Размер видео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показать панель управления
Автовоспроизведение
Автоповтор
SAF SANA W ENDELEA KUCHAPA KAZI
Bashungwa anaonyesha ana kitu huyu
Acheni uongo kwa kasi wapi na baadae mambo hupotea ghafra na kimya kimya
Makosa yenu vipi mtawapa mikataba bila kukagua na vifaa kama vipo nk
Msije mkasahau madaraja yakuvuka waenda kwa miguu kutoka upande mmoja kwenda upande wa pil kwa mfano kutoka Sido kwenda upande wa pil mwanjerwa
Barabara itakayo vunja record ya kuchelewa kumalizika itamalizika miaka 20
Huwa hamuitakii mema jamii yenu shida nn? Hadi uombee isiishe badala ya kuombea iishe??
@@adammj6258Kuna vitu vinahitaji utashi mdogo tu sio maombi, Wametumia kuondoa miti miezi 3 hiyo ni sign tosha kwamba hakuna kitu
Watanzania wengi akili zao wanazijua wenyewe. Rais hata akifanya jambo Nzuri hamuoni.
Kazi yenu ni kulaumu tu. Rais wangu fanya kazi. Sijawahi kupiga kura ila 2025 nitapiga kura Kwa ajili yako