IMANI YANGU 💔 | EPISODE 01

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 14 дек 2024

Комментарии • 255

  • @faridahally6314
    @faridahally6314 8 месяцев назад +30

    Wngp wanamkubali loveness alivyo jistiri vynye yuwapendza MashaAllah ❤

  • @RizikiZiki
    @RizikiZiki 8 месяцев назад +11

    Ramadhani karimu watu wamependeza kwa kanzu n'a mijitandiyo wewe Ramadan oyooo ingekua ivi kilasiku ilikua raha🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤aca tuone Imani ya kunambi kapewa mukoba aendeleshe cama sijuwi kama alielewa cama cenyewe😂😂

  • @Mkobabababunga
    @Mkobabababunga 8 месяцев назад +33

    wakanza kwa timu kunambi uyu jamaa anajua like kama kunambi in the best films Tanzania

  • @AbusalimButchery
    @AbusalimButchery 8 месяцев назад +8

    Jamani loveness na victoria mmependeza sana masha Allah❤❤❤🎉❤🎉

  • @Shafiigraphics
    @Shafiigraphics 8 месяцев назад +5

    Real kazi ya mungu haina makosa from Tz🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @bongomuviesworld
    @bongomuviesworld 8 месяцев назад +87

    IMANI YAKO NDIYO MAFANIKIO YAKO KIKUBWA NI UVUMILIVU ILI KUILINDA IMANI YAKO❤❤❤

  • @Moiseluhando-tq2tm
    @Moiseluhando-tq2tm 8 месяцев назад +5

    Nawapa pongezi wanangu nawakubali mno Kaka kunambi na omba like zangu

  • @Fadfazzy
    @Fadfazzy 8 месяцев назад +30

    Kama umetoka kufatilia Mama ntilie kutoka Donta family na kuendelea kufatilia Mikoba gonga like hapaaa familia😂❤❤❤❤🎉

  • @magdalenew.mwanyota5901
    @magdalenew.mwanyota5901 8 месяцев назад +8

    Weeeeee mwaya amejitanda kweli 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂loveness mm nikitaka kukupa ushauri naweza tuuu kukuambia kwamba endelea kujistiri hivyo ata Ramadhan ikiwa imeisha ,endeleza tuuu hivyo ❤❤❤❤❤❤

    • @Dontafamily
      @Dontafamily  8 месяцев назад +4

      Atavaa kulingana na movie inavyo taka

    • @mohdmassoud3052
      @mohdmassoud3052 8 месяцев назад

      @@Dontafamily subhannallah jamani tunapotea avae anavyotaka allah ila kweli jamani unajalibu kusema atavaa namna movie inavyotaka😭😭💔

    • @magdalenew.mwanyota5901
      @magdalenew.mwanyota5901 8 месяцев назад

      @@Dontafamily ok sawa yangu ni hayo tuu

  • @MasungaMaduhu-hs8ig
    @MasungaMaduhu-hs8ig 8 месяцев назад +45

    Jaman nami leo nimejitahidi nimewahi nipeni like at kidogo

    • @Mideva-p9f
      @Mideva-p9f 8 месяцев назад +1

      Jamani nawapenda ❤

    • @MasungaMaduhu-hs8ig
      @MasungaMaduhu-hs8ig 8 месяцев назад

      @@Mideva-p9f ata sisi tunakupende one family

  • @judithpendo9985
    @judithpendo9985 8 месяцев назад +25

    Ata tulichelewa hamam lkn tuko ndani team strong hoyeeeeeeeeee 😂🇸🇦🇰🇪 ndo Ramadhan tushamaliza week n tusiku😂

  • @shabaniathumani2284
    @shabaniathumani2284 8 месяцев назад +9

    kumbe lovenes naye anakuaga lomantic😁😁😁

  • @djaliairankunda3901
    @djaliairankunda3901 8 месяцев назад +6

    Mashaa Allah lovenes victory wamependeza sana Allah awaongoze❤❤❤❤❤

    • @RahelSafari
      @RahelSafari 8 месяцев назад

      Sema loveness nilimchukia kweny penz la dad wa kazi

    • @djaliairankunda3901
      @djaliairankunda3901 8 месяцев назад

      Na mm 😂😂😂😂😂😂😂

    • @ElizaDidace
      @ElizaDidace Месяц назад

      @@RahelSafari hata mm duh alimtesa sana kev

  • @ggfwtgg1652
    @ggfwtgg1652 8 месяцев назад +2

    Mumependeza jmn lamadhani karimu maichallah ❤❤❤❤

  • @carolynemkutano8086
    @carolynemkutano8086 8 месяцев назад +4

    Mmependeza na mavuzi ya kiisilamu❤❤❤❤

  • @MwajumaKhamis-d5b
    @MwajumaKhamis-d5b 8 месяцев назад +5

    Yaani mukifaa hayo mafazi wallahi munapendeza Sana endeleeni kujistiri

  • @kennedysang4015
    @kennedysang4015 8 месяцев назад +9

    Much love from kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @AgnesMwende-p9w
    @AgnesMwende-p9w 8 месяцев назад +6

    Pia mm Leo nimewai 🎉🎉🎉🎉🎉 watching from saudi

  • @rivenisichone7780
    @rivenisichone7780 8 месяцев назад +5

    Kazi haziwezi kwendaaa mbeleee hamjamaliza kazi mnatoa kazi juu ya kaziii maliza Moja toa ingine

    • @rukiahassan7001
      @rukiahassan7001 8 месяцев назад

      Nakwambia Tena hii pia hawaitaimaliza itaishilianjian.kuna series nyingi hawamalizi..like vampire love.na nyingi nyinginezo

    • @HillaryKeraryo-yb1oy
      @HillaryKeraryo-yb1oy 8 месяцев назад

      Wanakera

  • @gogoloveofficial5666
    @gogoloveofficial5666 8 месяцев назад +5

    Love from GOGO LOVE OFFICIAL TO BURUNDI

  • @ZainabSaid-n3v
    @ZainabSaid-n3v 8 месяцев назад +2

    Love uendelee hivo hivo sio kuvaa uchi kila siku sio filam hii iwe kila maana mung yupo kila siku maisha ya milele nikaburin na sio mbingun km unavosema

    • @Dontafamily
      @Dontafamily  8 месяцев назад +3

      Anavaa kulingana na movie inataka nini sio kwa ajili ya shabiki mmoja mmoja

  • @moiseszachariasmoisesmoises
    @moiseszachariasmoisesmoises 8 месяцев назад +2

    nawapenda sana waizaji wa donta tv❤

  • @Salma1212-u3o
    @Salma1212-u3o 8 месяцев назад +6

    Ongereni wana donta tv. Mungu awabaliki

  • @YoungOmmy-rw8gp
    @YoungOmmy-rw8gp 8 месяцев назад +4

    Maashallah loveness @ukivaa buibui n mtandio unapendeza Allah akuongoze🤲 ujistiri ivo ivo

  • @shakilasharifa9
    @shakilasharifa9 8 месяцев назад +1

    Love Ness burauwi good job ❤❤

  • @AlamunyakMakeku
    @AlamunyakMakeku 8 месяцев назад +14

    Imani yetu imekuwa wakwanza leoo kama unamkubali Kunambi gonga like 🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @HappyMtawali
    @HappyMtawali 8 месяцев назад +6

    Movìe nzur nawapend all donta family 😂😂🎉🎉

  • @Marim-sj7oi
    @Marim-sj7oi 8 месяцев назад +1

    Mashaallah da vick ukivaa abaya wapendeza na loveness nawapenda sana ❤🎉

  • @paulinekombe3753
    @paulinekombe3753 8 месяцев назад +1

    Nawapenda sana wana donta family ❤❤❤

  • @zai-q2e
    @zai-q2e 8 месяцев назад +1

    Loveness umependeza sana mamaa❤

  • @AshuraAmisi-ey4mj
    @AshuraAmisi-ey4mj 8 месяцев назад +2

    Masha Allah ❤ nawapenda sana nipeni liké zangu jamani sijachelewa sana nipo Congo apa

  • @allymwashambwa5920
    @allymwashambwa5920 8 месяцев назад +3

    Hamnaga shoo mbovu nawakubali hatarii ,leo mmetoa v2 viwili kwa mpigo , safi sana

  • @HusnaOmarry
    @HusnaOmarry 8 месяцев назад +3

    Wooow mashalah mmependeza jmn

  • @damas_officiel
    @damas_officiel 8 месяцев назад +1

    Nami amini sana kazi zenu ❤❤

  • @محمدالعطوي-ش5ه
    @محمدالعطوي-ش5ه 8 месяцев назад +1

    Kuliletwa kali team strong mko ndani ama kwa sura sura 😂😂❤🎉🎉

  • @Kenyanboy-v6s
    @Kenyanboy-v6s 8 месяцев назад +3

    Hongera kunambi Mimi kutoka doha Qatar

  • @HAPPYNESSNGASSA-j6t
    @HAPPYNESSNGASSA-j6t 8 месяцев назад +5

    Leo kunambi tunataka tuone unapambanaje na unapambania vp Imani Kwa ujumla.nakutakia mapmbano mema

  • @GetrudaSanga-d7l
    @GetrudaSanga-d7l 8 месяцев назад +9

    Mambo ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥 wapi watu wa Donta Tv mje huku Jaman

  • @Jamal11-t7r
    @Jamal11-t7r 8 месяцев назад +17

    wa 10 jmn pls hata like Tano tuu zinanitosha

  • @SahamOman-y3m
    @SahamOman-y3m 8 месяцев назад +2

    Vick umependeza km muisilam kweli kumbe mwisilam koko 😂😂salima hapa kutoka oman mm mhehe mwezio waipogolo😂

  • @DJAZBABOYS
    @DJAZBABOYS 8 месяцев назад +4

    MAPENZI mahaba❤❤❤❤🇨🇩

  • @Saif-y7m1y
    @Saif-y7m1y 8 месяцев назад +2

    Wapendwa wa farm za kunambe tujuane kwa laiki apa jmn 🙏🙏❤❤❤❤

  • @JosephMwalujey-zz2fy
    @JosephMwalujey-zz2fy 8 месяцев назад +1

    Mmependza mashallah ramadhan karem

  • @gagalinodenatrick1652
    @gagalinodenatrick1652 8 месяцев назад +1

    Sema baba kuniambia amechelewa sana kufa

  • @LeilaRashid-b3o
    @LeilaRashid-b3o 8 месяцев назад +1

    Wow nice yani Ramadan Mubarak mumependeza kwenye mabaibui Vicky hoyeeeeeee😂😂@kenyan girl

  • @BahatiKadenge-n5r
    @BahatiKadenge-n5r 8 месяцев назад +4

    Much love from saudi ❤❤❤❤❤❤

  • @NsawabuMwasera-hs4yi
    @NsawabuMwasera-hs4yi 8 месяцев назад

    Wallahi mko vizuri napenda mnavyovaa uhalisia wenu am from Kenya

  • @appsplay4324
    @appsplay4324 8 месяцев назад +6

    Much love from Kenya ❤❤❤

  • @Vadothierry45
    @Vadothierry45 8 месяцев назад +14

    Leo mimi wakwanza kutoka burundi 🇧🇮 💖

  • @JumatatuJuma
    @JumatatuJuma 8 месяцев назад +6

    Wakwanza from Kenya, mombasa County

    • @JumatatuJuma
      @JumatatuJuma 8 месяцев назад +1

      Much love to loveness 🥰

  • @KhadijahJuma-r2v
    @KhadijahJuma-r2v 4 месяца назад

    Nawakubali sana loveness na victoria mmependeza kwel❤❤❤

  • @AsendeAndre
    @AsendeAndre 8 месяцев назад

    Da lovenes da Viki brother brauni uko mumswaumu safi sana lovenes inapendeza sana

  • @Aishaawadhimsloki
    @Aishaawadhimsloki 8 месяцев назад +1

    Ah baba hodari wa kufa huyu😂😂😂 had kanitisha😂😂

  • @pondabinSaga-gr8rp
    @pondabinSaga-gr8rp 8 месяцев назад

    Napenda kunambi na awa wadada mlivo ipamba dini mmependeza mbele mtukuzen Mwwnyez Mungu

  • @asiabakari584
    @asiabakari584 3 месяца назад

    Mm naenda Sana move zenu ninzur kweli lakin mkianza move mnaiacha katikati kwa nn msimalize moja kabisa halafu mkaanza nyingine jmn tunawapenda Sana.

  • @asiahaji5466
    @asiahaji5466 8 месяцев назад +1

    Jaman Mung yupo sku zote jitahidin kina lovenes mkae hivo hivo kil siku

  • @omanbid7794
    @omanbid7794 4 месяца назад

    Jamani loveness eti nakupenda piaah Habiby😂😂😂😂

  • @RammyanLewah
    @RammyanLewah 8 месяцев назад

    Aki movie zenu zote nmwaaaa, Wana donta tv honerani sana mungu awazidishie kipaji chenu

  • @Mygirl_1032
    @Mygirl_1032 8 месяцев назад +1

    Hongereni kwa kazi nzuri ❤❤❤❤❤❤ Nawapenda Sana from kenya

  • @joycemuenimutua4506
    @joycemuenimutua4506 8 месяцев назад +1

    Wow, kunambi apa umeweza sana likes tukisonga ❤ Kenya

  • @jamilashabani8580
    @jamilashabani8580 8 месяцев назад

    Mmpendazaa Sanaa❤❤❤❤❤MTU NA MDOGO WAKE

  • @arikibok4735
    @arikibok4735 8 месяцев назад +2

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 8 месяцев назад +1

    Mke bora umependeza love nes kuwa muislam uipate pepo ya mola na mola akupe .ume mwema kqma ulivoekt humo uyapate ya kwelihayomapenzi

  • @Roze-so4he
    @Roze-so4he 8 месяцев назад +1

    Kazi nzuri sana

  • @fatnaharerimana2030
    @fatnaharerimana2030 8 месяцев назад +2

    😂😂😂jaman walioskia hiyo dua ya kunambi nipeni like😂😂😂😂

  • @EvelyneKatimi
    @EvelyneKatimi 8 месяцев назад +7

    Nimejabu jamen naomba like zangu nikiwa kenya

  • @JUMANNERAJABU-rn1vc
    @JUMANNERAJABU-rn1vc 8 месяцев назад

    Jaman kumbe kunambia shekh duh nakubl kak kz nzl

  • @AbdulInusso-jy4qn
    @AbdulInusso-jy4qn 8 месяцев назад

    Mi nawakubali sana salut brother kelvin

  • @MaulidAmri-zt2gv
    @MaulidAmri-zt2gv 8 месяцев назад +2

    Kuigiza nikazi zenu lakini kuiigiza dinin tena apo nikama kuwakejeli wafungaji mnapata dhambi

  • @ImaMwele
    @ImaMwele 8 месяцев назад

    Sema nyie wasenge mnajuwa sanaaaa

  • @nikalegona145
    @nikalegona145 5 месяцев назад

    Mariam and loveness more love ❤❤

  • @HadijaHusen-od2bw
    @HadijaHusen-od2bw 8 месяцев назад +1

    Naombeni like ata kdg jaman

  • @suzanaaloyc4903
    @suzanaaloyc4903 8 месяцев назад

    Congrats @donta tv kwa kazi nzuri endeleeni kutuburudisha nakutuelimisha

  • @NataliaRajah
    @NataliaRajah 8 месяцев назад +1

    Nawapendaaa sanaa nawap likee zenu

  • @ayshaaysha3489
    @ayshaaysha3489 8 месяцев назад +2

    Kunambi unapokea uchawi bila kujuwa Sa babu yauchungu pole 😢

  • @victoriangasa
    @victoriangasa 8 месяцев назад +4

    Siyo wa kwanza wala wa mwisho jamn 😂😂😂🎉🎉❤😂😂

  • @حسنا-ض3ز
    @حسنا-ض3ز 8 месяцев назад

    Much love from Kenya 🇰🇪❤😮😢😢😢

  • @NaomyJohn-hd4bq
    @NaomyJohn-hd4bq 8 месяцев назад +3

    Hahaahah jmn nimecheka kumuona nell mchawi😂😂😂😂 jmn

  • @VanillaVictor
    @VanillaVictor 8 месяцев назад +4

    Walio ielewa movie hii wagonge coment jaman

  • @chalitodaprince932
    @chalitodaprince932 8 месяцев назад +6

    From Mozambique

  • @DominicMusyoki-s9f
    @DominicMusyoki-s9f 8 месяцев назад +7

    From Kenya makueni

  • @LotozKilish
    @LotozKilish 8 месяцев назад

    Mpyaa cyo nawapenda sanan❤❤

  • @MussaMwalim-w5m
    @MussaMwalim-w5m 8 месяцев назад

    Wamependekeza San ❤❤

  • @AssimRa-y4n
    @AssimRa-y4n 4 месяца назад

    Hongereni sana

  • @allymwashambwa5920
    @allymwashambwa5920 8 месяцев назад +1

    huyu loveness n next level

  • @AishaTanzania-t1g
    @AishaTanzania-t1g 8 месяцев назад

    The best🎉🎉🎉

  • @SakinaHassani-xm7ti
    @SakinaHassani-xm7ti 8 месяцев назад +1

    Good job 🔥

  • @MwanaishaChileta
    @MwanaishaChileta 8 месяцев назад

    Kunami uvaha kanzu mashaa Allah 🎉🎉🎉🎉

  • @sophianyamvula7080
    @sophianyamvula7080 8 месяцев назад

    Wow move kali ❤❤❤

  • @mikesancho3095
    @mikesancho3095 8 месяцев назад

    Kunambi ni moto 🔥🔥 unajua kuigiza asikwambie mtu.

  • @LoiceKatana-ci1tx
    @LoiceKatana-ci1tx 8 месяцев назад

    Much love from kenya ❤🎉🎉

  • @officialnekevoice
    @officialnekevoice 8 месяцев назад

    malizieni kesho yangu vijana munaweza San✍️✍️✍️

  • @umikifupa-mi3re
    @umikifupa-mi3re 8 месяцев назад +1

    Much love from Dubai

  • @TausiMokiwa
    @TausiMokiwa 8 месяцев назад

    Nawapenda sana timj nzima ❤❤

  • @sharifasalum5176
    @sharifasalum5176 8 месяцев назад

    Mashaallah lavnes na kunamb wapendeza sana

  • @DottoMabogo
    @DottoMabogo 8 месяцев назад +1

    Nami xija chelewa xana naombeni like zangu hapo mbili2

  • @MaryamMshihiri
    @MaryamMshihiri 7 месяцев назад

    Hahahaha😂😂😂😂 kunambi hapo kwenye kuonba dua utacheka

  • @maryd1538
    @maryd1538 8 месяцев назад

    Mmerud tena❤❤❤🎉

  • @LovelyHamis
    @LovelyHamis 8 месяцев назад

    Aixeee loveness ananoga akijixtil

  • @AllyBoban-hf6tk
    @AllyBoban-hf6tk 8 месяцев назад

    Mashallah hongeren sana ❤❤❤