ACHOMOA KISU MBELE YA CAMERA BILA KUJALI CHOCHOTE / MOTOWN SANYA NA BUSEBOI WATAKA KUKIMBIA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 4 янв 2025

Комментарии • 123

  • @EmanueliWildausoni
    @EmanueliWildausoni 4 месяца назад +31

    Moo town huyo mwamba ume show love sana kwake umemtoa na ten umempa cheni daa safi sana bwana mi huwez amin hata machoz yamenilenga lenga cjui kwann ila safi sanaa mwanangu piga kaz god atakubleess

  • @Nuru9568
    @Nuru9568 4 месяца назад +11

    Uyo brother anatema yai mashallah ❤

  • @BwireMtaki
    @BwireMtaki 4 месяца назад +4

    One LOVE, One GOD, One Destiny 💪🏾

  • @abdallakhatib3898
    @abdallakhatib3898 4 месяца назад +10

    Mwamba kamaliza "one God, One love same destiny" salute muhuni ana jamabo na sio diamond kusema I arrive two hours am 😂😂😂

  • @chusseboywcb2808
    @chusseboywcb2808 4 месяца назад +9

    Nembo ya mtaa ulipotea sanaa sema ulikua wap kubalibsanaa sanya boy❤❤❤

  • @michealzuo377
    @michealzuo377 22 дня назад

    Umetisha sanya

  • @BigZhumbe
    @BigZhumbe 4 месяца назад +8

    Ngoma za mapenzi
    Wakiume = Jay Melody
    Wakike = Zuchu

  • @PeninaRoger-me4vo
    @PeninaRoger-me4vo 4 месяца назад +15

    Huyu Mzee amesoma anamzidi harmonize English 😂😂

    • @MichaelAmosMzini
      @MichaelAmosMzini 4 месяца назад +1

      Kabisa 😀

    • @josephkahemele4648
      @josephkahemele4648 4 месяца назад +2

      Mtoto wa kishua huyo sema dawa zimemzingua. Alikulia Upanga ila maskani yake Kimara anaitwa Double Mc

    • @japhetlust5050
      @japhetlust5050 4 месяца назад +1

      Kumbe kuongea English nikusoma?

    • @ThomasMmary-r7w
      @ThomasMmary-r7w 4 месяца назад +1

      Kasoma uyo

    • @manmanixh
      @manmanixh 3 месяца назад

      Kingereza sio kusoma mjomba hiyo ni lugha kama unavyoongea kiruguru uyo kaka south africa

  • @methodluoga8483
    @methodluoga8483 4 месяца назад +6

    Mo town sanya unawafanya watanzania kama MABWAMBWARUU😂😂😂😂😂

  • @GWAN-xd9gn
    @GWAN-xd9gn 4 месяца назад +2

    Nuggh language Sanya kill Dem🙌🏿🙌🏿🙌🏿

  • @kelvinmasilim
    @kelvinmasilim 4 месяца назад +8

    "Yanayeyuka huku" jamaa anathamin kaz ya boss wake😢😢😢😢sijapenda Kwa huy bro mlichomfanyia😢😢😢😊

    • @dalinktech
      @dalinktech 4 месяца назад

      washikaji wamezingua kweli

    • @Xuxu-f7j
      @Xuxu-f7j 4 месяца назад

      Ila wamemzingatia na buku koz maji yenyewe yalikua ni ya buku

  • @zaharamlau8817
    @zaharamlau8817 4 месяца назад +3

    Yana yeyuka hukuu, we Sanya ni mjinga sana. Alafu unajificha ukicheka asikuone😅😅😅😅

  • @DAVID-wp4vc
    @DAVID-wp4vc 4 месяца назад +1

    One God,One love same destiny ❤

  • @esmaildege5179
    @esmaildege5179 4 месяца назад

    Kimara moja iyo safi sanaa Msigwa

  • @ndarnationsoundtz
    @ndarnationsoundtz 4 месяца назад +1

    Mwamba yupo vizuri mno

  • @g_nine9323
    @g_nine9323 4 месяца назад

    Da maisha haya jamaa angekua mbali sana huyu katushinda kimombo Mimi na sanya

  • @allyharoub-rl6rb
    @allyharoub-rl6rb 4 месяца назад +1

    Buse Boi Sema msela Mavi sanaaa ....

  • @methodluoga8483
    @methodluoga8483 4 месяца назад +2

    Wee sanya utapata kesi unasumbua watanzania😅😅😂😂

  • @Asmaa-ym8uc
    @Asmaa-ym8uc 4 месяца назад +1

    Mamas boy utawajua tu 😂😂 yanayeyuka haya james bana

  • @muhseenmakpel5043
    @muhseenmakpel5043 4 месяца назад +3

    Watu walikuzoea sana ndio maana ukawa kimya ili wajisahau

  • @SOJADADDYOFFICIAL99
    @SOJADADDYOFFICIAL99 4 месяца назад +2

    nembo ya mtaa huyo mshikaji ana kitu kitu sana anaeongea kingereza,,,daaah jamaa amekuwa addicted na madawa najua siyo kwa kupenda ni kutokana na lye tu maybe lakini ni mtu ambaye anaonekana kama akipata hata mtu wa kumshika mkono anaweza fanya kitu kikubwa kwaajili ya maisha yake

  • @DennisFandi
    @DennisFandi 4 месяца назад +2

    Kuna siku utakutana na vichwa vibovu hutoamini, ile unamzingua anatoa kubwa anakuweka

  • @MariaMagele
    @MariaMagele 4 месяца назад

    Mumenichekesha Zanzibar nikisiwa 😂😂😂ndo kusema hamjui

  • @JustinGama-qy1tp
    @JustinGama-qy1tp 4 месяца назад +1

    Sanya umetishiwa kisu umetowa kumi na chenji zake dadeki😂😂😂😂😂😂

  • @Mamgoboleanold
    @Mamgoboleanold 4 месяца назад +1

    Daah suleimani 😢

  • @MohamediKalanje
    @MohamediKalanje 4 месяца назад +2

    Mzee sio 45 wala sio 32 ni 23😂😂😂

  • @BIGGIEBOOST
    @BIGGIEBOOST 4 месяца назад +1

    Buse boi 🔥🔥

  • @issaadamu9847
    @issaadamu9847 4 месяца назад +1

    Anakimwaga atali sana 😂

  • @mussakhatibhassan6430
    @mussakhatibhassan6430 4 месяца назад

    Ngoja nimpigie mama😂😂😂😂

  • @ThomasMmary-r7w
    @ThomasMmary-r7w 4 месяца назад +1

    Nembo ya mtaa👊👊👊👊mo sanyaaaa

  • @Ibrahimdialo-dj4fd
    @Ibrahimdialo-dj4fd 4 месяца назад +1

    Leo watu wanatoa mazuna tu😂

  • @nasrirajabu3753
    @nasrirajabu3753 Месяц назад

    Yanayeyuka huku ngoja nimpigie mama

  • @sautikaliitz934
    @sautikaliitz934 4 месяца назад +1

    Jamaa kingereza hatari kwao wa kishua

  • @ibrahimnjohole1684
    @ibrahimnjohole1684 4 месяца назад +1

    MUHUNI ANAPIGA KINGEREZA KIZURI SANA...😂

  • @AlbertAnthony-d4x
    @AlbertAnthony-d4x 4 месяца назад +2

    Kimara mwisho,,,, mabrooo mmekuwa aiseee....

  • @samoredelavida3782
    @samoredelavida3782 4 месяца назад +1

    kuna mwamba mmoja mngemvagaa mbezi hapo kila siku yeye anapenda kupigana bahati yenu..masarange muda wote wanashindia smart gin😂😂

  • @ElishaSolomoni-kc4zk
    @ElishaSolomoni-kc4zk 4 месяца назад +2

    AINA HII YA VIJANA WANAMCHANGO MDOGO SANA KWENYE ILI TAIFA

  • @mangalilikilawe6788
    @mangalilikilawe6788 4 месяца назад +2

    Kumbe kuna watu wanabeba barafu kwenye begi

  • @CRYPTO2TRADINGPLAN
    @CRYPTO2TRADINGPLAN 4 месяца назад

    Nimemuona buse boy prank pamoja Sana mzee

  • @BIGGIEBOOST
    @BIGGIEBOOST 4 месяца назад +1

    Yanayeyuka haya 😂🙌🔥🔥

  • @Malaleylafael
    @Malaleylafael 4 месяца назад

    🙌🙌🙌 sanya

  • @officialherobaba3686
    @officialherobaba3686 4 месяца назад +1

    Nilichogundua kwenye iyi video motown sanya ajuwi kingereza😂

  • @kurumwagodfrey7052
    @kurumwagodfrey7052 4 месяца назад

    Nampigia mama

  • @SujuduMussa-nn9ib
    @SujuduMussa-nn9ib 4 месяца назад

    Embu ngoja nimpigie sm Mama 😂😂

  • @JaphethChuwa
    @JaphethChuwa 4 месяца назад +1

    Mashabiki wa Manchester hatupo hivyo 😢

  • @Mehmed-s8x
    @Mehmed-s8x 3 месяца назад

    Ushampa hela ya kismat yule anaend kulewa

  • @casiannyaki664
    @casiannyaki664 4 месяца назад +1

    Mzeee kasanukaa😅😅

  • @Petermalume
    @Petermalume 4 месяца назад +1

    Aya ndo mambo ya buse sasa😅

  • @GWAN-xd9gn
    @GWAN-xd9gn 4 месяца назад +1

    23 🙌🏿🙌🏿🙌🏿

  • @richbanksmshigati3327
    @richbanksmshigati3327 4 месяца назад

    Watu eti wanasema jamaa kaongea English😢😢!🤔

  • @dennisnjonanje62
    @dennisnjonanje62 4 месяца назад +1

    Hiki kipindi ni miyeyusho sana,. Kinakata mudi ya watu wapo kwenye mishe zao.. nitapasua mtu

  • @GluxyKing
    @GluxyKing 4 месяца назад +1

    Kaka sanya sikupingi kila siku unafanya zaid ya kufanya wakali washoo za mtaa

  • @chusseboywcb2808
    @chusseboywcb2808 4 месяца назад +2

    Ding respect sanaaa anatema English

  • @BwireMtaki
    @BwireMtaki 4 месяца назад +1

    Mchawi pesa kusoma Kila mtu kasoma

  • @georgenkanawa7156
    @georgenkanawa7156 4 месяца назад +1

    na hapa ipo 😂

  • @CharifaRachidi
    @CharifaRachidi 4 месяца назад

    Mo umenenepa sana

  • @haidarymidevu6218
    @haidarymidevu6218 4 месяца назад

    Yanayayuka ayaaa😂😂😂😂😂😂

  • @mcmifukotz7267
    @mcmifukotz7267 4 месяца назад

    Mbez luis

  • @georgesamwelchacha7680
    @georgesamwelchacha7680 4 месяца назад +1

    Mpeleke Soba house huyo mwamba

  • @OmanHubi-q5x
    @OmanHubi-q5x 4 месяца назад +2

    Mind your business 😂😂😅❤

  • @deodatusantony9483
    @deodatusantony9483 4 месяца назад +1

    Watu wamekula kitabu sio mnawachukulia powa powa mtaani

  • @ramermohamedy4344
    @ramermohamedy4344 4 месяца назад +1

    Jamaa chapu kwa pusha...kuchukua ngada

  • @ibrahimsadick6137
    @ibrahimsadick6137 4 месяца назад

    Acha uongo ni noma😂😂😂😂

  • @khamismbwana390
    @khamismbwana390 4 месяца назад

    So nice 👍

  • @kinigasimeni145
    @kinigasimeni145 4 месяца назад

    Hi ndio dar bn

  • @Rastaztz
    @Rastaztz 4 месяца назад

    Asa hapa yanayayukaa 😂😂😂😂

  • @CatherineHiyani
    @CatherineHiyani 4 месяца назад

    Mtakuja kuuawa mnazingua watu kipindi kizuri mnatuchekesha

  • @suleimanbalemba3348
    @suleimanbalemba3348 4 месяца назад +1

    Kuna watu awapo makini kabisa na swali

  • @AliamryBakar
    @AliamryBakar 4 месяца назад

    Oya sanya fanya uje zanzibar

  • @RomboBoy-bl7ql
    @RomboBoy-bl7ql 4 месяца назад +1

    Sema huyo mwamba nlikua nae sauz asee

    • @dalinktech
      @dalinktech 4 месяца назад

      @@RomboBoy-bl7ql kweli mzee

  • @kudoja_fish_shop9592
    @kudoja_fish_shop9592 4 месяца назад +1

    Mwana anatrot kwenda kubembea

  • @FrankSamson-r6s
    @FrankSamson-r6s 4 месяца назад

    Sasa yanayeyuka hukuuu😂😂😂😂😂

  • @SalmnMsike-ti2hj
    @SalmnMsike-ti2hj 4 месяца назад +1

    Dah mwamba anapiga ngeli

  • @g_eazmusic1329
    @g_eazmusic1329 4 месяца назад

    Askari ana cheka😂😂😂

  • @rahimTogwa
    @rahimTogwa 4 месяца назад +1

    Double M ungewatoboa mablazameni hao wanachukulia poa MAISHA ya kihuni

  • @helinahenry2363
    @helinahenry2363 4 месяца назад

    Ila mmi nilivokuwa sipendagi utani naweza kuwaachia alama, yaan utani huu wa kuharibiana mood weeh lazima niwazingue ili iwe kweli

  • @shahamtindo
    @shahamtindo 4 месяца назад +4

    Sema jamaa alopewa liten, ana kitu

    • @HasaniAmiri-hk8qt
      @HasaniAmiri-hk8qt 4 месяца назад

      🎉huyo ndo alikuwa anawaandikia mistar akina chidi akina ferooz

    • @shahamtindo
      @shahamtindo 4 месяца назад

      @@HasaniAmiri-hk8qt seriously?

    • @FabianMajala
      @FabianMajala 4 месяца назад

      Yah sema madawa ndo yamemzingua ila mtu sana huyo jamaa​@@shahamtindo

  • @happynkya9770
    @happynkya9770 4 месяца назад

    Hiyo ya buse kuzingua watu kitoeni icho kipande bhna hakijakaa poa

  • @indumuzamilu5379
    @indumuzamilu5379 4 месяца назад

    Afrikan pisto 😂😂😂

  • @sekhammwambusa1653
    @sekhammwambusa1653 4 месяца назад

    Yanayeyuka 😂😂😂😂😂

  • @EmanueliWildausoni
    @EmanueliWildausoni 4 месяца назад +1

    Ila watanzania daa sasa tren nzanzibar nayo vp tena yan bwana ona tu watu wakipita barabarani lakn uelewa kiduchuuuuuuu

  • @JoshuaMeshackmelayeck-jm8jg
    @JoshuaMeshackmelayeck-jm8jg 4 месяца назад

    Kali tena hii

  • @majaonlinetv3851
    @majaonlinetv3851 4 месяца назад

    Hii ng'ombe inatumia sgr kwenda Zanzibar kwel😂😂

  • @zawadiedward2185
    @zawadiedward2185 4 месяца назад +4

    Icho kipindi uangalie na content zk zngn zitaja kuletea shida

  • @hamismaguta5005
    @hamismaguta5005 4 месяца назад +1

    Hatari

  • @japhetlust5050
    @japhetlust5050 4 месяца назад

    Sanya et kuniludishia😅😅

  • @HASSANBAKARI-q9c
    @HASSANBAKARI-q9c 4 месяца назад

    TAMBENI UKO UKO😊,,KWETU MNAPIGIKA CHAP

  • @soccerarena1482
    @soccerarena1482 4 месяца назад +5

    afande kazingua anacheka

  • @francizzykasowizzy7991
    @francizzykasowizzy7991 4 месяца назад +1

    Buse

  • @USIYOYAJUA_NA_AVIDAN
    @USIYOYAJUA_NA_AVIDAN 4 месяца назад +1

    1.....................
    LEO MI WA KWANZA KU COMMENT...HAYA WA PILI ANDIKA 2 MI NSHAWEKA 1

  • @FarajaSalingo
    @FarajaSalingo 4 месяца назад

    Tupoo pamojaaa

  • @Youngvoice-sj6eg
    @Youngvoice-sj6eg 4 месяца назад

    Sio kwl kabisa🤣

  • @HasaniAmiri-hk8qt
    @HasaniAmiri-hk8qt 4 месяца назад

    Huyo ndo double d

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 4 месяца назад

    😢😢

  • @tivelamc181
    @tivelamc181 4 месяца назад

    =Unyama ni mwing

  • @Issa414
    @Issa414 4 месяца назад

    yanayeyuka

  • @Chombezaflava
    @Chombezaflava 4 месяца назад

    Watu wanakutana na shida za duniani tu

  • @almasbakari5359
    @almasbakari5359 4 месяца назад +1

    Moo mtafute uyo aneongea English tumuoji kajuaje English uwenda akawa na historia ambayo inasisimua sana..

  • @asajilepaulmwikombe458
    @asajilepaulmwikombe458 4 месяца назад

    😂😂😂😂 duble M

  • @Drey_tz
    @Drey_tz 4 месяца назад

    ruclips.net/video/xp_v4zTWF0k/видео.htmlsi=lKU9sFPGRC39oyUR
    KARIBU 🙏🙏 kusikiliza wimbo wangu Unaoitwa mama samia
    Wenye maudhui ya kiasili na kumzungumzia mama yetu na mengi anayo yafanyia Tanzanua yetu