CHIMBO JIPYA LA SHISHI FOOD, SHILOLE KAFUNGUKA KUWEKEZA MILIONI ZAIDI YA 28 KWENYE UJENZI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 3 фев 2025

Комментарии • 189

  • @mauaebby2257
    @mauaebby2257 5 лет назад +96

    Nakukubali sanaaah #SHISHI naombeni like zenu kwa kuwa wa 1

  • @nafisamohamad3182
    @nafisamohamad3182 5 лет назад +68

    From kenya wangapi mnapanga kwenda kula kwa shishi tujuane bc apa kama mm

    • @chainbre275
      @chainbre275 5 лет назад

      Sinandoto

    • @husnauthman7609
      @husnauthman7609 5 лет назад +3

      Yaaan nikirud oman lazma nifike hapo inshaa allah

    • @tarsilabayyo-qt2xu
      @tarsilabayyo-qt2xu Год назад

      Napataje namba ya shishu

    • @asiaabedi7115
      @asiaabedi7115 4 месяца назад

      Inshaallah nawaza ivyo ivyo namm niko Oman now😂​@@husnauthman7609

  • @mejubaraza9415
    @mejubaraza9415 5 лет назад +18

    We ndio mwanamke wakuigwa bongo love u shishi bby

  • @ayshasalim6118
    @ayshasalim6118 5 лет назад +28

    Na kama unamkubali shishi npe like yako apo

  • @kilunjupolinah911
    @kilunjupolinah911 5 лет назад +12

    Wow! Pongezi kipenzi changu Shilole, am always very proud of you mdogo wangu. Ramadhan Maqbul kwa ndugu zangu wote Waislaam.

  • @hazelbrown4712
    @hazelbrown4712 5 лет назад +5

    MashaAllah Mabrouk (Hongera) Shishi jamani Nakupenda wewe Dada mchapa kazi na mwenye juhudi nyengi sana... Vii i told you nikija Dar lazima unipeleke Shishi Food😋😋 much love from MOMBASA KENYA❤

  • @fayzersuleyman6674
    @fayzersuleyman6674 5 лет назад +11

    Mashallah shishi love you so much Allah akuzidishie

  • @kiuwamhina2802
    @kiuwamhina2802 5 лет назад +8

    Sehemu nzuri, nimependa how she branded her business, safi sana.

  • @najmasalimsalim2741
    @najmasalimsalim2741 5 лет назад +5

    MashaAllah umehishimu kweli huu mwezi kama unapika jioni tu mungu akuongoze zaidi uache mpaka muziki

    • @husnauthman7609
      @husnauthman7609 5 лет назад +1

      Kweli kabisa mziki aache apate riziki ziwe za halal

  • @abisaimuhanji3687
    @abisaimuhanji3687 4 года назад +1

    Hahahaahahaaa Shishi sasa hivi anatema Yai (kidhungu) balaa, hongera sana Shishi baby sasa hivi unaonekana Umekua sana kikazi mungu akupe wepesi katika utafutaji, wasanii wengine waige mfano wa shishi Baby......Alianza taratibu kama utani sasa hivi anafanya vitu vyenye akili BIG UP

  • @funditv8959
    @funditv8959 5 лет назад +11

    Ha ha ha ha, nakukubali sana we mwanamke, keep moving💪

  • @zakyahya4645
    @zakyahya4645 5 лет назад +1

    Alafu Gig atake kubishana na shishi 😂😂kajambe gig love you so much my dear shishi

  • @keysiameddy8179
    @keysiameddy8179 5 лет назад +3

    love ue coz me mwnyw na wish soon nami ntawakaribisha gonga like kwa mwanamke shujaa kama shish na mm na ww

  • @irenemsumba6776
    @irenemsumba6776 3 года назад +1

    Shishi nakupenda Mara zote nakupenda

  • @charlzzesonconsciousness6685
    @charlzzesonconsciousness6685 5 лет назад +4

    Hawa ndio wasanii wenye akili na mawazo chanya sio kulalamika kwenye media tu kuwa unabaniwa wakati mnapata pesa hata kama ni kidogo na waweza INVEST #big up shishi kila hatua dua

  • @ummuadam2423
    @ummuadam2423 5 лет назад +3

    From Mombasa In shall Allah kinondoni kwa bibi stop over ya kwanza alaf kwa shishi... Luv u more

  • @khadijanjama9016
    @khadijanjama9016 5 лет назад +5

    Maa shaa allah jembe langu najifunza kutoka kwa shishi

  • @shamirlutome526
    @shamirlutome526 5 лет назад +1

    uyu dada nampenda sana toka alivo olewa hana sikendo mbaya anaieshi ndoa yake ongera zake zimfikie

  • @josephinemakungu8447
    @josephinemakungu8447 5 лет назад +1

    mtangazanji ata hii sehemu ni kubwa kwani vipi
    wewe uko na yako ama kuongea tu
    shishi uko poa kanzi zuri big up

  • @ashahassan2120
    @ashahassan2120 2 года назад

    Hongera mrembo 🥰🥰🥰

  • @aasiyaasia682
    @aasiyaasia682 5 лет назад +1

    Hongera sana shishi nakupenda ,huwa unanihamasisha sana...wanawake/waschana tuna nguvu kubwa sana iliyopo ndan kwetu ila weng hawaitumii na badala yake wanakua wanategemea wengne ....daah

  • @ayshasalim6118
    @ayshasalim6118 5 лет назад +27

    We ndo mwanamke wa nguvu na sio awo wanaotegemea mandanga

  • @thomaslandwhale
    @thomaslandwhale 5 лет назад +12

    She need support coz many have jobs coz of her..

  • @sophiasocpetrr9816
    @sophiasocpetrr9816 5 лет назад +2

    Shishi nakupnda Sana mwanamke unaejiamin Sana 🥰🥰🥰

  • @dangotesam9845
    @dangotesam9845 5 лет назад +4

    Hongera sana Shishi, keep up the good job

  • @ashuraidd9117
    @ashuraidd9117 4 года назад

    Natamani nifanye n ww shishi love u

  • @bestman3651
    @bestman3651 5 лет назад +1

    1. Sehemu hii ni open space
    2. Vely reasonable
    3. Tunafanya delivered
    4. Let me tell you Sam sing
    5. Good view and weza
    6. Every sing you need it
    7. People we know you say shishi food

    • @lazarojr8923
      @lazarojr8923 5 лет назад

      Kiingereza kitu gani wew?! Kikubwa kupiga pesa

    • @bestman3651
      @bestman3651 5 лет назад

      Yes! Lugha sio ishu. Nimejaribu tu kupoint vionjo vilivyonifurahisha ktk maelezo yake. Mi pia nampongeza

  • @pacifiquerema2347
    @pacifiquerema2347 5 лет назад +13

    From Burundi,nikija Dar i must eat Shishi food

  • @niriacatering172
    @niriacatering172 2 года назад

    Safi Sana hongera mno

  • @dalalimollelarusha7151
    @dalalimollelarusha7151 5 лет назад

    safii sana kingereza yako ni👍👍👍👍

  • @josephmayunga2879
    @josephmayunga2879 4 года назад

    Kazi njema mungu akubariki, shishi si lazima English Katina Kila kitu

  • @beatricemlau2536
    @beatricemlau2536 3 года назад

    Napenda sana kazi yako dada
    SHISHI FOOD 🙏🙏🙏

  • @ernestsaitabau4794
    @ernestsaitabau4794 5 лет назад

    Hongera sana mdada....unapambana pa kutosha

  • @midiagirls7418
    @midiagirls7418 4 года назад

    The is good 🥰🥰🥰👍🏼👍🏼

  • @pendomadirisha
    @pendomadirisha 10 месяцев назад

    Hongera sister

  • @t_eighteen8186
    @t_eighteen8186 5 лет назад +1

    Appreciate you madam 🔥🔥

  • @سبحانالله-ح7د
    @سبحانالله-ح7د 5 лет назад

    Mashaallah. Nice. Mungu akufungulie kila kher.

  • @KURYABOYTV
    @KURYABOYTV 5 лет назад +25

    Natamani Siku moja Nile kwa shishi food 🍲

    • @nafisamohamad3182
      @nafisamohamad3182 5 лет назад

      Kama uko bongo unaeza fika tu haraka sema ss wengine tuko nje ya nchi tunamani kufika uko lkni tatizo vle tuko mbali

    • @arwamuqaibal206
      @arwamuqaibal206 5 лет назад

      Nafisa Mohamed upo wp

    • @arwamuqaibal206
      @arwamuqaibal206 5 лет назад

      Mimi nipo oman mpenz

    • @nafisamohamad3182
      @nafisamohamad3182 5 лет назад

      @@arwamuqaibal206 niko dubai

    • @arwamuqaibal206
      @arwamuqaibal206 5 лет назад

      @@nafisamohamad3182 kumbe?? Mimi pia nimekaa huko sema asaiv ndio nimekuja huku tena

  • @mezddimosso3318
    @mezddimosso3318 Год назад

    Dada mpambanaji sana vzr

  • @sir_ENOCKMACHA
    @sir_ENOCKMACHA 5 лет назад

    Shishiiiiii you look good,umefungua kitu safi bigup

  • @kicmarthawa6659
    @kicmarthawa6659 2 года назад

    Pretty sana

  • @joasitz9559
    @joasitz9559 5 лет назад +4

    Haha shishi we noma. Nakupendaga bure.

  • @mimaakenirram1405
    @mimaakenirram1405 5 лет назад

    Mashallah dd shishi nakupenda natamani niwe kama lnshallha mungu mkubwa ndoto zangu zitatimia

  • @mzizirashid709
    @mzizirashid709 5 лет назад

    Nakupenda Sana ww Dada jamani usije ukabadilika maana utaniyumbisha naiga vingi Sana kutoka kwako . Naamini siku moja nitakutana Na ww nipate vingi Sana

  • @msambyajohnlwango7491
    @msambyajohnlwango7491 5 лет назад +3

    Ongera sana #SHISHI

  • @helenkambi3918
    @helenkambi3918 5 лет назад

    Barakallah Shishi

  • @mussaabdiel9797
    @mussaabdiel9797 5 лет назад +6

    Shishi Star timu shishi mpo

  • @stanleygeorge6638
    @stanleygeorge6638 5 лет назад +1

    Unapambana Sana sister good

  • @paulmoulics6078
    @paulmoulics6078 2 года назад

    Ongela sana

  • @norbertmajana2750
    @norbertmajana2750 5 лет назад +5

    Well-done #Shishi

  • @saadakiyungi6437
    @saadakiyungi6437 5 лет назад +1

    mnyamwez mwenzangu upo vzr na sio muongo

  • @mahijaramadhani5137
    @mahijaramadhani5137 5 лет назад

    Safi uko vizuri. ira baki tu nakiswahiri

  • @daveinspirations6649
    @daveinspirations6649 5 лет назад

    hongera dada angu kwa ubunifu na kujiamini

  • @halimaallyismailbinally7285
    @halimaallyismailbinally7285 5 лет назад +1

    woow mabrook shilole,shishi food its somalian tradition food""""""""

  • @mohameddamka922
    @mohameddamka922 5 лет назад +11

    wanaume wa mikoani hatutumiagi chakula cha zaidi ya tsh 3000.

    • @fathermore9772
      @fathermore9772 5 лет назад +1

      Mohamed Damka hahahahahahahaa hawapendagi sifa zakijinga tuvyakula twakijingajinga tuu alafu unapigwa bei mpaka unachanganyikiwa ......

    • @eliudwiston4206
      @eliudwiston4206 5 лет назад +1

      duuu mkoani juuu

    • @barakachawe3143
      @barakachawe3143 5 лет назад +1

      😂😁😀 sure bro hivyo tuwaachie wanaume wa Dar

    • @ahuriladaniel9849
      @ahuriladaniel9849 Год назад

      😹😆😆😆😆😆

  • @smartmusic9893
    @smartmusic9893 5 лет назад

    yani shishi nakukubali kinyamaa maana unajiamini kinomanomaa never give up my dear

  • @teamallyracing1780
    @teamallyracing1780 5 лет назад

    Maswali ya Bei hebu acheni ,mnapenda sana kuuliza

  • @zakiamseka9698
    @zakiamseka9698 5 лет назад +1

    Hongera SHISHI

  • @maimunaathman4664
    @maimunaathman4664 5 лет назад

    Inshallah tuko pamoja shishi, tuta come

  • @lauchungulau9255
    @lauchungulau9255 5 лет назад

    Congratulate

  • @leahnkwija1003
    @leahnkwija1003 5 лет назад +1

    Dah unanipa hasira yakutafuta

  • @binthassancollection.6308
    @binthassancollection.6308 5 лет назад +26

    Kama mngekua mnavaa hivi miezi yote basi ajali za barabarani pia zingepungua.

  • @godwinmerinyo2167
    @godwinmerinyo2167 5 лет назад

    Hongera sana shishi

  • @naomimugisha694
    @naomimugisha694 5 лет назад

    I love it

  • @esterrichard3062
    @esterrichard3062 5 лет назад +1

    Nakupenda sana shishi hakika wewe nimarikia wanguvu

  • @theonlyonebeautiful3726
    @theonlyonebeautiful3726 5 лет назад +6

    Mimi naishi nje ila natamanigi sana kufungua kitu kama hiki napenda kweli ila sasa sipo nchini

    • @danielmoses2244
      @danielmoses2244 5 лет назад

      Nia njema why usishirikiane na entrepreneurs wa nyumbani kama hawa akina Shishi na mkawa na BIASHARA KUBWA KABISA?

  • @husnajohn7466
    @husnajohn7466 5 лет назад +1

    Basi fungeni nampake mafuta vichwa vyenu,wala msiwe kama wanafiki wanaojipausha wakisema tumefunga, sasa nyinyi ambao baadhi yenu mnafunga mnashindwa kujieka vizuri ole wenu

  • @dishasuwa7616
    @dishasuwa7616 5 лет назад

    Mboga za majani nazipenda sana! nakuja soon my sis

  • @ellysilwani9287
    @ellysilwani9287 5 лет назад

    Hongera shishi...

  • @eckendmbela305
    @eckendmbela305 5 лет назад +1

    shishi 😙😙😙😙😙😙😙😙😙😙😙

  • @nicken3250
    @nicken3250 5 лет назад +8

    Waohh...
    Congrats Shishi...
    Who is behind this success!!???!

    • @kareemhassani8286
      @kareemhassani8286 5 лет назад +1

      Wawooooooo shishi nakukubali sana tu

    • @wacmber2131
      @wacmber2131 5 лет назад +1

      A woman doesn't need any one to be behind her success

    • @metrinelisa9986
      @metrinelisa9986 5 лет назад +1

      @@wacmber2131 very true you have given her the right answer

    • @kelvinjohn6851
      @kelvinjohn6851 5 лет назад +1

      Her mindset which comprises her attitude, belief in herself plus strong desires to success.

  • @deboramrema2861
    @deboramrema2861 5 лет назад

    Hongera sana dada shishi

  • @rahmabenedicto6838
    @rahmabenedicto6838 5 лет назад

    Maashaalla

  • @khadijaissaissa5824
    @khadijaissaissa5824 5 лет назад

    Mashaallah Dada shishi

  • @uwimanacitegetse9926
    @uwimanacitegetse9926 5 лет назад +2

    Najifunzakitu kutokakwako💋💜💜💖💝💞👄

  • @rosemoyo3019
    @rosemoyo3019 5 лет назад

    hongeraaa

  • @husnauthman7609
    @husnauthman7609 5 лет назад +1

    Shishi nakupenda sana nipo oman nikirud natamam nije hapo jaman

  • @maryamjuma9816
    @maryamjuma9816 5 лет назад

    Maa shaa allah

  • @congratulationmayunga3833
    @congratulationmayunga3833 Год назад

    Shishi ni mwanamke anaejiheshimu saana na ni mpambanaji na malkia wa nguvuu

  • @aishaubalozi7088
    @aishaubalozi7088 5 лет назад

    Mungu akubariki shishi

  • @khadijahomankweliyamjahaya7421
    @khadijahomankweliyamjahaya7421 4 года назад

    Hapo ndipo ninapokupenda jmn najifunza ipo siku

  • @rosejoseph9378
    @rosejoseph9378 5 лет назад

    Good girl shishi

  • @eliarichard9218
    @eliarichard9218 5 лет назад +2

    nice shishi.

  • @khamisshee4706
    @khamisshee4706 5 лет назад

    Mashaallah niko Kenya lkn Inshaallah nikija Tz ni home ya pili nitakuja kutembelea hapo nije nili Shishi food

  • @yaqoubsalim99
    @yaqoubsalim99 5 лет назад

    Shilole mimi napenda sana papa, vipi utanipa?

  • @husnajohn7466
    @husnajohn7466 5 лет назад +1

    Napajua hapo pslikuwa na makontena pabayaaaa umejitabidi

  • @The_real_musamansa
    @The_real_musamansa 5 лет назад

    Very reasonable 😂😂😂

  • @emmanuelbonaventura4258
    @emmanuelbonaventura4258 5 лет назад +1

    Akili mingi shishi

  • @emmyally5335
    @emmyally5335 4 года назад

    Da shishi naomba uniajiri

  • @fatmakessy981
    @fatmakessy981 5 лет назад

    Hongera sn umejitahid sn wewe nimwanmke washoka

  • @nyambelewinfrida9074
    @nyambelewinfrida9074 5 лет назад

    Namkubar tangu kiingereza Chake kwan ni kwa malengo ili hata mzungu akija aelewane nae japo hatukujua lengo lake

  • @dorismamf7404
    @dorismamf7404 5 лет назад +4

    Nakupenda ilanenda English coz asituchapie kilasiku

    • @hopebaker5928
      @hopebaker5928 4 года назад

      Atajua tu kwani ye mzungu? Wazungu wenyew wanaongea kwa shida kiswahili itakua yy?

  • @zuhurayahaya2449
    @zuhurayahaya2449 2 года назад

    Shishi nahitaji kufungua mgahawa kama wako nifanyajee Dada anguu

  • @charlessamba9244
    @charlessamba9244 5 лет назад +1

    Dada wewe ni shujaa huna drama kwenye maisha siku nikija Dar I will come no nguunshishe

  • @adolphinahaule8323
    @adolphinahaule8323 5 лет назад

    Asant shishi nakubali sana ww

  • @sir_ENOCKMACHA
    @sir_ENOCKMACHA 5 лет назад

    Shishi yuko safi

  • @barakmazigo8945
    @barakmazigo8945 5 лет назад

    Umejitahd Dada yetj

  • @خسنموس
    @خسنموس 5 лет назад

    Napenda shishi unavyopambana

  • @maulidawadhi5428
    @maulidawadhi5428 5 лет назад +1

    Shishi unamkejeli mungu wewe na wezako na hilo vazi hamna adabu wala woga

  • @markjuliusdaud8005
    @markjuliusdaud8005 5 лет назад

    Saf Sana kingereza kinapanda shishi baby.