RC CHALAMILA ATINGA ENEO LA AJALI MTO MZINGA KUWATULIZA WANANCHI WENYE HASIRA, ATOA MAAGIZO TANROAD

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 16 май 2024

Комментарии • 40

  • @gauchogaucho7583
    @gauchogaucho7583 15 дней назад +6

    Daah mdgoo wangu umeongeaa point sanaa

  • @azzaalhabsi1505
    @azzaalhabsi1505 15 дней назад +5

    Mi nafikiri hata hilo jina la mzinga bridge mgebalisha ndio maana watu na magari wanapata mizinga. Jina nalo linachangia ajali.poleni sana wote wafiwa.

  • @user-dt7ec3tr2v
    @user-dt7ec3tr2v 14 дней назад

    Poleni kwa majanga Allah awafanyie wepsi pia hongereni kwakupaza sauti

  • @user-dt7ec3tr2v
    @user-dt7ec3tr2v 14 дней назад

    Hongera sanaaa👏👏👏👏 mkuu kwa kutoa ushilikiano wako kwa wananchi kiongozi bora ni anaetekereza majukumu yake

  • @omarylukindo5306
    @omarylukindo5306 15 дней назад +1

    Hiyo sehemu inauwa sana watu,mm mwenyew nishashuhudia mara kadhaa ajali hapo,ila serikali km hawalioni vile.watengeneze barabara ya subway ili kuepusha ajali, barabara nyembamba mlima mkubwa ila watu wako kimy na madhara yanatokea kila baada ya muda

  • @Lodrickmwambene
    @Lodrickmwambene 11 дней назад

    Huyu jamaa Dar es salaam haiwezi

  • @betrackjasson6698
    @betrackjasson6698 15 дней назад +1

    Polen sana ndugu na jamaa mlipatwa na Ilo tatizo

  • @Niika870
    @Niika870 14 дней назад

    Barabara nyembamba sana ,sio msada wajenge barabara,huyu mkuu wa mkoa shida maigizo mengi sio mtu wa kazi kabisaaa

  • @maribaisack2097
    @maribaisack2097 15 дней назад

    Safi sana wananchi....pazeni sauti

  • @HamisMghuna-fj3vz
    @HamisMghuna-fj3vz 14 дней назад

    Dar salaam n city,ina wt kuliko Washington,na Dubai, peopletion n kbw,

  • @mohamedkitemwe3569
    @mohamedkitemwe3569 15 дней назад +1

    Tanueni barabara ni nyembamba sana iyo

  • @dorahmushi-we6ts
    @dorahmushi-we6ts 15 дней назад

    Poleni sana wafiwa....

  • @user-hv7pw6ih5v
    @user-hv7pw6ih5v 13 дней назад

    Kwani Chalamila amekuja kufanya nini amekuja kuwakebehi tu si chochote mimi nasema ukweli daima fitina kwangu mwiko ngoja tuone atafanya nini acha kusema mkuu wa wilaya wewe ni mkuu Mkoa toa amri moja acha porojo mdomo eti mkoa wa Dar -es-salaam ni mkubwa ina maana ungekuwa kama mheshimiwa Rais Samia Suruhu inavyoonekana ungekimbia nchi unalizwa na Mkoa kama Dar -es-salaam

  • @husseinremmy5762
    @husseinremmy5762 15 дней назад

    Sehemu mbaya sana hio mzinga

  • @allymohamedclaud7626
    @allymohamedclaud7626 14 дней назад +1

    Akili yangu inauma😂😂😂😂😂

  • @beatricefelix1271
    @beatricefelix1271 11 дней назад

    HIYO KAULI YA "LIMKOA LENU LIKUBWA" HAITAKIWI KUTOKA KWA KIONGOZI KAMA WEWE, Hii ndio CCM iliyofeli

  • @salminwamu2297
    @salminwamu2297 13 дней назад

    Hii ni barabara kubwa ya kilwa ndio inaunganisha kusini na nchi za jirani, haipaswi kuwa jambo la kisiasa.

  • @michaelsairamagafu
    @michaelsairamagafu 15 дней назад

    nguzo za daraja la mto mzinga kuliko tokea ajali zina hatari ya kuvunjika . wahusika tanroad washughulikie mapema... mkuu wa mkoa ameona lakini hakutilia maanani

  • @AjabuMnyandwa
    @AjabuMnyandwa 14 дней назад

    Polen sana

  • @darweshk7342
    @darweshk7342 15 дней назад

    mzinga ni.mtihani kiukweli gari likifa njiani mtihan mawasiliano.hamna

  • @salimsalim-ut4jk
    @salimsalim-ut4jk 15 дней назад

    Mukishakua masikini kila mtu atakuja kuwakebehe

  • @TitoRufizi-xb2ub
    @TitoRufizi-xb2ub 14 дней назад

    Hawamuelewi ndo maana wamepiga kelele

  • @godfreymushi6966
    @godfreymushi6966 14 дней назад

    Huyu mkuu kala nijni mbona tumbo lipo hivyo j jamani

  • @adamkapolo8817
    @adamkapolo8817 15 дней назад

    Dar es salaam bado sana kuwa jiji barabara duni sana sehemu kama hio ni sehemu muhimu sana kuwa na barabara ya kizamani hivo tena line moja tu

    • @HamisMghuna-fj3vz
      @HamisMghuna-fj3vz 14 дней назад

      Usichukulie poa Dare salaam kidunia n Jiji la 50 kw idad ya watu Washington ya marekani Iko nyuma kw idad ya watu,na Dubai Nairobi Iko nyuma katka Africa n Jiji la Dare salaam n Jiji la 5 kidunia n Jiji la 50 Dare salaam ucpime linatanuka kila mara,

  • @user-hd5bg8qw1b
    @user-hd5bg8qw1b 15 дней назад

    YOTE ONGEA RC CC WAKAZI WA K,NDONI TUNAOMBA UTUONDOSHEE HII KERO YA KELELE YA MABAA UCKU KUCHA HATULALI JAMANI MAGUFULI ALIIONDOA HII KERO NAWE TUSAIDIE

  • @amosihokororo9702
    @amosihokororo9702 15 дней назад

    Mbona ujajibu malipo ya barabara

  • @aediayumgo8546
    @aediayumgo8546 15 дней назад

    Chizi 🐓🐓🐓🐓

  • @adamkapolo8817
    @adamkapolo8817 15 дней назад

    Vitu kama hivi ndo vinafanya dar es salaam ikose sifa ya kuitwa jiji

  • @felixmsale9244
    @felixmsale9244 15 дней назад

    R.C hueleweki kabisa

  • @salimabdul4424
    @salimabdul4424 15 дней назад

    Hii barabara ni changamoto...

  • @starjay3052
    @starjay3052 15 дней назад

    😂😂🤣🤣

  • @halimamwingu4478
    @halimamwingu4478 15 дней назад +3

    Mh nimesikia km raia wanamkataa mama 😂😂😂

    • @jamesmzaki6041
      @jamesmzaki6041 15 дней назад

      😂😂😂😂Usisahau kuwa CUF ndio walikuwa wanaliongoza hilo jmbo kabla ya janja janja ya CCM.

    • @MwazanMussa
      @MwazanMussa 15 дней назад

      Yan watu wamemkataa na hawamtak hata kumckia tena walikua wanaimba kabisa ' goli moja milioni kumi barabara mbovu' mbele ya mkuu wa mkoa watu wa Mbagala hatupendi unafkir buan