SONGA MBELE BAHATI BUKUKU Cover by Jonathan Faithful Psalmist

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 24 дек 2024
  • No matter what you are going through, keep on believing in God and in what he promised you.
    Nime Pima ku tazama katika maisha yetu ya kila siku. Watu wengi wana weka matumaini Yao katika watu na mwisho wana wa vunja moyo. Huu wimbo nili pata mda kuu sikiliza nika elewa kwamba ni vizuri ni fanye cover ili na wewe uu sikilize Mara tena naku elewa kwamba, inaku pasa ku weka matumaini yako katika christu. Maana msaada wa Kweli ni Yesu tu.
    Yesu ni rafiki pekee asiye weza kuku choka Wala kuku tupa. I put my faith in Jesus. Hallelujah 🙏
    Please don’t forget to subscribe to our channel
    #songambele #jonathan #coversong #worship #eastafricagospelmusic #singer #gospel #congordc #tanzaniagospel #kenyagospel #faith #subscribe ‪@bahatibukuku6327‬ ‪@bonymwaitege6658‬

Комментарии • 187