Hyo kazi iachen kwasabab mwanamke yeyote anatongozwa na mwanaume na mwanaume akitaka kukuacha hata ufanye nin ni kaz bure tu, Mimi niulze tu swali mbona mumeo akifa husemi nami niuen, mnapendana tu kwa maisha mafup ila MUNGU NDIO MWENYE UPENDO ZAID KWA WAJA WAKE
Kabisa kipenzi mm napend mwili wang ctaki kujitia alama kuanz kwend kumfumania mume wangu bora nile nishbe ninenepe nisababishe watot na wazaz wanifurahie
Mnakosea sana hakuna mwamke mwizi wa mwaume,wanaume ndio tuna matatizo sana,ya kutongoza wanawake wengi,mnapo taka kujua matati au kutatua ni kufata mwanaume wako,huyo unae gombana nae katongozwa kama ulivyo tongozwa,jiulize wakati unatongozwa na huyo mwanaume wa mji,wangapi alio waumiza na kuwaacha,kuna alie mtoa bikra na wewe amekukuta umetumika mpaka unajalibu kuibana kwa magadi na ndimu,unaona ndio miliki yako wanawake acheni kujidhalilisha fanyeni kazi lea watoto ndio msaada wako,
Pole sana una ngeu kubwa funika uso!HIVI INAWEZEKANAJE MNAFANYA KAZI KAMA HIYO HALAFU UNAPIGWA WALIOFUMANIANA HAWANA NGEU SASA WEWE SI NDIO UMEFANIWA😅😅😅😂😂😂😂😂
Nyinyi mmeiga hii programu kutoka nchi zilizoendelea kama Marekani.Utamaduni huo wa uwazi wa mahusiano hapa kwetu haupo.Wenzatu huko wanawekeana hadi mikataba ya namna kuendesha mahusiano.Siwaombei mabaya lakini huku ni Afrika,chochote kinaweza kutokea.Programu kama hizi Marekani kunakuwa na walinzi wa kuthibiti vurugu zinazoweza kutokea. Pateni ushauri wa kisheria kufahamu kwa mfano mnapowaunganisha watu kama hao ugomvi ukatokea na kikatokea kifo,nyinyi mnasimama wapi kisheria.Aidha, nawashauri,kama hamna bima,haraka mkate bima.Naona kama vile vipigo vinaweza kuwa vingi.
Hapo mi mwenyewe nashangaa yaani mtu analeta ishu ya kuchukuliwa mume they took it easy that means hawana mipaka na kazi yao coz huwezi kuleta amani kwa kumtafuta mtu ambaye anatembea na mume au mke wa mtu mpaka alipo huku mkiongozona na muhusika ili waongee nn na kitokee nn yaani?
Kama mmevunjwa kweli safi sana wangevunja adi shingo mmezidi sana 😢😢😢 na kama ni content basi Mungu asaidie iwe kweli pumbavu kabisa Tupo pamoja na nyie mpaka wawauwe
Kwa kweli kama huwa mnasoma comment,mi ngewashauri jambo,ngewasahuri kujishughulisha zaidi na lile mliloumbwa kwa ajili yake,nalo ni kumuabudu Muumba wa mbingu na ardhi,na vitu vyote,na hii kazi mngeiacha na kutafuta kazi zingine,maana kazi zipo nyingi na zinapatikana kwa mtafutaji,na hii kazi haina khayr nanyi,na wala si kazi nzuri kwa kwel.
Kwani ulaya ndio kitu Gani tuache kujilinganisha na vitu vya kijinga Ulaya pia kuna ushoga na usagaji ndipo vinapotokea unamaanisha kwamba na hivyo ni vizuri? Sio Kila kinachotoka ulaya ni kizuri Tubaki kwenye maadili yetu ya kiafrica
What if ikatokea katika hizi kurupukushani zenu watu wakauwana mtakuwa tayari kukabiri Kesi za Aina hiyo? Jamani Mimi Ningekuwa ndio mmiliki wa hiyo saluni ningewashtaki kwa kuhatarisha usalama wa wateja wangu na kuharibu Mali zangu🙌🙌🙌🙌🙌
Kukosa kazi pia kazi,hawajui watakula nini wiki ijayo,wako bize kugombania wanaume ..NI AIBU SANA Ifike mahali wanawake mjiheshimu ,mjithamini,na mjipende na muache vitu visivyokuwa na faida. Its 2024,kila mtu anajua mwanaume sio wa kuhangaikia,unapoteza muda,na utaishia kupoteza mpaka uhai wako kama haupo makini. Aibu zenu wote,
Na.kisheria kufata mtu kaxin au nyumban kwake ni uvamizi na uvunjaji wa sheria usijisifu ni changamoto huo upumbacu sisem kwa ubaya ela umaharufu upo tyu lkn kwa hik haijalishi mmeombwa lkn upande unaoathirika amuwezi jua utakuwa ba maumivu kiasi gan mm nawambia hii mbaya kuonja sumu mtaku.......😢😢
Mr uky huyo dada ndo amekuletea mikosi kama haujui, ungeachana nae tu nakushauri maana toka uanze kazi yako hujawahi kutana na mikosi kam hiyo huyo dada ndo amekuletea mikosi kwanz anaropoka sana hata mfumaniaji ndo mana na hasira zilimpanda
kufuatilia maisha ya mahusiano ya watu cyo vzr leo mmekutn na hicho kesho unweza kuwawa au kumizwa zaid tafut kaz nyingin mapnz ya watu n ya watu mtaumizwa sana
Maaanina yaani tangu nisikilize wasafi sijawahi kutana na waandishi wa ovyo kama hawa maanina niwaombe wasafi sisi kama mashabiki msiwafukuze ila wapeni short coz wanaweza wakawa wazuri maana ni wapambanaji ila hakili hamna ata kidogo
Nyie mnaweza kuweka maisha ya watu sawa, mnataka ndoa za watu zife watoto wapate tabu,wawe machokolaha, ata wangewauwa nisawa 2, nyie mnajua asira za mtu kwenye mapenzi
Tungewashauri kuangalia njia bora ya kuifanya hiyo kazi professional kwakuwa umeiona ni kama opportunity ya kwenu kujipatia kipato ila ni sehemu ya kutatua changamoto za watu ambao wako kwenye mahusiano. Mfano ujifunze kwanza kufanya habari za kiujasusi mfano muwahamu kwanza kila kitu kwa husika bila wao kujua kuwa kuna habari unataka yani hiyo itawasaidia kila kitu hata hizo vurungu hazitaweza kutokea kwakuwa utakuwa meshajua utadi vipi nao
Akina mama wanaofuatilia michepuko ya mabwana zao hawana akili mchepuko anatongozwa vipi ukamfanyua fujo nenda mfanyie bwana yako aliyemtongoza unajua animwambia nini ? Km alisema Hana mke vipi wapimbavu kutoka Tanga hadi Dar mpuuzi mkubwa
Acha ufala km unaona mume wa mtu mtamu basi olewa na wew uchukue mnajifanya amtaki kuolewa alafu mnatamani waume za watu kwann uniumize na mm nisikuumize wew ujiwlew yaani utese moyo wa mwanamke mwenzako alafu wew usiumizwe umekuwa Nani nakufanyizia alafu uyo mwanaume cna shida nae
Tuko na nyinyi bega kwa bega mpaka wawauwee😂😂
Ukitaka kuish miaka mingi ondoa maswala ya mahusiano kichwani
Kabisa
Well said 👏
Uko sawa kabisa yaaaaaaaaan
True
Tatizo upwiru unakaba koo
Uyu dada sio profesional kabisa ckujua maswali yake yakinjiga kias iki wasafi angalien mnao waajil
Haswa hiki kipindi chao na kina lokole.. wana maswali ya hovyo sana hawafai kabisaaaa
@@edwinvenance8419 hizo radio na tv za udaku sifa sio elimu , TALANTA ndio kigezo cha kwanza , unaweza kuchonga chenga vzur ?😅😅😅😅
v
ni zaid ya upuuzi acheni umbea Pumbafu sana
Hakuna watangazaji siku hz haha😂
Hyo kazi iachen kwasabab mwanamke yeyote anatongozwa na mwanaume na mwanaume akitaka kukuacha hata ufanye nin ni kaz bure tu, Mimi niulze tu swali mbona mumeo akifa husemi nami niuen, mnapendana tu kwa maisha mafup ila MUNGU NDIO MWENYE UPENDO ZAID KWA WAJA WAKE
Fact❤
Fact🎉
Kabisa kipenzi mm napend mwili wang ctaki kujitia alama kuanz kwend kumfumania mume wangu bora nile nishbe ninenepe nisababishe watot na wazaz wanifurahie
Sasa kwanini hutafuti kazi nyengie mdomo koma🤐🤐
Jamani watuwanatuwekea sawa mahusianoyatujamani❤❤❤ tunawapenda
Duh dunia hii watu wanalilia mapenzi Bora nitafute pesa mahusiano mbona changamoto tafuteni Kazi ingine mhuuuu
Mwanzo Ushayalilia Ndio Mana 😂😂😂
Siyo pesa tuy tuwe na mijengo yetuy
Strong women sisi tunapigana na warabu siyo waname wasio na faida@@omanoman2044
Mr uky anameno yote kwl😂😂😂😂
Mnakosea sana hakuna mwamke mwizi wa mwaume,wanaume ndio tuna matatizo sana,ya kutongoza wanawake wengi,mnapo taka kujua matati au kutatua ni kufata mwanaume wako,huyo unae gombana nae katongozwa kama ulivyo tongozwa,jiulize wakati unatongozwa na huyo mwanaume wa mji,wangapi alio waumiza na kuwaacha,kuna alie mtoa bikra na wewe amekukuta umetumika mpaka unajalibu kuibana kwa magadi na ndimu,unaona ndio miliki yako wanawake acheni kujidhalilisha fanyeni kazi lea watoto ndio msaada wako,
Wacha wapigwe ndo watakoma kufatilia Mahusiano ya Watu 😂😂😂Safi sanaaa Nendeni mkatafute Kazi nyingine
❤
Ushauri tu, acha hiyo sio kazi.
Mnajisifia kabisa mnafanya kazi, Kazi yenyewe ni ya umbea acheni kuchunguza maisha ya watu kazi gani za kishoga hizo
Nikazi pia wew je una kazi paka una ngalia
Sikunyingine mkiona pameanza kuchangamka chafueni nyie hammwonagi mwenzenu lupyana classic?
Kukianza kuchangamka mwenzenu ana chafuaga!
😂😂😂😂😂😂!!!!!!!!
Pole sana una ngeu kubwa funika uso!HIVI INAWEZEKANAJE MNAFANYA KAZI KAMA HIYO HALAFU UNAPIGWA WALIOFUMANIANA HAWANA NGEU SASA WEWE SI NDIO UMEFANIWA😅😅😅😂😂😂😂😂
Huyu didaaa😂😂😂 eti manundu m!lama hadi lini
Nyinyi mmeiga hii programu kutoka nchi zilizoendelea kama Marekani.Utamaduni huo wa uwazi wa mahusiano hapa kwetu haupo.Wenzatu huko wanawekeana hadi mikataba ya namna kuendesha mahusiano.Siwaombei mabaya lakini huku ni Afrika,chochote kinaweza kutokea.Programu kama hizi Marekani kunakuwa na walinzi wa kuthibiti vurugu zinazoweza kutokea. Pateni ushauri wa kisheria kufahamu kwa mfano mnapowaunganisha watu kama hao ugomvi ukatokea na kikatokea kifo,nyinyi mnasimama wapi kisheria.Aidha, nawashauri,kama hamna bima,haraka mkate bima.Naona kama vile vipigo vinaweza kuwa vingi.
Jaman Mr Uk tunasubiri part 2 🤣🤣🤣🤣🤣. Pole mwayeee
Hii ndio part two sasa mahi😅 kumbe hujui kipenzi😅😅😅😂
@@rosemery3017 mahi wangu nilikuwa sijui
Part 2 mtakuta kiwiliwili
Ukweli ni kwamba Mr Uk na wenzako mmekosea sana maana mlitakiwa msome mihemuko ya huyo anayedai kuchukuliwa mme wake.
Hapo mi mwenyewe nashangaa yaani mtu analeta ishu ya kuchukuliwa mume they took it easy that means hawana mipaka na kazi yao coz huwezi kuleta amani kwa kumtafuta mtu ambaye anatembea na mume au mke wa mtu mpaka alipo huku mkiongozona na muhusika ili waongee nn na kitokee nn yaani?
komwe langu mbaaaaa wakalipasua kisa uchi wa majirani wallahi nyiee🙌🏾🙌🏾🙌🏾
komwe limeekwa kumbukumbu namba alama ya kazi kazini my twin huyo dada awaipe mana mlimkataza fujo azitakiwi kumbe yy alikuja na jini mandonga😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂jini mandonga kubabake
Nimecheka kizombi eti komwe langu mbaaaaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌
Kama mmevunjwa kweli safi sana wangevunja adi shingo mmezidi sana 😢😢😢 na kama ni content basi Mungu asaidie iwe kweli pumbavu kabisa Tupo pamoja na nyie mpaka wawauwe
😂😂😂😂😂shega tyu
Nipo sambamba na nyinyi mbk muuwawe😂😂😂
😅😅😅😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Ongezeni jitihada mfikie kwenye ndoa pia wanateseka sana 😂😂😂😂😂😂
😂niko na nyie adi tone la mwisho 😂😂kipigo kikizidi naomba tukamuone dakitari
😂😂😂😂😂😂😂😂
😂 eti kipigo kikizid muone daktar😂😂😂
Kwa kweli kama huwa mnasoma comment,mi ngewashauri jambo,ngewasahuri kujishughulisha zaidi na lile mliloumbwa kwa ajili yake,nalo ni kumuabudu Muumba wa mbingu na ardhi,na vitu vyote,na hii kazi mngeiacha na kutafuta kazi zingine,maana kazi zipo nyingi na zinapatikana kwa mtafutaji,na hii kazi haina khayr nanyi,na wala si kazi nzuri kwa kwel.
Poleni bhana siku izo imekua mbaya
Nipo na nyiee 😊😊😊😊😊
Mm nimeachwa jumamosi mchana kweupee tena kwa sms 😂😂😂,ynn kupigana ufungwe upoteze muda wako aaaah.!
Kweli kazini kwetu kuna kazi😂😂😂😂😂!! Tupo na nyie mpaka mfeee
Jamani pole 😢 mbna kama alitaka kuwauwa jamni 😢
Jamani polen nawapenda sana maana mnasaidia wengi❤
😂😂😂 Kaz ni kaz t hakuna kuchagua kazi
Wako sawa tu mbona ulaya kuna kipindi kabisa ila wenzetu wanaenda kiufundi sana step by step
Ndio
Huyo dada angekuwa na kisu ingekuwaje akaamua kuuwa ingekuwaje
Waaache wakifa wasije oooh r.i.p sijui nn cumamake hakuna kuchangiana kontent za kichoko @@willyjulius7740
Kwani ulaya ndio kitu Gani tuache kujilinganisha na vitu vya kijinga
Ulaya pia kuna ushoga na usagaji ndipo vinapotokea unamaanisha kwamba na hivyo ni vizuri? Sio Kila kinachotoka ulaya ni kizuri
Tubaki kwenye maadili yetu ya kiafrica
@@meshacknyandongo577 kumbuka they are far better than us hayo ya ushoga sidhani yamekujaje kwan hata huku machoko wapo
Mtakuja kufa vibaya nyieeeeee😂😂😂
awo madogo wapumbavu sana
Huyo dada kaumia kichwani kapata nguvu ya kuvaa wigi 😂😂 serious aisee
😂😂 content mzeee
Kaumia Kwenye komwe,Wizi halivaliwi kwenye komwe
😂😂😂ila wewe@@Ethnicfm91
Fear woman 😂😂😂😂
@@Ethnicfm91 unajua wigi la kuvaa Tena la kuvunga wewe unajua unasikia kikifungwa linatakiwa kubana
Yeah ni kwelii bhnaa lazmaa tuchunguzane 😢
Mpaka pale watakappkoma umbra.sasawanapataje malipo😢😢😢
Ww dada Acha hiyo kaz tafuta kaz nyengine utakuja kupata Athar kubwa😢
Kwanza kinaboa kinaongea sana hata hakifai
Kwel kabisa dida wambie iyo kazi waache
Poleni jamn kilaa kazi na changamoto zake
Daah maisha ya mapenzi ni mtihan sàna 🇹🇿
Kugombania mwanaume niushambaa😂😂 icho kidada kifukuzwe kazii kwanza wangekutowa hata jichoo
What if ikatokea katika hizi kurupukushani zenu watu wakauwana mtakuwa tayari kukabiri Kesi za Aina hiyo? Jamani Mimi Ningekuwa ndio mmiliki wa hiyo saluni ningewashtaki kwa kuhatarisha usalama wa wateja wangu na kuharibu Mali zangu🙌🙌🙌🙌🙌
Hivi mshawahii kuangalia Jerry Springer these guys deserved more than that.. Hasa huyo jamaa natamani hata yeye ndio angeumia
Content mbaya kinoma tafuteni kazi nyngne mapenzi hayaingiliwi
Kukosa kazi pia kazi,hawajui watakula nini wiki ijayo,wako bize kugombania wanaume ..NI AIBU SANA
Ifike mahali wanawake mjiheshimu ,mjithamini,na mjipende na muache vitu visivyokuwa na faida.
Its 2024,kila mtu anajua mwanaume sio wa kuhangaikia,unapoteza muda,na utaishia kupoteza mpaka uhai wako kama haupo makini.
Aibu zenu wote,
Polen sana vpenz vyangu jmn,MUNGU awajalie wepes mpone..mii nawapenda sana tena sana
How do u check on location
Unaonajee location ya mtuu kupitiaa sim yako
Na.kisheria kufata mtu kaxin au nyumban kwake ni uvamizi na uvunjaji wa sheria usijisifu ni changamoto huo upumbacu sisem kwa ubaya ela umaharufu upo tyu lkn kwa hik haijalishi mmeombwa lkn upande unaoathirika amuwezi jua utakuwa ba maumivu kiasi gan mm nawambia hii mbaya kuonja sumu mtaku.......😢😢
Mr uky huyo dada ndo amekuletea mikosi kama haujui, ungeachana nae tu nakushauri maana toka uanze kazi yako hujawahi kutana na mikosi kam hiyo huyo dada ndo amekuletea mikosi kwanz anaropoka sana hata mfumaniaji ndo mana na hasira zilimpanda
Ni kweli kabsa
Hii itaenda mpaka lin😂😂😂😂😂 Mungu ndo mwamuz wa yote
Ndo mkome Umbeya umewaponza 😂😂😂😂
kufuatilia maisha ya mahusiano ya watu cyo vzr leo mmekutn na hicho kesho unweza kuwawa au kumizwa zaid tafut kaz nyingin mapnz ya watu n ya watu mtaumizwa sana
Maaanina yaani tangu nisikilize wasafi sijawahi kutana na waandishi wa ovyo kama hawa maanina niwaombe wasafi sisi kama mashabiki msiwafukuze ila wapeni short coz wanaweza wakawa wazuri maana ni wapambanaji ila hakili hamna ata kidogo
Siwezi pigana na mwamke mwezangu kisa mwanaume 😢😢😢my frend hakuna mwanaume wa mwanamke mmoja
Mimi ni mwanaume wa mke Mmoja Tu mke wangu.
Hakuna mwanaume wa hivyo wee akija kwako mumeo shukuru tuu.
@@hassanbukambu931Mr.tafuta dawa za nguvu za kiume haraka
Tawile
Acha kupotosha wenzio😅😅😅😅😅😅😅😅
maswali ya huyu dada hayajakaa vizuri, nazani kabla ya kipindi ajiandae vizuri...
😂yessss
Huyu Dida na yeye ni mwizi wa waume za watu ndo maana anauliza maswali ya disappoint
Mukome nanyie😅😅😅
Kilichotokea ni uzuzu wa mr uky 😂
Nyie mnaweza kuweka maisha ya watu sawa, mnataka ndoa za watu zife watoto wapate tabu,wawe machokolaha, ata wangewauwa nisawa 2, nyie mnajua asira za mtu kwenye mapenzi
Nipo na nyie mpka.wawa uwe😂😂
Tungewashauri kuangalia njia bora ya kuifanya hiyo kazi professional kwakuwa umeiona ni kama opportunity ya kwenu kujipatia kipato ila ni sehemu ya kutatua changamoto za watu ambao wako kwenye mahusiano. Mfano ujifunze kwanza kufanya habari za kiujasusi mfano muwahamu kwanza kila kitu kwa husika bila wao kujua kuwa kuna habari unataka yani hiyo itawasaidia kila kitu hata hizo vurungu hazitaweza kutokea kwakuwa utakuwa meshajua utadi vipi nao
Siyo kazi hiyo acheni mpaka hapo angekufa mtu mmoja kesi ingekuwa ya nani
Badikishen Contact' Mapenzi hayaingiliwi
Afu angekua mwanaume ni mkristo sawa ila yule ni mwislamu saw kuwa na mwanamke zaid ya mmoja
Baada umchukue mwanaume mwenzio, kama anavyofanya kiredio wewe unaenda na demu tena sehemu ya mtu anauchungu wa mume wake 😅😅😅
Tatizo mnaiga mambo ya watu halafu hamna ulinzi wenzenu wako full security ngoja muje muuliwe
Kazi kwenu michepuko
Akina mama wanaofuatilia michepuko ya mabwana zao hawana akili mchepuko anatongozwa vipi ukamfanyua fujo nenda mfanyie bwana yako aliyemtongoza unajua animwambia nini ? Km alisema Hana mke vipi wapimbavu kutoka Tanga hadi Dar mpuuzi mkubwa
Mimi huwa nasomaga comment Kama izi afu tukiambia wanawake antena zimeyumba tunakataa
Acha ufala km unaona mume wa mtu mtamu basi olewa na wew uchukue mnajifanya amtaki kuolewa alafu mnatamani waume za watu kwann uniumize na mm nisikuumize wew ujiwlew yaani utese moyo wa mwanamke mwenzako alafu wew usiumizwe umekuwa Nani nakufanyizia alafu uyo mwanaume cna shida nae
😅😅😂@@zaiogy5787
Ipo siku mtasababisha mauji alfu mtaishia kufungwa maisha hv mnajua hasira za mapemzi nyie ipo ckuyenu mtakuja kumbuka hii message
Mapenzi mapenzi hebu tuhangaike kutafuta pesa mapenzi waachieni kina sharkhan
Mmh majangaa kwa kweli Leo sina la kusema niseme TU shoga angu kaanza vby poleni sana
Ila hata Hawa watu wanazingua , mapenz mambo ya kuchepuka kawaida tu ,mwanaume ndo kaumbiwa ivo tamaa
Duuh ila kama mwanamke ukiamua kupigana na wanawake utapigana na watu wa ngapi maana wanaume wenyewe ndo hao wasioridhika na ndoa zao
Pole san jmn msife moyo
Njooni mfanye haya kwangu, mtauza na hiyo radio yenu. Personal life ni personal life, mwenye shida aende polisi siyo kuniletea kamera
Habu wanawake jaribuni kutia akili kwa kichwa 😮😮😮 "mwizi wa mume wa mtu" Mtu hawezi ibiwa please 😮😮
Wasafi hawana interview mambo ya mana
Mpaka wawaue niko na nyie sambamba😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Kwani hii nchi Haiheshimu privacy za watu?
Pigeni kazi sema heshimuni ofisi za watu, mi ningewachinja kabisa kwa kunivamia ofisini kwangu.
Na hyo naye kuna mtu sku hizi anafumania .hakutaka mwache aende amekuwa Mungu useme nitakosa pumzi.
Uyu si Kiki kamaliza baobab😅😅😂😂😂
NDIO MKOME WENGINE MNAWAFWATA BARABARANI KUWAGOMBANISHA😂😂😂
Umbea tu safi😂😂😂😂😂
Halafu Mwamba Anandevu 🤣🤣🤣
Dar kazi hamna
Ni kweli kabisa nyinyi mko kazini kutafuta haki ya aliye zulumiwa
Kuna binti mmoja ni mmama😂😂
Mi nilijua saa nyingine ni move, poleni sana
Sasa ninyi ndiyo mnatafuta suluhu ya maisha ya watu?
Umahaeufu kazi mtakuja kufa siku mmoja
Inatakiwa hawa watu wafungiwe maana watakuja kusababisha maafa maana wanaweka utoto
Dada kaanza kazi na kuzibuliwa😂
Jamani hizo chalenji zenu zitaleta mauaji sasa ha mtu angekufu singefungwa sawa kuweni makini sana
😂😂😂 na mtakufa m,mbwa nyie
Naona mnatumia nguvu nyingi sana kujitetea but mnachofanya sio kitu kizuri mngejaribu kuchange content
Yani sio kizuri kabisa aisee wawavunje tu
Hawa ukitaka kuwapata. Unawafungulia kesi y kushawishi na kuchochote.kufanyiwa fujo.
For real hii content sio nzuri
sio kazi yenu
😢tatzo ulitembea na gundu we huogop mdada anaongea mda wote mcharukoo
kwenye kazi kuna kazi duu poleni
Huu mchezo wasafi muache
Acheni hiyo kazi mtakufa
Siku wajeajimix kwangu aisee.