ZITTO AMLIPUA LISSU, KUHUSU KUFUKUZWA CHADEMA!!!

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 5 янв 2025

Комментарии • 116

  • @salyali7807
    @salyali7807 8 дней назад +11

    Mh Zitto you are the best leader in Tanzania

  • @moddy8744
    @moddy8744 8 дней назад +7

    Katika viongozi wazuri wakweli wenye hikma msomi na mwenye akili naona zito is the best

  • @nkwazigatsha
    @nkwazigatsha День назад +2

    Sioni tofauti baina ya Lissu na Zitto. Nashukuru japo Zitto amekuwa mkweli tofauti na Lissu.

  • @taifaramadhan8684
    @taifaramadhan8684 3 дня назад +2

    Zitto yuko sawa kabisa.

  • @GodfreySanga-un8cd
    @GodfreySanga-un8cd 3 дня назад +4

    LAANA YA J.P. M LAZIMA IWATAFUNE ,MMEMCHAFU SANA ,

    • @MaikoRashku
      @MaikoRashku 2 дня назад

      Jpm yupo jehanam ya moto wa MUNGU anakula moto huko

    • @yugemasanza1008
      @yugemasanza1008 2 дня назад

      ​@@MaikoRashkukania leko linafundisha hayo😅? Kama linafundisha hayo kwamba mtu anapokuwa amekufa anaanza kupokea adhabu hama haraka ukatafute wokovu.

    • @MaikoRashku
      @MaikoRashku День назад

      @@yugemasanza1008 wewe unaujua wokovu ?. Hivi unasubutu kuniambia Mimi nikatafute wokovu ?. Kipofu mkubwa Wewe, Sasa nakufundisha, Bibilia inasema kwenye kitabu Cha WAEBRANIA 9:27 mwanadamu kawekewa kufa Mara moja na baada ya kufa tu ni hukumu, kwa hiyo Kama yule gaidi dictator mwendazake aliwaonea watu kwa kuwanyang'anya Mali zao, kutesa watu, kufunga watu kwa kuwaonea, au kuuwa kutumia madaraka vibaya, Kama alifanya hayo au Moja wapo, hivi Sasa yupo jehanam ya moto, Kama alitenda mema Sasa hivi yupo kwenye malipo ya haki hiyo ni kwa mujibu wa kitabu Cha ufunuo wa yohana 14:13 inasema heri wafu wafao katika Bwana tangu Sasa wapumzike baada ya taabu yao, kwa maana matendo yao yatafuatana nayo,
      Bibilia inasema kwenye kitabu Cha ufunuo 22:11 mtakatifu azidi kuwa mtakatifu na dictator na gaidi azidi kuuwa watu, tazama naja na ujira mikononi kumlipa Kila mtu sawa sawa na Kazi yake, Kwa hiyo usizani dictator anakunywa maziwa na asali, roho yake Iko jehanam ya moto uwakao milele, hiyo ni kwa mujibu wa kitabu Cha WAEBRANIA 9:27, ila Kama ukitenda mema na uwe ndani ya kristo Yesu autahukumiwa warumi 8:1.

    • @AliSalim-yu4mo
      @AliSalim-yu4mo День назад

      Katafute bangi ufute kama huyo JPM wako

    • @AliSalim-yu4mo
      @AliSalim-yu4mo День назад

      Cute bangi kama JPM wako

  • @kwamnkurumah8574
    @kwamnkurumah8574 5 дней назад +10

    Lissu alizan kumfukuzisha Zitto yeye ataonekan wamaana sna kumbe wembe NI ule ule Lissu wewe sasa unanyolewa tulia

    • @YourMoor-px1rd
      @YourMoor-px1rd 7 часов назад

      LISSU NI MNAFIKI NA ANASHIRIKIANA NA CCM KATIKA KUIHUJUMU CHADEMA LISSU ANATAKA KUTULETEA USHOGA HAPO BONGO HAFAI KABISAA

  • @JaziraMustafa-g9p
    @JaziraMustafa-g9p 8 дней назад +5

    Sisi tunamheshimu sana Zitto ni mkweli

  • @benedictmrisho1800
    @benedictmrisho1800 5 дней назад +3

    Jinsi mlivyofanyiana ndivyo hivyo hivyo mtatoka ktk chama. Mungu sio Athuman.

  • @emmanuelmasele9585
    @emmanuelmasele9585 День назад +1

    Lissu ulikuwa makamu mnafiki hukuwa wa kumsaidia Mbowe,Taja uliyomsaidia M/Kiti wako

  • @fidelfidel-jz4iw
    @fidelfidel-jz4iw 5 дней назад +7

    Zitto upo sawa kabisa nakumbuka hilo

  • @elizabethjohn6812
    @elizabethjohn6812 11 часов назад

    Tundu Lisu hafaiiiiiii

  • @magidalenarauya4286
    @magidalenarauya4286 3 дня назад +2

    Chama kidogo tu mnakishindwa,nchi mtaiqeza?hamtushawishi kuwapa uongozi,mna maslahi binafsi,jipangeni upya

    • @Hkilave
      @Hkilave День назад

      Wewe chawa tu mtu mdogo sana wenye ccm yao wapo

  • @deodatusmugalulamugalula
    @deodatusmugalulamugalula 4 дня назад +2

    Zito na Wenje ni wale wale zito kigeugeu huyo umpe chama bora sasa Act insongozwa na yule mama zito hamna kitu tusidanganyane

    • @abdulkatalango2890
      @abdulkatalango2890 4 дня назад +1

      Acha mihemko ishubya zitto na kufukuzwa kwake tunaijua a-z na anachokisema ndio ukweli

  • @joshuaswai8203
    @joshuaswai8203 13 часов назад

    Lissu daima ni mwongo na mzushi hafai kuaminiwa na chama chetu

  • @bernardshabanshija924
    @bernardshabanshija924 5 дней назад +2

    Zito hawezi kuaminika tena wanamwamini wa kigoma tu ambao wanfikiri zito ni mpinzni wa kweli,siyo mpinzani hana tofauti na Mrema Lyatonga kama mnamkumbuka.

    • @kamanapomo7029
      @kamanapomo7029 4 дня назад +1

      Mpinzani wa kweli yupo wap? naomba unieleweshe tafadhali

    • @makanjicharles9860
      @makanjicharles9860 3 дня назад

      Kabisa

    • @Kalunirashidi
      @Kalunirashidi 16 часов назад

      Unaongea kwamiemka choki rombaya autoweza kufanikiwa kunawatu kama wewe walimtukana sana zitto leo wapo ccm zitto anà shida na chàdemà iki ndicho kufanya chadema ife kwababu wanachama mnyonge kwamiemko mlitwambia zitto kununuliwa na ccm leo mgombea uenyekiti anasibishia kwamba ztto alitaka kufanya mapinduzi tumepata mengine chuki azidumu wakati ukifika utajuwa kama miemkoyàko kwa ztto niupumbafu wako

  • @florianmodest6215
    @florianmodest6215 5 дней назад +3

    Huyu lissu kuna mambo anaongea sio wa kumwamini sana. Maana anaongea mno ni mwongo pia!!..tupo tunaangalia ataishia kituo changapi mbowe haongei anamwona mshamba.

    • @makanjicharles9860
      @makanjicharles9860 3 дня назад

      Itoshe tu kusema ww kichwa chako unaktumia km kifuniko cha shingo na si vinginevyo

  • @JohnS.mwafubo
    @JohnS.mwafubo 3 дня назад

    Lisu is the best leader

  • @rahmajaffar794
    @rahmajaffar794 5 дней назад +4

    He jamani ikiwa nyie ndio mnataka kutuongoza sisi wananchi itabidi mjichunguze sasa maana hicho Chama chenu vurugu tupu wakati wa uchaguzi na wakati wa katiba hiyo mnotaka mtafanya vurugu na hata tukikuchagueni kutuongoza mtaanza kugombaniana madaraka wanaSiasa huwa mnafanana haijalishi kuwa mko Chama tawala au upinzani mnaingia kwa ajili ya maslahi yenu tu

    • @makanjicharles9860
      @makanjicharles9860 3 дня назад

      Neno demokrasia unajua linamaan gan lakin, unauhakka uliielewa vzur misingi yake ulipokuwa form 2?🤔🤔🤔jitahid kuwa unafatilia mamb kwa kina japo kidogo itakupunguzia baadhi ya aibu

  • @salyali7807
    @salyali7807 8 дней назад +4

    Lissu anasema uongo hapa

  • @abdulkarimmgunya513
    @abdulkarimmgunya513 3 дня назад +1

    Watanzania kama mnaakili tajitambua tu, kwani hivi vyama vya siasa ni sehemu yakugundua ubaya na uzuri wa vyama vya siasa tujitahidi kutafuta shingeli tuache porojo.

    • @hajjiomary2383
      @hajjiomary2383 День назад

      Kaka niko na wewe 100 kwa 100 wote ni wapigaji tu wakipewa mipango wanapoa ccm itakaa mpk dunia inakwisha

  • @salyali7807
    @salyali7807 8 дней назад +4

    Ndani ya chama cha Chadema kuna matatizo na sasa they are exposed

    • @yassinnabwera4273
      @yassinnabwera4273 8 дней назад

      Hakuna matatizo Chadema ,kilichopo ni baadhi ya Wanachama kutaka uongozi kwa kukidhalilisha chama na viongozi,hayo ni mambo yanayotokea ktk kila chama,wewe ni shahidi na huwa unaona kipindi cha chaguzi za ndani CCM huwa wanapigana na kutukanana hadharani,mfano ni Job Ndugai(CCM) alitaka kumua yule mgombea mwenzake

    • @ShadidShadid-ru5py
      @ShadidShadid-ru5py 8 дней назад

      Aa hakuna ukweli wote wanTafuta kula tuu na Lisu ni .uongo atashindwa njiani na atakimbia chama cha chadema kama walivyokimbia wenzake.​@@yassinnabwera4273

    • @johnmwasilu7087
      @johnmwasilu7087 5 дней назад

      Kila chama kina matatizo yake hata CCM wanayo yao ila ni namna wanavyoyamaliza kwa kusaidiwa na dola.

    • @makanjicharles9860
      @makanjicharles9860 3 дня назад

      Kuwa exposed n moja ya misingi ya demokrasia kwahio wanafaa kujitahdi kuexpose walau had asilimia 90

  • @Cletus-g9q
    @Cletus-g9q День назад

    Ni yeye tu

  • @hamimumlindwa3244
    @hamimumlindwa3244 5 дней назад +1

    Bado wote waliomfutin zito ndai ya cdm na wao watashulikiwa. Sila wakati àsasa ni zamu ya lisu

  • @Hkilave
    @Hkilave День назад

    Mmeamini nyie chawa wa lissu kwamba boss wenu ni muongo

  • @JeradiMaulidi
    @JeradiMaulidi 2 дня назад

    Zitohahapoulipobado unatumikia selikali yaccm watakujuwa abadae

  • @joshuaswai8203
    @joshuaswai8203 5 дней назад +2

    Lissu bwana unaongea sana uongo nakupenda sana ila wewe kuchafua ndugu zako kwenye chama umeonekana huna akili sawa una shida sana kuropoka hovyo umeumiza mashabikiwako wengi saña wamekuona mweupe sana

    • @johnvedastus3079
      @johnvedastus3079 2 дня назад +2

      Lissu kusema ukweli hana tabia za kisiasa na sehemu yake ni kwenye sheria tu. Kwa namna anavyomsemaga Rais wa nchi haionyeshi heshima hata kidogo, sasa huyu mtu anaongea chochote kilichoko kichwani hafai kuwa mwenyekiti.

  • @T_Darius
    @T_Darius 2 дня назад

    MWANDISHI ANATAKIWA AJIFUNZE KUTOA NAFASI KWA MUHOJIWA KUONGEA, UANDISHI BORA SIO KUMKATISHA MTU NA KUMRUNDIKIA MASWALI MENGI KWA WAKATI MMOJA

  • @artsonkimath2917
    @artsonkimath2917 4 дня назад

    Lisu tuliza mshono subiri box la kura ndoo litaamuwa sii.....kurandaranda mitandaaoni.

  • @benedictmrisho1800
    @benedictmrisho1800 5 дней назад +1

    Mngepoteza nguvu kubwa kutengeneza tume huru ya chama ambayo mtaiamini matokeo yakitoka. Sasa waandamizi mnachafuana kupitia makundi yenu baadae mshindwa aweze kusema kazulumika.

  • @rayzbongotv6509
    @rayzbongotv6509 4 часа назад

    Wanasia malaya malaya, kama Lisu ni zero.

  • @eliajimmy95
    @eliajimmy95 7 дней назад +4

    LISSU amefafanua vizuri sana, huyo zito ni tapeli wa kisiasa.

    • @elishantelekwa9793
      @elishantelekwa9793 5 дней назад

      Wasiofuatilia siasa za zitto na lengo lake watamponda lissu na kumsifia zitto

  • @jamesisdore9071
    @jamesisdore9071 3 дня назад

    Mwanasheria alisema umejifukuza uanachama mwenyewe

  • @JaziraMustafa-g9p
    @JaziraMustafa-g9p 8 дней назад +2

    Hatukutaki Lissu

  • @JeradiMaulidi
    @JeradiMaulidi 2 дня назад

    Zitowata kujuwa abadae kwambawewe nilipumba naheche

  • @JeradiMaulidi
    @JeradiMaulidi 2 дня назад

    Ccm nakovidi mnavyomsaidia mbowe ndipo watuwanajua mbowena kovidi niwatuwaupandegani

  • @JohnS.mwafubo
    @JohnS.mwafubo 3 дня назад

    Zito ni tatizo ni kigeugeu tagu hapo hafai

  • @FrankMashauri-t4t
    @FrankMashauri-t4t 4 дня назад +1

    Nyie super tam tam ni wasenge sana hizi video zazamani mnawaletea watanzania leo ili mumchafue losu wajinga sana na hamtoweza lissu hafi kisiasa leo wala kesho na ataendelea kuungwa mkono n watanznia wengi wanaojielewa si wale machawa na mabwabwa wasiojielewa

  • @elishantelekwa9793
    @elishantelekwa9793 5 дней назад

    Ukiona mtu anasema Bora Fulani ujue huyo asiyetakiwa ndo kiongozi bora

  • @theophilmakumbuli
    @theophilmakumbuli 4 дня назад +2

    Ukiua kwa upanga utakufa kwa upanga Leo ztto amesha sahau Leo na wewe resu ni zamu Yako mbowe Hana huluma

    • @makanjicharles9860
      @makanjicharles9860 3 дня назад

      Mbowe gan unaemuongelea, tulia hujui k2

    • @HaroldTarimo-g6f
      @HaroldTarimo-g6f 3 дня назад

      Oh my goodness rudi shule ukajifunze kuandika ndio uje utoe comment

  • @barryrioba3934
    @barryrioba3934 4 дня назад

    Tatizo LISSU Huwa Anaongea Ukweli Hadi Anajikuta Amefukua Makaburi.

  • @NicodemBarantanda-ud7qy
    @NicodemBarantanda-ud7qy 2 дня назад

    Yanarekebishwa kwenye kampeni wewe mwenyew umeweka mifumo hiyo halafu mwenyew unaibagaza tkujue wewe mchafu au msafi?

  • @JeradiMaulidi
    @JeradiMaulidi 2 дня назад

    Zitowewe nawe badohawakujuwi kuwa wewe niccm watakujuwa abadae

  • @KeiFerouz-fn9oc
    @KeiFerouz-fn9oc 5 дней назад +2

    Lkn kiukweli lisu siasa hawezi anaebisha abishe tu huyu kuwa wakili ni sawa lkn sio siasa

    • @kamanapomo7029
      @kamanapomo7029 4 дня назад

      Wew jamaa!!!✔️✔️✔️

    • @makanjicharles9860
      @makanjicharles9860 3 дня назад

      Ukikua utaelew sasaiv endelea kukalili maneno ya kwenye kahawa kwnz maana nina uhakka hauna ujuzi wowote kwenye hizo taaluma unazomchagulia

  • @MosesMushi-p2p
    @MosesMushi-p2p 5 дней назад

    Mbona odemba ujapata tu experience ya namna ya kuoji kama masako na jenerali ulimwengu. Embu jifuze huelimike

  • @emmanuelmlekwangano9991
    @emmanuelmlekwangano9991 3 дня назад

    Lissu wewe ni mshamba tu mwenzio mbowe yupo kimya anachora ramani na wajumbe wewe unabwabwaja mitandaoni subiri utakavyomalizwa kwenye sanduku la kura na ndio utakuwa mwisho wako

  • @kirariwilanya1850
    @kirariwilanya1850 5 дней назад

    Hii interview ya Zitto ni yazaman huko,hii ya Lisu ni yajuzi tu hapa

  • @HezronSangam
    @HezronSangam 2 дня назад

    Zito ni CCM B

  • @stewartdyamvunye-wz6rn
    @stewartdyamvunye-wz6rn 4 дня назад

    Unaposema Lissu ni muongo, orodhesha au taja uongo wake dhidi ya kile unacho ona ni ukweli. Vinginevyo shutuma yako dhidi ya Lissu haina mashiko au ushahidi. Na hivyo inakuwa ni sawa na umetoka usingizini halafu unaropoka tu! Tofauti na hapo ni kwamba haujitambui au umetumwa/ni mamluki wa CCM kwani CCM wanamwogopa, hawamtaki Lissu!

  • @joscamwoshezi2986
    @joscamwoshezi2986 5 дней назад

    Yuko lasmi kwenye ...kampaini.... .....

  • @salehothman6144
    @salehothman6144 4 дня назад

    Huyu jamaa anajiona ni brain kuliko wenziwe wote,lakini ni mnafiki na muongo wa kutisha

  • @nassibdoma5408
    @nassibdoma5408 3 дня назад

    🎉❤

  • @peterjohnson167
    @peterjohnson167 2 дня назад +1

    Tundu Lissu pumbafu kweli kweli....Tena malaya wa siasa..

  • @benedictmrisho1800
    @benedictmrisho1800 5 дней назад +2

    Kupatikana katiba mpya mikononi mwa wanasiasa wa aina hii ya vyama vya siasa vilivyopo kwa sasa ni ndoto. Michezo michafu wanayofaniana inavyozaa visasi na unafafiki miongoni mwao kuja kupata katiba mpya shida. Bora umma uhangaike kupata katiba ya umma.

  • @matiredms917
    @matiredms917 3 дня назад

    Tundu Lissu wewe ni mwongo na mnafiki. Wewe ni Mwanasheria. Mabadiliko kwenye sheria hayarudi nyuma(retrospective). Kuondoa muda usiokuwa na ukomo kwenye Katiba ya CHADEMA hauwezi kuanza sasa mpaka Katiba ibadilike kwanza kuondoa uongozi usiokuwa na ukomo. Acha usanii na kuji-contradict.

    • @makanjicharles9860
      @makanjicharles9860 3 дня назад

      Unaeelew ulichokiandika au io retrospective ndo imekuchanganya😂 tulia mjumb unajiaibisha

  • @benedictmrisho1800
    @benedictmrisho1800 5 дней назад

    Mbona timu moja inamtaka mtu ang'atuke ( kupeana uongozi katika kisahani) badala ya kupiga kura? Kakomaeni ktk kinyang'anyiro bila matusi. Mwenyekiti anataka aondoke kwa kinyang'anyiro kwa hiyo filimbi za kuzalilishana mitandaoni zikome mjiandae kuchuana kihalali kama katiba inavyosema.

  • @JaziraMustafa-g9p
    @JaziraMustafa-g9p 8 дней назад +1

    HUYU LISSU NIMWONGO

  • @BillBoll-d7o
    @BillBoll-d7o 4 дня назад

    Lisu ni mamluki Yuko kwa ajili ya kuisambaratisha Chadema

  • @MuhamedHassan-l5u
    @MuhamedHassan-l5u 5 дней назад

    Lisu ujanja mwingi hafai mtoa siri

  • @JaziraMustafa-g9p
    @JaziraMustafa-g9p 8 дней назад +1

    Tutamchagua Mbowe

  • @Thevineyard9889
    @Thevineyard9889 4 дня назад

    Duuh, hizi RUclips channels ni tabu kwelikweli. Wanatengeneza title ya habari contrary na contents eti ili mradi tu kupata views. Wako tayari kuweka picha ya nusu uchi ya mwanamke ili tu watu wafikiri labda hapa pana kashfa ya ngono kumbe ni "Hezekia Wenje anajitetea kuwa dalali wa rushwa za Abdul kwa vigogo wa CHADEMA!". Hapa sijaona mlipuko wowote wa Zito Kabwe kwa Tundu Lissu!

  • @JaziraMustafa-g9p
    @JaziraMustafa-g9p 8 дней назад +1

    SISI TUNA IMANI NA MBOWE

  • @tedlema8105
    @tedlema8105 4 дня назад

    Ok

  • @LameckMbele
    @LameckMbele 5 дней назад

    Zito sio mzr ni ccm b

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 8 дней назад

    Siasa mchezo mchafu sasa zam yao

  • @abalkaram786
    @abalkaram786 8 дней назад

    @CHADEMA IMEPOTEZA NGUVU.KWA SASA WANAMPAPURANO MKUBWA:

  • @makanjicharles9860
    @makanjicharles9860 3 дня назад

    Lissu n mmoja tu, huyu n baraka pekee kwa watanzania

  • @EvanceDamdam
    @EvanceDamdam День назад

    Umbwa we unatuuz usimseme zitto

  • @richardrugemalira6934
    @richardrugemalira6934 5 дней назад

    Zitto anajul8kana alikuwa kibaraka wa CCM kutokea akiwa Chadema. Hivyo hana jipya zaidi ya kuwa kibaraka mkuu! Ule umahiri wake ulipotea pindi alipolishwa halua!

  • @PeterIdd-d3c
    @PeterIdd-d3c 5 дней назад

    Hawa vibaraka wa ccm Lisu pekee anachukia ccm kama wananchi tulivyoichoka

  • @elmiaxmed6870
    @elmiaxmed6870 День назад

    Ungepigwa risasi nyingine ww boya unaharibu nchi 2 Huna lolote zaidi ya fitna na uchochezi

  • @deodatusmugalulamugalula
    @deodatusmugalulamugalula 4 дня назад

    Zito ni CCM B danganyeni wajinga

  • @joscamwoshezi2986
    @joscamwoshezi2986 5 дней назад

    Daima Lisu huwa ni mwongo na mropokaji tuuu