Christina Mwagala nampongeza sana. Huyu ndiyo chanzo cha kuujaza uwanja na kwa sasa Ukimtoa Ahamed Ally katika usemaji wa timu. Basi Christina Mwagala. 🎉🎉🎉🎉 yake. This is Simba Mama
Ongera cristina. Kwanza kwa kukubali matokeo. Piya umefanikiwa kuujaza uwanja. Maana tunajuwa kererezote zile ilikuwa lengo uujaze uwanja. Nahilo umefanikiwaa. Hii ndio ubaya ubwela 😅😅😅😅
Hongera zake, anafaa kuwa msemaji. Amechangamsha mechi kwa kiasi kikubwa tu. Mungu akubariki
Aende zake fyuuuu
Washabiki wa Ubaya Ubwela❤tujuane kwenye like wameshenyetwa Tabora lkn wamenuna Mwakakundi fc
Ety ilikua iwageukie Simba huyu mshangazi anumwa na mavi mwakani xo mbaki
Christina Mwagala nampongeza sana. Huyu ndiyo chanzo cha kuujaza uwanja na kwa sasa Ukimtoa Ahamed Ally katika usemaji wa timu. Basi Christina Mwagala. 🎉🎉🎉🎉 yake. This is Simba Mama
Hata asingeongea uwanja ungejaa Simba wana Mashabiki kila sehemu
Sahihi
😂😂😂😂
Vizuri kaipongeza Simba
@@angellomarcel5677 Amini nakwambia kujaa kwa uwanja kumechagizwa sana na huyo Dada. Maana kaifanya mechi izumgumuzwe sana
Kubishana na mwanamke n dhambi ndio maana tulikua tunakuangalia tu mamaaa...pole tunawapenda mama zetu
Hongera sana msemaji uko profinal wasemaji engine wanatakiwa wajifuze kitu kwa huyu msemaji wa tabora
Unajitahidi sana mama kutetea kazi yako, Hongera kwa kuwa msemaji wa Tabora.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂helaaa za watu ludisheni
Unajitahidi sana semaji uko vizuri sana mama🏅
Uko vizuri dada hongera sana.😂😂😂 umechangamsha mechi
Mnajiliwaza tu
@@neemamwijage tunajiliwaza na nini
Sema kanaongea kiprofessianal sanaaaa
Hiv kaolewa huyo kama vip tuopoe maana alitujambisha dah😂😂
Msimbe tuuu
Huna lolote rudisheni pesa za watu😂😂😂😂😂😂
😂😂
😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂
Wewe mwenyewe umefurahi kufungwa na simba
Ety tabora tumefungwa lakini tumejaza uwanja😂😂😂😂😂
Simba laha jaman jaman❤❤
Safii saana Madame
Hiyo kaz ya msemaj hakosi cha kuongea upo vzr😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Dada upo good mi bianafsi yangu nime kuelewa👏👏👏
ok uko sawa dada lakini juma mwiko wanakusubilia kulipa kisasi tena sio kisasi wanampango kukuzalilisha
dada dishiiiii kweliiiii
Ongera cristina. Kwanza kwa kukubali matokeo. Piya umefanikiwa kuujaza uwanja. Maana tunajuwa kererezote zile ilikuwa lengo uujaze uwanja. Nahilo umefanikiwaa. Hii ndio ubaya ubwela 😅😅😅😅
Hongera dada umeongea vizuri mno.
Shida ya kuwa na kizazi cha karibu!. Muda wote unawashwa
Hongera mama
Safi sana kweli unajua kusema na kutishia tuliogopa kweli. Wewe unastahili
😂😂😂😂
Huyu ukimchunguza vizuri ni shabiki WA Simba 😂😂😂😂
Hongera semaji wa Tabora
🎉 hongera dada
Hongera mama maana na wewe umefurahia kufungwa 😮
Wewe ni msemaji bora sana
Huna jipya.. used ww..
Kaaaw KIMYAAAAA. Ushakua mdebwedo.
Dada msalimie afande wangu afande abwao mwambie nampenda sn ni kiongozi bora kwangu❤❤❤❤
Nyie mshukuruni Gamond!
Christina Sasa unajua Mpira hongela Sana umekomaa
Pumbavuu huyo
Sorokoto
Utafungwa na Simba
Ukitaka usitake
Nyauuuuu Wewe
Kamdomo wew
Hongera mshangazi😢😂
Daaah haya bhana
Hongera Nyiingi
🎉🎉🎉🎉🎉 mwanamke unapambna
Huyu dada yupo vzr so hongera kwake
Dada upo vzr
Hongeraaa saaaana mama unakomaaa
😅😅😅😅 pole n
Alafu Leo umependeza sana 😊😊😊😊
Hongera uwanja umejaa mama
Safi sana unafaa kuwa msemaji upo vzr
Pole sana mwanamke
Waoooooh hongera Christina sasa umeshakomaa kimpira
Hongera,wewe si kama ,,,unafaa kuwa msemaj
Nbc standing
😂😂pole sana
Umeanza kuongeza vizuri ila katikati umehalibu Simba nikubwa sio 🐸🐸🐸 Christina hii ndio simba usijifaliji
😢😢😢😢😢
Tokaaaa weeee kwani hamkujuaaaa tunakichapaaa leo😂😂😂😂 kavueee chupiiii ukooo
Mimi nawakubali sana Tabora United wanacheza kimbinu, kasi Kila timu ikipita kwake wanawatwanga😂😂😂😂
Wanaume wa daa
Namkubari semaji
Ha ha ha ha 😂😂😂😂 nyie my wetu
Kamdomo
Mashindano gani hiyo game ilikuwa ni harusi😮😮😮😮😮😮auuuu
Pore sana mmm😂😂😂😂😂😂
Pole yako
Kajitahidi sana jamani angalia uwanja ulivyojaaa ni kazi yake hongera sana ila simba siyo ya kuodharau mam
Waliojaa ni Simba
Nyuki amekumbatiwa😂😂
Kila timu imepata ilichotaka Tabora utd wamepata hela,Simba sc wamepata point kwa hiyo ngoma draw😮😅😊
Duru ndo nin🦁
Nyuki anakumbatiwa, vipi Fadlu ana mbinu za kumkumbatia😂😂
Fala weww
Umekubali unajitapaga mno
Kamdomo kamdomo 🤣
WE UNAMJUA SIMBA MNYAMA ,SIMBA WA KIMATAIFA MNYAMA MNYAMA KA MDOMO , TUNAOMBA ZILE MILLION 50 zetu
Hana jipya kiazi huyu
Duru inayokuja tena😂😂😂😂
Ongela mama Kirstin 😢😢😢😢😢
nimekuskiliza sana kwa umakin ila umemzidi aly kamwa kwa kamdomo simba ndo marayamwisho kuku funga huo ni uongo pesa sio bora kwa simba mnyama
Ndoa lini Sasa?
Kamdomooo😂
Hongera means.mama
Ukifungwa una sauti nzuriii
Huyu dada msemaji bora sana
Kweliii unasitahiri kuwa maemaji umeongea vitu vya maana sana
Kumbe leo Simba wamecheza na wanawake wa tabora.
Unawapongeza mashabiki wenu wapi😂😂😂
Nimecheka sana Kwa sauti
Tabora niwakara WA simba haiwezekani mechi ya simba na tabora mara wachezaji hawajapata vibari
😅😅 kamdomo
Msenge simba ni kubwa sana usidananishe na katimu chako cha mchongo
Inavoonyesha uyu dada wakati wa tendo uwa hanajamba sana😂😂😂😂
Tawi la simba hilo hongereni tabora kwa kutoa zawadi ya mwaka mpya!
Jaman Kwan mashabiki walikuwa wamevaa rangi ngani maana nasikia anasema ety mashabiki wao😂😂
Ukumbuke haya unayo yasema leo kumbuka SIMBA itabaki kua SIMBA
Huyu dada amechanganyikiwa daaa japo mimi ni mshabiki wa yanga.😂
Daah zile ml.50 kama zingeekwa ana ana dooo saa hizi mnyama kasha zibeba
Kwani yanga leo kashabikia team ipi😂😂😂
tulikuambia mdomo bado anakusubilia juma mwiko anashida ya kukuzalilisha kama ulivyo mzalilisha
Olewa Sasa, si ulisema ukifungwa unaolewa??😂😂😂
Nampongeza sana huyu dada anaweza sana kufanya hamasa ya mpira. Anatakiwa atafutiwe ofisi hata pale TFF. Simba nguvu moja
Simba msimu ujao watakuwa Bora saana atachapika saana
Mtapigwa mechizote zilizobaki
Bado Mtapigwa 5 za yanga
HUYU DADA ANAJUA KUCHANGAMSHA MECHI LEO UWANJA UMEJAA KWASABABU YAKE HONGERA MSEMAJI UNAJUA SANA KUHAMASISHA
Mashabiki wa Simba ndio wamejazwa na huyu?
@bahatimshali2731 ndiyo ana akili sana huyu dada