Radio band 2 hapo Philip's,no stress no worries, maisha simple kabisa, enzo hazirudi tena, ila imebaki kumbukumbu, asante RUclips, tunajiona kama bado tunaishi na zile enzi. 19.12.23.
@@arapmeli6228 he he he ❤ kweli kabisa Redio philips, R T D ,midundo motomoto,Siku zikiwekwa Betri mpya, wee midundo hadi majirani wajue kuna betri mpya kwa jirani ,manake sauti hadi mwisho 😂😂 .enzi ndio hazirudi tena. ipo siku tutakutana nao tena wale wote tuliokuwa nao enzi zile.
Hii wimbo ni wa Atomic Jazz Band na SIYO Jamhuri Jazz Band. Mtindo wa band katika wimbo huu ulijulikana kwa jina la KIWEKE na aliyepiga Gitaa la Solo ni Bw. John Kijiko. Tafadhali rekebisha.
Atomic Jazz ....ktk ubora wke...John kijiko , Roger Isaac (waimbaji) Mgoro (besi) Mganga (rithym) John kilua (tumba) John mbula (saxophone) ....TANGA ...(FIRST AND LAST)
Hongereni wa wazeee wetu wa zamani kweli mziki ulikuwa kwenye damu zenuui✅✅✅✅
Radio band 2 hapo Philip's,no stress no worries, maisha simple kabisa, enzo hazirudi tena, ila imebaki kumbukumbu, asante RUclips, tunajiona kama bado tunaishi na zile enzi. 19.12.23.
Yakale Dhahabu.
Nakumbuka miaka hiyo tulipata hivi vibao kutoka RTD.
Nikiwa shule 80s baba akiwa na redio ya Philips.
August 2024
@@arapmeli6228 he he he ❤ kweli kabisa Redio philips, R T D ,midundo motomoto,Siku zikiwekwa Betri mpya, wee midundo hadi majirani wajue kuna betri mpya kwa jirani ,manake sauti hadi mwisho 😂😂 .enzi ndio hazirudi tena. ipo siku tutakutana nao tena wale wote tuliokuwa nao enzi zile.
Mnaniliza nikikumbuka zamani wakati ningali mdogo loooo!
Kila la heri sana Mbaraka na Moro Jazz. Mola aiweke roho yake mahali pema peponi wale ndugu zetu wana Moro jazz
Ahsate zilipendwa tz hongera kwa kutunza hazina
Old is Gold.
🎉The pressingly characteristic habits
JAMANI HUU WIMBO UIMBAJI UNANIKOSHA SANA
Huu wimbo nimeutafuta miaka nyingi mno. Ahsante.
Karibu sana
@@ZilipendwaTanzania karibu.
😢Kiweke Atomic John Kijiko
Hii wimbo ni wa Atomic Jazz Band na SIYO Jamhuri Jazz Band. Mtindo wa band
katika wimbo huu ulijulikana kwa jina la KIWEKE na aliyepiga Gitaa la Solo ni Bw. John Kijiko. Tafadhali rekebisha.
@@ZilipendwaTanzania siyo kweli. Waimbaji hao ni tofauti kabisa.
@johnhizza8678 Hahaha sawa
Hii ni Atomic jaz,sio jamhuri.
Naam huu ni wimbo wa Atomic Jazz Band ( Atom) na siyo Jamhuri( wana dondora).
ASANE ZILIPENDWA NI KIBAO KIZURI SANA
❤❤❤❤
Atomic Jazz ....ktk ubora wke...John kijiko , Roger Isaac (waimbaji) Mgoro (besi) Mganga (rithym) John kilua (tumba) John mbula (saxophone) ....TANGA ...(FIRST AND LAST)
Mwaka 1970 tukiwa na redio yetu Sierra tunakwenda k kivinje kwa akili ya usafiri wa kutufikisha sekondari Ndanda 1970 Muda umepita sanaaa
BN
ATOMIC JAZZ BAND..."KIWEKE"...NOT JAMHURI JAZZZ..