedothman9769 5 лет назад +1

    Kali sana

  • @simanjilo5
    @simanjilo5 5 лет назад +2

    Sana mwanangu kitonzoo nimekubar kaz yako pambna ipo day2 domcity

  • @gresicosmas6452
    @gresicosmas6452 5 лет назад

    Naipend san ngoma kalii

  • @joshuambogela8143
    @joshuambogela8143 4 года назад

    kweli we ni mwana muziki ,,,,,,Atari sana

  • @anldnkpl3810
    @anldnkpl3810 5 лет назад +1

    Nyimbo zako zote ,zikiwa fupi hivi zitapendwa sana ,

  • @mussakhatibu2808
    @mussakhatibu2808 5 лет назад

    Hadith party two waalike #Rostam itakuwa poaaaaa sana pia #Basata wawe Hadhira.

  • @morotv1942
    @morotv1942 5 лет назад +1

    Wakavunja viti taifa aaaaaaaa ao ni simba bwana

  • @jamalyhamady1641
    @jamalyhamady1641 5 лет назад

    Vyakuhadithia viko vingi sanaa nyimbo fundi.

  • @wadokhan6872
    @wadokhan6872 5 лет назад +1

    nacha hii ngoma umifurahisha sana idea kal kinoma sana hadith

  • @miltonmugisha1805
    @miltonmugisha1805 5 лет назад +1

    Creativity ya ajabu sana
    Watu wako talented

  • @cytoplazmducci9474
    @cytoplazmducci9474 5 лет назад

    Babaaa,nabana makalio,salute kwako captain Nacha

  • @oscarmazeze1733
    @oscarmazeze1733 5 лет назад

    hongera kaka kwa kibao chako kizur cha ubunifu

  • @sadickseleman5671
    @sadickseleman5671 5 лет назад

    jamaa ni fundi sana yan ni m'bunifu sana yan

  • @ronaldrobert7299
    @ronaldrobert7299 5 лет назад

    Verse 2 tu hazijatosha..... wimbo mfupi sana

  • @yuvenalalphonce5978
    @yuvenalalphonce5978 5 лет назад +4

    Too much fine ....
    Too much creativity....
    too much credit😀🌟🙌🙌🙌🙌🙌

  • @miltonmugisha1805
    @miltonmugisha1805 5 лет назад +1

    Namuhitaji director Deo Abel nampataje

  • @africangirls482
    @africangirls482 5 лет назад

    Mwanangu sema umeua sana aise ila hadithi iendelee bhana

  • @afourbtv5288
    @afourbtv5288 5 лет назад +1

    Duuh noma kweli

  • @salminmhando1316
    @salminmhando1316 5 лет назад +1

    naacha nanza kukuelewa kabisa mwako wako huu 2019

  • @kbizziking3865
    @kbizziking3865 3 года назад

    Hujawahi kunikatisha tamaa kwa ubunifu kaka . one love

  • @nicmajames5415
    @nicmajames5415 4 года назад

    Dumper classic nakukubalii sanaa brother nacha

  • @MuslimChannelTZ
    @MuslimChannelTZ 5 лет назад +11

    Nacha anajua sanaaa!#gonga like hapa kwa nacha

  • @tonganekwizayo9642
    @tonganekwizayo9642 4 года назад

    Nilikuwa sijakujua ilaleo ndo nimeamini wewe ni fire

  • @simanjilo5
    @simanjilo5 5 лет назад +1

    Hahahaah kubari sana kaka tukopamjaaa
    Ila manaaabi tupo weng bna nachaaa aaaah hahahahah👊🏻👊🏻👊🏻

  • @richardkazungu9462
    @richardkazungu9462 4 года назад

    Nimemupenda sana nacha n kipaji sana

  • @paulsantanatzee8301
    @paulsantanatzee8301 5 лет назад

    Hii hadithi inaonekana inaendelea babu nacha mbona tamu harafu fupi Sana

  • @hamoudmohamed8291
    @hamoudmohamed8291 3 года назад

    Babu nimerudia kujiridhisha kama kweli copy ya mzee othman! Big up sana young!

  • @rajabramadhan1508
    @rajabramadhan1508 5 лет назад +1

    Duu saf sana

  • @davingoblackstar7427
    @davingoblackstar7427 5 лет назад +3

    nice mzee nacha noma sana

  • @aishaabdj8913
    @aishaabdj8913 5 лет назад +2

    Sauti yake kama roma nzuri sana