Kama maisha ni ya kubebeleza mtu for good, surely is this what marriage life is all about, kweli mabibi wana Kazi. I think both husband and wife has a responsibility of making things work and for keeping peace at home. It is a decision each should make. Kubebeleza mtu all your life feels like a lot of work, stressful, mentally and emotionally draining. I understand the wife should be submissive, respect and honour her husband but the husband should also love, honour, responsible, be considerate and selfless. Some of our men are not responsible and have absconded responsibility as the head, king and the priest of the home. Let our men lead the way and we follow.
I understand that all this Is important but let us not only focus on what women should do to keep a man but also what men should do to sustain his home. Its more pressuring to the woman and makes it bias ... Everyone should take full responsibility of their roles if its selflessness,love ,submission ex cetera ... Spicing up marriage life should be done by both partners ... Coz at the end of the day y'all will grow old together and in that ,some things like strength and the glow you once had fades away and all you have is each other and the friendship you've established all those years you'd have been together. Lovely day y'all😊
wewe hapa ni be resposible as man ..and the woman will respect you...kwa mfano kama bwana aja akiwa amelewa na hakuacha pesa ya majukumuu ....mke atakuheshimu vipiiiii...jiheshimu uheshimiwe
Maada hii inanikumbusha mistari ya nyimbo ya taarab kutoka Unguja (zanzibari) maarufu kam "Kinyango cha mpapure". Mke apasuliwa kweli hivi "Maji kwako sumu Sabuni kwako bomu Mswaki ni risasi Colgate super glu" if you say this now people will say cyber bullying.
Jamani huku warabu venye hawapendi hata kuoga ata mtu akiwa kwa periods jimama zima haliogi mxeeew😩😩mngejua warabu venye niwachafu mngeleta kipindi huku😂😂😂kuoga kwao ni sumu kupiga mswaki kwao ni vita😆😆😆
Mwanaume mzuri au mwanamke ni yule mwenye hofu na Mungu, maana atafanya kitu kwaajili ya Mungu, siku ya hukumu huwezi jitetea eti mke wangu alikuwa na kasoro, utaubeba mzigo wako mwenyewe na mkeo ataubeba wa kwake
This is possiblr kule pwani.Most women there are house wives and have all the time ya kujirembesha na kuuliza utakula nini na sauti nyororo...lakini wacha niulize....sisi wenye tuko kazi full time,we pay bills and all headache..saa ngapi utakua na hio sauti....???
If followed this five rules as a woman your marriage will work and both husband and wife and their kids will live happy and healthy family. 1. Make sure the house is clean and smells beautiful 2. Make sure you look clean dressed beautiful and smell good 3. Pika chakula visuri or cook food beautifuly with taste. 4. Kids should always be clean and healthy if you have one, 5. Welcome him with hugs and kiss 💋
And what are HIS responsibilities because providing is not enough since most homes have both parents working. If that is the woman's 50% including having a 9-5 job, what is his 50% at home. Would like to know.
Mwanamme kutoka ni tabia km ngozi ila bwana ukiwa unajuwa majukumu yako hasa km mwanamke tunakutana na wanamme anakwmbia hasa sikosi kitu kwa mke wangu tena nampenda sana ila ndio huo ujanadume tu na ndio Mwenyezi Mungu akasema waowe wanne kwa wale waislam maana tena kwenye wanne bado ukatoka nje itakuwa wewe una tatizo la kisaikolojia
Mh jamani kunawanaume wengine ni wagumu kuelewa Mimi nilikuwa namwambia mchumba wangu choo leo nyumbani kuna mgeni anataka kukuona ila uje umependeza mh jamani alivyokuwa anakuja utasema ndio nimemwambia aje vululu yani nilikuwa nakasilika mpaka basi
Ataji panga married is team work mbona mwana mke awekewe jukumu yote . If your husband is kadish kadinya even if ukim osha na asali kwa mwili he will never be faithful..
some of this stuff fits in our old Traditional system when women were just housewives...all she did was take care of the home n kids n wait for husband. siku hizi....uchovu wa kazi, ninafanya masaa 12hrs...nikifika nyumbani sina huo muda wa kubembelezana na hizo sauti 21🤪🤪🤪🤪🤪...people need to mature n behave. marriage is teamwork n both av to contribute to its success ..
Your totally wrong, that’s why Morden life has changed the nature of history, eve was the source of love and conviction to Adam which resulted in defaulting gods commandments, so women should be at the forefront in shaping the love journey in a relationship, and that’s what they are talking about regardless your working or not
Sie wanawake tuna mitihani sana mnk tuangalie nyumba...mume...watoto ...na unamfanyia kila kitu na bado mume haridhiki tufanye nini mama...na unamrekebisha kwa usafi pia lakini wapi...wengine tushapata mitihani sana...
Huku ulaya hatu mda wa kumwambia mume hivyo na pesa hatuombi ovyo tunafanya kazi haki sawa hela za mume na mke ni zetu wote tunazalisha pesa. Hizo habari za kubembeleza wanaume mwanaume anatakiwa ampende mwanaume sio mwanamke upeende !kazi yetu kutii .ulaya haki sawa sema kizuri tunaheshimiana na waume zetu.
Bisafari sisi munatulauma sana lakini wanaume hawtibiki mpaka mahawara kama mke simraibu simlevi yy hatibiki mpaka wa nje sio wanawake wote wachafu ama wavivu ni laana wanaza
Point nliyo ikamata ni mwanaume nje huwa anatongozwa hatongozi na ya pili mwanamke akimuheshimu mumewe atapendwa na mumewe ni haya ni true kabisa mama yangu naomba unifundie mwanamke mmoja nioe maan ntapata mke mwenye adabu na heshima
Mwenye kulaumiwa ni mama wa bibi na baba wake kwaku zaa binti bandia na bibi pia ni mwenye kulaumiwa kwakumpatia nafasi mumewe kuwaharibu wanawake wenghine(wakhando)
I love the way these two look at each and then laugh,,, Wallah Lulu and Rashid u inspire me.
Thanks alot mama yetu.napenda sana mawaidha yenu mwenyezi mungu awashidishie mimbaraka
Love conquers all; respect, love and understanding is the key to happy and successful marriage: Team Work!!
Bi msafwari ,Rashid na mkewe na wapenda snaa hvi vipindi zinakuwanga za siku ipi aki ...nimesubscribe to Ctzn becoz of yu guys on top😘😙
guys your blessing to many me being one of them,God bless you
Kama maisha ni ya kubebeleza mtu for good, surely is this what marriage life is all about, kweli mabibi wana Kazi. I think both husband and wife has a responsibility of making things work and for keeping peace at home. It is a decision each should make. Kubebeleza mtu all your life feels like a lot of work, stressful, mentally and emotionally draining. I understand the wife should be submissive, respect and honour her husband but the husband should also love, honour, responsible, be considerate and selfless. Some of our men are not responsible and have absconded responsibility as the head, king and the priest of the home. Let our men lead the way and we follow.
Usibebeleze mtu
Amen
umeongea mzuri dada!!
@@mweusimrembo890 😂😂
This people are making women do alot in marriage while destroying men in marriages
Hongera kwa mawaidha bi mswafari
I understand that all this Is important but let us not only focus on what women should do to keep a man but also what men should do to sustain his home. Its more pressuring to the woman and makes it bias ... Everyone should take full responsibility of their roles if its selflessness,love ,submission ex cetera ... Spicing up marriage life should be done by both partners ... Coz at the end of the day y'all will grow old together and in that ,some things like strength and the glow you once had fades away and all you have is each other and the friendship you've established all those years you'd have been together. Lovely day y'all😊
OMG....I LOVE THIS WOMAN. Uko wapi "babe wangu"? This is crazy good.
SHUKRAAN NAWAPENDA SANA
TUNAJIFUNZA MENGI ALLAH AWAZIDISHIE
Alhamdulilah,sasa Niko Kwa ndoa miaka 20 shukran sana Bi Msafwari
Wacha kudanghanya
@@mahbubdawood2909 wapi
@@faizabaishe5172 Ndoa ya haramu
Mahbub Dawood tumia ustarabu haramu we ndo umemwona you are ignorant
Mwanamke na mwanamme wote wachangie kwa ndoa. Si mwanamke peke yake.
Hapana awali ndio mwanamke alikuwa hachanghiwi lakini sasa anachanghiwa kwajili amefilisika
Ukweli
Apo umesema shoga nyege kunyegezana 🤣👌
wanao changia zaid wanawake !!!!!
That's right.
I really admire the beautiful way you make the fabulous story ♥
Kwa Mimi Napenda sana Mavazi ya Huyu Mdada mwengine. Yananivutia sana ni Mfano Mzuri kwa wanawake Wengine. Very Respectful.
Marriage is team work.
absolutely
Even in relationship mutual resspect is a must regandless of who earn what and and other so many other things +44
But never lasts bcoz you are an annoying others
😂😂😂😂kukojoa kwa mikebe😂😂😂nimeisha hapa sasa hicho chumba kitanuka namna gani jameni.....anyways....mawaidha mazuri sana mama.👏👏👏
bi msafwari uko right %100
Wale wanaoamini kuwa mapenzi na mahaba yanapitikana pwani.Gonga hapa
Saidi Abdalla Exactly mapenzi yapatikana pwani
Said Abdalla
kweli kabisa
Nonsense!
@@jennifer94932 hahahahaaa imekuchomaeee
@jeniffer94932 hahahahah yaaaaaan pwani mpango mzimaaaaaaaaaaa👌
Hongoreni sana, kazi njema
Mume wakutoka ni wakutoka tu hata uzungumze na sauti Mia moja wacha iyo ishirini na moja.Mke wa kutoka naye wakulaumiwa nani!!
Dada mtangazaji jistir kwq ajili ya Allah funika masikio
Congratulations mama👌👊👊point Blank😢
You are master of masters
Am in love with the Tanzanian woman❤
Hapa wanawake chukuweni msemo huu mwanamme hatongozi bali hutongozwa hivi ndivyo ilivyo
wewe hapa ni be resposible as man ..and the woman will respect you...kwa mfano kama bwana aja akiwa amelewa na hakuacha pesa ya majukumuu ....mke atakuheshimu vipiiiii...jiheshimu uheshimiwe
Thats true
Hakika👍👍
Well said
wainaina true
Zakayo Wainaina naked truth
Skio la kufa halisikii dawa, ,,marriage is a team work do me I do you..period
Exactly
bi msafwari upo vizuri waelekeze vizuri hao wanawake maana wengi hawajitambui
Tunajitambuaa my
Halooooooooo tupe mambo mashaallah Naaam usemavyo kweli
Kindly bring Bishop Masinde for advice
Nakupendea vivyo mama
😀😀😀😀😀😀 bi msafari hapo kwa beseni hapana jamaa anachomea sana
Subhanallah! Pwani mtego.
Sauti 😂😂😂,OMG hii topic poa
Iyo kweli kabisa
Good advice
Bii Mswafwali utakunywa chai ya rangi ama ya maziwaaa 😎😎😎
I love this couples
Maada hii inanikumbusha mistari ya nyimbo ya taarab kutoka Unguja (zanzibari) maarufu kam "Kinyango cha mpapure". Mke apasuliwa kweli hivi
"Maji kwako sumu
Sabuni kwako bomu
Mswaki ni risasi
Colgate super glu"
if you say this now people will say cyber bullying.
Mawaidha Mazuriii Asanta
Wow l like it
Kuwa mwanamke kazi kweli😲yani wa kufanya yote hayo ni Mimi,ila Mimi cjaona nafanyiwa nn na huyo bwana, chaaaa!
Jamani huku warabu venye hawapendi hata kuoga ata mtu akiwa kwa periods jimama zima haliogi mxeeew😩😩mngejua warabu venye niwachafu mngeleta kipindi huku😂😂😂kuoga kwao ni sumu kupiga mswaki kwao ni vita😆😆😆
Aisha Mrembo
nlidhani ni hawa wangu peke yao kumbe n wote 😀😀😀😀😀😀
😂😂😂😂😂
@@railamypresidentrailamypre629 wote dada😄😄😄😄😂😂😂😂
hao wako viip?
wangu wako wasafi
@@mawndiswalhi9192 kama ulipata wasafi shukuru hapa ni balaa
Kwli kbs mwaaaaah😛😛😛😆😆😆♥️♥️
Mwanaume mzuri au mwanamke ni yule mwenye hofu na Mungu, maana atafanya kitu kwaajili ya Mungu, siku ya hukumu huwezi jitetea eti mke wangu alikuwa na kasoro, utaubeba mzigo wako mwenyewe na mkeo ataubeba wa kwake
Mmmmm ni kupoteza wakati tu
hayo mambo yalikwisha zamani tuko dunia ingine.kila mtu apambane na hali yake
luk mamy 😂😂😂umeona ee
😂😂😂😂😂😂😂😂
Hahahahaha
Ndo apo sasa mtu hujiambia mwenyewe sio mpaka ufundishwe 🤣
Skupingi.kabsa
SubhanaAllah
I don't have time for that akitaka akae or aende who cares masauti 21 hiyo yote natoa wapi
😂😂😂😂😂
Lol 🤣🤣 🤣
@@zeddyabdi9159 😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣😂
😃😂😂😂😂😂
This is possiblr kule pwani.Most women there are house wives and have all the time ya kujirembesha na kuuliza utakula nini na sauti nyororo...lakini wacha niulize....sisi wenye tuko kazi full time,we pay bills and all headache..saa ngapi utakua na hio sauti....???
Kabisa umetoka job umechoka na mtu anakuabia ABCD I am sorry I got something important to do my friend is better I lose him but not lose my job
Kwan wanawake wa coast wote house wife...
@@magarettambaji2509 Good question 👌
Ukirudi watoto ndio hao, kwani wawake ni beasts of burden? Concentrate on caring for your kids and have a peaceful mind dear@@catherinenyamoita4332
parrotfish 😁
Huyo dada ni mariam wa migomba of clouds Tv Tanzania
Mama umeongea point mno
Hayo yote tuliwachia wapwani!!! Mmi sina time masauti 21 natoa wapi?? Please!!
hahaaa
siyawezi marriage is team work, nipembelezwe pia mimi
@@ruthkibibirasmussen816 wife's kazi kwenu na usisahau hapo kwa sauti 21
😂😂😂😂😂
Ndio maana waluhya tunawafunga vikoi huku na kahawa kwa sana😁😁😁😁
Asanteni sana
Wamama waache uvivu nawaume nao watosheke wakifanyiwa wawe nashukran
Penda sana bi Mswafwari oyeee....
Ata muongeze hizo sauti ziwe 50..wakwenda ataenda tu nkt. What about sisi wanawake.. Hali ni hio hio
🤣😂😅😁
Kweli
This is why I never plan on getting married 🤣🤣🤣🤣..... I love living by myself waaay too much
uku warabu ata miswaki awapigi wengine yani ndo wengi wao walivyo
Kweli kabisa
Kwanza huu wakati wa winter mwarabu ni kaa mafuta na maji
Eeeh wako ivio hii sura yao wanathani ci wachafu black people dio wachafu
Wallahi tena mwanzo hapa kwangu wanakulanga chewing gum meno.sijui uliona mswaki lini😃
Acha hata kupiga mswaki,Uso wenyewe hawaoshi,Bt tushawazoea
😂😂😂😂😂😂😂😂Eti muamba aliyekufa halooooooooooooo!habari ndio hiyo.
Mamba
We mama mwongo mtupu. Unaweza kunyenyekea asili miya moja alakini anatoka nje ya ndoa hizo sauti 21hajali anaenda
Aaaahh
Huyu ni Mariam wa migomba from bongo tz
If followed this five rules as a woman your marriage will work and both husband and wife and their kids will live happy and healthy family. 1. Make sure the house is clean and smells beautiful 2. Make sure you look clean dressed beautiful and smell good 3. Pika chakula visuri or cook food beautifuly with taste. 4. Kids should always be clean and healthy if you have one, 5. Welcome him with hugs and kiss 💋
RUBISH
Have urs worked?
monic kim yep 💯
And what are HIS responsibilities because providing is not enough since most homes have both parents working. If that is the woman's 50% including having a 9-5 job, what is his 50% at home. Would like to know.
I agree ☝️
Hapo ni kweli kupata bwana imekuwa ngumu
Mwanamme kutoka ni tabia km ngozi ila bwana ukiwa unajuwa majukumu yako hasa km mwanamke tunakutana na wanamme anakwmbia hasa sikosi kitu kwa mke wangu tena nampenda sana ila ndio huo ujanadume tu na ndio Mwenyezi Mungu akasema waowe wanne kwa wale waislam maana tena kwenye wanne bado ukatoka nje itakuwa wewe una tatizo la kisaikolojia
Nice
Mh jamani kunawanaume wengine ni wagumu kuelewa Mimi nilikuwa namwambia mchumba wangu choo leo nyumbani kuna mgeni anataka kukuona ila uje umependeza mh jamani alivyokuwa anakuja utasema ndio nimemwambia aje vululu yani nilikuwa nakasilika mpaka basi
Mwanaume hata umpe stly gani bado anatamaa tu kutomba kuma za njee wana tamaa sana
Ataji panga married is team work mbona mwana mke awekewe jukumu yote . If your husband is kadish kadinya even if ukim osha na asali kwa mwili he will never be faithful..
mum bin jee ukipna mume aompea mmkee taulo jee anamanishaa noni mum
True
Nimecheka😂😂😂😂😂
Hehehehe. Mwanamke mzuri ni kujiamini. Mpo
Tgg Ytgg tupo kwani iko nn
Why do we always blame the ladies for a cheating Man?
Hahahaaa hapo sasa mama uko sawa
Waume wa siku hizi 😂😂😂😂😂
Jamani wanaume wengine wameshindikana hadi nimeamua kuwa jeur maana kila nifanyalo halifanyiki
Maybe the times of our grandfather's
some of this stuff fits in our old Traditional system when women were just housewives...all she did was take care of the home n kids n wait for husband. siku hizi....uchovu wa kazi, ninafanya masaa 12hrs...nikifika nyumbani sina huo muda wa kubembelezana na hizo sauti 21🤪🤪🤪🤪🤪...people need to mature n behave. marriage is teamwork n both av to contribute to its success ..
Your totally wrong, that’s why Morden life has changed the nature of history, eve was the source of love and conviction to Adam which resulted in defaulting gods commandments, so women should be at the forefront in shaping the love journey in a relationship, and that’s what they are talking about regardless your working or not
Shikamoo Bi Msafwari. 👌
Sasa
Sie wanawake tuna mitihani sana mnk tuangalie nyumba...mume...watoto ...na unamfanyia kila kitu na bado mume haridhiki tufanye nini mama...na unamrekebisha kwa usafi pia lakini wapi...wengine tushapata mitihani sana...
Huku ulaya hatu mda wa kumwambia mume hivyo na pesa hatuombi ovyo tunafanya kazi haki sawa hela za mume na mke ni zetu wote tunazalisha pesa. Hizo habari za kubembeleza wanaume mwanaume anatakiwa ampende mwanaume sio mwanamke upeende !kazi yetu kutii .ulaya haki sawa sema kizuri tunaheshimiana na waume zetu.
Kama choo iko nje huko eldoret kwenda nje kuna shida gani hakuna wanyama au nyoka WA kutisha nje nendeni wote mkajisaidie nje acheni uongo
Bisafari sisi munatulauma sana lakini wanaume hawtibiki mpaka mahawara kama mke simraibu simlevi yy hatibiki mpaka wa nje sio wanawake wote wachafu ama wavivu ni laana wanaza
Nakupataje Tanzania
😂😂😂wah huyo naye anachomea bibi yake ati anakojowa kwa basin😂😂😂
😂😂😂😂😂👍
@@estheralbrechtsen8999 😂😂😂😂
Sio poa huo ni uchafu.
@@munalook4477 wah 😀
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Sina time
Nimuulize atakula nini wakati hamna hela aliyoacha... ??
🤣🤣😜
Mwanaume hatongozi yuwatongozwa 😁😁
Hapo chacha mdada
Naturaly wanaume ni wanawake wengi mwanamke ni wa mume mmoja,
Hakuna wanaume siku hizi
Sote wanawake mbaka baba ako mwanamke
@@abdullahkhamis3196 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂nafwaaa mm
Tumia chuma
Point nliyo ikamata ni mwanaume nje huwa anatongozwa hatongozi na ya pili mwanamke akimuheshimu mumewe atapendwa na mumewe ni haya ni true kabisa mama yangu naomba unifundie mwanamke mmoja nioe maan ntapata mke mwenye adabu na heshima
Ww mwenyewe ukiwa na adabu na heshima utampata wa kufanana nawe
Mwanaume akiwa msharati ni msharati hana kisababu
na kwanini aende akafanyiwe nje wakati mkewe upo kina mama tujitahidi
Mwenye kulaumiwa ni mama wa bibi na baba wake kwaku zaa binti bandia na bibi pia ni mwenye kulaumiwa kwakumpatia nafasi mumewe kuwaharibu wanawake wenghine(wakhando)
jamani uyo mwenye yuamtangaza mkewe eti yua kojoa kwa besin sasa kosa liko wapi uyo mume ajapenda
hii show kuwaeka wana ndoa like lulu na rashid its kinda irritating😑angekua mmoja na mwengine wa tofauti
Wapo kazini
Wivu
Hii ni wivu wamtamani Rashid
Sauti 21 kwani nyinyi ni jini 😅
😅😂🤣