Pole wewe Kwa kweli wewe inaonesha hata ukipigiliwa msumari wa inchi 4 kichwani basi huelewi na wala hufahamu!na huelewi hata hukmu za kielimu ktk hitlafu Kwa wanazuoni wanapohitilafiana
Kishki una sauti Kali na ufasaha mkubwa wa lugha ya kiwahili tatizo ni tanaqudh tu katika maneno yko ebu karudi ujiskize maongezi yko Allah atakuonyesha haki akuafikie kuifata
Lakushangaza sikuyakusherekea siku yawamama amasiku yaukimwi duniani hawasemi marekani sahii niusiku wote wana sherekea kama nijumamosi wote jumamosi ila siku ya arafa ndio hawataki kuwa pamoja
Kadhi unayemsubiri hajayapenda haya, rudia khutba ya Mufti wa Tanzania ya mwaka huu 2024 siku ya kuanza kufunga aliongea, akasema Shekh Hemed bin Jumaa alipewa amri ya kutangaza amri kutoka juu! Akasema mbona mwezi bado haujaonekana? Akaambiwa hiyo ni amri kutoka juu! Aliwaamuru waislam wafungue na wakala ila yeye alifunga. Hii ndio Tanzania yetu. Kwa hiyo msubiri kadhi wako atapewa amri atatangaza.
aslm alykm sheikh kishk unaposema msimamo ni ppte unapoandama tufate sawa lkn hao saudia ukiandama ppte wanafuata naomba jibu sheikh wng au siku zote unaandama kwao tu mwnzo
HAKUNA MWANDAMO MMOJA DUNIANI KOTE NI KWAMBA WEWE KISHKI HUJAMFAHAMU HUYO ABUU HANIFAH WALA IMAAM MAALIK WALA IMAAM AHMAD. USIPOTOSHE WATU KISHKI KWA KUTAKA KUNDI.
Ile aya ya “sumuuu biruuyatih” nahis ilishuka kwaajili ya watu wa Mecca tu Sis tulobaki uku kwengine tuone tusione ilhali mecca wameuona sisi tunatakiwa tuwafate wao hata kama tutauona kabla yao hatutakiwa kufunga wala kuuanza mwezi bila wao kuwa wameuona Swala mwezi si ni Mmoja so we have to wait for them
Tatizo la funga ya Arafa ni pale inaposemwa kua, tunapaswa kufunga wakati mahujaji wamesimama Arafa, inaeleweka wazi kua Alfajiri haianzii Saudia Wala Africa, Bali nchi za mashariki ya mbali, pia na Magharibi pia inaanzia hukohuko, tunajiuliza Kwa Nini tuzozane Kwa mwezi unao tangazwa Saudia, Kwa Nini watu wanao Anza kupata magharibi wasitutangazii wao kuonekana Kwa Mwezi ? watu wa visiwa vya philipin, au visiwa vya FIJI. Au Japan au Australia, Hivi Hawa wanaweza kuipata Arafa, na wao ndio wano anza kuipata Alfajir au Magharibi ? Sisi na wao wanayo tofauti ya zaidi ya masaa 8, mahujaji hawajenda Arafa wao usiku tayari umeisha ingia, ikiwa ni hivo ndio maana ile Sheria ya ikiwa Kuna ukungu juu yenu timizeni thelathin, inaondoa tatizo na migongano juu ya mwandamo wa mwezi, Allah mwingi wa Rehema yeye anajua, na Kwa kua kwake ndio marejeo yetu, basi tutapofika kwake Allah, atatuhukumu Kwa Yale tuliyo hitilafiana,
Masha Allah Sheikh Allah akulind na mabaya na fitna zao kwani wapo watu Allah awaongoe wakiongoe manen mabay dhidi yako na wakilazimish wote tuamin manen yako Lkn ww masha Allah hurud nyuma bado wasong mbele kwa ajili ya Allah hakika ww ni mtu wakufatwa bado watetea hakki kila uongeapo Tunakupend Sheikh for the sake of Allah
Yaani wewe ni Baba la Wajinga!Kishki hakutoa hata wazo moja lake hapo!hayo ni mambo ya Fatwa za wanazuoni wagwiji wa fikhi au kichwa chako hakibebi mambo?
Wacha urongo wewe maimamu watatu wamekubalina kwamba kila watu wafuate mwezi wao ila imam ahmad ibn hambal ndo ywasema kwamba kila mmoja afuate mwandamo mmoja tu.
Mtume amesema funga ya siku ya arafa hakusema funga ya mwezi tisa kana kwamba alijua kutakuwa na watu watakuja kuugawa mwezi kila mtu awe na hesabu yake wakati siku ni moja mwezi mmoja
Sheikh bakwata wanaona kama unachukua madaraka yao wanaogopa hiyo nyomi si ya kawaida watu wanafuata haki sheikh kishki mungu akulinde watu wana husda sana kwenye hii dunia tena waislam tunaongoza kwa chuki 🤣
Kwanza uelewe Saudia Arabia ipo Middle East, kwahiyo ipo katikati ya Dunia na kwa maana hiyo hakuna nchi iliyotofautiana na Saudia Arabia zaidi ya masaa 12 (nusu SIKU). Kwahiyo siku itabaki ni hiyo hiyo ila tofauti ipo ya masaa, na tofauti ya masaa hata nchi moja inaweza kutofautiana masaa baina ya miji na miji. Lakini pia tuangalia majority za nchi tunaenda SAMBAMBA na Saudia Arabia na hizo chache ka Australia na Honolulu hizo ni dharura, wataabudu kulingana na mazingira yao. Lakini nchi kama Tanzania pia tulete hoja za kutofautiana masaa?
Wao wamepata dharura ila Kama hapa tz majira yetu yanaendana sisi hatuna dharura ndugu.kigoma jua linachelewa kuzama zaidi kuliko makka sema ni kujichetua tu ila kila mtu anajua kua mtume kasema watu wafunge siku ya arafa.iv tulisema watu wafunge siku ya uchaguzi iv kuna mtu anaweza kufunga kesho yake halafu tuseme anaakili kweli
usilazimishe jambo lenye ikhtilafu kua katika qauli moja kua muadilifu hiyo sio ilimu ni uhizbi na wape haki qauli ya jamhuri kuhusu mwezi ni iopi tembea na hiyo afwan
Inaonesha sheikh hukumfahamu!msikilize vizuri ndio uhukumu!nyie munaofuata mwezi wenu ndiom unaowahukumu wanaofuata misimamo ya maimamu watatu aliowataja Sheikh,na si Hilo Tu Bali munapotosha Kwa kusema uongo kwba wale wanaofuata hao maimamu kwba wameleta Jambo jipya!lkn ni kuwa hamuiraki Tu kusoma munalisha maneno na Sheikh wenu Abu IDD wa Buguruni
Tunamjua huyo na tumeishuhudia clip hiyo akikiri kwamba kufunga ni siku ya Arafa pindi wenzetu wanaposimama kule Macca,lkn baada ya kupata cheo Bakwata akabadilika na kuja na msimamo mpya.....
Kwani wewe unaishi china?maana hutoi mifano ya inchi unazo fafanana nazo kwa masaa siku ndio maana mnayumbishwa yumboshwa nenda kasome wewe bado hujachelewa
Umeongea maneno mengi lakini ueleweki tuambie mtume alifunga harafa kwa kufuata maujaji waliokuwa macka au kabla ya kushushwa hija watu hawakufunga harafa ndio mambo ya kutueleza
Lakini sheikh mbona umemtaja Abuu Hanifa kwamba msimamao wake ulikuwa wa tarekhe moja lakini umeshindwa kutoa ushahidi maneno gani alisema au alifanya kwenye hilo? Unatumia tu maguvu ya kuongea mbonaaaa
Shekhe nenda ukasome kwanza hua vitabu vyetu havina agano jipya hatutaki vitabu vya juzi tunataka dalili za wanawazuoni walitangulia na kama hujasoma hebu angalia hata kwa macho hivyo vitabu vya al akhe kishiki na vya abuu idi
Kwann naww usende kusoma kazi kukaa na kukanush kila Sheikh akisemach yani nyie mioyo yenu ishaek fitna zidi ya Sheikh so Sheikh hata atoe ushaid wa manen gani bado tu mtapinga achane zahma na fitna
@@rahmaally6885 huyo IBN UTHAYMIN kwenye Mambo ambayo yanawakandamizi mnakataa mnadai Salaf gani wa juzi tu Ila hapa tumewanukuu mashekh wa zama hizo mnataka fatawa ya IBN UTHAYMIN kwasababu inawabeba
Asalamu alaykum wa rahamtullahi wa barakatuh. Kwanza tunakupongezeni kama tunavozipongeza nafsi zetu kwa kutimiza ibada hizi za funga ya arafah na kuadhimisha siku ya Iddi. Pili inafahamika kuwa hakuna ulazima wa tarehe kuwa moja kwa siku husika ndani ya Uislamu, na hadithi ya Kuraibu iliyopo katika sahihi Muslim ni ushahidi tosha katika hili shaamu waliuona ijumaa ama madina wao waliuona jumamosi na kila upande ulijishika na muandamo wake ikawa siku moja ina tarehe tafauti. Tatu Inafahamika kuwa Siku ya Arafah ni siku ya 9 ya mwezi ya Hija, kwa haji siku hiyo kwa mujibu wa muandamo wa majira ya Makka anasimama katika mlima wa Arafa, pia waislamu wanafunga siku ya 9 ya mwezi huo huo kwa mujibu wa miandamo ya miji yao kwani ndiyo siku ya arafa kwao. Nne inafahamika kuwa katika karne zote zilizopita Waislamu walijifunga na miandamo ya miji yao ambayo ilitafautiana kama inavyotafautiana mpaka hii leo. Kullu aamin wantum bikhairin.
RURUDINI ACHA POROJO,TUNATAKA MAJIBU YA KUMJIBU,1)MUFTI WA OMAN (2)KUMJIBU MUFTI WA SAUDIA(3)KUITOLEA MAELEZO HADITHI YA QURAIBU AMBAYO INAONYESHA MIANDAMO YA MWEZI TANGU ENZI ZA MTUME NA MASWAHABA ILIKUA TOFAUTI,NA HATA KARNE MOJA ILIYOPITA KILA WATU WLIKUA WANAFUNGA KWA MUJIBU WA MUANDAMO WA MWEZI KTK MAENEO YAO,AU WALIKUA WANATAMBUAJE KAMA LEO NDO SIKU WALIYOSIMAMA MAHUJAJI KTK MLIMA WA ARAFA KABLA YA TV NA VYOMBO VINGINE VYA MAWASILIANO?ACHA UJUHA WA KUWAPOTOSHA WATU,NA MAJIBU HAYA MBONA HUKUYATOA MUBAASHARA NA MUDA ULE WENZIO WAKATI WANAFUNDISHWA NA SHEIKH ABUU IDI?UWINGI WA WATU WANAOKUSIKILIZA SIO ALAMA YA KUKUBALIKA/UKWELI WA UNALOLIZUNGUMZA,MBONA HATA WALOKOLE,WASABATO,WAKATOLIKI NK,WANAJAA HATA ZAIDI YA UJAO HUO,?NYINYI NA WALOKOLE HAMNA TOFAUTI,LENU MOJA,LENGO LENU NI KUWAGAWA WAISILAMU,LAKINI IPO SIKU MTAJUA.
Kishiki wewe uliletewa hao masheikh wenu wa saudi arabia msikitini kwako temeke na alipoulizwa suali hilo alijibu kila mmoja afunge kwa kuona mwezi mbona hukumwambia sheikh unakosea?ninachokiona vijana wa kisasa ni jazba tu .mumekosa hekma .tulikuwa na masheikh wakubwa hapo nyumbani akina Abdalla saleh farsiy,Hassan bin ameir,Ameir Tajo sheikh Baruwaniy na wengineo tele tu.wala hakukuwa na hizo tofuti zenu ,au tuseme nyinyi wa leo muna elimu zaidi kuliko hao wazee wetu maarufu waliotangulia ,muogope Allah iko siku mutasimama mbele ya Allah na mutaulizwa juu ya yote hayo.
Sasa unataka hoja gani? Ametoa kauli za wanavyuoni wa zamani akiwemo Abuu Hanifa na Ahmad bin Hambal, pia ametoa kitabu cha mwanachuoni wa madhehebu ya kishafy, au huoni wala husikii?
Jamani shekhe usilazimishe Arafa kua 1 kwa sababu dini haianzi leo. Wale nchi zao ambao wanalingana time zao za maghrib na makaa hao wanaweza kufata mwezi wa makaa lakini sasa kama America wako wapi na Arafa ya makaa. Acheni ubishi kuna matatizo tele ya waislamu nyinyi mnafatia haya.
Yaani unadiliki kumpinga imam mmoja kwakuwa kasema tofauti na wenzake...!!?? Pole sana
Hebu soma kwanza mas-ala ya usulul fiqhi kisha uongee.
Pole wewe Kwa kweli wewe inaonesha hata ukipigiliwa msumari wa inchi 4 kichwani basi huelewi na wala hufahamu!na huelewi hata hukmu za kielimu ktk hitlafu Kwa wanazuoni wanapohitilafiana
Asante babu namuona shekh nikiwa ktk mji wa Mina mashaalah hongera sana ..na umeikata vizuri saaana
MashaAllah sh kiski ,MWENYEZIMUNGU akubarick kwa mawaidha yako uzidi kutupa elimu ,tunakupenda sana
Yaani mpaka nalia jinsi watu wanavyotupoteza ktk dini ahsante shekhe kishki Allah akuifadhi
Kama wewe uko kish uko rong
Asante ustadh wangu kishki jazakallahu khairaljaazaai
Mashallah mtaalam wetuu wa dunia ,,Allah akuepushe na watuu wenye ftna juu yakoo
Kishki una sauti Kali na ufasaha mkubwa wa lugha ya kiwahili tatizo ni tanaqudh tu katika maneno yko ebu karudi ujiskize maongezi yko Allah atakuonyesha haki akuafikie kuifata
Haipendezi Sana na sipendezewi Sana na unavyfoka muelewane Msiwapotoshe waumini Kishki badilika
Mashallah. Allahumma Allah atusadikishe ktk twaa yake atudumishe ktk dini yake. Amiin
ALLAH AKUBAARIK SHEKH KWA KUZIDI KUTUPA MWANGA
Kitu ni kimoja tu. Kila muislamu aelewe kua kila time kuna Adhana na watu wanaswali nchi tofauti tofauti. Mzunguko upo. Allah atuunganishe
Kuna wengine hawajui hayo wana kashf na dharau sio vizuri
Naomb Allah amlind Sheikh Nurdin kishki azidi kupigania na kuitangaz hakki
Sio amlinde Allah amuongoze sababu apoteza umma
Sio amlinde Allah amuongoze sababu apoteza umma
Asante shekhe kwa elimu
Asante sheikh kisha,kwa taarifa ya busara
Sawa akanaa umesema yakin Mola akujaze kheri
Uiyenue juu uislam
Mabrook
Jazakhum allah
Sio taarifa ya busara bali ni ya uvundifu na kugawanya umma
Lakushangaza sikuyakusherekea siku yawamama amasiku yaukimwi duniani hawasemi marekani sahii niusiku wote wana sherekea kama nijumamosi wote jumamosi ila siku ya arafa ndio hawataki kuwa pamoja
Hapo sasa
Christmas WANA funga maduka eti holy day hawa semi Tokyo Japan niusiku wata kosa Christmas na haiwa husu
Aslm alkm ww.... Masha Allah!!¡ Sheikh wetu kipenzi. Allah atuongoze. Shukran . Jazakallah kheir 🙏
ربنا انا اطعنا سادتنا وكبراءنا فاضلون السبيلا
Allah Bariq Sheikh Kishk
MashAllah Allah akupe pongez akuhfadh na hasaad
Amiin
Sio kweli mwezi mmoja duniani nzima. Kadhi yupi atatangaza
Kadhi unayemsubiri hajayapenda haya, rudia khutba ya Mufti wa Tanzania ya mwaka huu 2024 siku ya kuanza kufunga aliongea, akasema Shekh Hemed bin Jumaa alipewa amri ya kutangaza amri kutoka juu! Akasema mbona mwezi bado haujaonekana? Akaambiwa hiyo ni amri kutoka juu! Aliwaamuru waislam wafungue na wakala ila yeye alifunga. Hii ndio Tanzania yetu. Kwa hiyo msubiri kadhi wako atapewa amri atatangaza.
aslm shekh Mimi nilkula idul athah dar wakifungwa saum kigoma tulikula
Mam alhamdup
Nam alhamdulah
Shukrani
Mashallah
Huna hoja za msingi juu ya hili sheikh
SubhanaALHA
aslm alykm sheikh kishk unaposema msimamo ni ppte unapoandama tufate sawa lkn hao saudia ukiandama ppte wanafuata naomba jibu sheikh wng au siku zote unaandama kwao tu mwnzo
HAKUNA MWANDAMO MMOJA DUNIANI KOTE NI KWAMBA WEWE KISHKI HUJAMFAHAMU HUYO ABUU HANIFAH WALA IMAAM MAALIK WALA IMAAM AHMAD. USIPOTOSHE WATU KISHKI KWA KUTAKA KUNDI.
Ww uliowafaham wanasemaje miandamo ni mitatu
Mh, BIDAA zimekujaa
Tufahamishe ww msomi uliowafaham ao maimamu watatu walikusudia vp?
Wee ndiyo unapotoka cyo kishki
Arafa ni siku insyotokana na kisimamo cha arafa kwa wakati huu wetu baada ya kufaradhishwa hijjah kabla ya hapo ilikuwa haiangalii kisismo cha arafa
Mashaa allaw
Asante
Masha allah
Kwanini wanasema Arafat ziko mbili ijuma zisiwe mbili?
Maa shaa Allah
Mashallah hizib umepita vizuri
Hizb mwenzie mafuta mbn humsem mzee!!, au unatklid
Ile aya ya “sumuuu biruuyatih” nahis ilishuka kwaajili ya watu wa Mecca tu Sis tulobaki uku kwengine tuone tusione ilhali mecca wameuona sisi tunatakiwa tuwafate wao hata kama tutauona kabla yao hatutakiwa kufunga wala kuuanza mwezi bila wao kuwa wameuona Swala mwezi si ni Mmoja so we have to wait for them
Hujakatazwa kufuata mwezi wakwenu ila arafa hakuna mbili nimoja
Kwa Mantiki Hiyo Inakuwa Haina Haja Ya Kutazama Mwezi Sisi Tulipo Njee Ya Mecca Tusubiri Tu Mwezi Ukiwa Unaandama Mecca Then Sisi Tufaate Uko
Tatizo la funga ya Arafa ni pale inaposemwa kua, tunapaswa kufunga wakati mahujaji wamesimama Arafa, inaeleweka wazi kua Alfajiri haianzii Saudia Wala Africa, Bali nchi za mashariki ya mbali, pia na Magharibi pia inaanzia hukohuko, tunajiuliza Kwa Nini tuzozane Kwa mwezi unao tangazwa Saudia, Kwa Nini watu wanao Anza kupata magharibi wasitutangazii wao kuonekana Kwa Mwezi ? watu wa visiwa vya philipin, au visiwa vya FIJI. Au Japan au Australia, Hivi Hawa wanaweza kuipata Arafa, na wao ndio wano anza kuipata Alfajir au Magharibi ? Sisi na wao wanayo tofauti ya zaidi ya masaa 8, mahujaji hawajenda Arafa wao usiku tayari umeisha ingia, ikiwa ni hivo ndio maana ile Sheria ya ikiwa Kuna ukungu juu yenu timizeni thelathin, inaondoa tatizo na migongano juu ya mwandamo wa mwezi, Allah mwingi wa Rehema yeye anajua, na Kwa kua kwake ndio marejeo yetu, basi tutapofika kwake Allah, atatuhukumu Kwa Yale tuliyo hitilafiana,
Ipo haja mana mwezi waweza ukawa unauwezo wa kuowona wewe mwenzako hana lazma tutafute atakae uona arifu na wenzake
Iwapo tutakuwa na mawazo hayo mwisho watu watafanya hija ya kwao
Ja jaka llahu
Ni shekh mzuri sana kwa kusoma ila ufahamu mdogo na hii ndo shida ya kutokusomeshwa
Ww una lako
Hakika
@@mohamedhaji2200 hakika kishik anatakiwa akasome
@@abrahamansaidi8631 we apo unatakiwa ukasome haya ongea na imma bs kama kweli we ni msema kweli huna akili ww
@@omarysaidy5524 mbona povuu? kwanza mjibumaswali yaliyoulizwa wasenge sn mawahabi nyie
Aslm alaykum pale pasipo sahihiswa tupewe ashirio sahihi elm bahar
Nakuelewa xanaaa😅😅😅😅
HHHHHHH KISHKI hua unanifurahisha kwa hasira.
Soma baana.
Unapenda kurusha rusha maneno bila maandiko wala kufikiria.😁😁😁😁😁
Uriswali 9arafah
Masha Allah Sheikh Allah akulind na mabaya na fitna zao kwani wapo watu Allah awaongoe wakiongoe manen mabay dhidi yako na wakilazimish wote tuamin manen yako
Lkn ww masha Allah hurud nyuma bado wasong mbele kwa ajili ya Allah hakika ww ni mtu wakufatwa bado watetea hakki kila uongeapo
Tunakupend Sheikh for the sake of Allah
Kwa dizaini hiyo sheikh letu kishiki bado sana na utapata tabu sana suala la mwezi linataaki na mwezi sio mawazo Yako potofu
Yaani wewe ni Baba la Wajinga!Kishki hakutoa hata wazo moja lake hapo!hayo ni mambo ya Fatwa za wanazuoni wagwiji wa fikhi au kichwa chako hakibebi mambo?
akaa kumbe hii ndio iliyomchefua kiumbe
haki itakua juu tu
Wewe mpuuzi sisi tupo Oman lakini tutaswali kesho kutokana na muandamo wa mwezi
Mpuuz nani
Kufunga siku ya Eid ni haramu ww acha ushamba kua Imani sio tatizo kwani Imani watu wanakuja kuhijii
Wacha urongo wewe maimamu watatu wamekubalina kwamba kila watu wafuate mwezi wao ila imam ahmad ibn hambal ndo ywasema kwamba kila mmoja afuate mwandamo mmoja tu.
Skubaliani nalo hyo hoja
Kishki unajazba sana ww angekua Othman maalim maalim apo busara hadi raha
Wambie shekhe mashe wenzio ss sio mashekhe lakin tunajua batwir na haki
Shukraan
SHIDA NI ELIMU TUU NDIO SHIDA JAMANIII.
Ndoo we huna elim hyo kasome
Mtume amesema funga ya siku ya arafa hakusema funga ya mwezi tisa kana kwamba alijua kutakuwa na watu watakuja kuugawa mwezi kila mtu awe na hesabu yake wakati siku ni moja mwezi mmoja
Leo ni ya 10 kwa kufuata mwezi wa nchi gani?
Sheikh bakwata wanaona kama unachukua madaraka yao wanaogopa hiyo nyomi si ya kawaida watu wanafuata haki sheikh kishki mungu akulinde watu wana husda sana kwenye hii dunia tena waislam tunaongoza kwa chuki 🤣
Amine ya rabby
Bakwata wanatetea umma usigawanye kishki ndio anakita kiti cha bakwata na hatokipata inshallah
Hio ya kishki sio haki ni batwil na yeye kishki ndio ana husda na mungu hayupo na dhwalimu
Naomba nisaidiwe wale ambao mchana wa Makka kwao ni usiku Arafa wafunge lini?
Iwe je kila mwezi tuulize huko nje wakati na hapa upo.
Kwanza uelewe Saudia Arabia ipo Middle East, kwahiyo ipo katikati ya Dunia na kwa maana hiyo hakuna nchi iliyotofautiana na Saudia Arabia zaidi ya masaa 12 (nusu SIKU). Kwahiyo siku itabaki ni hiyo hiyo ila tofauti ipo ya masaa, na tofauti ya masaa hata nchi moja inaweza kutofautiana masaa baina ya miji na miji.
Lakini pia tuangalia majority za nchi tunaenda SAMBAMBA na Saudia Arabia na hizo chache ka Australia na Honolulu hizo ni dharura, wataabudu kulingana na mazingira yao.
Lakini nchi kama Tanzania pia tulete hoja za kutofautiana masaa?
Wao wamepata dharura ila Kama hapa tz majira yetu yanaendana sisi hatuna dharura ndugu.kigoma jua linachelewa kuzama zaidi kuliko makka sema ni kujichetua tu ila kila mtu anajua kua mtume kasema watu wafunge siku ya arafa.iv tulisema watu wafunge siku ya uchaguzi iv kuna mtu anaweza kufunga kesho yake halafu tuseme anaakili kweli
atao mibakwaya inababa Yao anae watangazia mwez
Bakwata wana ajenda yao ya siri na kutupotosha na kutugawa Waislam
Sheikh mtafute sheikh Dr Islam wa masjid Azhar mombasa akuelezee vizuri juu ya hapo AZHAR UNIVERSITY
Kwqhiyo kuna azhar tena Kenya nacho ni chuo
@@alsonmohamed9805 la. Sio chuo Bali Ni masjid Inaitwa Azhar. Mombasa
usilazimishe jambo lenye ikhtilafu kua katika qauli moja kua muadilifu hiyo sio ilimu ni uhizbi na wape haki qauli ya jamhuri kuhusu mwezi ni iopi tembea na hiyo afwan
Inaonesha sheikh hukumfahamu!msikilize vizuri ndio uhukumu!nyie munaofuata mwezi wenu ndiom unaowahukumu wanaofuata misimamo ya maimamu watatu aliowataja Sheikh,na si Hilo Tu Bali munapotosha Kwa kusema uongo kwba wale wanaofuata hao maimamu kwba wameleta Jambo jipya!lkn ni kuwa hamuiraki Tu kusoma munalisha maneno na Sheikh wenu Abu IDD wa Buguruni
Ukiitwa kwenye mdahalo hutaki umewakusanya huwo nitajiwako wekushapijapesa
Mtume ni wadunia nzima mbona kwa maelezo yake mbona unamdhalisha atakua haenii dunia nzima
Tunamjua huyo na tumeishuhudia clip hiyo akikiri kwamba kufunga ni siku ya Arafa pindi wenzetu wanaposimama kule Macca,lkn baada ya kupata cheo Bakwata akabadilika na kuja na msimamo mpya.....
Sh.Kishki jifunze jiografia, saudia wakiwa arafa, wakati wa dhuhuri China wanasali magharibi !! Unapoteza watu.😅😅
Kwani wewe unaishi china?maana hutoi mifano ya inchi unazo fafanana nazo kwa masaa siku ndio maana mnayumbishwa yumboshwa nenda kasome wewe bado hujachelewa
Umeongea maneno mengi lakini ueleweki tuambie mtume alifunga harafa kwa kufuata maujaji waliokuwa macka au kabla ya kushushwa hija watu hawakufunga harafa ndio mambo ya kutueleza
Wewe ni mpungufu Sana wa maarifa na ufahamu!hadithi alizosoma kwani ni maneno ya Nani?na zimeelekezaje?
Kishki kw swali la mwezi umepotosha watu maan Australia america na china hio arafa hawatoipata mpk kiama
Wanasema juzi kwa hapa nchni kwetu Kishki kwani inashinda gani kichwani?
ruclips.net/video/6HyMwGdAs1w/видео.html
*SHEIKH ALHAD MUSSA, ALLAH HAOGOPI KITU CHOCHOTE.*
SHEIKH ABDUL-RAUF KAGIMBO ALMUNAAWIY
Huyu anajua kusema,ila apishana na kaka yake,huyu mwehu,sasa kama unajua ikhtilafu ipo sasa povu la nini,
Unapaswa kutambua USA inatofautiana kulingana na majimbo
Lakini sheikh mbona umemtaja Abuu Hanifa kwamba msimamao wake ulikuwa wa tarekhe moja lakini umeshindwa kutoa ushahidi maneno gani alisema au alifanya kwenye hilo? Unatumia tu maguvu ya kuongea mbonaaaa
We unao jua si utufamishe halaf tuache kukashf mashekh wahadhr tusiwape wengine fayda
@@hassanimouigni6648 swadcta
Sijawai kujuta kusikiliza mawaitha yako kishk tatizo waislamu tumeitia dini akili.
hao wnaogopa kwenda kinyume na mabwana zao.sikiliza allah alivyo sema.يوم تقلب وجوههم في النار.يقولون ربنا يليتنا اطعنا الله واطعنا الرسولا.
Haya ikiwa watu wametofautiana siku je arafa yao itakua je watakua hawana arafa
SIO KWELI KWA HAPA TANZANIA ILIKUA NI YA TISA ILA KWA MSIMAMO WAKO WEWE LEO NI YA 10
Hueleweki naww
@@alsonmohamed9805 hutaelewa tena
Halaf una onekana ni mwalim mkuu unafundisha wapi? Awu unatafuta kumkosoa kishk panda kwenye mimbari ufundishe umma sio kulalamika
Kumbe naye huyu pungu
Myoee noo,toa hoja
Yapendeza na yatakikana je ni wajib na lazima kufungana na mahujaji, au ni mkifungana na mahujaj ndo yapendeza zaidi......?
Jee wale ambao arafa inawapata wako usiku. Wadanye nini? Wafuate Arafa gani? Elimu tumia Mantiq shehe
Yatakikana kufunga siku ya arafa kwa asiyekwenda hijja sio dalili yakuwa arafa niile inayosimamwa makka
Utakuwa una funga nn ndugu YANGU Uwanja wa ARAFA uko Makkah kibla IKO Makkah hizi ni zawadi Mwenyezi MUNGU ame wapa watu WA Makkah
Muislam kuikataa tarehe ya dhul hija ya maka utakua jahili zwazwa
Tatizo wewe kishki kinyonga leo upo na masufi leo upo na watu wakisuna njaa
Tatizo ushahidi haujitoshelezi anatakiwa ajibu hoja za wale mashekhe watatu #MUFT WA OMAN SHEKHE UTHAMIIN NA SHEKHE WA MAKKA KATIKA KITABU CHA QARARAT
Shekhe nenda ukasome kwanza hua vitabu vyetu havina agano jipya hatutaki vitabu vya juzi tunataka dalili za wanawazuoni walitangulia na kama hujasoma hebu angalia hata kwa macho hivyo vitabu vya al akhe kishiki na vya abuu idi
Sasa sijui wewe unataka ushahidi gani
Kingine alisema marekani ikiwa usiku maka ni mchana na aliesema marekani na maka wanapishana kwa masaa nane mpaka saba na nani mkweli au aliebainisha
Kwann naww usende kusoma kazi kukaa na kukanush kila Sheikh akisemach yani nyie mioyo yenu ishaek fitna zidi ya Sheikh so Sheikh hata atoe ushaid wa manen gani bado tu mtapinga achane zahma na fitna
@@rahmaally6885 huyo IBN UTHAYMIN kwenye Mambo ambayo yanawakandamizi mnakataa mnadai Salaf gani wa juzi tu
Ila hapa tumewanukuu mashekh wa zama hizo mnataka fatawa ya IBN UTHAYMIN kwasababu inawabeba
Kwani funga ya Arafa ni Faradhi au Sunna!!??
Sunna
Unapingana hata nakaka yako
Sasa unauhakika kama mwezi umeandama huko saudia
Asalamu alaykum wa rahamtullahi wa barakatuh.
Kwanza tunakupongezeni kama tunavozipongeza nafsi zetu kwa kutimiza ibada hizi za funga ya arafah na kuadhimisha siku ya Iddi.
Pili inafahamika kuwa hakuna ulazima wa tarehe kuwa moja kwa siku husika ndani ya Uislamu, na hadithi ya Kuraibu iliyopo katika sahihi Muslim ni ushahidi tosha katika hili shaamu waliuona ijumaa ama madina wao waliuona jumamosi na kila upande ulijishika na muandamo wake ikawa siku moja ina tarehe tafauti.
Tatu Inafahamika kuwa Siku ya Arafah ni siku ya 9 ya mwezi ya Hija, kwa haji siku hiyo kwa mujibu wa muandamo wa majira ya Makka anasimama katika mlima wa Arafa, pia waislamu wanafunga siku ya 9 ya mwezi huo huo kwa mujibu wa miandamo ya miji yao kwani ndiyo siku ya arafa kwao.
Nne inafahamika kuwa katika karne zote zilizopita Waislamu walijifunga na miandamo ya miji yao ambayo ilitafautiana kama inavyotafautiana mpaka hii leo.
Kullu aamin wantum bikhairin.
Poa
RURUDINI ACHA POROJO,TUNATAKA MAJIBU YA KUMJIBU,1)MUFTI WA OMAN (2)KUMJIBU MUFTI WA SAUDIA(3)KUITOLEA MAELEZO HADITHI YA QURAIBU AMBAYO INAONYESHA MIANDAMO YA MWEZI TANGU ENZI ZA MTUME NA MASWAHABA ILIKUA TOFAUTI,NA HATA KARNE MOJA ILIYOPITA KILA WATU WLIKUA WANAFUNGA KWA MUJIBU WA MUANDAMO WA MWEZI KTK MAENEO YAO,AU WALIKUA WANATAMBUAJE KAMA LEO NDO SIKU WALIYOSIMAMA MAHUJAJI KTK MLIMA WA ARAFA KABLA YA TV NA VYOMBO VINGINE VYA MAWASILIANO?ACHA UJUHA WA KUWAPOTOSHA WATU,NA MAJIBU HAYA MBONA HUKUYATOA MUBAASHARA NA MUDA ULE WENZIO WAKATI WANAFUNDISHWA NA SHEIKH ABUU IDI?UWINGI WA WATU WANAOKUSIKILIZA SIO ALAMA YA KUKUBALIKA/UKWELI WA UNALOLIZUNGUMZA,MBONA HATA WALOKOLE,WASABATO,WAKATOLIKI NK,WANAJAA HATA ZAIDI YA UJAO HUO,?NYINYI NA WALOKOLE HAMNA TOFAUTI,LENU MOJA,LENGO LENU NI KUWAGAWA WAISILAMU,LAKINI IPO SIKU MTAJUA.
Achakuwadanganya watu wewe muwahabi makelele megii
Kishiki wewe uliletewa hao masheikh wenu wa saudi arabia msikitini kwako temeke na alipoulizwa suali hilo alijibu kila mmoja afunge kwa kuona mwezi mbona hukumwambia sheikh unakosea?ninachokiona vijana wa kisasa ni jazba tu .mumekosa hekma .tulikuwa na masheikh wakubwa hapo nyumbani akina Abdalla saleh farsiy,Hassan bin ameir,Ameir Tajo sheikh Baruwaniy na wengineo tele tu.wala hakukuwa na hizo tofuti zenu ,au tuseme nyinyi wa leo muna elimu zaidi kuliko hao wazee wetu maarufu waliotangulia ,muogope Allah iko siku mutasimama mbele ya Allah na mutaulizwa juu ya yote hayo.
Naona Nurdiin kishki anaongea sana tenaaa kwa jazba na povu la hali yaaa juuu watu wanataka hoja sio makelele brother ha ha ha ha ha aha aha aha ha
Sasa unataka hoja gani?
Ametoa kauli za wanavyuoni wa zamani akiwemo Abuu Hanifa na Ahmad bin Hambal, pia ametoa kitabu cha mwanachuoni wa madhehebu ya kishafy, au huoni wala husikii?
Nende naww ukapige makelel yako na utoe hoja sio mwarush vijemb tu zidi yake acheni fitna
Hao hawaon kheri za Sheikh hata Sheikh aseme nn coz mioyo yao tayar ishaeka fitna zidi yake Allah awaongoe
@@rahmaally6885 tatizo lako umesikiliza sehemu moja umetizama na kwengine
@@rahmaally6885 ruclips.net/video/wMRG9VQ0UeI/видео.html tizama hiyo link uangalie sio unadhan kwamba shekhe wako hakoseiii acha ujinga
SIO KIAKILI MZEEEE..KIELIMU NA KIUKWELI. KWAIYO IBNU ABBAS NA MUAAWIYAH,HAWA VIPI? TUPE FATWA.
Tupe ww kama ye hajui unajua ww tunakusubiri
wee kasome hujuikitu mjinga mpotoshaji mkubwa mhabi
Mjinga mwenyewe mbwaaaa ww unamtukana sheikh kishik hana elim we unayo muogope mungu we NYau mmoja ww nnenda ukasome huna hayaaaa kbs
@@omarysaidy5524 wee msnge kweli sana naako kashekh kamimbal wapotoshaji wakubwa nguruwe nyie
Wewe Wadanganga watu eti Arafat ziko mbili na ijuma iwe moja duniyani !
Msiba mkubwa waislamu tumefikia huku kuwatukan wahadhiri wa kiislamu Astaghfirullahi
Shekhe hufwati sunna bali wamfwata sheitan na utakwenda kujibu kwa mola
Halaf hii ni neno zito voo kwanini usi pande kwenye viombo uka tufahamisha sababu ya haya maneno
@@hassanimouigni6648 haswaaaa mwambie akaongee kama kweli yy msema kweli
@omar said acha nongwaa ndg yang dunia utaiacha kasome
@@hassanimouigni6648 mimi ni msomi sio wala simtu wakujionyesha nasilazima kujitokeza kwenye vyombo huyo kishki ndio akasome
Astaghfirullahi
Jamani shekhe usilazimishe Arafa kua 1 kwa sababu dini haianzi leo. Wale nchi zao ambao wanalingana time zao za maghrib na makaa hao wanaweza kufata mwezi wa makaa lakini sasa kama America wako wapi na Arafa ya makaa. Acheni ubishi kuna matatizo tele ya waislamu nyinyi mnafatia haya.
Kwaiyo kila nchi ina Arafa yke?
Muhammad iddi anachuki zake tu na wew na kiboko yake ni yule mtoto wa nasoro bachu maana alimtawala ktk issue ya maulidi
wee na huyu mpotoshaji wote niwahabi hamuelewi
Shekhe mnachanganya watu na ndio maana watu wengi wanapotea na nyinyi mtaulizwa
Mashaallah
Maa shaa Allah
Jamila Nyangasa
shekh ujasomA
Unapingana hata nakaka yako
Mashallah
Mashallah