usiku huu Chadema Mbowe atakiwa kujiuzulu ndani ya chadema na kumwachia Lissu

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 26 дек 2024

Комментарии • 14

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 15 часов назад +2

    Chadema matatizo na ugonvi kibao😢😢Lissu siyo mkombozi wa chadema.
    HUYO NGURUMO HAYUKO TANZANIA YUKO SWEEDEN UGHAIBUNI .TANZANIA KAKIMBIA MIAKA MINGI .Asiwadanganye😢Siyo mwenzenu zaidi ya upotoshaji😢

  • @festokemibala5832
    @festokemibala5832 13 часов назад +2

    Mbowe sasa anajiaibisha!! Amekuwa kama mzee Cheyo na Li-Pumba!

  • @ValeriJummane
    @ValeriJummane 4 часа назад

    LISU Daima nyuma mwiko

  • @ElinaMbura-h7w
    @ElinaMbura-h7w 23 часа назад +4

    Mbowe ndiyo anayepaswa kuachia kwa amani ili chama kiimarike,mjue vita vya panzi ni furaha kwa kunguru/Ccm,mbowe kuwa na moyo wa kuridhika na miaka21,usituletee habar za mzee mtei huo n udekteta Kama udekteta mwingine hicho n chama cha watanzania siyo cha mzee mtei wala wachaga,Mhe Lissu ndiyo mbeba maono wetu kwa sasa kwingine tumeziba masikio

  • @MohdIkra-d7s
    @MohdIkra-d7s 22 часа назад +1

    Kwani hawa watu wamegombana vip sasa anasema wapatanishwe hio haijakaaa, sawa mwanaharakati bali uchaguzi upite ijuilikane nani kashinda

  • @anosiata8242
    @anosiata8242 22 часа назад +3

    Mbowe aachie ngazi tumemushoka

  • @EmmanueNzilano
    @EmmanueNzilano 23 часа назад +1

    Tunaimani na Lisu 💪✌️

  • @JohnFrancis-x7m
    @JohnFrancis-x7m 22 часа назад +2

    Mbowe umetuongoza muda mlefu kwa busala inakubidi ustafu ili tuangalie hata upande wa pili tutajua ni nini kinatu kwamisha na kufanya nini kujikwamua

  • @Majhidymhessa
    @Majhidymhessa 23 часа назад

    Kwa nini aachie Ngazi(MADARAKA)kuna ajenda gani ya siri⁉️
    Si asubiri sanduku la kura litaamua!!!
    Kama Mbowe ni kikwazo anzisheni chama chenu kuliko kumuandana Mbowe ili hali yeye kakaa kimya tu.

  • @ValeriJummane
    @ValeriJummane 4 часа назад

    Mbowe popote ulipo nakuchukia achia chama chetu

  • @Allyiddsud
    @Allyiddsud 13 часов назад

    Mwadishi wewe simkweli ata kidongo . Unalipwa sh ngapi?

  • @JuliasMsongole-c5k
    @JuliasMsongole-c5k 23 часа назад

    No co