MAMA ALIYE MLIZA MAKONDA AJITOKEZA TENA NA MENGINE MAZITO RPC ATERA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 19 фев 2024
  • #AdilTV

Комментарии • 31

  • @AdamBwambale
    @AdamBwambale 3 месяца назад +4

    muheshimiwa MAKONDA zidi kuwapigania wanyonge usiogope chochote MUNGU yupo pamoja nawe

  • @allyabdallah4357
    @allyabdallah4357 2 дня назад +1

    Kweli hii nchi imefikia pabaya sana kwa hawa watendaji majambazi

  • @hamadimaulidi9485
    @hamadimaulidi9485 2 месяца назад +3

    Askari wanausika na wanajua vizuri

  • @user-zt1zi2kk4x
    @user-zt1zi2kk4x 17 часов назад

    Bila shaka siesambu hasara Kwa bundles zangu kumsikilinza huyu kiongonzi makonda, hekima na huruma ananzo Kwa wanyonge, Yesu akulinde, unaishi Kwa makusundi yake, Kenya tungempata kiongonzi kama nawewe mambo yangelainika.❤

  • @kassimmuktarymurji4242
    @kassimmuktarymurji4242 3 месяца назад +3

    Makonda unawakati mgumu unayofanya sio we peke yako yupo Mungu juu yako piga kazi,pambana Mungu na watanzania wanyonge wako nyuma yako,

  • @nelsonnyamle
    @nelsonnyamle 3 месяца назад +2

    Mheshimiwa makonda kitendo cha huyo bwana kuendelea kujenga kunaonyesha wazi kuwa mhusika wa kupotea kwa huyo mtu kunamhusu mgovi wake.Kama kafa mhusika atwambie huyo mtu basi aliyendeleza kujenga atwambie ushindi wa kesi hiyo aliupata wapi?

  • @susananyasani6526
    @susananyasani6526 3 месяца назад +1

    Ni huruna kubwa sana Sada anamtafuta bwana aliyetekwa na kupotea mpaka leo hii haijulikani bwana yuko wapi uchunguzi kwa Familia

  • @kassimmuktarymurji4242
    @kassimmuktarymurji4242 3 месяца назад +1

    Makonda unawaliza watanzania wa hali ya chini ndio na walio wengi wanyonge wanaimani na ww,na wanakutegemea ww,usirudi nyuma pambana

  • @RoseKimishabhalemi-oz9bn
    @RoseKimishabhalemi-oz9bn 3 месяца назад +1

    Pole sana makonda Mungu akusaidie

  • @kilogreekachananawatuwasio4054
    @kilogreekachananawatuwasio4054 3 месяца назад +1

    John chacha manayake kashafaliki??? Nasikia RPC unamwita marehemu RPC masunzu yote Anajua Ni mshitakiwa vilevile 😂

  • @franciskamandi4712
    @franciskamandi4712 3 месяца назад +1

    Kama huyo bwana alitekwa ndani ya ofisi ya serikali, kwanini hao watendaji wasihojiwe? Na je kwa nini hawakulazimisha watekaji kujitambulisha???

  • @aryanamendes8700
    @aryanamendes8700 15 дней назад +1

    Marehemu tena

  • @hamidabarraball3162
    @hamidabarraball3162 3 месяца назад +1

    Utamwitaje marehemu, wakati
    Amepotea sasa kama wamekufa mwili uko wapi?

  • @nurukausa2162
    @nurukausa2162 3 месяца назад +1

    At huyu mama askari atanajua kwanini amwite marehemu wakati mwili haujapatikana?

  • @bugybuster5788
    @bugybuster5788 3 месяца назад +1

    Daaah makonda MUNGU akubarik

  • @ridhiwanakida3074
    @ridhiwanakida3074 3 месяца назад +1

    marehemu John chacha natamani kucheka ila inahuzunisha😢

  • @salumjumaruhaga2513
    @salumjumaruhaga2513 3 месяца назад +1

    Mambo ni mazuri kwa makonda

  • @user-vn1cu7ts3k
    @user-vn1cu7ts3k 3 месяца назад +1

    Nimelia 😢😢

  • @user-bc4pp8yi4n
    @user-bc4pp8yi4n 3 месяца назад

    makonda mungu akutunze

  • @aderanderwa7623
    @aderanderwa7623 2 дня назад

    MUNGU aturehemu

  • @HilldaSommy
    @HilldaSommy 8 дней назад

    Lmk

  • @susananyasani6526
    @susananyasani6526 3 месяца назад +1

    Mpangishaji Shamba akamatwe na ahojiwe kupotea kwa hiyo Bwana

    • @khadjamhozya
      @khadjamhozya 8 дней назад

      Akamatwaje na waKati magufuri hayupo

  • @m.m.tvmbebamaono
    @m.m.tvmbebamaono 3 месяца назад

    Makonda unaweza usigope wapigwe huyo matayo nyoko zake na huyo mtendaji na huyo rpc aliye kuwepo wapigwe na wawekwe ndani matayo mjinga sana kumbe ndo dili zake za kifala eti ni tajiri tunawatoa watoto wetu huko kwenye hilo shule lake na kijinga

  • @revocatusngomele4905
    @revocatusngomele4905 3 месяца назад

    Da😢

  • @fardoshnassor7847
    @fardoshnassor7847 3 месяца назад

    😢😢

  • @Octavinaelisa-fn6js
    @Octavinaelisa-fn6js 3 месяца назад

    😮😮😮😮😮😮😮

  • @user-do2uy9es3q
    @user-do2uy9es3q 3 месяца назад

    Unalia Nini kaka yangu ndy selikali yenu mliyounda unasubilu Nini makonda kuwaunga mkono upizani hicho ndicho kilio Cha upinzani