Dar Jaz Band - Yamewafika wenzetu (06/08/1967)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 29 ноя 2024

Комментарии • 11

  • @shafiirajabu4521
    @shafiirajabu4521 2 дня назад

    Longtime Dah

  • @wyclifkezengwa4013
    @wyclifkezengwa4013 8 месяцев назад +3

    Kama kawaida, nashukuru sana for this Memory…Muziki uzeeki kabisa…Asante.

  • @trio12gito
    @trio12gito Месяц назад


    Mwaka wangu wa kwanza secondari Mbeya....maisha.mara ya kwanza kuusikia wimbo nikiwa natembea Mabatini.❤❤❤

  • @johnchoma2522
    @johnchoma2522 3 месяца назад +1

    Dar jazz wakati Dar ni Dar kweli

  • @mariamfritsi4943
    @mariamfritsi4943 3 месяца назад +3

    Enzi zilizovuma majini wa bahari hapo nipo darasa la pili ,ukijiandaa kwenda shule ,unasikia nyimbo za aina hii huko chumbani kwa mama, ndio ipo radio ya band 2 ❤❤ natamani siku zingerudi tukaendelea kusikia nyimbo hizi, nimekumbuka mbali sana,eti nami Leo mzee 😂😂 29.08.24.

    • @johnkendall8122
      @johnkendall8122 2 месяца назад +1

      Watuwekee ule wimbo wa "Fatuma kwa manenomaneno dada wewe ni mtu hodari sana"

    • @johnkendall8122
      @johnkendall8122 2 месяца назад +1

      Naule mwingine "Niambiye mpenzi kama umenichoka ili niondoe wasiwasi"

  • @ashamahadi5281
    @ashamahadi5281 6 месяцев назад +1

    Muziki muruwa wenye vionjo ujumbe na mafumbo, unaomgusa muhusika bila ya matusi. MAJINI WA BAHARI SI WENGINE❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @mroojnr.2756
    @mroojnr.2756 8 месяцев назад +3

    Hawa sasa ndio Majini wa bahari wenyewe

  • @robertodari7264
    @robertodari7264 5 месяцев назад +1

    Wimbo huu wanikumbusha enzi hizo za RTD na kipindi cha jioni cha "Hongera". Ilikuwa raha kweli kuwasikiliza majini wa baharini.

  • @bavonyichomba1125
    @bavonyichomba1125 4 месяца назад

    Wakati wa King Enock akipiga solo- mji wote chini yake.