Mimi Mars - Pole Ft Nandy (Official Video)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 1 фев 2025

Комментарии • 634

  • @Jaydannychawaboy.
    @Jaydannychawaboy. Год назад +341

    Oyah we mih ndo wa kwanza hapa Kwa hio niwaombeni like hata tano basi ❤️❤️❤️❤️😢😢😢😢❤❤❤

  • @BAHATIKIBA-ul6wx
    @BAHATIKIBA-ul6wx Год назад +188

    I'm Proud For This Song From Two Ladies Mimi Mars Ft Nandy Weka Likes Kam Unawakubal 🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤

  • @ejntv
    @ejntv Год назад +319

    Kama unamkubali nandy na mimi Mars gonga like cijawahi pata like hata 100😢😢👍👍👍👍

  • @InnocentSamwel-ms8ne
    @InnocentSamwel-ms8ne Год назад +9

    Wachaga wa wili wametoa goma lao.kama unawakubali embu nipeni like

  • @tusemezanenamariana5933
    @tusemezanenamariana5933 Год назад +78

    Wapare wamewaka balaaa..utasema tumbo moja hapa....video ni 💯 nzuri sana 🔥 🔥

  • @OFFICIALSEMAH
    @OFFICIALSEMAH Год назад +54

    ❤🎉❤ Mimi Mars mimi wa Kwanzaa toka Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 nipen like za nandy #pole mimi Mars x nandy gonga like comment hapa❤❤❤❤❤❤

  • @em_vee_josh
    @em_vee_josh Год назад +82

    Two super talented females from Tanzania doing something great and delivering a well cooked song. I love it from Kenya 🇰🇪

  • @AbdallahNdungike-f2u
    @AbdallahNdungike-f2u 11 месяцев назад +2

    unajua xana ❤ nanga Kampata mtu sahihi wa maisha yake

  • @mercysifa990
    @mercysifa990 Год назад +44

    Sisi kama wakenya Tunajivunia sana Tanzania kwa mziki mkali na kutuwakulisha East Africa 😘

  • @joharia01
    @joharia01 Год назад +76

    Love mimi Mars and Nandy good collaboration 💗💗💗

  • @johnmuyoya8847
    @johnmuyoya8847 Год назад +30

    MIMI U ALWAYS KILL ME,
    NANDI ON FIRE,
    WAPARE MNATISHA SANAAAAA

  • @ramsonhudson4013
    @ramsonhudson4013 Год назад +9

    Wapare wawili ndani ya nyumba moja🔥🔥🔥🔥 hongereni watani zetu

  • @eliphasethobias1133
    @eliphasethobias1133 Год назад +6

    ❤❤❤penda sana Nandy Africa princess huna mpinzani uko vzr Kwa Kila kitu huna mpinzani sijaona
    Sauti uko Vzr sana hata shepu na sura umejaliwa hiii Ngoma Iko vzr sana
    Pongezi nyingi kwako 🎉🎉🎉🎉

  • @AzaShamba
    @AzaShamba Год назад +12

    Mashalaah song na vdeo ni fire. Nandy kanenepa kawa mtamu na domo lake nenga anafaidi😂😂. Mimimars ❤❤wote WAREMBO NAWAPENDAAAA SANAA

  • @mwanatumusalim1558
    @mwanatumusalim1558 Год назад +17

    Wakenyaaaaa tunae penda nandy na mini Mars tujuaneeee hukuuu ❤❤❤ 🇰🇪 🇰🇪 🔥 🔥

  • @keis_Leis
    @keis_Leis Месяц назад

    The Chugga Queen and African Princess Amazing and distinctive voice weeh. Always your Fan. Be blessed

  • @st.ruwe.news_roho
    @st.ruwe.news_roho Год назад +17

    Hivi ushasikia mtu anaogeshwa na mdalasini❤

  • @CartoonAdventures-b2e
    @CartoonAdventures-b2e 3 месяца назад

    Don't understand the language but the music is beautiful.. love it.. ❤❤❤

  • @bintmvumbo7720
    @bintmvumbo7720 Год назад +37

    This collaboration is on fire ❤❤❤mama Kenaya na mimimars.....This is on top💪💪

  • @marinojoseph-hg5ok
    @marinojoseph-hg5ok Год назад +1

    Fire african princess🤭🤭🤭

  • @pauljosephtarimo2279
    @pauljosephtarimo2279 10 месяцев назад +1

    Watching from Dubai.Proudly Tanzanian❤

  • @DianaDeogratius-gz9up
    @DianaDeogratius-gz9up Год назад +3

    Hatujawahi kudondoka Tanzania love this song ❤❤❤❤

  • @Salim-s3x
    @Salim-s3x 2 дня назад

    Mtoto mzuri unasauti nzuri.kazi yako nzuri aki uko vizuri..💐💐🌹🌹

  • @LilianFrank-u7i
    @LilianFrank-u7i 3 дня назад

    Girl you look like a Barbie doll ❤️🤭pretty and gorgeous like eiishhh!!!!

  • @joshualaizer4271
    @joshualaizer4271 Год назад +36

    Nandy is always the number one let us enjoy our own Beyonce I like it big collaboration

  • @carolinelivingstone6523
    @carolinelivingstone6523 Год назад +9

    Kwnye mavazi mimi mars kaua ebu❤❤

  • @aikaswai300
    @aikaswai300 Год назад +3

    Sio rahis mwanamke kwa mwanamke kutoa ngoma ika hit hibi nyie ni nouma❤❤❤❤❤

  • @moseshandsam1865
    @moseshandsam1865 Год назад +16

    Nandy nailed it 😊😊😊😊😊🎉🎉 nice one

  • @Salehabdallah-cu7kh
    @Salehabdallah-cu7kh Год назад +6

    NAOMBA ULINZI WAKUTOSHA HII NGOMA NIHATARI .......KWASISI TUNAOSHEA MABWANA AFU TUNAWEZA MATAMBO ,GONGA LIKE ❤❤❤

  • @AAa-it7nx
    @AAa-it7nx Год назад +14

    Wow amazing one❤🎉 congrats guy's

  • @beatricemushi5370
    @beatricemushi5370 Месяц назад

    ❤❤❤❤❤❤❤ weweeeeeeeeeeee jmn naupenda huu mwimbo 🎉🎉🎉😂😂😊❤❤❤❤❤❤

  • @geoffreymungai7895
    @geoffreymungai7895 11 месяцев назад +3

    That first verse is something else

  • @gabrielmurro7134
    @gabrielmurro7134 Год назад +5

    Mimi hayo mauno yanaonyesha yaliyomo yamo
    🔥🔥🔥🔥✔✔✔

  • @RechoKalinga-bp3bz
    @RechoKalinga-bp3bz Год назад +2

    Nimeangalia mara kumi love mimi mars mke mkubwa pole ❤️❤️❤️❤️❤️🎈

  • @djpassovertz..tunaishimaramoja
    @djpassovertz..tunaishimaramoja Год назад +1

    Tz ndo home currently in kenya La mama..Kumbe unaudaslam mwingi..Hii itapigwa Mpaka Mwaka mpya❤❤

  • @ggfwtgg1652
    @ggfwtgg1652 Год назад +3

    Mimi mars & nandy nawapenda sana muko vizuri ❤❤❤❤

  • @ReginaMwenzelatifah
    @ReginaMwenzelatifah Год назад +13

    I'm proud of you ladies 🎉🎉🎉 congratulations to your good song you makes continue another good song like this ... from congo 🇨🇩🇨🇩

  • @kampotkanangila9647
    @kampotkanangila9647 Год назад +2

    Kama kawahida yoko mu toto mwenye kipaji chako muji ndera de african press's

  • @simonpaul-k5y
    @simonpaul-k5y Год назад +1

    +255 MWANZA SIMON POL HAPA respect mimimars x nandy its a perfect catch up ngoma kaliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

  • @Sean1877
    @Sean1877 Год назад +4

    Tanzanian princesses representing the East hard🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @lajo.
    @lajo. Год назад +1

    Sema wasanii wa bongo mna Uteja sana na mziki wa amapiano, imetosha sasa badilikeni bhana

  • @EmmyNassor885
    @EmmyNassor885 Год назад +2

    Weweee❤❤🇧🇮 we waiting hot women 🔥 😊😊

  • @jacquelinejulius2837
    @jacquelinejulius2837 Год назад +3

    WAparee oyeee🤝🙌❤️🔥

  • @DeboraSylvester-cr1kt
    @DeboraSylvester-cr1kt Год назад +9

    🔥🔥🔥🔥🔥𝐧𝐚𝐧𝐝𝐲 𝐧𝐚 𝐦𝐚𝐫𝐢𝐚 𝐢𝐥𝐢𝐤𝐞 𝐢𝐭

  • @Johnsmith-ir6cv
    @Johnsmith-ir6cv Год назад +7

    I'm so proud with this song love from 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @jijosawen
    @jijosawen Год назад +10

    The African princess😍😍🇰🇪

  • @john-ke5838
    @john-ke5838 Год назад

    Exxx🎉🎉🎉🎉mnatumaliza na viuno😂😂😂tamu xxxana🤗🤗🤗🤗🇰🇪

  • @JanetFondo-n4i
    @JanetFondo-n4i 11 месяцев назад

    The song oooh my God,its hot nakupa pole,Vanessa mdee where are you darling,to 2how you sharped ya beautiful sister,if isee her isee you❤❤❤,with queen Nandy wallai do another collabo you both fit,nandy never disappoint,vanessa tha second you doing great to dear❤❤❤🎉🎉🎉🎉huuuuuwiiiiiiiiii,am not tired to listean to this faboulous song en the beat amazing😂😂

  • @christinetaabu5027
    @christinetaabu5027 4 месяца назад

    Nawapenda nyote, nyimbo nzuri kweli ❤

  • @maru_rashidy
    @maru_rashidy Год назад +1

    Wakwnz kbs tok Premiere naomb like zen

  • @hadiaamiri-ig9xm
    @hadiaamiri-ig9xm Год назад +1

    Duuh ndio naona leo jamani gongo like kama wawakubali nandy na Mimi from 🇴🇲

  • @kenedykibona264
    @kenedykibona264 Год назад

    Mwanamke wa kwaza kumshilikisha mwanamke mwezake congatretion kwa hiliii

  • @JKRules9
    @JKRules9 Год назад +1

    Hodari 💯😁❤❤.

  • @tedysambaya
    @tedysambaya Год назад +4

    Leo nimewahii mtu wa 45 chezea nini🥹🥹🥹 nipeni hizo like nione raha yakee😅😅😅😅

  • @mohammedkidody5618
    @mohammedkidody5618 Год назад +22

    When two queens meet its a banger🔥🔥🔥💯

  • @AshimDaudi-x8c
    @AshimDaudi-x8c Год назад +9

    Nandy na mimi mars ni on fire 🔥🔥😅

  • @fhnchjk5195
    @fhnchjk5195 Год назад +1

    Hongereni sana jamani nawapenda buleee💕💕💕💯❤️❤️❤️❤️❤️😘

  • @queenbintizol7883
    @queenbintizol7883 Год назад +1

    Mm looks like vee money.... Kweli damu ni nzito kuliko maji❤

  • @nickjohnson4920
    @nickjohnson4920 Год назад

    Aisee Hawa WA dada wa chucha ni noma tuwape ufalme wako 🔥🔥🔥🔥🔥🎼🎼🎧

  • @jannyjames3503
    @jannyjames3503 Год назад +3

    Wapare wameamua... ❤❤

  • @martinsebastian2377
    @martinsebastian2377 Год назад +1

    Yaani ki ukweli mmetisha sana Mimi mars na Nandera ngoma kali sana .

  • @havilathbikombo8752
    @havilathbikombo8752 Год назад +1

    ❤❤wanajitambua hawa wadada hawana makuuuu❤

  • @saumuabdallah198
    @saumuabdallah198 Год назад

    nandy mimi mars nimewapenda bureeee... bonge la song bonge la video ❤❤❤

  • @IdayaMgaru
    @IdayaMgaru Год назад +3

    mumekiwasha kweliiiiiiiiiii❤

  • @OfficialPachelie
    @OfficialPachelie Год назад

    Ils mimi mars kwenye kukata mauono hujawai niangusha.wangapi wapo pamoja namimi.naombeni hata like tano .fromDRC +243

  • @sandyravin254
    @sandyravin254 Год назад +2

    Kama kawa kenya 🇰🇪🇰🇪 atukosi uku.. pole❤❤

  • @AminaDotto-hz9qq
    @AminaDotto-hz9qq Год назад +2

    Natamani colabo kati ya nandy na zuchuuu ❤️❤️❤️❤️

  • @djkaileykenya
    @djkaileykenya Год назад +1

    Chuga Queen🔥 African Princess 🔥 Pole moto sanaaaaa

  • @zainamsuya8921
    @zainamsuya8921 Год назад

    Niko proud na kabila langu kiukweli❤ this song 🎉🎉🎉

  • @OG_20
    @OG_20 Год назад +1

    Wapare wawili...chiiiih! ❤

  • @SerenakaremboDzombo
    @SerenakaremboDzombo Год назад +1

    Congratulations to this queen nady ana ushirikiano mzuri sana kwa wenzake🎉❤

  • @kiprotichburett5542
    @kiprotichburett5542 11 месяцев назад

    Nandy the queen of East A...much love from kenya

  • @djkeikenya
    @djkeikenya Год назад +46

    On behalf of myself, my village people, and even my wicked landlord - we highly recommend this banging tune to all! 😂 🎶👑💯⭐

    • @cynthiaumazi8541
      @cynthiaumazi8541 Год назад +2

      Wicked landlord typing.....😂😂😂😂

    • @djkeikenya
      @djkeikenya Год назад +1

      @@cynthiaumazi8541 😅😅😅😅🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂

    • @elizabethmbuya6213
      @elizabethmbuya6213 Год назад +1

      😂😂😂😂😂

    • @kimzymamy6594
      @kimzymamy6594 Год назад

      😂😂😂😂😂😂😂

    • @leyuworks
      @leyuworks Год назад

      On behalf of myself, my village people, my highly corrupt government, and my overly wicked landlord - we highly recommend this shit to all! 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @NawazShaaban-x2k
    @NawazShaaban-x2k Год назад

    Atal nlikuw nxbr sana nand na mimi mars❤❤❤❤❤

  • @maryosiah
    @maryosiah Год назад +1

    Mm ni nan hata niache kuion hii ni qualiii kinomaa🎉

  • @YesayaKipingu-rs6ng
    @YesayaKipingu-rs6ng Год назад

    We fulahh🔥🔥🔥🙏🔥🔥

  • @meshackmlaki2066
    @meshackmlaki2066 Год назад

    Wanaume tutafute hela si mnaona vitu vizuri Anakula Kaka Bilnas

  • @mwinyihaji8246
    @mwinyihaji8246 8 месяцев назад

    Hongereni sana WAREMBO ❤❤❤❤❤

  • @moonpatienceongara5607
    @moonpatienceongara5607 Год назад

    Wachaga mmetisha kwa mauno, good song, good lyrics bomb video. Congrats

  • @ElzaMungure
    @ElzaMungure Год назад

    Waparee mmeuwa kinimaaa🥰

  • @culturestoriez6397
    @culturestoriez6397 5 месяцев назад

    Kwenye bridge ya ndandi pale "yani mazimaah aah aah" mimi mars alitakiwa kuiweka pia.....sema ngoma ni legit and am a huge fan ❤️

  • @SarahKiza-s4i
    @SarahKiza-s4i Год назад

    Nakupenda Sana Nandy mungu akulienda katika kazi zako

  • @Teeh-vi1zw
    @Teeh-vi1zw Год назад +1

    Aaaaah ackwambie mtu hii video tamu 😘😘😘

  • @africanusat7736
    @africanusat7736 Год назад +1

    Hizi pisi zimeupiga mwingi nyie 🤩🔥🔥

  • @shedrackryamond9591
    @shedrackryamond9591 Год назад

    Wapare 🔥🔥🔥 kaskazin hatokagi fala

  • @Upendo-e9d
    @Upendo-e9d Год назад

    Hp mumetowa nyimbo♥️♥️♥️

  • @zekariazack6718
    @zekariazack6718 Год назад

    African princess wa ukweli delivered

  • @NaomiZabron-um6io
    @NaomiZabron-um6io Год назад

    Nakubali sana hiyo Ngoma daaa hatari sana nandy❤❤❤❤❤❤❤

  • @danielmenza9263
    @danielmenza9263 11 месяцев назад

    Aiseee mmewezaaaa sana warembo🎉🎉

  • @ollymturo4256
    @ollymturo4256 Год назад

    Nandy chukua 💐💐 yako ❤️❤️ sanaaa nyimbo ni ya 🔥🔥🔥🔥 hongereni🥰🥰🥰

  • @jofreymasangula3503
    @jofreymasangula3503 Год назад

    Nandy Kipenzi changu Long time....Unajua Saana

  • @geniusgangkenya8732
    @geniusgangkenya8732 Год назад +35

    They aren't pregnant but they always deliver ❤️💯🔥🎼🥰

  • @stellajoseph1877
    @stellajoseph1877 Год назад +6

    Very proud of you 2 beautiful pare ladies ❤❤

  • @alimaarly-pw7rb
    @alimaarly-pw7rb Год назад +1

    Utazidi kunipa raha Nandy wangu😘

  • @hellendaniel3809
    @hellendaniel3809 Год назад +1

    Pare's❤❤. Hongereni dada wapareeee

  • @alexrobatz1513
    @alexrobatz1513 11 месяцев назад

    Heavyyyyyyy🤩🤩😍😍

  • @HusnaYahya-b9d
    @HusnaYahya-b9d Год назад

    Maria wa jua kali mwana kombo kumbe unajua kukata mauno yee!!

  • @ErickLamella
    @ErickLamella Год назад

    Ningekua na pesa ningemuoa Mimi mars is ma Belle tangu nizalie ila hamna namna

  • @evarmoses7981
    @evarmoses7981 Год назад +1

    Noma sanaaaaa mmeuwaaaaa🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @consomamy
    @consomamy Год назад

    Nimeludia mara mbili mbili😊😊😊