MURO: TOBAAH! "PENATI" SIMBA YA MCHONGO? UFAFANUZI NI..!! UBORA WA SIMBA YA FADLU KWA WAPINZANI BALA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 16 ноя 2024

Комментарии • 21

  • @justineflugence2477
    @justineflugence2477 Месяц назад

    Ni penati sahii

  • @muxxajadon8086
    @muxxajadon8086 Месяц назад +2

    Noma sanaaaa🎉

  • @BenedictPaulo-i1f
    @BenedictPaulo-i1f Месяц назад +1

    Ni muhimu kuheshimu taaluma ya m2 na si kubeza kila wakati

  • @Mufti-g3x
    @Mufti-g3x Месяц назад +3

    Nyinyi mwaka huu mtayasema mengii lakini Simba ndio inasonga mbele ivo

  • @YohanaMussa-y5h
    @YohanaMussa-y5h Месяц назад +2

    Simba imara sanaa

  • @mussakilipamwambu8284
    @mussakilipamwambu8284 Месяц назад +2

    Simba inatisha sana ubaya ubwela

  • @salymgaimale235
    @salymgaimale235 Месяц назад +1

    Tuondoe goli la penati cmba atabaikiwa na magolo mangapi

  • @ismailhassan5209
    @ismailhassan5209 Месяц назад +1

    Muro tukio kama hili mbona limetokea
    Mara nyingi na penalty inatengwa isipokuwa ukijiangusha makusudi hapo huwa wako makini na hawatoi penalty.

  • @SanyagiKulwa
    @SanyagiKulwa Месяц назад +1

    Tobaa nyie wenyewe wa mchongo mbona

  • @bukaone7507
    @bukaone7507 Месяц назад +1

    Ile ni penat sahihi

  • @HalfaanManoza
    @HalfaanManoza Месяц назад

    Ile ni penati

  • @MfunjoWabaBoydays
    @MfunjoWabaBoydays Месяц назад

    Hao Dodoma jiji wamekesha na walozi kwenye uwanja pumbavu xana

  • @ismailhassan5209
    @ismailhassan5209 Месяц назад +2

    Muro kumbuka hapo ndipo timu za nchi za kiarabu hupata penalty katika eneo la 18 ndani unapothubutu kepeleka mguu nyuma ya mcheza unakuwa tayari umechoma kibanda hapo marefa wote wa CAF hata ulaya kwa kitendo kile hawasiti kutoa penalty na card ya njano

    • @taseleli9181
      @taseleli9181 Месяц назад

      Muro nae ulitarajia aseme nini hata mechi na Alhali Tripoli goli la Simba lililofutwa alisema mchezaji alikuwa offside na wachambuzi wengi walisema haikuwa hivyo ,huyo hana zuri la Simba ndo wale wale Utopokwix

  • @IBRAHIMKAIRA
    @IBRAHIMKAIRA Месяц назад +1

    Sio pennati tu ataww wamchongo

    • @mckobatz5861
      @mckobatz5861 Месяц назад

      Kama vipi irudiwe labda itakuwa sio goli pia😂

    • @mwenealexis3111
      @mwenealexis3111 Месяц назад

      Watateseka sana mwaka huu

    • @MfunjoWabaBoydays
      @MfunjoWabaBoydays Месяц назад

      Refa ndio mwamuzi wa mwisho katoa penat, watu wanaanza kukoyola na kunya

    • @mckobatz5861
      @mckobatz5861 Месяц назад

      @@MfunjoWabaBoydays kimsingi hata ukiguswa mpira foul haifi ndivyo sheria inavyosema kuna kitu kinaitwa use of excessive force hata ukigusa mpira mwamuzi akitafsiri hilo as long as kulikuwa na contact anatoa penalty