Nuta Jazz Band - Instrumental tamu sana (1960s)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 5 фев 2025
  • Nuta Jazz Band - Instrumental tamu sana (1960s)

Комментарии • 17

  • @kheriakida3309
    @kheriakida3309 20 дней назад

    Hii instrument ndio iliyotumika na wazaire kutengeneza nyimbo ya kasongo, that time wazaire walikuwa wanajifunza muziki toka Tanzania, alieturoga katupatia sana hakuna katika africa alitufikia kwa vitu vingi mno, vipaji viepotea

  • @RichardMabina-b9q
    @RichardMabina-b9q 2 месяца назад

    Pigen nyimbo mwanzo mwisho CYO mnazikata hasa hz nyimbo za hala weken n yo nyimbo Kama zilivyo

  • @elisantemshama1700
    @elisantemshama1700 3 месяца назад

    Ni kweli Ala haijakaa Sawa, mtayarishaji rudia vyanzo sahihi. Kuna wakati solo alikuwa anapanda hapa naona yupo kwenye mkao mmoja tu

  • @RichardMabina-b9q
    @RichardMabina-b9q 2 месяца назад

    Ludien tena hii nyimbo ipigen Kama ilivyoandaliwa syo mnaikata

    • @RichardMabina-b9q
      @RichardMabina-b9q 2 месяца назад

      Mtayalishaj rudia tena iyo nyimbo hatukuerew kbsa sisi cyo watoto wa miaka y 2000tumezaliwa 70 tunazijua izo nyimbo vzl sana

  • @RichardMabina-b9q
    @RichardMabina-b9q 2 месяца назад

    Nyimbo mnazihalbu sana kwann mnazikata kata?

  • @mroojnr.2756
    @mroojnr.2756 10 месяцев назад

    Sahihi kabisa na mi nimemkumbuka,

  • @mroojnr.2756
    @mroojnr.2756 10 месяцев назад +1

    Hapa Said Mabera hakuwepo bhana, mbona kama sio solo lake hili

    • @ZilipendwaTanzania
      @ZilipendwaTanzania  10 месяцев назад

      Bado nafatilia list nzima

    • @anthonymarwa7823
      @anthonymarwa7823 10 месяцев назад

      Huyu ni Albert Bathazar mchawi wa solo gitaa NUTA walimchukua kutoka Kilosa jazz

    • @anthonymarwa7823
      @anthonymarwa7823 10 месяцев назад +4

      Samahani ni Abel Balthazar

    • @mbungembunge9865
      @mbungembunge9865 8 месяцев назад

      Solo ni Mzee wa mipango Abel Baltazar

    • @JennyRingo
      @JennyRingo 3 месяца назад

      Abel Baltazari huyo!!!

  • @mpandageorge7904
    @mpandageorge7904 10 месяцев назад +1

    Hii instrumental ilikuwa inaruhusu rhythim guitar kutembea peke yake mahala fulani. Hicho kionjo naona kimekatwa.

    • @ZilipendwaTanzania
      @ZilipendwaTanzania  10 месяцев назад

      Ni katika wimbo gani?

    • @mpandageorge7904
      @mpandageorge7904 10 месяцев назад

      @@ZilipendwaTanzania Ni katika wimbo huu huu

    • @JennyRingo
      @JennyRingo 3 месяца назад

      Hiyo ilikua ni kawaida rumba linapofikia climax rhythm guitar anaachiwa pekee yake watu wacheze kwa kishindo