Ushauri mdogo tu Kwa kuwa kuna wakati umbali wa kupeleka chakula ni zaidi ya mita 5, ni vyema chakula kikafunikwa ili kulinda afya ya wateja. Miti inaweza kuzalisha wadudu, maua, mbegu au kinyesi cha ndege vikadondokea chakula
Nunua vitoroli vidogo vys kusukumia chakula.hakikisha kufunika na karatasi nyeupe za nailoni,pia hakikisha wahudumu wanavaa muda wote kitcheni gloves.hapo utakuwa umevunja record bora kabisa na mapishi bora kabisa
nice ushauri jaribu kutumia plastik rap kufunika chakula from kitchen to mtaja inaonesha ni masafa marefu chakula chaweza kuchafuka nzi wadudu vumbi from upepo
Mbona Kenya mombasa wanafanya sana hii na hasa walioanzisha hii ni waturuki inaitwa platter ukinunua hilo sahani ina kila kitu sema wao sio sinia ni sahani ya gae kubwa
perfect combo; but napenda kutoa ushauri kwa kua kutoka jikoni mpaka kwa wateja kuna umbali na wanabeba kwa mikono ungejaribu kutafuta namna ya kukibeba labda kutumia troll kuepuka kujikwaa, mikono kuteleza, kuungua , na kadharika
Yani hiyo ndo maana haris ya kutumia elim yako kuwa created na kutoa ajira kwa watu wengine, sio umesoma unakaa tuu nyumban hunasubil kuajiwa mtu kama huyo asijiite Masomi, congratulation sister....
Kama ingewezakanaa angesajili wazo lake Hilo la kusevu chakula chake ili wasimuige yeye ndo awe muasisi ili apate pesa zaidi kupitia wazo lake Hilo la tofauti,,Mana bila ya ivo watu watamuiga jinsi yakusevu alafu baada ya muda atakosa upekee hivyo itampelekea kukosa kipato,,trust me,,aende kusajili uspesho wake huo atakuwa bilionea wabadae,,na itamfanya kuwa peke yake na atapata oda nyingi zaidi itampelekea kupata pesa zaidi kwasababu atakuwa peke yake hapa Tanzania na duniani pengine
Uchoyo hautomsaidia mtu yyte hapa duniani. Na haswa kwa sisi waisilam Allah ametuamrisha tusibanie elimu na tusaidiane. Na hio ndio miongoni mwa kupeana elimu. Najambo jengine ni masuala ya rizk.....km rizk yako utapata hata mkiwa wengi na km sio rizk yako hutopata hata ukiwa peke yako.
Mnaeza kua wengi na watu wakaangalia test au usafi. Kwanza kwenye maisha kitu kikifanywa na mtu mmoja tu bei inaeza kua kubwa lkn wakifanya wengi bei inaeza kupungua na hata kwa yule ambaye uwezo wake mdogo lkn katamani anaeza kujinunulia siku moja moja.
Wanawake tunaweza sanaa!! Hongera sana dada 👌👊😋😋😋🔥👏👏🍺🍺
Nikija dar hapa lazima nafika inshallah. Hongera Dada, kwa idea nzuri
Karibu
Ushauri mdogo tu
Kwa kuwa kuna wakati umbali wa kupeleka chakula ni zaidi ya mita 5, ni vyema chakula kikafunikwa ili kulinda afya ya wateja. Miti inaweza kuzalisha wadudu, maua, mbegu au kinyesi cha ndege vikadondokea chakula
Kweli kabisa hata mimi nimeliona
Upo makini sana 👏🏾👏🏾👏🏾
Safiiiii
Kimoto huhitaji kufunika
Chakula kingi mno kwa gharama hiyo 🤔 Mambo ni moto 👌 Mama weka meza zile za kupeleka chakala, Wadada watavunjika viuno hivyo 🤭
Kwa kweli Na hao walaji hicho hawakimalizi
😂😂
Good idea really👏
Pengine nipicha tuu hujaona wazi
HAHAA
Ila Dar kuna chakula kizuri kwa kweli 👏👏yani hatari
Even Arusha bwana
@@georgemhalla8853 umenena
@@georgemhalla8853 huko mtatushinda kwa nyama labda,ila nimecheka
MashaAllaah chakula kizuri kinavutia hila jinsi wanavyo kipeleka kwa watu sio kwenye mazingira mazuri kabisa
Safi sana Dada msomi umeniispire sanaaa. Kujiajiri raha
NAOMBA CHAKULA KIKIWA CHATOKA JIKONO KWENDA KWA MLAKI KIFUNIKWE HII MI.KWA AKILI YA VUMBI NA NNZI
HONGERA SSASANA DADA YANGU
Na iyo minywele pia wafunike
Hiii inaitwa kula kujigalagaza, hapa panamfaa bb levo mpen mtu combo ale🤣🤣🤣🤣🤣
Nice pia mtangazaji anajua kuhoji🥰🥰
Wanawake tunaweza sana 💪imenoga hiyo 😋
In sha Allah nikija vacation apo ntapeleka familia yngu waji enjoy laki n nusu sio pesa kwa furaha kwa mke wngu n watoto wngu In sha Allah @Mombasa 🇰🇪
Good combination one day i will visit the place
Hongera sister I love your idea
Aise nikija Dar nitatafuta hiki kijiwe du watu wana maarifa jamani du hongera sana
Nunua vitoroli vidogo vys kusukumia chakula.hakikisha kufunika na karatasi nyeupe za nailoni,pia hakikisha wahudumu wanavaa muda wote kitcheni gloves.hapo utakuwa umevunja record bora kabisa na mapishi bora kabisa
Yeah kitchen gloves na vitambaa kichwani
Umemaliza mwambaaa
Naomba naba uyo dada esko ww mtu noma sana king wangu 🇨🇦🇨🇦🇨🇦🇨🇦🇨🇦🇨🇦
ushauri jaribu kuweka na smalla plate kwa familia hasa kwa zile zinakuja na watoto hawawezi fikia vyakula vingine sahani ni kibwa
Spatii picha ,Combo inapelekwa kwa njemba moja tu ,mezani, amekaa anaisubilia
Hahahahahaha 🤣🤣
Hahaha
nice ushauri jaribu kutumia plastik rap kufunika chakula from kitchen to mtaja inaonesha ni masafa marefu chakula chaweza kuchafuka nzi wadudu vumbi from upepo
Nikipata parkege yangu ugali nitautupa😆😆 ,hizo zarau
HAHAAA
😅😅😅😅ww kubakisha vigum kwan unaenda Gym aiseee
Umenenepa Esco MashaAllah
Kazi nzuri na mikoani mna tuna😂😂😂
Mashaallah 🔥👌
INGEFAA WEDDING HII NA COME THIS YEAR KUFANYA HARUSI YANGU BUT I'M A KENYAN I WISH IKO POWA SANA
Mbona Kenya mombasa wanafanya sana hii na hasa walioanzisha hii ni waturuki inaitwa platter ukinunua hilo sahani ina kila kitu sema wao sio sinia ni sahani ya gae kubwa
Kweli mombasa iko hii wapi hebu niambie mm home ni mombasa hebu niambie ni wapi inapatikana nikiwa home inshallah twende na familly
Wow 😋😋I can’t wait 😋
Nice work sister
Kifunikwe kinatoka umbali mrefu kumfikia mlaji
Sinia sio siri limeniita kwa jina langu kabisa 😋😋😋😋😋😋
Hahahaaaa unanidai so kwa kicheko hiki
DADA ENDELEA KUWA MBUNIFU SASA TENGENEZA KI GARI CHA KUSUKUMA NA IKIWEZEKANA BUNI NSMNA GANI CHAKULA KITAKAA NA MOTO MUDA WOTE
Nikija tz nitaleta family yangu wajienjoy na kombo meal 😋
Hongera dada kazi nzuri
Mko vizuri... But muwe mnafunika chakula
Mbona hiyo combo alianza miaka mingi,mi nilikuta uganda inaitwa lusinia ni hatariii
Hongera sana
Dada umevutia watu hadi nchi za nje wanataka kuja, nimeona kwenye mitandao watu mbalimbali toka mataifa ya nje wakiulizia
Na kwambia mm wakwanza naangalia hiyo combo nikiwa Germany
@@emmamombo7149 😅😅
@@isaachayes9783 nimeona mtu ameandika hapo kwa comments pia mombasa kenya iko inshallah nitakitafuta mate mdomoni
mm nataka from 🇺🇸
Mi mwenyewe nipo Germany na nimeshaipangia likizo nikale nirudi niendelee na kazi 😀😀😀
Perfect combo!??!!!
Hongera Dada
Duuuh msosi wa kufa ngedere laki na nusu halali mpk mate yamenitoka
😅😅😅😅
Hongera dada .
Mi mwenyewe nipo hapa Germany nishaandaa likizo nijekula kombo tu kwa kweli lol!
Ukujee ni baalaa tuliwah kwenda aiseee
Ukajifanya kusema kama mzungu mara unajisifu unasema malreee sema tu matamshi yako unajichoresha ovyoooo kabisa
Number ya simu tuweke order jamani....
Kuwe an special Trolley Basi ya kubeba hicho chakula!
perfect combo; but napenda kutoa ushauri kwa kua kutoka jikoni mpaka kwa wateja kuna umbali na wanabeba kwa mikono ungejaribu kutafuta namna ya kukibeba labda kutumia troll kuepuka kujikwaa, mikono kuteleza, kuungua , na kadharika
Creative na bei ni rahisi sana
MazingiRa jamani na siyo mazingiLa!😏😳🙄
Waafrika kwa kula, 🤣 kudadadeki
Hahaha ni shida
Acha tuleeeee
Watanzania ni harworkers na smart sana hasa umkute msomi
Mimi hukitamana sana ....nikija dar lazma.....yani hukiona insta mate yatoka
Hio sahan ni atar
Hiyo sehemu km naiona segerea mwisho nikipata time InshaAllah nitakuja
Sasa wakidondoka na hilo sinia hata sitawaelewa
DADA USIPATE TABU KUFUNIKA TUMIA KAWA KUBWA AMBAYO UTATUMIA KWA MDA MREFU NA NZURI PIA
Siku nikienda Tz lazima nifike hapo na marafiki zangu nimependa
Nipitie ndg ukanipe offers 😂🙏🏻
Saaafi Sanaa
Watu wanakula jaman😉😉
FUNIKA CHAKULA UKIWAPELEKEA WATEJA..NA MATAYARIDHO MEZANI YAWE TAYARI ...
Hongera sana mamii naomba utuwekee namba za simu ili tuweze kufanya booking mapema for Christmas
Tena na bia zipo nisehemu nzuri sana ntakuja siku moja
Haaaaaaa unawaza bia
Mbona mnatembea
Sana na hiko chakula mwisho mkiwange Sasa😂😂😂
😂😂😂😂
Unaenda na mfuko unakula hadi unabeba cha weak
Hapo ni wapi na panaitwaje? Jina na restaurant?🇹🇿🇨🇦
Hapo juu tizama bango,ni tabata segerea
naomba hilo sinia lol
Yani hiyo ndo maana haris ya kutumia elim yako kuwa created na kutoa ajira kwa watu wengine, sio umesoma unakaa tuu nyumban hunasubil kuajiwa mtu kama huyo asijiite Masomi, congratulation sister....
Hongera dada kwa ubunifu
Nnavyowajua wabongo wape mwezi tu kila mahali utasikia tunatoa huduma ya combo
🤣🤣🤣
Sio mbaya ni biashara ndio ilivyo
@@deborahcharles5676 NDIO MAENDELEO KUIGA.
Dada chakula muwe mnafunika kwa kutumia foil ya chakula
Chakula kizuri ila kiko wazi wafanyakazi hawajavaa gloves pia😋
Namba ya simu tunaomba
Namba ya simu
Wale wakuiga hawachukui muda.
Kabsa
ndio tz tatizo lao wanafeli apo tuu
Tena wanaboresha zaidi
@@zuleikhakhamis3303 KUIGA NI MAENDELEO SIO MBAYA NA YEYE PIA SIO WA KWANZA.
Chakula kizurii bei nafuu sana
Kama ingewezakanaa angesajili wazo lake Hilo la kusevu chakula chake ili wasimuige yeye ndo awe muasisi ili apate pesa zaidi kupitia wazo lake Hilo la tofauti,,Mana bila ya ivo watu watamuiga jinsi yakusevu alafu baada ya muda atakosa upekee hivyo itampelekea kukosa kipato,,trust me,,aende kusajili uspesho wake huo atakuwa bilionea wabadae,,na itamfanya kuwa peke yake na atapata oda nyingi zaidi itampelekea kupata pesa zaidi kwasababu atakuwa peke yake hapa Tanzania na duniani pengine
Mbona yy sio wamwanzo
Nikweli kabisa
Unaongea kidogo kidogo shishi ameshaona tayari😂😂😂
Uchoyo hautomsaidia mtu yyte hapa duniani. Na haswa kwa sisi waisilam Allah ametuamrisha tusibanie elimu na tusaidiane. Na hio ndio miongoni mwa kupeana elimu. Najambo jengine ni masuala ya rizk.....km rizk yako utapata hata mkiwa wengi na km sio rizk yako hutopata hata ukiwa peke yako.
Mnaeza kua wengi na watu wakaangalia test au usafi. Kwanza kwenye maisha kitu kikifanywa na mtu mmoja tu bei inaeza kua kubwa lkn wakifanya wengi bei inaeza kupungua na hata kwa yule ambaye uwezo wake mdogo lkn katamani anaeza kujinunulia siku moja moja.
😊😊ubunifu
Kiwe kinafunikwa kwa usafi na usalama
Unakula mpaka unakunya hapahapo 😂😂
😂😂😂😂jamani
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Uuuuwiii jamaniii, jamaniii mweeeeeeeee
😂 😂 😂
@@missmwayway4704 INATAKIWA UKANYE KABLA YA KULA 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@@salimsaid7200 😆😆😆😆😆😆😆🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽khaaaaa sasa kama hauna mavi ya kunya kwa huo muda
Tumia foil unapopeleka chakula kwa water itakuwa poa
Kuna foil tumieni
kiw. mnakifunika maan
Ndio anapata faida lkn
Ebanae nakubali tz Nazi iendelee
Hongera sn dadaangu mshukuru mungu aliyekuwezesha kupata uwezo huo
Ntauja jaman
Esco unapenda milion ww
Kumenoga nikirud nitemberee🇴🇲
Mtangazaji kaenda mixer uroho"Eti tuonje
Hii nikirudi bongo lazima nije
what the account of your inster???
Pepsi-Cola oyeeeeeeeeeee
💙💙🇰🇪🇰🇪🇰🇪🎇🔥
Dar es salam😍😍😍 dah si mtu aanipe mu alikooo
Karibu twende
@@praisekavy nakuja🤣🤣🤣🤣
Nakuja alaf kumbe upo mkoani 😂😂
Acha maneno bwana tuonyeshe chakula
Watu wangapi wanakula jamani ni wapi naona roho inatetema
Tabayta kwa walaa bata
jmn nakuja Tz mwezi wa 12 plz mniwekee order yangu mapema natokea Germany😊
Nipitie ndg ukila vitavyobaki mie nabeba🤗🤗
@@dorcaskidoti249 akitupwi kitu 😂😂😆
@@maloomaalmnsj5111 umeonaeee? Sio aguse guse amwage mie nabeba nafunga kwa foil nakuja kula taratibu nyumbani niko serious 🤗🤗🤗🥰
@@dorcaskidoti249 nawatt unawapa
@@maloomaalmnsj5111 ndiooooo
Tunaomba namba ysko ya simu!
Chakula kinavutia had rah
Sasa hawa ata robo hawamalizi iyo ki2
Shilole amepata mpinzani
Nakwambia
STAILI HIYO NILIONA VIDEO CLIP KABLA YAKE KAMA UMEBAHATIKA KUONA JAMAA AKISEMA NAKUKERA NAPENDA KUKERA TABIA YANGU KUKERAAA 🤣🤣🤣🤣🤣
@@emmamombo7149 NASIKIYA HUYO DADA YUKO KINONDONI
@@salimsaid7200 mombasa kenya ama
mpaka kifike mezan ndeg si ameshakinyea
Nimecheka 🤣🤣🤣
nimemind kweli kwa shuhuli kila meza ya 1 50, 000 imetoka hiyo .
somchezo