Lillian Mwasha: RUHUSU MUMEO ACHEPUKE

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 1 дек 2024

Комментарии • 9

  • @kassimabussa6583
    @kassimabussa6583 2 часа назад +1

    Mada nzuri sanaaa Dr mwaka anaongea sana kuliko dr sule ndiomana ushauri wangu ungewaalika mmoja mmoja sule anamadini mengi muda hapewi lifanyie kazi dada Lillian nawafatilia nikiwa 🇿🇦🇿🇦🇿🇦

  • @Chemba67
    @Chemba67 50 минут назад

    Lilian , ukiwa kama moderator , jaribu kuangalia ni namna gani utawapa nafasi wageni wako mmoja baada ya mwengine ili watazamaji wanufaike kwa mawazo yao mazuri. Hongera sana Lilian, tambua kua unafanya kazi nzuri sana.🤝👌👌👌

  • @aairraahseif5648
    @aairraahseif5648 Час назад

    Hongera zenu, nawapenda sana❤️mko vizuri 👌👌Lillian kwa maswali yakoyananiacha hoii🎉🔥🔥 mpenzi!🤣🤣🤣🤣Majibu sasa😂 kutoka kwa nguli walio bobea kwenye ndoa za wake wengi big up mko verrreee! 🙌🙌🙌👊👊👏👏❤Yani mkichelewesha kipindi mtanikuta ICU mwenzenu 😂😂😂

  • @amourmtungo623
    @amourmtungo623 2 часа назад

    Kumekucha, topic zenu ni nzuri zinasisimua, kupendeza lakini pia kuna elimu ndani. Asanteni nyote kwa michango yenu.

  • @aishaally6602
    @aishaally6602 Час назад

    Dr mwaka hampi nafasi Dr sule

  • @kassimabussa6583
    @kassimabussa6583 2 часа назад

    Dada Lillian andaa kipindi umuite mmoja mmoja wote wawili wanajuwa kujieleza muda mdogo please dadaangu

  • @mwatimeabdallah3523
    @mwatimeabdallah3523 2 часа назад

    Ninachojua kinamuweka sehemu salama mwanaume mwenye mke zaidi ya mmoja ni uadilifu tu, Na siyo kama mwanaume mwenye mke mmoja ni lazima awe na mwanamke nje ya ndoa. Sheria ya Mungu ni kutokuzini tu. Uwe una mke mmoja au zaidi. Na kuna wanaume wana mke mmoja na si mzinifu

  • @VictoriaMahali-ik8id
    @VictoriaMahali-ik8id Час назад

    Nyie wanaume baazi hata mchongewe kum hamliziki

  • @MauFundiElectronics
    @MauFundiElectronics 2 часа назад

    🎉🎉🎉🎉🎉