Mimi nilikuwa na miaka 6 hata chekechea sijaanza lkn huu wimbo naupenda niliuona kwenye bs 2017 nipo la 4 tangia hapo nikaaupenda lkn na mshukuru Mungu kwa zawadi ya uhai nampenda sana Mungu 🙏🙏🙏
Huu wimbo umebeba nguvu kubwa sana ya uponyaji pale unapokata tamaa pls never give up!... simama na Mungu usimtazame mwanadamu! maana msemaji wa mwisho ju ya maisha yako ni mwanadamu
unapoinza safari unatiwa moyo🙋unapoonyesha mafanikio waliinua vigwazo🙌 maaana si wote walifurahia ule ushindi wakoooooo.💪💪maaaaadui ni wengi katika kazi yakooooo🙌🙌🙌🙌🙌
MUNGU mwenyezi naomba uzidi kunipa nguvu ya kusonga mbele zaidi na zaidi katika maisha yangu ya kiroho na kimwili huku nikizidi kukutumaini hadi mwisho wa safari yangu hapa Dunia# songa mbele
Mungu azidi kuwabariki waimbaji wote kwa kazi kubwa wanayoendelea kufanya maana kweli watu wanapata uponyaji kupitia nyimbo hizi, la mwisho ni kuzidi kuwapa MOYO mzidi kumtumikia MUNGU kwa nguvu zenu zote na kwa kila kitu, lakini usiwe uhimbaji wa kutafuta sifa za wanadu bali uhimbaji wa kumsifu MUNGU.asanteni sana kwa kazi kubwa mnayo ifanya Mungu azidi kuwafanikisha katika mahono yenu na maitaji pia.
DANIEL CHIMWELI. Surely Bahati, this song touches spiritually, it gives hope. not all men do feel happy of your promotion ,marriage but they show you their white bones while full of envy .never concentrate to them aim higher and a head.. ukunda mombasa kenya we are blessed with your songs mama.
I enjoy listening all songs sister Bahati Bukuku.I never get bored for sure just keep on working with God Kiukweli. apana kutumika na Mungu Kiuongo kama Rose Muhando anayo yafanya yakihuuni yakishetani yaki Fremason yaani yeye nachukia😠😯😯 mno, kabisaa Mungu asikiye.God🙏🙌 will always with u.Amen.
Bahati , Truly we are happy , delighted for our most high God for gifting our beloved sister with abundant preaching and praise songs that remind us of our spiritual wellness.
Ni kweli una wenza juwa uyo ndo rafiki wakweli kumbe niadui mungu azidi kukubariki sana mtumishi wa mungu unfikiri uyo ndo best friend kumbe Adui wakwanza
Alipoinza safari weee walimtia moyoooo Alipoonyesha mafanikiooooo waliinua vikwaaazo🙌.na wengineeeeeeeee W alisema asulubiweeee.huyo ni yesu mwana wa mungu wanadamu walimusulubishaaaaaa🙏
Huwimbo unanikumbusha m ali sana na unanihamasisha sana niskate tama kimtafta mung na kimaisha pia jaman mungu yupo sikiliza huwimbo alaf ufikilie niwap umetoka na saiz ukoje MUNGU AWE NAS ❤
This song is so powerful, it makes you rise up no matter how down you are. I like it. She is one of my best gospel singer... be bleesed Bahati kazi yako ni njema.
My best song from Bahat i so love this song.it encouraged so much when i was going through a hard time at work....songa mbele ukimtazama bwana Yesu.God bless you woman of God
kuna wengine walimchoma mkuki🙋 kuna wengine waliomlilia🙋 na wengineeeeee walisema asulubiweee🙋 huyo ni yesu mwana wa mungu 🙌wanadamu walimusulubishaaaaa🙌
maaadui ni wengi eeeeeh katika kazi yako🙋 maaaadui ni wengi weeeee katika ndoa yako 🙋 huwezi kuwatambua kwa kuwatazama kwa macho 🙋kuna wengine watakutia moyoooo kuna wengine watakuvunza moyooo mana si wote walifurahia mafanikio yakoo🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌kinachokupasa wewe usiangalie wanadamu. kinachikupasa wewe usiangalie wingi wa maadui🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
This year the Safaricom tour must include Bahati and Bonny,na si tafadhali! God bless you Bahati,such a strong and inspiring song,just when i needed it!
2012 to 2024 bado Niko kusikiliza hii nyimbo 🎉🎉🎉
Ni hakika unapoanza safari utatiwa moyo but...
Kabisa ndugu❤🎉
Mimi nilikuwa na miaka 6 hata chekechea sijaanza lkn huu wimbo naupenda niliuona kwenye bs 2017 nipo la 4 tangia hapo nikaaupenda lkn na mshukuru Mungu kwa zawadi ya uhai nampenda sana Mungu 🙏🙏🙏
Kwa miaka mingi huu wimbo umeendelea kuwa mfariji mkubwa katika maisha yangu ya kiroho na hata kimwili pia 2020 nani tuko pamoja?
Napo sikiliza wimbo huu natiliwa ngufu na mafariji. Ubarikiwe sana wewe uliye uyiimba. Toka congo goma
Huu wimbo umebeba nguvu kubwa sana ya uponyaji pale unapokata tamaa pls never give up!... simama na Mungu usimtazame mwanadamu! maana msemaji wa mwisho ju ya maisha yako ni mwanadamu
for me she is my all time best gospel singer especially this song.i try my best to find my GOD
Be blessed
Binadam acha tuuuuuuuuuu
She, Rose Muhando and old Christine shusho are
2024 nyimbo bora wakati wote 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Wimbo Hui unitia moyo,,, nisitizame chuki ya watu katika safari yangu. Mungu aliyenipa kazi hii ndie Ngome yangu.
She has one of the most powerful voices have ever heard. Beautiful
😊jgbbn❤gñ
A PURE LEGEND
Tupo 2020 ila bado ujumbe wa nyimbo hii unaishi in jesus name hakika yote tutayashinda.......JESUS IS LORD 🙏
Ubarikiwe ndugu kwa ujumbe mzuri kwetu
My number one gospel singer ever. Much love from Uganda 🇺🇬🇺🇬🇺🇬
Hapa bahat aliimba kiukwel ndiyo tunayoyapitia katik maisha ubarikiwe san mam bahati
unapoinza safari unatiwa moyo🙋unapoonyesha mafanikio waliinua vigwazo🙌 maaana si wote walifurahia ule ushindi wakoooooo.💪💪maaaaadui ni wengi katika kazi yakooooo🙌🙌🙌🙌🙌
MUNGU mwenyezi naomba uzidi kunipa nguvu ya kusonga mbele zaidi na zaidi katika maisha yangu ya kiroho na kimwili huku nikizidi kukutumaini hadi mwisho wa safari yangu hapa Dunia# songa mbele
Mungu azidi kuwabariki waimbaji wote kwa kazi kubwa wanayoendelea kufanya maana kweli watu wanapata uponyaji kupitia nyimbo hizi, la mwisho ni kuzidi kuwapa MOYO mzidi kumtumikia MUNGU kwa nguvu zenu zote na kwa kila kitu, lakini usiwe uhimbaji wa kutafuta sifa za wanadu bali uhimbaji wa kumsifu MUNGU.asanteni sana kwa kazi kubwa mnayo ifanya Mungu azidi kuwafanikisha katika mahono yenu na maitaji pia.
DANIEL CHIMWELI.
Surely Bahati, this song touches spiritually, it gives hope. not all men do feel happy of your promotion ,marriage but they show you their white bones while full of envy .never concentrate to them aim higher and a head.. ukunda mombasa kenya we are blessed with your songs mama.
hii
Nampenda sana bukuku kwa kazi zake mungu ambariki aeendelee kufanya kazi mirere na mirerw
Maaduwi niwengi kuliko marafiki kwel ubarikiwe paka ushangaye wimbo uyu uwasichokagi kuusikiliza 🙏🙏
😢 nomaa snaa mungu atulinde tuu
Wah,, Bukuku utatuimbia tukifika Juu binguni,golden voice
wimboo umekuaa na matumain makubwa kwangu mpaka leo 2023
Great...great....Bahat Bukuku the singer of all the time....powerfull message and strong one
.....hongera sana Bahati Bukuku.
I enjoy listening all songs sister Bahati Bukuku.I never get bored for sure just keep on working with God Kiukweli. apana kutumika na Mungu Kiuongo kama Rose Muhando anayo yafanya yakihuuni yakishetani yaki Fremason yaani yeye nachukia😠😯😯 mno, kabisaa Mungu asikiye.God🙏🙌 will always with u.Amen.
how do you know??????????
merci beaucoup maman nyimbo walipofika jerusalem inanibariki sana
Wow I love n like ur longtime song ziko na message kwa watu keep it up mumy
God bless u woman of God u have continued blessing us with your music.
Bahati , Truly we are happy , delighted for our most high God for gifting our beloved sister with abundant preaching and praise songs that remind us of our spiritual wellness.
Ni kweli una wenza juwa uyo ndo rafiki wakweli kumbe niadui mungu azidi kukubariki sana mtumishi wa mungu unfikiri uyo ndo best friend kumbe Adui wakwanza
1234
Alipoinza safari weee walimtia moyoooo Alipoonyesha mafanikiooooo waliinua vikwaaazo🙌.na wengineeeeeeeee W alisema asulubiweeee.huyo ni yesu mwana wa mungu wanadamu walimusulubishaaaaaa🙏
lakini soooooonga mbeleee weeeee. usitazame wingi wa adui zako🙌.nasema sooooooonga mbele weeeeeeee ukilisoma neno lake munguuu.
kinachokupasa wewe usiangalie wanadamu. kinachokupasa wewe usiangalie adui zakoooo
Casine Obote s pop+0
Casine Obote
Haha kasine tulikuwa tunaipendaga hii nyimbo hadi mama na best yangu alikuwa muislam halima Lakin alikuwa anaipendaga
Huwimbo unanikumbusha m ali sana na unanihamasisha sana niskate tama kimtafta mung na kimaisha pia jaman mungu yupo sikiliza huwimbo alaf ufikilie niwap umetoka na saiz ukoje MUNGU AWE NAS ❤
Whenever I feel so low this is the song I go for,,,makes me so close to God thank you Bahati Bukuku
Wimbo nzuri sana, nikweli watu wadunia siwote wafuraiya kufanyikiwa kwako Mungu ndiyo anafuraiya. Mungu akubariki Bukuku.
Hey mum
Mungu alianza na wewe toka mbali
You're blessed
Nyimbo nzuri Sana inanifanya Sana na kuendelea kusonga mbele Amina bahati bukuku mungu akubaliki sana
This song was my anthem in2008 as l was planning my wedding
Mama bahati bukuku katana kabisa Mungu akupe nyimbo zingine dada napendaka yimbo zako
Amen ! Kinachonipasa usiangalie wanadamu bali mungu. Songa mbele
Mungu ni saidie kusonga mbele mwaka huu 2019 changa moto zimekua nyingi ila Mungu wangu nakutazama wewe tu
merci beacoup de poster cette chanson'que Dieu seracle toujours la gorge de la soeur B.Bukuku.
barikiwa sana na bwana Bukuku
Wah,na enyewe watu utoka far,Our God is Soo faithful
It's among of my best gospel song ever.
Through this massage,I feel comfortable at the time of deep pain
Wanadamu ndivyo tulivyo, wimbo mzuri. Ila Mungu ndiye tunayemtegemea. Wimbo unaonekana unapotea ukiwa n'a maudhui muhimu kweli
Ubarikiwe Mtumishi such courageous song
Amen 🙏 kubwa
This song is so powerful, it makes you rise up no matter how down you are. I like it. She is one of my best gospel singer... be bleesed Bahati kazi yako ni njema.
Bahati has a gifted voice, and her music has the amazing capacity to move something deep within one's soul.
Mungu akubariki saana BAHATI BUKUKU wimbo huu hunipa faraja!!
Old is gold this song is still on 🔥🔥 infact gospel haitawai Isha fashion.i love this song 🙌
Napenda ii mimbo sana Mungu a barikiwe Love this song :)
achen Mungu aitwe Mungu jaman the song heal me very much
wimbo huu wanipa mwlekeo mpya niuskizapo..kazi njema
My best song from Bahat i so love this song.it encouraged so much when i was going through a hard time at work....songa mbele ukimtazama bwana Yesu.God bless you woman of God
Naipenda sana hii nyimbo kwani unifaliji jinapo kua na magumu I love you song
kuna wengine walimchoma mkuki🙋 kuna wengine waliomlilia🙋 na wengineeeeee walisema asulubiweee🙋 huyo ni yesu mwana wa mungu 🙌wanadamu walimusulubishaaaaa🙌
When am low i listen to this song.God bless you mum
This is the blessed song for this year 2023 in my life. May God bless you sister Bahati Bukuku ❤❤❤❤❤
Thank you my sistr bukuku,let this song the way it bless me,you also
God bless you sister Bahati for serving God through singing. I love listening to your songs.
ni kweli unapoanza safari ni wengi watakutia moyo lakini ukionyesha nia wataanza kuweka vikwazo cha muhimu ni kumtazama mungu na sio binadamu
You cant tell me your soul never resonates when you listen to those guitar chords
I never tired to hear this song i get courage of moving on without people assistance
💍😃😀
2024 ad still blessed with this powerful msg, all the glory be to God Almighty 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Nakupenda bahati nyimbo imetulia 👌👌2018 September
I am encouraged B'. God Bless
Nani tuko pamoja 2021???
Dada Bahat huwa unaugusa sana moyo wangu napenda sana nyimbo zako Barikiwa sana mumy
Mungu akubariki Sana dada,umebariki wengi,nikiwa mmoja wao.
This is the first song of Bahati Bukuku that I loved so much during my 4 years in Tanzania.
Yote mapito lakin wimbo una ujumbe na umeakisi maisha ya walio wengi.ubarikiwe dada.
Alipoingia Jerusalem walimwita mbarikiwaaaa🙋 alipofika gaigota wakasema asulubiweee 🙋
Yaani juu wa wivu jameni
maaadui ni wengi eeeeeh katika kazi yako🙋 maaaadui ni wengi weeeee katika ndoa yako 🙋 huwezi kuwatambua kwa kuwatazama kwa macho 🙋kuna wengine watakutia moyoooo kuna wengine watakuvunza moyooo mana si wote walifurahia mafanikio yakoo🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌kinachokupasa wewe usiangalie wanadamu. kinachikupasa wewe usiangalie wingi wa maadui🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
ubarikawe mama
Be blessed mamitho
sure..maadui ni wengi la msingi kusimama na YESU.
Nikwer sana kaka.ila ndivo wanadam tulivo
This year the Safaricom tour must include Bahati and Bonny,na si tafadhali! God bless you Bahati,such a strong and inspiring song,just when i needed it!
2018 bado nausikiliza huu wimbo god bless you bahati
mungu akubariki sanaaaaa and Nice song
God will continue using you! Amen i love this song so much but I don't understand it so much.
Bado ni 2019 hii nyimbo inanifundishaaaa napaa speed 🚤 🚤 ya Lamborghini 🙏🙏
Be blessed bahati.it's true Maadui ni wengi wasiopenda mtu afanikiwe
Though i don't understand the song, the way it has been played gives a lift to my soul.
my brother its a strength song
Niko hapa 2023... Holy spirit filled song.
2019 nabado nzuri,mungu akubariki
Naipenda xna ujumbe wa nymbo hiii na haitochuja
Nyimbo zako zinabariki sana wana wa Mungu,ubarikiwe sana,Mungu akupe neema ya kuendelea kumtumikia
Dada bahati mungu awe nawe kwa ujumbe mzr huzun zng zimeisha nasonga mbere
Wimbo huu huwa unaniliza na pia unanatia moyo
i love this song alot God bless u sister Bahati
Naitwa Neema kutoka mwanza nimebarikiwa sana na wimbo huu
2017, still a favorite and never stop listening to this wonderful song.
God be with you always. you have a blessed voice. love you more!
acha wanadamu wayaone madhaifu yako lakin Mungu anajidhihirisha ktk maisha nnayo pitia ktk 100%
Be blessed,remain blessed,continue with this Nobel mission of spreading the word through gospel.amen
Cette chanson me rend forte pendant les moments difficiles,que Dieu te bénisse
ukishindwa jambo watatoa unabiii 2lijuwa afki mbali katika maisha yangu ubarikiwe sanaaa
mungu akuzidichie uweze kumuabudu. iyo nikweli sio kilamtu anaye furaiya mafanyikio yako
True
Inspiring big love your music...b blessd siz..
Opo
Kwel unapoianza safari wengi watakutia moyo unapoanza kuonyesha mafanikio vikwazo vinaanza, Amina mtumishi,
Barikiwa Dada.songa mbele
Surely enemies are many than friends...my sister ua singing my testimony 😅😅😅
God bless you Mum. Jesus Christ is the only true friend!
nashukuru sana bahati unapo2diangufu kwa safari ya maishi hasante sana
iam
blessed
Eeeh mwenyzi mungu ni same maovu yangu,shetani ashindwe kwa jina la yesu christu amen