Mtu wa Mungu pastor umesoma kabisa roho ya unabii hapo juu ya viongozi wasio na Mungu wapo , ya Nini kutumia nguvu kubwa kinachokuuma ni Nini Hadi unachafua kanisa usidhani unalijenga kanisa wewe huwezi kulinyoosha yupo mwenye kanisa Nenda ukawaone hao wezi wa Mali ya Mungu uombe nao uwasaidie sio mtandaoni Baada ya kuhubiri watu wamfuate yesu unaleta marumbano mimbalini kanisa sio chama cha siasa yawepo malumbano ya hoja
Shida ni hekima unaposema hayo mtandaoni unamwinua nani ? Kuwa mushitaki wa Ndugu zetu ni nani ? Roho ya unabii imesema nini kuwa mushitaki wa Ndugu zetu ?
Kwakweli ni makosa makubwa, sasa kama ukweli unaujua: yanini uyamwage hadharani mitandaoni? Unafikiri kwa mtu wa nje ya kanisa ataelewa nn au kujifunza nini? Ulipaswa kuongea kanisani na siyo humu.
Kizazi cha wachukia ukweli mnakera sana Huko kwenye siasa ukisema ukweli wewe ni mbaya unakichafua chama Hadi kanisani watu hawautaki ukweli kwanini? Kanuni ya ukweli ni kuusema tu wewe unayedhani ukweli kusema ni kulichafua kanisa UMEASI
Mungu amrehemu pr njia hiyo SIYO sahihi rejea mathayo 18 Mungu akuponye
Yesu atusaidie usaliti nimkubwa sana makanisa
Siyo njia nzuri hiyo ni roho ya uasi tena mkubwa tubu urudi kwa mungu
Daah Mungu atukumbuke tu, shetani nae yupo kazini hajafa
Barikiwa Sana Pr
😂😂😂tutaelewa TU Mzee we funguka TU kama imeandikwa
Wasabato fungukeni macho muli kataaa ukweli muliyo pewa muka baki Ku tapeliwa muki dai kanisa ni hilohilo. Tuna waoneya uruma jameni.
Mtu wa Mungu pastor umesoma kabisa roho ya unabii hapo juu ya viongozi wasio na Mungu wapo , ya Nini kutumia nguvu kubwa kinachokuuma ni Nini Hadi unachafua kanisa usidhani unalijenga kanisa wewe huwezi kulinyoosha yupo mwenye kanisa
Nenda ukawaone hao wezi wa Mali ya Mungu uombe nao uwasaidie sio mtandaoni
Baada ya kuhubiri watu wamfuate yesu unaleta marumbano mimbalini kanisa sio chama cha siasa yawepo malumbano ya hoja
@@tumainmase2119 AAA mtumishi imeandikwa kemea na kuonya,Tena imeandikwa piga kelele paza sauti uwambie watu kosa lao,barikiwa
Isaya 58:1
😅Yupo ndani ya. Kanisa
Hiyo ni mshirika wa kanisa la wasabato isikupe shida
Mtaje mzee mbona kelele kila siku sisi waumini naomb umuanike kwa jina lasivyo utaonekana kelele zako kila siku mtandaoni
Na wewe ni muasi pia tulia Mungu anashughulikia
Tumia Biblia mzee siyo vijitabu
Kwahiyo unaushaurije umma wa kanisa
@@kelvisonchristian7799 mtumishi hapo hakuna kama imeandikwa usifanye no kufanya Haina kulemba kama BW Yesu alivopindua pindua meza
Shida ni hekima unaposema hayo mtandaoni unamwinua nani ? Kuwa mushitaki wa Ndugu zetu ni nani ? Roho ya unabii imesema nini kuwa mushitaki wa Ndugu zetu ?
Kaseemee Ndani ya KANISA Mzee. ili ulisaidie Kanisa kwa Njia hiyo sio kabisa
@@christianahia2680 hii ndo nzur umma ujue
@@christianahia2680 mtumish ungekuwa kwenye uongozi ungemuelewa TU pasto mwaso
Hivi PR umekuaje kweli na ulishakua kiongozi je ni mahali pake kweli unavyofanya Mungu Baba turehemu kama viongozi wamekua hivi
Lazima ukweli usemwe hadharani kwani baadhi ya viongozi wetu ni mapandikizi ya shetani. Hawaambiliki wala hawasikii.
Mnaeleweshwa muelewe nini kinaendelea unako taka akasemee amesema sana hadi imembidi afanye hivi hajachanganyikiwa mzee wetu
@@marionatieno8501 mtumish imeandikwa kemea karipia onya,Tena imeandikwa piga kelele paza saut kama tarumbeta wahubiri watu wangu kosa lao,isay 58:1,acha mzee afunguke
Kwakweli ni makosa makubwa, sasa kama ukweli unaujua: yanini uyamwage hadharani mitandaoni? Unafikiri kwa mtu wa nje ya kanisa ataelewa nn au kujifunza nini? Ulipaswa kuongea kanisani na siyo humu.
Nyakoo ochionade.
Ukweli usemwe popote"kama Neno AKUMBUKWE
Yan watanzania sijui akil zetu zipoje kwaiyo yasisemwe😅
Acha waliopewa ujasiri waseme ukweli.
Kizazi cha wachukia ukweli mnakera sana
Huko kwenye siasa ukisema ukweli wewe ni mbaya unakichafua chama
Hadi kanisani watu hawautaki ukweli kwanini?
Kanuni ya ukweli ni kuusema tu wewe unayedhani ukweli kusema ni kulichafua kanisa UMEASI
@@misperambogo tuna taifa la wajinga Sana kaka
Mbona pastor hata wewe hatukuamin kipindi cha pastor wanjala kumbuka alikutoa wapi acha kuchafua kanisa wewe