WALIOMTEKA ABDULNONDO WAMEDONDOSHA PINGU INAYOTUMIWA NA VYOMBO VYA ULINZI : MAGARAGANDE

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 14 дек 2024

Комментарии • 7

  • @salyali7807
    @salyali7807 13 дней назад

    Hasbiyallah waneemal wakeel

  • @AlkafaaMarket
    @AlkafaaMarket 13 дней назад +1

    Tayari mateso kwa wapinzani tena

  • @nassorseif7907
    @nassorseif7907 13 дней назад +1

    Tanzania kwishaaaa .

  • @ahmedalbalooshi8518
    @ahmedalbalooshi8518 12 дней назад

    Ni vitendo vibaya wanavotendewa wapinzani,hasa ifikapo vipindi vya uchaguzi.
    Ina maana gani ya kuwa na vyama vingi vya siasa nchini,,iwapo watawala waliopo hawana nia kufanya uchaguzi huru,wa uwazi

  • @ElibarikiEliud
    @ElibarikiEliud 13 дней назад +1

    Ndugu zangu. mkiendelea na taabia ya ku..gas kwa kudhani kila anayekuwa na pingu ni wa chombo cha usalama mtakwisha. Kulikuwa na ugumu gani kujiridhisha kwa kuwazuia hao watekekaji mpaka wampitishe kituo cha police cha hapo magufuli au mwafutilie hadi kituo wanachompeleka. hamjiamini. haya mtamtafutia wapi.

    • @amoursalum8266
      @amoursalum8266 13 дней назад +2

      Omba sana dua mungu asikupitishe katika haya majaribu.. kama ni chawa bas jitahidi kuganda hapo ulipo mana siku ukiganduka ndio utajua kua wanyonge wanateseka

  • @salyali7807
    @salyali7807 13 дней назад

    Watu wasingekubali kuondoka nae just kwa kusema wao ni vyombo vya usalama na kuonesha id zao pengine ni fake .. number ya gari na watu mwaricodi matukio yote ... tupige kelele mpaka wamtoe Nondo 😢😢😢