Unamkumbuka JUMONG? Kumbe Jamaa Ni Mtu Mzito Sana Korea Kusini, Wazazi Wake....

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 21 май 2024
  • КиноКино

Комментарии • 122

  • @lumumbasembuli7807
    @lumumbasembuli7807 25 дней назад +36

    Jumong is and always will be number one at my home box

  • @alphahappy3501
    @alphahappy3501 25 дней назад +57

    Huyu ndo mwamba wa kdrama..JUMONG ndo series ya kwanza ya kikorea niliyoanza kuitazama na ndo imefny nijue kdramas na nizipende mpk leo 🔥 mwamba anajua sana kuigiza 🙌🏾

  • @evansmeshack6583
    @evansmeshack6583 9 дней назад +3

    Huyo mwamba kanifunza vingi sanaa mpka leo nmejua kutumia kisu kumenya viazi

  • @israelkisanga8587
    @israelkisanga8587 21 день назад +10

    Huyu mamba ni hatari, sana nimejifunza mengi sana kutoka kwake, yaani kuijua ndoto na kuifuatilia na kuipambania hadi itokee.

  • @worldhappiness1181
    @worldhappiness1181 25 дней назад +30

    Jumong, land of wind, king gwangaeto, faith, Iris na man called God. Best to watch.

    • @sammy-b6281
      @sammy-b6281 24 дня назад +1

      Bro umenikosha sana
      Yaani movies ulizo taja
      Zimenikumbusha vibanda
      Vya sinema

    • @scollamwanisisi2739
      @scollamwanisisi2739 24 дня назад +3

      We unazijua movie mpka king gwagweto, unamjua na damdock,,, hatar sana,, na jumong, faith ya lee min hoo❤❤

    • @user-bw8sf4bb1v
      @user-bw8sf4bb1v 24 дня назад +3

      tafuta six flying dragon na slave hunter hutotaja upuuz km faith

    • @scollamwanisisi2739
      @scollamwanisisi2739 24 дня назад

      @@user-bw8sf4bb1v six nimeiona pia,, hata slave japo zaman sana , yule jamaa si ndio libangwo wa six flying dragon,, wakaleta na hidden roots ❤️❤️❤️

    • @worldhappiness1181
      @worldhappiness1181 24 дня назад

      @@user-bw8sf4bb1v slave hunter, jung hyuk, muvi kali sana, zote nimeziona.

  • @hebertmwipugi5773
    @hebertmwipugi5773 9 дней назад +2

    Ni ya Kwanza na ya mwisho tamthiriya Bora zaidi kwangu

  • @seanpeterwatownseanpeterwa2853
    @seanpeterwatownseanpeterwa2853 25 дней назад +7

    Nakubali sana kazi yako ❤

  • @AllianceKwinja-jz9tc
    @AllianceKwinja-jz9tc 22 дня назад +1

    Uyu Kaka IKO vizuri kabisa mungu amulunde nilimupendaka mupaka kumwicho

  • @CallmeMack.d
    @CallmeMack.d 25 дней назад +2

    Hongera almost 1mill subscribers

  • @goodluckdaniely2122
    @goodluckdaniely2122 20 дней назад +10

    2007 au 2009 hapo ndio nilikuwa naangalia hii move ITV yaan niliipenda sana sana kusahau kazi kwenda bar kuangalia TV maana TV zilikuwa chache mpka nmekuja kuyapata maisha ndo nkaanza kuangalia upya zikafata CITY HUNTER, A MAN COOLED GOD, IRIS, GIANT , EAST OF EDEN na zingine kali sana

    • @chrispinurio1020
      @chrispinurio1020 19 дней назад

      Upo sahihi

    • @dorotheampanda3339
      @dorotheampanda3339 16 дней назад

      A man called God ilifanya baada ya jumong ndio walianza kucheza series wanazovaa kawaida sio kiasili kisha city hunter alicheza lee min hoo

    • @khalidkhamis8160
      @khalidkhamis8160 4 дня назад

      2009 bro

  • @mtengwadj9390
    @mtengwadj9390 24 дня назад

    Ahsante kwa Elimu

  • @CuteMaryam818
    @CuteMaryam818 25 дней назад +2

    Napenda sana Korea ❤❤❤❤❤❤

  • @user-ky1nv4qc7z
    @user-ky1nv4qc7z 22 дня назад +3

    Aisee hii move ndiy ilinifanya niangalie move za wakorea hta kesho bado naiangalia ❤❤❤

  • @farihiamass8739
    @farihiamass8739 25 дней назад +11

    Nilikuwa. Natoroka mafundisho kanisan nakuja kuangalia jumong yaan kuliko nkose jumong bora nikose ubarikio

  • @ashakusaga3250
    @ashakusaga3250 21 день назад +12

    🥰tulikuwa tuna ifatilia familia nzima,ilikuwa ikioneshwa chanel ya capital

  • @user-yd1zh4pe7q
    @user-yd1zh4pe7q 12 дней назад

    Nakubali Sana anacheza kwa hisia

  • @winfrida-iq7pq
    @winfrida-iq7pq 21 день назад

    Naipenda sana

  • @EdwardSamson-uf1ee
    @EdwardSamson-uf1ee 24 дня назад +4

    This is best Drama ever..

  • @TangaMashewa-qe8kk
    @TangaMashewa-qe8kk 25 дней назад +6

    hii movi me ndo ya kwanza kutazama season

  • @georgebataze6625
    @georgebataze6625 25 дней назад +8

    Ilikuwa kidogo nifeli coz ya hii Tamthilia Pugu High school 2009-2011 moja ya Tamthilia bora ya muda wote kwa kujifunza maisha kwa ujumla wake.

    • @SomoeIssa-ft6ml
      @SomoeIssa-ft6ml 24 дня назад +2

      Mi mwenzio nilifeli kabsaa ilikuwa kila nkisoma sielewi nawaza jumong ty

  • @aminatanzanya7475
    @aminatanzanya7475 24 дня назад +1

    Hii series ilifany nipende kdrama. Jumong ❤️❤️❤️

  • @ichicarodan6931
    @ichicarodan6931 25 дней назад +17

    Series yangu pendwa

  • @Julianstar_
    @Julianstar_ 21 день назад +6

    Enzi izo itv dah atar sana

  • @kassimomar7589
    @kassimomar7589 18 дней назад +2

    😅😅😅 Kuna bibi yangu akizungumza na jimong kwenye tv kama mwanawe

  • @MCorinto7
    @MCorinto7 25 дней назад +6

    Wa kwanza kabsaa npen
    Like zangu

  • @kimsarahfahyma5604
    @kimsarahfahyma5604 25 дней назад +6

    Enyi wenyeji msiyo sajiliwa. Chukuwenikibali haraka subscribe.😂

  • @MaryamRajab-vb6sx
    @MaryamRajab-vb6sx 16 дней назад

    First series movie to watch at itv television and he is number one fun always still now na wul and wul role medal wake ni mwamba huyu apaaa

  • @abdul-kadiraly9312
    @abdul-kadiraly9312 25 дней назад

    twennde kaz jastin shedi

  • @yusuphalawi6803
    @yusuphalawi6803 19 дней назад

    Mm mpk Leo Bado naitazama

  • @khalidkhamis8160
    @khalidkhamis8160 4 дня назад

    2009..itv..mda kuanzia saa 5 kamili usiku hadi saa 6usiku

  • @user-hg5iu6ko5r
    @user-hg5iu6ko5r 25 дней назад +3

    Gabriel nikiwa Kigali Rwanda nakufuatavizurisana

  • @KEMEATV25
    @KEMEATV25 25 дней назад +5

    Wakwanza

  • @DamianJustine-hs6dk
    @DamianJustine-hs6dk 15 дней назад

    Hadi leo bado naipenda sana tu

  • @jasonplayz4394
    @jasonplayz4394 9 дней назад

    Mpaka hivi mimi sijawahi choka movies yake uyu mwamba ❤❤

  • @RASHIDIABDUL-pc1gz
    @RASHIDIABDUL-pc1gz 21 день назад

    mimi pia aisee

  • @Mshuta
    @Mshuta 25 дней назад

    Hiii hatar🔥

  • @scollamwanisisi2739
    @scollamwanisisi2739 24 дня назад

    He's so handsome 🎉🎉🎉

  • @jaysonny3
    @jaysonny3 4 дня назад

    mjuba mwenyewe😂😂

  • @user-mn2we4li9y
    @user-mn2we4li9y 20 дней назад +1

    Saa Tano usiku kipindi hicho

  • @user-zq9cv3dm4u
    @user-zq9cv3dm4u 21 день назад +1

    Mimi nampenda jumong❤❤❤❤❤

  • @fridaupendomushi1081
    @fridaupendomushi1081 24 дня назад

    Tumetoka mbali kwa kweli 😂😂😂

  • @upendomaro3307
    @upendomaro3307 3 дня назад

    Kikolea ndo nn??Kam hujui kuongea si uache 😟😟

  • @farahanafarer7588
    @farahanafarer7588 25 дней назад

    Jumong was my favourite movie

  • @abdiyjaaz8180
    @abdiyjaaz8180 25 дней назад +13

    Iv awajamaa wana nzee kichwan mpaka nipewe like mara mauwa

  • @heamatite_fx
    @heamatite_fx 14 дней назад

    jumong is my favorite artist

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 25 дней назад

    ✌️👊👍.

  • @shehafa
    @shehafa 20 дней назад

    Mwamba 🔥🔥🔥

  • @mussabendera1751
    @mussabendera1751 25 дней назад +1

    Heko tuwape ITV

  • @AsumaniMAtanga
    @AsumaniMAtanga 22 дня назад +1

    Jamal

  • @daudmdenye5890
    @daudmdenye5890 25 дней назад +1

    A man called God aliua sana
    The land of wind super killer

  • @bakariabdalla9980
    @bakariabdalla9980 23 дня назад

    Kaka natamani utoe story ya Elvis Presley

  • @Shuhabbty
    @Shuhabbty 24 дня назад +1

    Jumong bad sichoki kuitazama

  • @KhamisLilos
    @KhamisLilos 24 дня назад

    Jumong ndo amenifanya nizipende sizoni?l??

  • @officialaq9653
    @officialaq9653 20 дней назад

    tiwa

  • @danielmllay8332
    @danielmllay8332 17 дней назад +1

    Ana nyingine inaitwa Emperor of the sea ni nomaaa

    • @bankyluxhi4975
      @bankyluxhi4975 8 дней назад

      Ni atariiiiiiii Emperor of the sea💥💥💥

  • @anethmaro8168
    @anethmaro8168 19 дней назад

    Ndo muvi ya kwanza ya korea tz tukaanzia apo enzi hzo itv 2007 pehaaaaa.,omamaaa.,opaa

  • @casmirygregory4990
    @casmirygregory4990 22 дня назад +2

    Kwel uyo ni three leged bird 🐦 adi ana mapacha watatu

  • @livaliiog1304
    @livaliiog1304 25 дней назад +4

    mauwa yangu tafadhali

  • @eddykashobo8485
    @eddykashobo8485 19 дней назад

    How can i do to watch this kind of movies in kiswahili?

  • @Rahma-gg8lu
    @Rahma-gg8lu 9 дней назад

    Muda,sanatumeimsi,san

  • @yussufhassan001
    @yussufhassan001 12 дней назад

    Queen seon deok acha tu

  • @user-gt6tv9ow4p
    @user-gt6tv9ow4p 20 дней назад

    Sijawah choka kuangalia jumong naipend san

  • @israeluronu9958
    @israeluronu9958 23 дня назад +3

    Enzi hizo nimeanza kuangalia kwenye Barmedas😅😅 na ndoyakwanza kuifatilia jmn

    • @AzizahAlly-lh7jl
      @AzizahAlly-lh7jl 17 дней назад

      Hivi barmedas bado inafanya kazi ?

    • @israeluronu9958
      @israeluronu9958 17 дней назад +1

      @@AzizahAlly-lh7jl hakunakitu nguzotu watu walishazifanya kuni

  • @GucciJackson-sw6pg
    @GucciJackson-sw6pg 22 дня назад

    Ivi inamana mwanamke anaye nipenda Mimi bado hajazaliwa 😢

  • @abrahamtitusi8967
    @abrahamtitusi8967 25 дней назад

    da imuvi nimelalasana 10 alfajili kalisana

  • @laurenciazacharia9197
    @laurenciazacharia9197 10 дней назад

    Tamthilia yangu pendwa jumong

  • @muhsenali9467
    @muhsenali9467 25 дней назад +6

    Jumong niliangalia sana🎉

    • @jifunze0042
      @jifunze0042 23 дня назад

      kwakweli hata mimi na nikiirudia siichoki naona kama ndio kwanza nimeanza kuiangalia

  • @Hadzabe_Tribe_culture
    @Hadzabe_Tribe_culture 9 дней назад

    chumong,mary,hyppo,oi, taeso, susunho

  • @SamwelSylvester0123
    @SamwelSylvester0123 25 дней назад +2

    Vp story za kigirik

  • @RafaellyRenatusdasiliva
    @RafaellyRenatusdasiliva 24 дня назад +1

    Jumong the goat

  • @suleimanmakame3028
    @suleimanmakame3028 21 день назад

    Na hpa ilikuwa inaoneshwa itv nilikuwa naifatlia xana

  • @sambostone8173
    @sambostone8173 25 дней назад +2

    Na wewe justin endelea tu kutoreply sms insta upo hivohivo

  • @user-dz1hd2rc4q
    @user-dz1hd2rc4q 18 дней назад +1

    Namkubali Sana jumong cjawah kuchoka kuitazama❤❤

  • @millermlowe8156
    @millermlowe8156 19 дней назад

    Kuna nyingine inaitwa IJIMAEH anae ikumbka anipe Mana siioni sikuhiz

  • @thabealaizer3313
    @thabealaizer3313 20 дней назад +1

    Kuna cku tuliangalia adi sa 12 asubuhi 😢

  • @winnieseba2257
    @winnieseba2257 17 дней назад

    Hii sasa ndio ilinifanya nipende kdramas mpaka leoo na haichoshii

    • @esthertulugana5639
      @esthertulugana5639 9 дней назад

      In short hii tamthilia ndio ilitufanya watanzania wengi tukazijua kdramma

  • @user-hj9cm9go6t
    @user-hj9cm9go6t 25 дней назад +2

    Tunasubiri blackpink

  • @taojuma3277
    @taojuma3277 25 дней назад +14

    Kitambo sana mzigo wa Jumong kwenye Capital Tv