Lisu sio mbaya ila kwa Sasa uchaguzi mkuu hauko mbali kumweka mwenyekiti mwingine kipindi hiki Cha uchaguzi mkuu mwakani mnaua chama kwa sababu moja kubwa ushirikiano kipindi Cha uchaguzi mkuu itakuwa hamna kwa kweli viongozi mnaua chama
Kama kubadilisha uongozi ndani ya chama mwaka wa uchaguzi, basi itakuwa ngumu zaidi kufanya reform au katiba mpya mwaka wa uchaguzi, na CHADEMA imesema no reform na uchaguzi sasa sijui itakuwaje.
Kagame baba shukrani kwa sasa twende na lissu
Pamoja sana kamanda ❤❤❤❤❤❤✌️✌️✌️✌️🙏🙏
Hongera sana.
Safi sana
Safi kamanda
Lisu akili nyingi hana marifa lengo lake ni kua chama sisi huku Pemba tuko Mbowe siasa zake kama Maalim
Hayo ni yako binafsi
Hapo umejieleza vizuri laiti wengine cdm wanekuwa majibu yao yangekuwa hivi sio kuropika hovyo
Kusini oyee. Tunahitaji kısini.Bado uko kijana.
Ni Lisu
Lisu apewe nafas,mbowe apmzke anatamaa ya madaraka
Mbowe apumzike nyakati zimemkataa tunamtaka Joshua Wakati wa Musa umeisha
Wote wanaochochea uhasama kwa maneno uchonganishi kwa CHADEMA ndo maadui wakubwa wa chama hicho kwa sasa.
Ndio maana tumewapuuza
Mbowe achia ngazi lisu anatosha
Lisu sio mbaya ila kwa Sasa uchaguzi mkuu hauko mbali kumweka mwenyekiti mwingine kipindi hiki Cha uchaguzi mkuu mwakani mnaua chama kwa sababu moja kubwa ushirikiano kipindi Cha uchaguzi mkuu itakuwa hamna kwa kweli viongozi mnaua chama
Kama kubadilisha uongozi ndani ya chama mwaka wa uchaguzi, basi itakuwa ngumu zaidi kufanya reform au katiba mpya mwaka wa uchaguzi, na CHADEMA imesema no reform na uchaguzi sasa sijui itakuwaje.
Hapo husemi kitu maana Wote Mbowe na lisu wako na takribani miaka 20 kwa chama hakuna asie jua sera za uongozi wa chama na uwajibikaji wake
Makambako tunaenda na risu