MAKOMANDO Wamuonesha MAGUFULI UKAKAMAVU WAO, Wapiga GWARIDE Wakiwa na MIZIGO MIZITO...

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 4 ноя 2020
  • WANAJESHI Wamuonesha MAGUFULI UKAKAMAVU WAO, Wapiga GWARIDE Wakiwa na MIZIGO MIZITO...
    NI Hafla ya uapisho wa Rais Mteule wa Tanzania, Dkt John Magufuli, inafanyika katika uwanja wa Jamuhuri jijini Dodoma, leo Novemba 05, 2020...
    Hafla hiyo imehudhuriwa na viongozi wa kitaifa na mataifa mbalimbali akiwemo Rais wa Zimbabwe, Emerson Mnangagwa....
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
    ⚫️ VISIT AMAZON: www.amazon.com/shop/globaltvo...
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)
    ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
    ⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline

Комментарии • 89

  • @mbecheterombeche3375
    @mbecheterombeche3375 3 года назад +9

    Am proud of Tanzania

  • @hassanlikwenangu8471
    @hassanlikwenangu8471 Год назад +1

    Seeing them in this warming up style makes me wish I could be in the number of them!!

  • @yt-nu4tm
    @yt-nu4tm 3 года назад +15

    Jeshi la Tanzania ni very special. Wengi wetu bado hatujui mengi kuhusu wao na ushupavu wao

  • @dulabajo7097
    @dulabajo7097 3 года назад +3

    Komando tunao respect uliz wa tz

  • @kidiginonbabu5935
    @kidiginonbabu5935 3 года назад +6

    Lisu leta nyoko uone kilichomtoa kanga manyoya😁😁😁

  • @nevlintesha4462
    @nevlintesha4462 3 года назад +1

    Tanzanite jeweller mko wapi??

  • @jamesluoga8428
    @jamesluoga8428 3 года назад +2

    Safi sana jeshi la wananchi

  • @mussashabani2924
    @mussashabani2924 3 года назад +2

    Mchukua kamera hafai

  • @pendomalisa8148
    @pendomalisa8148 3 года назад +3

    AAA imependeza Sana magufuli oyeeee

  • @haidarifadhili8634
    @haidarifadhili8634 3 года назад +6

    Alafu niandamane huhuhu hahahaha 🤸🛀 Mambo yenyewe ndio hayo 😂😂makambanda tunao

  • @bilionealaucy8995
    @bilionealaucy8995 3 года назад +1

    Nice

  • @wordoffaithanddeliverencem4365
    @wordoffaithanddeliverencem4365 3 года назад +4

    Mpiga picha una matatizo

  • @richardkigeso5788
    @richardkigeso5788 3 года назад

    Waoo

  • @onesiusgeorge1800
    @onesiusgeorge1800 3 года назад

    Good

  • @zeus6035
    @zeus6035 3 года назад

    Wow

  • @bwerumaster6691
    @bwerumaster6691 3 года назад

    Ebhanaeeeeeeee

  • @bennmlelwa5863
    @bennmlelwa5863 3 года назад

    Nomaaa

  • @stellawilliam430
    @stellawilliam430 3 года назад +1

    Penda sana awa watu

  • @khamisgagarinho8017
    @khamisgagarinho8017 3 года назад +1

    Mbona cmuoni harmonize

  • @annikhaoya470
    @annikhaoya470 3 года назад

    Good sign Magufuli is loved

  • @nassorojuma2649
    @nassorojuma2649 3 года назад

    Global tuko pamoja hali ya yote nawapongeza makomando kiukweli nchi iko vizuli

  • @majokbol1216
    @majokbol1216 3 года назад

    From South Sudan..Dr.Pombe Magufuli is the best president in Africa

  • @erickmtena6937
    @erickmtena6937 3 года назад

    Tanzania

  • @kennywhitekennygoungmoney679
    @kennywhitekennygoungmoney679 3 года назад

    I love acts in life

  • @hshshshddjjdd8544
    @hshshshddjjdd8544 3 года назад

    Kwani M7 alikua na Uhunye hakua na fare😂😂😂

  • @erickchitumbi1308
    @erickchitumbi1308 3 года назад

    Ole wao vibaraka waijaribu tanzania.lazima tuwagalagaze mara 1.

  • @nkirijiwankirijiwa1269
    @nkirijiwankirijiwa1269 3 года назад

    mambo yenyewe ndio haya haraf nifanye utopolo wa kuandamana hahhhhaah

  • @teamallyracing1780
    @teamallyracing1780 3 года назад

    Wakifika 50 migongo hawana Tena

  • @hamisikidabadaba8938
    @hamisikidabadaba8938 2 месяца назад

    R.I.P KOMANDO KIDORIDORI, Hii siku ilinipigia simu asubuhu na mapema na kuniambia mdogo kaa kwenye TV unione kaka yako nitakuwepo kwenye maonyesho 😢

  • @paulmaziku240
    @paulmaziku240 3 года назад

    Aliyeona RUNGU kwa komandoo tujuane

  • @wallaceigeoge7515
    @wallaceigeoge7515 3 года назад +2

    Mimi ndiyo huyo wamwisho nkmebeba kg 200 mmeniona

    • @piusthomas5713
      @piusthomas5713 3 года назад +1

      Haha sasa saa ivi c ungekua umelala mzee huoni unapoteza usingizi kukaa ku conment youtube maana huo mzigo sio poa ulioubeba

    • @FUNDIMAKAVAKIGOMA
      @FUNDIMAKAVAKIGOMA 3 года назад +1

      😂😂😂

    • @pendomalisa8148
      @pendomalisa8148 3 года назад +1

      Hongera Sana

    • @grolyqueen5833
      @grolyqueen5833 3 года назад +1

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @wardamzuka3997
      @wardamzuka3997 3 года назад +1

      😆😆😆😆😆😆

  • @patrickmkunda7421
    @patrickmkunda7421 3 года назад

    Ongera.Amri jeshi mkuu.Nchi ni jeshi.nashangaa baadhi wa Wtz awajielewi.unacoment v2 vys kipuuzi kabisa.bora ukae kimya.Tunalinga kwa sbb y ulinzi tulionao.

  • @mussambuguni7621
    @mussambuguni7621 3 года назад

    Wasafi tv

  • @guccijackson3055
    @guccijackson3055 3 года назад +1

    Mbona mnashindwa kuwakamata watu wasiojulikana au ndo nyie wenyewe mtafuteni
    Walio mteka Roma
    Waliompiga risasi Lissu
    Au nyie wajeda wa maonyesho

    • @happyjohn5882
      @happyjohn5882 3 года назад +2

      Wewe ujui kitu dogo ebu tulia ujui vingine ni siri ya nchi wewe wabwabwaja tuu kama mtoto wa kikee hahaaaaa

    • @noelnyingi8663
      @noelnyingi8663 3 года назад

      Tulia wewe hyoo siri yako

    • @majerekaria5473
      @majerekaria5473 3 года назад

      Wewe Gucci Jackson mdomo huo hujui kitu nyamaza! Aliekuambia kazi ya kutafuta waliopotea ni kazi ya JWTZ ni nan hata kazi za majesh yako hizijui nyamaza!

  • @rajabuibrahimibrahim9131
    @rajabuibrahimibrahim9131 3 года назад

    Download

  • @arafataliomar7432
    @arafataliomar7432 3 года назад +3

    Yule wa zanziba yeye alikula urojo kwanza

  • @subiransasi8029
    @subiransasi8029 3 года назад

    Natamani kuolewa na mwanajeshi kweli

  • @silverstonestanley118
    @silverstonestanley118 3 года назад

    The rich stay rich by spending like the poor and investing without stopping then the poor stay poor by spending like the rich yet not investing like the rich

  • @wazirisingano5853
    @wazirisingano5853 3 года назад

    Sijaelewa chochote hapo

  • @allykibabe8182
    @allykibabe8182 3 года назад +1

    Halaf mtwara mbio nyingi...waende kule..

    • @jameskilasa759
      @jameskilasa759 3 года назад

      Waulize wa mtwara walichokipata Kama bado wapo

    • @binsultan6981
      @binsultan6981 3 года назад +1

      Aya mabeg leo yampnguzwa uzito mana mmoja juzi alianguka nalo zanzibar

    • @marthawillium9920
      @marthawillium9920 3 года назад

      We hujui lolote,,kaa kmy

    • @allykibabe8182
      @allykibabe8182 3 года назад

      Xaxa unawmbia nan

    • @noelnyingi8663
      @noelnyingi8663 3 года назад

      Uelewi lolote kojoa ukalale ww

  • @PaschalPhilbert
    @PaschalPhilbert 3 года назад

    😀😀😀😂😂😂

  • @hegatz2263
    @hegatz2263 3 года назад

    Habari ndugu yangu naomba support yako kwa kusubscribe account yangu kwa kugusa picha yangu Apo juu 🤲🤲🤲🤲🙏🙏🙏🙏🙏

  • @DesertTears
    @DesertTears 3 года назад +1

    Halafu mtwara wanatoka mbio 🤭🤭🤣🤣🤣

    • @clementmikiko5064
      @clementmikiko5064 3 года назад

      🤣🤣nikikukamata

    • @DesertTears
      @DesertTears 3 года назад

      @@clementmikiko5064 🤣🤣🤣🤣

    • @meshackyohana4525
      @meshackyohana4525 3 года назад +1

      @@DesertTears 😝😝😝😝

    • @gabrieldenicc4502
      @gabrieldenicc4502 3 года назад +1

      Hahahaa speed 180,upo nyonyo afimtu mtwara

    • @nellyjr396
      @nellyjr396 3 года назад

      Asa nan altoka mbio!! Waulze kama wapo mtwara hao basha wenzio

  • @johnlight5163
    @johnlight5163 3 года назад

    Harmonize yuko wap apo

  • @humphrayz6082
    @humphrayz6082 3 года назад

    Nan kamuona konde boy jeshi hapo

    • @babaasha4433
      @babaasha4433 3 года назад

      Mm nimemwona konde boy jeshi yupo katikati

  • @jennywillis7015
    @jennywillis7015 3 года назад

    H

  • @mimimoop2617
    @mimimoop2617 3 года назад

    Wagogo walikuwa hawajawahi kuona vitu km ivihahaha

  • @kumulwa
    @kumulwa 3 года назад

    Wote wapumbavu tu