MWINJILISTI WA MUNGU
MWINJILISTI WA MUNGU
  • Видео 37
  • Просмотров 17 835
DUNIA DUNIA
DUNIA DUNIA
Просмотров: 87

Видео

YESU YUAJA
Просмотров 32День назад
YESU YUAJA
MPIRA WAGEUKA KUWA VITA.
Просмотров 33День назад
MPIRA WAGEUKA KUWA VITA.
MCH.MWASOMOLA .WA SABATO ASEMA MILIONI 400|=ASEMA PESA ZA KANISA
Просмотров 2,9 тыс.День назад
MCH.MWASOMOLA .WA SABATO ASEMA MILIONI 400|=ASEMA PESA ZA KANISA
MWASOMOLA APASUA KANISA LA WASABATO
Просмотров 8 тыс.День назад
MWASOMOLA APASUA KANISA LA WASABATO
Tuhuma Kwa Wasabato.
Просмотров 4,2 тыс.Месяц назад
Tuhuma Kwa Wasabato.
Ushuhudiaji wa Injili
Просмотров 58Месяц назад
Ushuhudiaji wa Injili
MWINJILISTI AWAONYA WACHOKONOZI PAMOJA NA MZEE WAMBEYA ANAYEZEEKA VIBAYA .
Просмотров 137Месяц назад
MWINJILISTI AWAONYA WACHOKONOZI PAMOJA NA MZEE WAMBEYA ANAYEZEEKA VIBAYA .
Kila mtu na afanye kazi ya MUNGU Kwa sehemu yake.
Просмотров 63Год назад
Kila mtu na afanye kazi ya MUNGU Kwa sehemu yake.
MUNGU NI MKUU SANA
Просмотров 12Год назад
MUNGU NI MKUU SANA
msikilize huyu hapa kamanda
Просмотров 15Год назад
msikilize huyu hapa kamanda
Barikiwa
Просмотров 9Год назад
Barikiwa
MUNGU YUPO POPOTE PALE
Просмотров 18Год назад
MUNGU YUPO POPOTE PALE
DALILI ZAKUJA KWA YESU.
Просмотров 131Год назад
DALILI ZAKUJA KWA YESU.
#Neno la MUNGU nitaa ya mwangaza wangu.
Просмотров 1732 года назад
#Neno la MUNGU nitaa ya mwangaza wangu.
Tupeleke injili yesu anarudi.
Просмотров 642 года назад
Tupeleke injili yesu anarudi.
Soma Biblia Sana yesu anarudi
Просмотров 92 года назад
Soma Biblia Sana yesu anarudi
Viumbe vyote vya mtukuza MUNGU
Просмотров 112 года назад
Viumbe vyote vya mtukuza MUNGU
VIUMBE VYA MUNGU.
Просмотров 152 года назад
VIUMBE VYA MUNGU.

Комментарии

  • @PhilipocharlesRwanchebete
    @PhilipocharlesRwanchebete День назад

    Unataka ataje mala ngapi Ili uelewe kwamba mchungaji Mwasomola ametaja Kuna majizi kanisani? Amesha sema na majizi yamesha sikia, wanatakiwa watubu dhambi na kuacha waludishe fedha za kanisa

  • @GeorgeMkwasa-l1p
    @GeorgeMkwasa-l1p День назад

    Tumuombe sana Mungu kipindi Cha mwisho wa ulimwengu

  • @albertandy1961
    @albertandy1961 День назад

    Mzee, inaelekea umesahau ni Nani Mwenye hili kanisa. Hashindwi kulishughulikia Mwenyewe.

  • @albertandy1961
    @albertandy1961 День назад

    Mzee unachefua

  • @ezekielmshitu
    @ezekielmshitu 2 дня назад

    Unaweza kuonya maovu yatendekayo makanisani, sio kutaja majina ya watu.

  • @ezekielmshitu
    @ezekielmshitu 2 дня назад

    Biblia inasema, ndugu yako akikosa nenda ukamwonye, sio kumsema kwa watu.

  • @sallyeliya5213
    @sallyeliya5213 3 дня назад

    Masomo ya uwakili ndiyo fundisho kuu linalo pigiwa upatu hivi sasa kumbe nikujaza matumbo yao,aibu yao🎉🎉🎉🎉

  • @jumabupamba-ux7nt
    @jumabupamba-ux7nt 4 дня назад

    Hata mimi naona kanisa limeyumba sana hata washiriki hawaelewi wafanye nini, wachungaji waliowengi wanataka maisha mazuri,magari,nyumba nzuri,ndoo maana wanaiba,alieiba 4m huenda mpaka Sasa ni kiongozi,tufanye nini?

  • @GeorgeMbwambo-m1e
    @GeorgeMbwambo-m1e 4 дня назад

    Uzee nao unachangia

    • @MbalaziTv4135
      @MbalaziTv4135 4 дня назад

      Sasa wewe nawe uzee na anachoongea vinaingiliana wapi au nawe ndo walewale.

    • @sallyeliya5213
      @sallyeliya5213 3 дня назад

      😂😂itakuwa na baba yako anahusika na tuhuma hizo,mwambie aache wizi,maana nikama imekuuma🎉🎉

  • @DanielMaguge
    @DanielMaguge 4 дня назад

    Je, mmeona?kusali siku ya sabato kumewaokoa endapo Bwana Yesu mmemweka kando?

  • @FadhiliMarko-dz9ic
    @FadhiliMarko-dz9ic 5 дней назад

    😂😂 unakandia sas hahhh

  • @SostenesMabala-tt8pt
    @SostenesMabala-tt8pt 5 дней назад

    Wewe mzee unatuchosha hakuna dini hapo kwenye usabato

  • @oswaldiranyibuka4857
    @oswaldiranyibuka4857 6 дней назад

    Umestafu, tayari

  • @HappyIkubilo
    @HappyIkubilo 6 дней назад

    Kwani ulipokua kiongozi ulishindwa nn kilishughilikia Hilo japo kumbuka Mungu hasaidiwi we panda soon utavina

  • @farajangailo9882
    @farajangailo9882 6 дней назад

    Daaah

  • @StevenSawawa
    @StevenSawawa 6 дней назад

    Kanisa lako umewahi kuwataja

  • @deohank5995
    @deohank5995 6 дней назад

    Mh!?

  • @chotark1881
    @chotark1881 6 дней назад

    Dunia watu wamekuwa na mambo mengi sana

  • @johnsamwel4695
    @johnsamwel4695 6 дней назад

    Nimeng'ang'ana nielewe, hata sielewi. Ninacho kiona hapa, bifu zenu, za kunyimana mishahara, za ustaafu, ndizo zinazo wachanganya,.

  • @petrowambura197
    @petrowambura197 6 дней назад

    Kusema kweli!mwana wa Adamu atakapokuja,je ataoina Imani duniani?

  • @joshuangonya-jt5dj
    @joshuangonya-jt5dj 6 дней назад

    Wasabato wamebaki na ubishi wa siku ya kuabudu, lakini matendo yao ni zero.

  • @piusdamian594
    @piusdamian594 6 дней назад

    1:04 background music name please

  • @MwangaBora
    @MwangaBora 6 дней назад

    Mnahubiri,nini,neno,au,ulimwe gu

  • @PhilipoSendeu
    @PhilipoSendeu 7 дней назад

    Sidhani kama nawe utakuwa salama audit wakiletwa na government

  • @richardmachendule9138
    @richardmachendule9138 8 дней назад

    Sasa kama unajua ulikuwa kiongozi ulishindwa je kudhibiti hayo?

  • @GeraldMichael-tg4zd
    @GeraldMichael-tg4zd 8 дней назад

    Kanisa ni Moja takatifu katoliki la mitume, karibuni mnakaribishwa 🙏🏻🙏🏻🇻🇦

    • @Revelation1412.
      @Revelation1412. 6 дней назад

      Utakatifu wake ni nini?? Au ni takatifu kwa maneno??

    • @Mkorajr
      @Mkorajr 6 дней назад

      Kwenye masanamu ni Tabu kweli kweli!!!

    • @JohnEliakim-g5n
      @JohnEliakim-g5n 6 дней назад

      Kuwa na bar na magrocery kila mahali?

  • @haggthankjah
    @haggthankjah 8 дней назад

    unateseka ukiwa wapi

  • @LabanSimwinga-o7p
    @LabanSimwinga-o7p 8 дней назад

    Anaheli mtu anayetoa sadaka kwa wajane na yatima n.k

  • @Muro-p9i
    @Muro-p9i 8 дней назад

    Wee mzee acha uchawa mavi www

  • @Muro-p9i
    @Muro-p9i 8 дней назад

    Nimekutooa maana kabisa mzee na hao wenzako,kwa nn serikali isiwaite kanisa kwenye migogoro Yao,serekalin hamna rushwa?

  • @Muro-p9i
    @Muro-p9i 8 дней назад

    Wewe mzee ni mpumbavu kabisa,yaan mambo ya Imani unataka kukaribisha serikali waamue acha uchizi unazeeka vibaya fala ww

  • @masindemagee9603
    @masindemagee9603 8 дней назад

    Hayo ni makanisa ya waafrka yanaytegemeaMiongozi ya wazungu Sasa yamejaa ufisadi humo mara mallyland I Bado bado vatcan na kwingiñepo

    • @Migapogospel678
      @Migapogospel678 3 дня назад

      Yaani wew ume comment zaidi ya mara Tano meseji moj😂😂😂 Hadi unanikera mpaka hapo

  • @masindemagee9603
    @masindemagee9603 8 дней назад

    Hayo ni makanisa ya waafrka yanaytegemeaMiongozi ya wazungu Sasa yamejaa ufisadi humo mara mallyland I Bado bado vatcan na kwingiñepo

  • @masindemagee9603
    @masindemagee9603 8 дней назад

    Hayo ni makanisa ya waafrka yanaytegemeaMiongozi ya wazungu Sasa yamejaa ufisadi humo mara mallyland I Bado bado vatcan na kwingiñepo

  • @raphaelmilambo8778
    @raphaelmilambo8778 9 дней назад

    Mzee unazingua ww syo wa kuanza kulalamika mitandaon unatutia aibu na ulikuwa mwenyekit wa jimbo kbsa leo badala kuomba Mungu unaonba serikali kwel jmn

  • @MaroaJuma-z4g
    @MaroaJuma-z4g 9 дней назад

    Duuuh....it is beyond self confusion now delusion.

  • @mkomemagesa
    @mkomemagesa 9 дней назад

    Pastor mwasomola, Kwa muda mrefu nilifikili msimamo kuwa misimamo Yako inatokana na kuielewa vizuri biblia kumbe ni miemko tu ulikuwa nayo Soma biblia upya , umeacha njia Mungu akiona kiongozi ameharibu kufikia kiwango Cha kutovumilika atamwondoa yeye mwenyewe, SAULI alipo haribu MUNGU alimwondoa akamweka DAUDI

    • @moctv3253
      @moctv3253 9 дней назад

      Umenena vema mtumishi.

    • @MAZURIDANIEL
      @MAZURIDANIEL 9 дней назад

      Mungu anamwondoa mwenyewe na sio kusema kanisa kwa mataifa

  • @landelinusbyabato2512
    @landelinusbyabato2512 9 дней назад

    Fanya kazi wapo watu wengi wanahitaji kusikia neno la Mungu